SHEIKH FARID HADI AMALIZA UTATA MZOZO WA ARAFA | KHUTBA YA IJUMAA | MASJID JAMII ZINJIBAR

  Рет қаралды 25,888

Nour Almustafa TV Zanzibar

Nour Almustafa TV Zanzibar

Күн бұрын

KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT :
TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO
PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE
www.nouralmustafatz.org
Tel : +255 777 144 988 :
TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI

Пікірлер: 226
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un 3 ай бұрын
Mashallah maneno yameeleweka,allah akuzidishie elimu na ufaham ulio mzuri
@falmaliciousfoods4638
@falmaliciousfoods4638 3 ай бұрын
Aamiin thumma aamiin
@masoudrashid6807
@masoudrashid6807 3 ай бұрын
mimi nilikuwa niikose hii faida Alhamdulillah ALLAH kanijaalia kuipata.Yaani Umeieleza kwa uzuri ALLAH Akuhifadhi sheikh Farid..
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 3 ай бұрын
جزاك الله خيرًا جزيلًا وبارك الله لك حفظك الله من حسد المفسدين
@MohdOmar-v6h
@MohdOmar-v6h 3 ай бұрын
Nilivyomfaham shekh nikua Kuna mambo mawili tofauti,kunakisimamo Cha Arafa,na Fungal ya Arafa tufaham HIV nivitu viwili tofauti
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 3 ай бұрын
unajua tofauti ya waafrica na wazungu nyingi sana::: ila waafrica tatizo letu ni, kujikweza sana na wajinga huwa ndio wenye kutoa fatwa....... unakuta mtu anatoa fatwa ili hali umwambie aichambue bismillah haiwezi😂😂:: note tusiwadharau wenye elimu,,, allah awajaze heri mashegh wetu🙏🏿
@mwanamvuajamali8215
@mwanamvuajamali8215 3 ай бұрын
Uzuri haki haizami battli ndo inazama Allah atailinda dini yake yahaki na itazid kuwajuu,mashekh wakisalafi Allah azidi kuwapa maarifa wazidi kuifahamisha haki
@salminimaloki1992
@salminimaloki1992 3 ай бұрын
Jazakallah khayran
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 3 ай бұрын
Maneno ya hakki maneno kuntu, anaetaka na afahamu na asietaka basi na aendelee na uwahabi wake 🎉
@masoud7486
@masoud7486 3 ай бұрын
Kweli kabisa Allah akuzidishie eliimu. Hawo wanataka kupoteza watu wana lipwa kupoteza watu
@abdallahhalifa5860
@abdallahhalifa5860 3 ай бұрын
Mashallahu Mqmeno Faswaha Kabisa Allah akujaze kheyr Sheikh
@falmaliciousfoods4638
@falmaliciousfoods4638 3 ай бұрын
Aamiin thumma aamiin
@MohamedChamwenyewe-tn3gw
@MohamedChamwenyewe-tn3gw 3 ай бұрын
Maashallah
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 3 ай бұрын
Kwa wasomjuwa sheikh farid huu ndo msimamo wake miaka na miaka. Kabla hajafungwa na hata asaiv. Kwa hyo shiken adabu zenu kumtukana sheikh.
@thamani5842
@thamani5842 3 ай бұрын
Wasitutukanie Sheikh wetu, watuache na miezi yao ya viganjani
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Na siku Marekani akizuia mitandao ikawa hakuna mawasiliano wao watafuata nani
@susususu139
@susususu139 3 ай бұрын
Baraka Allah fik
@MuhammadRashid-jq7eq
@MuhammadRashid-jq7eq 3 ай бұрын
Swadaqtaaa
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 3 ай бұрын
nikikuangalia machiz Yananilenga leng chakufanya can ila nakuombea kwa Allah akuifadhi na akuondoshee matatizo yaduniani akuingize ktk pepoyake inshallah
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 ай бұрын
Faridi ni Msufi.
@latif15
@latif15 3 ай бұрын
Sufi nyepesi unafahamu na safi.
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 3 ай бұрын
@@latif15 USUFI ni Madhehebu ya watu wa bidaa ambapo wanadai Wao kuwa neno hilo Maanake ni ZUHUDI. Lakin hakuna Maana hyo ktk Lugha ya Kiarabu kabisaa.bali ni neno walilolizua wao wenyewe baada ya zile Kuruni Bora kabisa. Na amewasema vbaya sana Imaam Shafi. Masufi ni watu wanafuata Falsafa Kwa kutumia Akili zao kuliko Maandiko kwa Ufaham wa wema waliotangulia. wao ni Ni Asw-haabul Kalaaami,Mantwiqi,Na Ilmul Hisaab.
@khamismaulid-zh4xk
@khamismaulid-zh4xk 3 ай бұрын
Shehe wangu Alla akuhifadhi hii fungeni tisa umetowa wapi usizongewatu
@fareedahmad6857
@fareedahmad6857 3 ай бұрын
Amin Nawewe akuhifadhi pia Mtume s.a.we kasema mtakapo uona Mwezi FUNGENI ....kwa maana funga ZOTE katika Mwezi YOTE kipimo ni kuonekana kwa Mwezi Hakusema wakisimama watu fungeni Umefahamu imetoka wapi?
@AllyOthman-cb6tk
@AllyOthman-cb6tk 3 ай бұрын
Mashallah
@canalmasoud9561
@canalmasoud9561 3 ай бұрын
maneno yote kamaliza shekh msellem bin Aliy
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Yule mwehu kama wewe, hiyo elimu anayo?
@MrishoKibavu
@MrishoKibavu 3 ай бұрын
Hakika umemaliza haki ndio hiyo anaetaka afate asietaka aaache uko mkweli kabisa
@HamisFundi-ct7qw
@HamisFundi-ct7qw 3 ай бұрын
Kipindi cha COVID hakukuwa nahija walakisimamo cha Arafa waislam walifunga mwezi 9 kwann tucache kwaxbabu hakukuwa naibada yhija
@khamismaulid-zh4xk
@khamismaulid-zh4xk 3 ай бұрын
Wekawazi tukufaham
@mufydal-harousy5939
@mufydal-harousy5939 3 ай бұрын
JAZZAKA LLAHU KHAYRA
@kitosio
@kitosio 3 ай бұрын
Shekhe Faridi Una mawazo 50% Rudi tena ukasome UPYA. Neno NI صيام يوم عرفة. Hapo hakuna habari ya masaa Bali pametajea يوم. SASA kiarabu inaonekana kinawatumbuwa wingi Sana.
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Wewe unauejua hiyo يوم ni dharfu zamani au makani Sasa tufunge kwa kufuata muda, Au kwa kufuata pahala? Uwe na adabu kwa Masheikh
@latif15
@latif15 3 ай бұрын
Naam na يوم na upande mwengine wa dunia unakua ليل na ndio pia tunapata ليلة القدر haijulikani siku gani katika usiku wa 21,23,25,27,29.
@latif15
@latif15 3 ай бұрын
@@ShumbaVyamboni makani arafa hakuna kufunga na zamani tunafunga na zamani kwa mujibu wa ahila moon 🎑.
@SharifRashid-g1j
@SharifRashid-g1j 3 ай бұрын
Hogera she wetu wasomo
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Tatizo lenu ni kutowa kufahamu uchambuzi wa Masheikh Ibnu Baaz na wenzake ufahamu wenu mfupi na ukaidi tu kwasababu elimu za hao mnaowafuata mshatajiwa mpaka Mtume SAW bado tu mnakaidi Subhanallah Wazayuni wamekupateni na hao Masheikh wenu wanaokuwa hawataki kuona kwamba wamekosea
@mashakhamiskh8880
@mashakhamiskh8880 3 ай бұрын
Mm nashauriii toa maoni Yako tusiwe tunatukana, hiii haisaidii ila itaharibu na itabomoa
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 3 ай бұрын
We sheikh unazingua kama huku kwetu ni saa kumi marekani ni asubuhi sasa Kuna shida gani siku ni moja ileile acha kupotosha umma
@Naseemsalum
@Naseemsalum 3 ай бұрын
Anachosema kama unafunga kisa watu kusimama mbona marekani itakuwa usiku Inatakiwa ufunge siku ya 9 sio kisa watu wamesimama Makkah
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Wewe muwahabi hata ukifahamishwa akili ina kizibo
@rashidmasoud1111
@rashidmasoud1111 3 ай бұрын
Sheikh, soma sio utoe maneno ya kudharau.
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 3 ай бұрын
@@rashidmasoud1111 huyu unayomtetea ndio kadhalau
@LautaroIshak
@LautaroIshak 3 ай бұрын
Jee shee Muhammad nassoro wa kadiria Jee si mwanachuon au kwa sababu si muarabu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
Imekhusu nini sasa Sheikh Muhamed Nassor au kwasababu siyo MuArabu? Wacha fitna yako hapo. Sasa wewe fikra zako unafkiri Sheikh akiwa siyo MuArabu anakuwa siyo Sheikh.?? 😂😂huu ni ujinga mpya wa mwaka huu. Samahani kwa hili Suala….Wewe kwani Muslim hata unataka kubaguwa baina ya Sheikh na MaSheikh very sad.
@LautaroIshak
@LautaroIshak 3 ай бұрын
@@awatifalghanim1106 kwa sababu futua yake mbona huisikii kutajwa kuhusu arafa kwa sababu yy msimamo wake kufuata nchi ya saudia
@abuukhairat7738
@abuukhairat7738 3 ай бұрын
Kwanni amiri faridi unafuata kauli za wanachuon wetu baadhi tu unazozitaka ww mbona nyengine hufuati.
@kitosio
@kitosio 3 ай бұрын
Wisho hata hawa Wakristo watawacheka. Dunia nzima kukifanyika sherehe Zote hutangazwa tarehe moja na inajuilikana kuwa watu wamepishana ila sio 24 hours. Naona maarifa yenu yamefikia hapo mwamba utofauti lazima uwe 24 hours. Mpishano WA swala mnautaja lkn hampati mazingatio kwanini?
@suuahmed71
@suuahmed71 3 ай бұрын
Hiii si sherehe kaa ukijuwa . Hii ni dini na ni Ibada aloiweka ALLAH. Respect plz
@kitosio
@kitosio 3 ай бұрын
@@suuahmed71 ALLAH NDIO SIKU KASHAZIWEKA ALIVOTAKA MSIBADILISHE. FUNGA YA ARAFA HAINA KHITILAFU KTK VITABU MNAJICHANGANYA KIUJANJA NA KUKUZA UPINZANI PASIPO NA UPINZANI. HAMUMUOGOPI ALLAH MNAWAKOSESHA WATU NA FUNGA YA ARAFA
@kitosio
@kitosio 3 ай бұрын
@@suuahmed71 Heshimuni Quran na Sunna na muacheni Bidaa. Dini ilishakamilishwa. Mkifuata mliyoletewa hamutaikosa pepo ya ALLAH tena bila kuzidisha maoza_maoza
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Shekh kweli umemaliza mgogoro. Kwa sababu kuna watu hawana vyombo vya habari harafu mawingu yametanda mvua inanyesha je, watu hawa ibada zao hazitakubalika?
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 3 ай бұрын
Sasa ikiwa tumeambiwa fungeni siku ya arafa siku ya arafa zipo ngapi?
@almeidhalu3238
@almeidhalu3238 3 ай бұрын
Umeambiwa tazama mwezi usitazame tokea la maujaji
@AllyAlmiskry-yy3xk
@AllyAlmiskry-yy3xk 3 ай бұрын
Siku ya arafa ziko 2 kula asubuhi na kula mchana siku ya Eid
@thamani5842
@thamani5842 3 ай бұрын
Kuna funga ya arafa na kisimamo cha arafa. Funga ya arafa ni mwezi tisa dhulhija inafungwa na waislam wa duniani kote kwa anae taka (sunna). Kisimamo cha arafa ni kwa waliokwenda kuhiji makka ktk milima ya arafa na kwa wakati maalum na inafanyika mwezi tisa dhulhija Hapo ulipo (nchini kwako) mwezi ngapi muandamo? Km j.mosi mwei tisa dhulhija ulipaswa ufunge na j.pili usifunge mana ni haram kufunga siku ya mwezi kumii itakua siku ya eid ya kuchinja (sio eid lhaj) Na km j.mosi mwezi nane basi j.pili mwezi tisa ufunge funga ya arafa
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 3 ай бұрын
Ukweli ni kwamba funga ya arafa unahusiana na siku ya arafa na siku ya arafa inahisiana na eneo la arafa, haihitaj PHD wala D mbili kuwa tunafunga arafa ili kujinasibisha wale walioko kwenye viwanja vya arafa, MUOGOPEN MWENYEZIMUNGU Mnawalisha watu matango pori kisa kuogopa wanaadamu, hivi kwa mfano mtume angekuepo hadi leo nyie wandengeleko wa bongo msingekuwa mnafunga na kufungua kwa tarehe ya Saudi 🇸🇦?
@dalfatsoud6119
@dalfatsoud6119 3 ай бұрын
Usituletee paukwa pakawa hapa nyinyi na Saudi mumepishana masaa mangapi. Nyamaza kimnya usipoteshe watu hapa shekhe utakuwa wewe
@allybyarushengo5727
@allybyarushengo5727 3 ай бұрын
Hata mimi sijaelewa hebu simama wewe ktk mimbari utuelezee arafa ni lini ili tuelimike.
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Mabaradhuli ndio wanatukana kama wewe
@mussakisope7207
@mussakisope7207 3 ай бұрын
Tusomeni Kuna sheikh na ustadhi
@binausiimohammed3265
@binausiimohammed3265 3 ай бұрын
We hasa punguani kwani hizo line za nyakati amezichora nani mtume au Allah mpaka useme tumepishana masaa mangapi?
@AbdulaziziPacha
@AbdulaziziPacha 3 ай бұрын
Tatizo la watu wengi ni kushikilia misimamo ya wanao wapenda hata wakipewa dalili za kielemu bado hawataki huu ni ujinga jitu linasema sheikh farid amenunuliwa ndoninisasa na ushahidi wa hdithi na aya za quran bado huelewi wewe ndo umenunuliwa na sheitwani
@MwalimJecha
@MwalimJecha 3 ай бұрын
HUO NDIO UHAKIKA
@yussufhamad3721
@yussufhamad3721 3 ай бұрын
Ww muibadhi achakupotosha ww waulizen Tu munataka hamuutaki au ilemulokuwamukisemani haki mukatupigisha mabomu na vigongo bure Leo iyohakiyenu mumeinyamazia Leo munapotosha
@ubuguvu
@ubuguvu 3 ай бұрын
Watu wa mirombo
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 3 ай бұрын
Wambie bac waache kura ya mapema...ili upatikane huo umoja unaousema.Dini sio msikitini tu kila penye harakati ya maisha inatakiwa dini iwepo na uadilifu uwepo.wee sheikh vip?
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Likuli makaam makaal
@PassoNewmodel
@PassoNewmodel 3 ай бұрын
Jela jela tuu anaadabu ss Yuko waz kupoteza watu
@mpunampuna1693
@mpunampuna1693 3 ай бұрын
Lahaula walakuwta illa billah laaliyun ahdqiim
@AbdiRashidi-rl7tx
@AbdiRashidi-rl7tx 3 ай бұрын
Shida sio.masaa ila tarehe
@Yussufjuma-xh3nn
@Yussufjuma-xh3nn 3 ай бұрын
iwe tarehe sisi t waislamu tunatofautiana
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Usimfuate kwa wewe nani jina kubwa fahamu huna mtumwa wa Mazayuni ni wewe ulokuwa hujui kufafanuwa
@2003hintay
@2003hintay 3 ай бұрын
Sheikh anafafanua jadok raha
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 3 ай бұрын
Kamaliza utata au kajimaliza mwenyewe Ana ilmu ya kumzidi mtume huyo ? Ambae alishabainisha kua la hajju arafa ?? Nyie watu wa ubwabwa mna mzaha sana na dini yetu Mkiskia mtu anaongea kiarabu tu mnajua shehe Zidanae nae anaongea kiarabu
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Wewe ndio mboga unakunwa
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 3 ай бұрын
@@ShumbaVyamboni kwa matusi mko vizuri sana Ni laana tu hizo
@hemedmselem4889
@hemedmselem4889 3 ай бұрын
@@ShumbaVyamboni kwa matusi uko vizuri Wazee wako walikufunza vyema matusi Huko mimi sikifundishwa
@vicentpantaleo5837
@vicentpantaleo5837 3 ай бұрын
Kwan siku ya ukimwi dunian huwa wanashelehekea siku mbili au moja
@mpunampuna1693
@mpunampuna1693 3 ай бұрын
Kwn iyo imokwenye dini
@ShegaShegalo
@ShegaShegalo 3 ай бұрын
Haijalishi nani atafata nani hafati muhimu ukweli na sheria inavotaka. Hakuna sheria inayotaka ufunge kwaajili yanchi mashkh wenyewe mashekh mnaootumika na serekali. Jambo hili lipo waziii mnooo shekh sema halafu tafuta maji unywee.
@SwalafyAct-ks5gz
@SwalafyAct-ks5gz 3 ай бұрын
Shekhe umeisha tayar wamekuteks
@AminaSaid-s8x
@AminaSaid-s8x 3 ай бұрын
Ndugu zangu kama hutaki kumfuata ama kumsikiliza usimtukane.huo sio uislamu
@AllyOthman-cb6tk
@AllyOthman-cb6tk 3 ай бұрын
Mashallah
@AllySaadat
@AllySaadat 3 ай бұрын
WALLAH ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH, WATU WOOTE WENYE HEKIMA NA WAKWELI WASIOTUMIA HISIA KAMA WEWE KATIKA ARAFA WANASEMA KWELI NA KUUNGANISHA UMMA. ALLAH AKUHIFADHI.
@Foodgrower112
@Foodgrower112 3 ай бұрын
Jela mbaya sana hata kama huna elimu huwezi sikiliza huu ………..
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
@@Foodgrower112Imekhusu nini Jela hapo??????
@AhmedAli-ws2lz
@AhmedAli-ws2lz 3 ай бұрын
​@@Foodgrower112lete wako yeye Kaleta kwa Dalili kama huu si malizia ww ambae hujaenda jela mbona huna hoja
@falmaliciousfoods4638
@falmaliciousfoods4638 3 ай бұрын
Aamiin thumma aamiin
@MohamediHussein-o9b
@MohamediHussein-o9b 3 ай бұрын
Sasa wewe unaempinga huyu sheikh Ni Nini? Mbona anaongea Kwa ushahidi kabisa? Au kwababu mlitaka ajiunge Na nyinyi miwahabi ili apotoshe watu sheikh faridi akajiongeza akaona huku Kwa mawahabi hapafai Sasa wewe unaempinga lete ya kwako tukusikilize Au kama VP wewe Fata unayoyajua wewe Sisi Wala hatutokufuata wakazigani wewe ndomana pia mlianza kumsema sheikh kishki eti amemleta sheikh kutoka Saudia Kua Ni sheikh wa kiibadh Nendeni mkasome Tena sheikh faridi akiongea unamsikia stereo yake very clear kama Hothman maalim vile
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 3 ай бұрын
unajua kuna watu wanashindwa kutofautisha baina elimu na msimamo!!😢 shegh farid allah akulipe gheri
@fadhilimakore6142
@fadhilimakore6142 3 ай бұрын
Kweli
@sadicksince2008
@sadicksince2008 3 ай бұрын
Allah akulipe kheri shekhe na akujaalie mwisho mwema wewe na familia yako na waislamu wote wanafuata mwenendo wa mtume. Aaamin
@falmaliciousfoods4638
@falmaliciousfoods4638 3 ай бұрын
Aamiin thumma aamiin
@AbuuzuhairMuhammad
@AbuuzuhairMuhammad 3 ай бұрын
Sasa nyie izo zenu ni dhana na kumdhania mtu dhambi kubwa uwo shkh Farid ndo msimamo wake zaman c kwamba anogopa wat yeye azumza haki t acheni kasumba nyie mnaokoment muache taasubi zenu fuateni wanachuon mana wao wemepita Karne bora
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
Kuna watu wa maajabu lazima comments zao ziwe za dhabi ndio wanaona raha. Tuskilizeni MaSheikh wetu wa Dini mpate kuelimisha watoto wenu pia.
@saidmsinga7336
@saidmsinga7336 3 ай бұрын
Maulamaa acheni ,uongo ,hadith inasema funga siku ya arafa ,haijasema mwezi tisa, hiyo tisa kasema nani,mtume au sheikh,tuleteeni hadithi iayosema funga ya mwezi tisa ya dhul hijaa kama ipo,msitubabaishe kwa kaulinyingi na kututoa ktk ,mstari wa kauliya mtume ,funga siku ya arafa,
@mujilbtoq1827
@mujilbtoq1827 3 ай бұрын
Hiyo siku ya arafa inapatikana mwezi gani na tarehe ipi.
@MohamediHussein-o9b
@MohamediHussein-o9b 3 ай бұрын
Anampinga sheikh faridi tuaacheni waendelee kumpi ga hao ni mashetani wa kiyahudi ndo maboss wao ALLAH nakuomba unipe umri mrefu na pia umpe sheikh farid umri mrefu ili nikachume ilimu japo kidoogo kwake Au kwa masheikh wengine wenye msimamo kama wa sheikh farid INSHA ALLAH
@thamani5842
@thamani5842 3 ай бұрын
Jazakallahulkheir Sheikh.
@MuhammadRashid-jq7eq
@MuhammadRashid-jq7eq 3 ай бұрын
Maneno ya kisawasawa
@AhmedAli-ws2lz
@AhmedAli-ws2lz 3 ай бұрын
Mashaallah Sheikh wetu Sheikh Farid Allah akuhifadhi walikua tena habariiii ndo hawa sikia kwa ukaidi wao
@SuleIstighfar
@SuleIstighfar 3 ай бұрын
Tunaelewa hata angekuwapo Rasulullah akawatangazia pia mungelimuambia kuwa nyinyi mnafuata mwezi wenu hamutomfuata.
@IssaAli-wz5jh
@IssaAli-wz5jh 3 ай бұрын
Mwandishi unaposema Sheh Faridi amaliza utata mzozo wa Arafa kwaiyo watu sote tutakuwa wamoja kuhusu suala hilo au vipi?
@SuleIstighfar
@SuleIstighfar 3 ай бұрын
Hayo maajabu yapo kwetu TU ila Dunia nzima inafahamu na Allah ni mkwasi msifiwa na humuongoza amtakae kwenye nuru yake
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 3 ай бұрын
Yan iwezekane father's kuwa siku moja dunia nzima ila inashindikana kwenye dini yakwel kukosekana Arafa moja 😂😂😂😂 huu ni mtihan afu tunajunasibu dini yetu imekamilika, nini anajifunza mtu aliye nje ya dini yetu atashika lipi wakat akitaka kuingia kwenye dini, nani mkweli kwenye hili?,
@mwanamvuajamali8215
@mwanamvuajamali8215 3 ай бұрын
Siku nimojatu tofauti nimasaatu shawwali yamwaka huu mbona tuliswali wote nasaudia imekuwaje na tarehe zadunia nitofaut?naje nipo Tanzania ndani yamwezi wa ramadhani kwetu ni1 na saudia ni2 ndani yasiku1 nikaw nimesafiri kwenda saudia nilipofika wa29nashawwal ikaandama namimi nikaona kwamacho yangu namimi ni28 nitafanyaje?
@AllyRashid-st2hl
@AllyRashid-st2hl 3 ай бұрын
Huyo alie sema tuna tarehe mbili siku moja kakalishwa mbona Tanzania kila siku tuna swala moja ya alfajiri lakini muda wanaoswali dar sio wanaoswali shinyanga
@amritwaha-kp3hu
@amritwaha-kp3hu 3 ай бұрын
Sheikh hapa ambae hajaelewa haelewi kamwe japo wajinga wako wengi na mtume s.a.w.amesema mjinga ameshakufa kabla ya kufa kwake tatizo wajamaa wabish kama pili
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Nakuunga mkono hao hawana elimu ya fiqhi wala sheria za chimbuko la ibada
@HABIBHABIB-bt8dp
@HABIBHABIB-bt8dp 3 ай бұрын
Kila mtu Ana upeo wake wa elimu na hio yeye ndio ufahamu wake na dini si kwa akili ya mtu Allah amjalie kila la kheri
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 3 ай бұрын
Wajinga wa jiografia ndo wanasema tarehe ni moja duniani. Nendeni shule acheni ubishi wa kijinga. Watu wanaposimama arafa pale saudia, wakati wa dhuhuri, kule uchina wanasali magharibi !!! Kwahiyo arafa ya china iwe usiku !!?? Acheni ujinga.😅😅😅
@salmasalim14
@salmasalim14 3 ай бұрын
Hapo sasa 😂😂
@ndekemwaifyusi8499
@ndekemwaifyusi8499 3 ай бұрын
Na wewe uko china.
@AlSianySelemani
@AlSianySelemani 3 ай бұрын
😢 Masha Allah! Allahuma barik alayhi, i am so blessed to day??
@MARSCONGONAUHURU
@MARSCONGONAUHURU 3 ай бұрын
Mashallah ni kweli shekh farid
@MwalimJecha
@MwalimJecha 3 ай бұрын
HUO NDIO UHAKIKA
@PassoNewmodel
@PassoNewmodel 3 ай бұрын
Bora urudi jela tuu mnafiki unaye ficha ukweli
@yusufntamila541
@yusufntamila541 3 ай бұрын
Mashaallah
@AwadMdoe
@AwadMdoe 3 ай бұрын
Mashaallah
@SuleIstighfar
@SuleIstighfar 3 ай бұрын
Acha uongo funga inaaza alfajir na kuisha magharibi Kila nchi inafunga zikifika nyakati mtume kasema siyamu yaumu aarafa kw io siku ni Moja hakuna nchi iliyo mbele au nyuma kwa masaa 24 basi hata mtume angekuwepo leo kwenye maisha yetu akawatangazia mngelimkataa
@fareedahmad6857
@fareedahmad6857 3 ай бұрын
wewe unajisemea tu kabla ya Mwezi kuandama huko Suudia nchi ya KIRIBATI WANAKUWA WAKO SIKU NYENGINE KABISA Nyie hamjui Jografia na tafauti za masaa baina ya Nchi ziko Nchi zinapishana siku na ziada ya masaa mawili
@Sheba4651
@Sheba4651 3 ай бұрын
Ukute yeye mwenyewe siku ya Arafa ikifika ataamka na nia ya kuungana na mahujaji kwenye viwanja vya Arafa. Ila tena jamii awe tofauti nayo, hajasahau kuleeee
@Ahmed-l7k7k
@Ahmed-l7k7k 3 ай бұрын
Ahsanta
@MudiMabox
@MudiMabox 3 ай бұрын
Hebu fafanua hadidhi ya mtume inayosema hakika funga ni siku ya arafa fafanua vizur
@mohdkombo-t7m
@mohdkombo-t7m 3 ай бұрын
Sawa sheikh faridi...
@Superbasil-h3x
@Superbasil-h3x 3 ай бұрын
Msalafi hakanyagi ardhi yoyote ila atainajisi kwa fitna yake Qarne 14 watu walikuwa kitu kimoja kwenye jambo hilo kwa kufuata muandamo wao mpaka walipokuja mawabi ndio wakafaraqanisha waisilam
@adamcity9441
@adamcity9441 3 ай бұрын
Mtume alisema fitna na Shetani atatokea Najd na huko ndio alipotokea Muhammad Abdulwahab na ndio Imam wa kiwahabi kwa hivyo kila anaefata uwahabi ni fitna na ushetani kuwakufurisha waislam.
@MohammedSaid-tf5qc
@MohammedSaid-tf5qc 3 ай бұрын
Hakika
@Saidyomarybakary
@Saidyomarybakary 3 ай бұрын
Na nyie mnaopiga ngoma nakukta viuno na dad zenu kwenye madufu sio mashetan
@Superbasil-h3x
@Superbasil-h3x 3 ай бұрын
@@Saidyomarybakary Wafanyao hivyo ni waovu sana lakini uovu wa masalafi ni mkubwa zaidi kupita hao . Ingawaje mimi sijapata kuwaona watu kama hao ulio wataja wewe
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Saladi hawajui isipokuwa matusi
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 3 ай бұрын
Mawahabi hawako kwa ajili ya dini ndio maana wanakua wakali ukiwaukiza masuali kwa sababu hawana hoja
@abeidpazia1720
@abeidpazia1720 3 ай бұрын
Mbona siku ya ukimwi Dunia I ni Moja a..arafa ndio ziwe mbili x3..ok tuachane na hao ambao wanapisha masaa na makka na SS hapa Tanzania tunapishana msaa na makka??
@rashidhemed1444
@rashidhemed1444 3 ай бұрын
@@abeidpazia1720 ndio hadithi gani hiyo
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 3 ай бұрын
Arafa nijumamosi
@sirajismail3978
@sirajismail3978 3 ай бұрын
Hukulazimishwa kumfuata aliyo yafundisha na kama amekosea dhambi ni zake Wala sio zako tuache mihemuko dini yetu haiko hivyo al Islam nadhufu fatanadhwafu sasa huonwako usafigani kumtuhumu kiongozi wa dini zaidi ya kuudhalilisha UIslam tujitahidi kuwaheshimu viongozi wetu wa Dini
@khamishassan68
@khamishassan68 3 ай бұрын
Ivo kweli umoja katika dini nikwa sisi wazanzibar tu !! Uislamu hauko ivo na ndio mana Uislamu huwaunasimamia ulimwengu mzima (Khalifa)
@w4058
@w4058 3 ай бұрын
Nakuunga mkono hao hawana elimu ya fiqhi wala sheria za chimbuko la ibada Allah akuweke Sheikh wetu Allah akuzidishie elimu
@SuleimanSalim-ql3ny
@SuleimanSalim-ql3ny 3 ай бұрын
Ata mimi sijasoma ila naelewa kuwa natakiwa kuishi kw kigezo cha mtume na kufata maelekezo ya qur-an na hadithi za mtume sasa iweje masheikh watubabaishe
@salimmahamud2027
@salimmahamud2027 3 ай бұрын
Shekhe Allah akuweke umetumia hekima sana, sasa waislam wengine walitaka usemaje hapo?
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 3 ай бұрын
Waislam tuna tarehe mbili ndan ya Siku moja huu ni mtihan,
@akbarosman3892
@akbarosman3892 3 ай бұрын
Sheikh unalazimisha unavotaka wewe, elmu ni pana tatizo mnataka tufuate msimamo wenu wa kiibadhi wa omani, tuache na msimamo wetu wa ki sunnah USILAZIMISHE !!!!!!! Allah akuongoze na hakki itabaki kua hakki milele
@latif15
@latif15 3 ай бұрын
Ahila hauna madhehebu, mwezi hauna madhehebu ni kuuona au kuto kuuona.
@majidhilal4948
@majidhilal4948 3 ай бұрын
Kwa maana hiyo swaum ya araf inaanza saa 6mchana au siku nzima
@mswadickbushumbiro6923
@mswadickbushumbiro6923 3 ай бұрын
Unaekataa ukatae Kwa hoja,
@USSIIDDI-qn7od
@USSIIDDI-qn7od 3 ай бұрын
Amemalizaje utata
@issakisu4869
@issakisu4869 3 ай бұрын
Mashallah
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 3 ай бұрын
Farid unataka nafasi ya soraga nini naona sasa unatami kusema wapigwe kama zamani mshachelewa watu sasa waelewa
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Watu wanaongea maneno wewe unaleta ushoga
@JumbiSecondary
@JumbiSecondary 3 ай бұрын
Samina wa ataana
@HamisiLisu
@HamisiLisu 3 ай бұрын
Mashaallah
@omarathmani6216
@omarathmani6216 3 ай бұрын
MashaAllah shekh
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Wote mko sahihi acheni ikhtilafu zitakazowasumbua waislamu.
@MerryLongPier-cd8jy
@MerryLongPier-cd8jy 3 ай бұрын
Maneno yako kuntu
@mwanasitimpole8746
@mwanasitimpole8746 3 ай бұрын
Mm nauliza huyu sheikh endapo yuwatoka kwao alikouona mwezi kisha akaenda hijja atasimama arafa nawatu wa makkah au atafuata hisabu yake yakwao.sheikh ufahamu wako ni sufuri bin ziro.
@salmasalim14
@salmasalim14 3 ай бұрын
Akienda hijja hafungi maana swaum ni kwa wale ambao hawako ktk ibada ya hijja. Ndugu yangu pinga hoja bila kumuita majina mabaya mwenzako nahii ni nasaha kwangu na kwako. Mungu akulipe kheri nyingi
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Kuna watu hawafundishwi na wazeeisipokuwa matusi
@hassanidha3744
@hassanidha3744 3 ай бұрын
Sasa una maanisha dunia ina siku mbili kitarehe sio Saum ya Arafa ni siku nzima ya siku arafa sio kiamu ya Arafa pekee. Dunia inaenda kwa hisabu za siku wa mwezi sio kwa jua ambayo jua lina mwacheya tauti hata hapo kwenu watu wa mjini hawawezi swali nyakati za swala kwa moja. Pia suudia akikupangia hajji na wewe kwa mji wako hukuona mwezi kamili basi usiende maana wasema hukuona mwezi
@ShumbaVyamboni
@ShumbaVyamboni 3 ай бұрын
Wewe mwehu hata hili hujui kwamba kuna tarehe 29 au 30
@hassanidha3744
@hassanidha3744 3 ай бұрын
Mwehu ni wewe usiejielewa
@hassanidha3744
@hassanidha3744 3 ай бұрын
Nimeuliza hiyo tarehe kama ni 29 kwenu huko muliko na suudia ni tarehe moja utafuata suudia kuja kufanya haja au utanngoja ukamilishe yako 30 ndio uje huku ufanye amali yako ya hijja utaweza
@binausiimohammed3265
@binausiimohammed3265 3 ай бұрын
Hayo machweo nyakati na saa kakuchorea nani ni allah au mtume?
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 26 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
JE TUTAFUATA SUUDIYA KATIKA KUFUNGA ARAFA
29:32
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 28 М.
Upungufu wa ilmu ya Muhammad Bachu kwenye funga ya arafa
17:48
Maawy Muhammad
Рет қаралды 50 М.
SHEIKH FARIDI ATOA MANENO YALIOWASISIMU WAISLAM MSIKITINI
14:09
Hafidh Media
Рет қаралды 1,3 М.
SIFA ZA WACHAMUNGU  JEE NA WEWE UMO ? // SHEIKH OTHMAN MAALIM
53:20
arkas online tv
Рет қаралды 37 М.
NAMNA ALIVYO ROGWA NABII MUHAMMAD (S.A.W.) SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:22:05
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 26 МЛН