Рет қаралды 6,597
Ar Risâlat Tv
Katika Kongamano la kiislam lilofanyika mjini Goma mwaka ilio pita, Sheikh Abdi John kutoka Bujumbura 🇧🇮 aliwafaidisha wanawake kwa kuwafahamisha Mpango wa Mwanamke duniani.Usikose kuifuata, na kumtumia mwenzio ☺️