SUBHANALLAH...not understand african language. the miracle n shining person to all of us...thank you ya sheikh shariff saidi john edward.
@mansoormannix1753 Жыл бұрын
Kazi ya Ruqya si rahisi, inahitaji imani kubwa kwa Allah na ujarisiri. Usiwasikize vitisho vyao, usiwape wanachodai kama damu wala pete na umtegeme Allah S.W. kuwa kheri na shari inatoka kwa Allah hakuna kitakacho kupata ila Allah aridhie
@mansoormannix1753 Жыл бұрын
Nakuamini Sheikh pia mimi nishafuatwa na jini baada ya kumtoa baada ya kumkumba banati wa dadangu mdogo.
@sielewiramadhan7375 жыл бұрын
Allah awe pamoja nawe daima na sote tuwe na mwisho mwema amin
@kingsleykimaro87532 жыл бұрын
Asalamu alkumu warahmatulilah wabarakatu m naitwa sabrina ninashida sana
@zakzak65024 жыл бұрын
As alayikumu Asante na polem mungu wepesi wengi tuna matatizo naomba yako
@aisharajabu25245 жыл бұрын
ALLAH akulinde inshaallah
@aminamundhir27134 жыл бұрын
Mashaallah baaraqa allahfeeq
@fatooismail29164 жыл бұрын
Mashallah mwenyezi mungu awatuwekey
@usseneandurabe83415 жыл бұрын
Shekh wangu si kiubaya neno taala kwenye salaam alipo. pole sana inshallah
@mummybae71174 жыл бұрын
Ni kweli sheikh allah akulipe
@kingsleykimaro87532 жыл бұрын
Naomba unisaidie namba zako
@welcome-qk6ps4 жыл бұрын
Subhanallah
@nurumuhammad85024 жыл бұрын
Aa naitwa nuru mazrui naomba Dua zenu Nina majini mingi yanisumbua Sanaa from Kenya
@yusufhamza75734 жыл бұрын
Walekum Salam my sis Kuna mtu Kenya malindi afanyia watu bure kabsa , na wengi wamepona for more info inbox me
@albayaanaduacenter4 жыл бұрын
Asalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatu, Afwan kwa kuchelewa kukupa majibu tumekua katika harakati nyingi ila unaweza wasiliana nasi kupitia +255653732303
@albayaanaduacenter4 жыл бұрын
Sheikh hatulipishi dua lakini kwa faida ya umma haina haja ya kutafutwa inbox waelekeze tu hapa hapa kuzuia fitna
@abasaliomar10203 жыл бұрын
Inn sha Allah
@ajmalkiango47153 жыл бұрын
Nitafute tz Kuna mtu kiboko Sana mashaallah 0655 997755
@kitaaofficial41195 жыл бұрын
Sub hana allah.. Allahu akbar
@ghalibjamalsalum52904 жыл бұрын
Nakubali shekh sahihi kabisa yaan
@salamasahera41003 жыл бұрын
ustadh naomb namba zako
@fatmamohamedlovely84644 жыл бұрын
Aa naota maiti kila siku sijui nifanye nn nisadie . leo nimeota nimeona nguo karibu na mto nikachukuwa
@jumaabdul39464 жыл бұрын
Tafadhali silimu tena. Mtume saw hakufundisha mambo aina hiyo. Udhaifu wa imani na kujichumia dunia. Watu aina yako wanakula moto katika matumbo yao. Laa Haula wa laa quwwata illa biLlahi l aziizul Hakim
@abdulhamidhaji50564 жыл бұрын
Dalili tunakuomba
@abdullmalik78474 жыл бұрын
Alhamdulillah Allah Neema tul allah
@zaitunimrisho10625 жыл бұрын
M.Mungu aendelee kukufanyia wepesi
@marinamidagu27323 жыл бұрын
M.mung a2epushe a2knge na mashaitwan
@fatumazuberi47553 жыл бұрын
Upo wapi shekh
@mcoastcoast20335 жыл бұрын
Wamekua wengi wadanganyifu babaa twatapeliwa huku kwetu kwa jina lako
@shabanimbenu21633 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@amenamaashaallahyasheikh34574 жыл бұрын
Suhbanaallah Allahu akbar
@mcoastcoast20335 жыл бұрын
Wana chukua mipesa mingi. Mara hii tutachukua picha tuzieke mtandaoni
@mwanaumejasiri38353 жыл бұрын
MAASHA ALLAH
@muridundhikri3 жыл бұрын
Acheni kuwatapeli waislamu
@Googoosh14333 жыл бұрын
Mbn haina sauti ama ni simu yngu
@Namanda4254 жыл бұрын
Watu wengi hupoteza hela kwa waganga ila hawaponi,sio kwa sababu waganga wale hawana uwezo wa kusaidia mtu ila hutokewa na majini yaliyosababisha maradhi yale na kuwatisha kwa kuwaambia kuwa watawadhuru ndio mana utackia mtu anasema amezunguka kote na kutupa hela nyingi ila hawakufanikiwa.binafsi nishashuhudia kesi nyingi moja ikiwa ya binti wa umri wa miaka 20 aliyekumbwa na majini ya kichawi.mashekhe walikuwa wakimsomea hadi mate yanakauka.suluhisho ni kushikamana na ruqya
@faridaarafat15712 жыл бұрын
Sauti haipo hatuskii
@bellbell92944 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh
@jokrwx34 жыл бұрын
hello is this the Sheikh Shariff ? from the "Sheikh Shariff 5 years old" ?
@jokrwx33 жыл бұрын
@Gideon Kameron you picked my comment on this vedio that don't have any realation to any soucal media apps or stuff
@Abuumuqbil4994 Жыл бұрын
Wacheni upumbavu
@welcome-qk6ps4 жыл бұрын
Upo wapi mwanangu weka contact
@jitihadaonlinetv7395 жыл бұрын
Allahu akbar
@zindunaramadhani61625 жыл бұрын
Aisee mpka nimeogopa
@nooratshariff50674 жыл бұрын
Asalam aleykum warajmatullah wabarakatu shekh wangu Mimi no mama waumri was miaka 60 nilijikwaa mguu wakushoto ukavunjika mguu was Julia chakushangaza haujawahi kuvimba nawa nilopojikwaa sikuanguka nikua nimesimama wima baada yahapo huu namwaka 8 mguu haujaunga kabisa naunaniuma sana naomba unisaidie nifanyeje ili unisaidie?
@albayaanaduacenter4 жыл бұрын
Waaleikum Salaam Warahmatullahi Wabarakatu, wasiliana nasi kwa namba hii +255653732303
@hafsawelldonemaashaallahab62194 жыл бұрын
sheik na omba namba yako
@sadiaabed66874 жыл бұрын
Mm nataka uje nitibu unapatikana vp
@katundakiliza58945 жыл бұрын
ukimtegemea Allah hakuna lnaloshindikana naanin IPO cku nami ntaulu inshaallah
Hawaa za nafsi zako tu. Hakuna lolote kuhusu majini wa aina hiyo wanaokusalimia Assalam alaikum kisha wakudhuru au wadhuru yeyote
@asmaamornassor34464 жыл бұрын
Masha allah
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@احمداحمد-م3ق7ك5 жыл бұрын
Change.allah.akuekee.wapesi
@mohamedmsagati19873 жыл бұрын
Ninashida nikupate
@zarinasuluhu25475 жыл бұрын
Subhannallaah
@michaelmrindoko28495 жыл бұрын
Shekhe naomba namba yako
@hamidahamida14734 жыл бұрын
Subhanalha 😭😭😭😭😭
@hamidahamida14734 жыл бұрын
AlhahuAkbaru
@hamidahamida14734 жыл бұрын
Subhanalha 😭😭😭
@issamohammed82984 жыл бұрын
Asalam Alaykum Warahmatullah wabarakatu,Sheikh Allaah,akupe Umri na Mwisho Mwema Sheikh Nami naomba namba yako Nakujuwa Sana tangu Ukiwa Mtoto Ulikuja Uwanja wa Majengo Moshii,Allaah Kujaalie uweze kunisaidia Namba,In Shaa Allaah,