Umenikumbusha nimemzika mama yangu na mikono yangu miwili...nimetokwa na machozi...😭😭Allah atujalie mwisho mwema...wallai hii Dunia ni mtiani wallai...Allah atujalie wepesi..na mwisho mwema.
@umumuhammad87415 ай бұрын
Aamiyn
@shangelibrahim28488 ай бұрын
اللهم إني أسألك حسن الخاتمة 😢
@khadijarashidy93048 ай бұрын
Subhanallah 😥😥😭 Allah atujaalie mwisho mwema 🤲🤲
@nelsonnikodem11008 ай бұрын
Mashallha mawaitha mazuri
@TahuwidiNuha3 ай бұрын
Kwel shekh wangu kikubwa kumuomba Allah mwingi wa lehema mwenye kulehemu