Mashallah!! Ewe Mola wangu niongozee kwenye njia unayoipenda wwe,mmi pamoja na umma wa kiislamu...nisamehe dhambi zangu zote mmi na wazazi wangu wawili
@user-ri8ue1vv3f5 ай бұрын
Amiin
@mohamedrowa14253 жыл бұрын
Ya Allah mrehemu wazazi wangu na uwaokoe na adhabu ya kaburi
@saidomar68063 жыл бұрын
Mashaallaah. Sheikh. Allah Mola mwenye Huruma atujaalie kizazi chema na awarehemu wazaz wetu na atusamehe tulipo kosea atupe mwisho mwema inshaallaah,,,,, Aaamin⭐🌙🕋🕌
@shamimwabuke53792 жыл бұрын
Mwenyezi mungu nisamehe dhambi zangu pamoja na wazazi wangu wote 🙏🏿
@khalidomar96114 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema Sisi pamoja na wewe inshallah
@mufidaswaleh14164 жыл бұрын
Haya mawaitha yamenigusa sn kikweli ila alhmdlh nashkuru. Yamenipa moyo sn haya mawaitha. Shukran shekh
@ramilialiy37254 жыл бұрын
Yarrab waongoze watoto wangu wawe wema ameen yarrab wame mashekh na maamir na maukhty kuliko mashekh na maukhty wote dunia nzima ameen yarrab .sheikh Hamza Allah akulipe pepo ww na sisi ameen yarrab
@shufaaahmed46183 жыл бұрын
Ameeen🤲
@josephnila98752 жыл бұрын
Asate san
@zaitunsally7215 Жыл бұрын
Ameen
@neptunezanzibar5552 Жыл бұрын
Aslam alaykum Waombee wasiwe washekh Tu Ila wawe mashekh wenye kufata haki sio maslahi insha'Allah Allah atuokoe sisi na vizazi vitokanavyo na sisi
@salwaalii7753 жыл бұрын
Allah atuongoze kwenye njia ya haki itakayo mfurahisha Allah Amin yarab
@ayushiabubakar19304 жыл бұрын
Ya rabii mungu a tujaliye mwisho mwema shk mungu akupe umri mrefu na akukutanishe na kipenzi wetu S. A. W
@husseinhassan42415 жыл бұрын
ewe mwenyez mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu nijaaalie Mimi nawazazi wangu mwisho mwema
@mufidaswaleh14164 жыл бұрын
Ameen
@shabanisaid78884 жыл бұрын
Amina
@alnasrialnasri7213 жыл бұрын
allahuma AMINNA
@kadijajggf93673 жыл бұрын
Allahuma amiin
@mahwabashiri54673 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@kidawaadam73634 жыл бұрын
Subra ni jambo jema tumtegemee allah,,shukran shehe kwa nasaha
@salmaruth34654 жыл бұрын
Amen
@mufidaswaleh14164 жыл бұрын
Ameen
@cosmasthobias52265 жыл бұрын
Mashallah shekh mungu akupe mwisho mwema wewe na sisi kwa pamoja
@ilhamaman83244 жыл бұрын
Allah azidi kukupa elimu ili utukumbushe waislam, ila usijekubali kujiunga ktk BAQWATA utajivunjia heshima yako,pia epuka sana mizozo na mashekhe wenzako,baadhi ya mashekhe wako kwa ajili ya kusubiri mashkh wenziwao waongee kitu ktk membari halafu nawao hujidai kumkosoa ili yey onekan bora,liangalie sana hili maalim.
@aminaabdiabdi71124 жыл бұрын
Amiin yarrab 🤲
@adachaadam37073 жыл бұрын
Shukrn yaa usitadhi Allah akupe mwisho mwema lnshallah🙏
@aishaali2843 жыл бұрын
Ameen
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
@@aishaali284 Assalaamualykum
@mira-gq3qg5 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@ayshakompo4834 жыл бұрын
Inshallah mungu atupe subra katika kila hatua ya maisha yetu na atupambe na baraka zake ktka majambo yetu
@omarhakizimanakishikbongo21865 жыл бұрын
Kweri nimempendasana shak Allah akurinde Amiin
@isayaphiri15644 жыл бұрын
Asante kwa darasa shekhe wetu mungu akujalie akupe maisha marefu na uzidi kutukumbusha inshaallah
@nadiabakari2589 Жыл бұрын
Ameen
@haziz77314 жыл бұрын
Naaaam Allah atupe mwisho mwema ya RABBI
@kigenimohammed7847 Жыл бұрын
Dua ya kuingia msikitin na kutoka msikinitini 1) kuingia.... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma ftahalii abewaaba rahmatika 2) kutoka... bismillahi wassalaatu wassalaamu Alaa rasuulillahi allahumma inniy as aluka min fadhilika allahumma A'aswiminy minash shaytaani rajiyim..love you all from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@radhiakhamis82734 жыл бұрын
Allah tujaalie tuwe miongoni mwa waja wko wema
@user-hk9sg1vf5w2 жыл бұрын
Asalam alekum, Mashallah tabak ALLAH;Mimi niko Saudi Arabia nimefurahi sana kwahiyo Mawaitha yako ALLAH akuzidishie kilalagheri dunia na akhera .👍👍👍👌💯💯🇰🇪💐🇸🇦🇸🇦
@alimohamedalisaid70405 жыл бұрын
Nice darasa mashallah my brother mungu akuzidisia elimu ameen thuma ameen akupe afia ameen
@darleen521nashmi63 жыл бұрын
Chulani cheikhs hamza
@mwajumahasani73013 жыл бұрын
Asante kwa darasa zuri mungu akulipe, namuomba M/ mungu anijaalie pepo Mimi na Wazaziwangu
@vailethdickson90552 жыл бұрын
Mashallah
@madinaomar6794 жыл бұрын
Mungu atusamehe madhambi yetu. Amiin
@kibirashabani Жыл бұрын
mwenyezi mungu atudjalie Amani nasalama 🙏
@tushfatma88233 жыл бұрын
Ma sha Allah sheikh may Allah grant you jannatul firdous
@rahmaalaala8208 Жыл бұрын
I like so much listening to your khutbah ,mawaidha .may Allah Grant you a blessed life and Grant you jannah
@juwairiakhamu87193 жыл бұрын
Mashallah Jazakallahu kheir sheikh Mansour Allah akuzidishie Ilmu tena na tennaa
@aishahassan95452 жыл бұрын
Masha Allah mawaidha mazuri Allah atuongoze na akujaze na ww na kheri zote duniani umetuilimisha
@bashnurhassan52406 жыл бұрын
Allahuakubar mungu akuzidishiye elimu zaidi inshaallah.
@sumuhaji133 жыл бұрын
Masha Allah Allah awalipe mashekhe wetu kheri na malipo zaidi ya Yale yanayostahikk
@aishakazungu8507 Жыл бұрын
Mashaallah Allah atungoze katika njia ilio swa lnshaallah
@ibrahimmaskini29675 жыл бұрын
Allah wepesi avikuze vyombo vyetu vya kiislaam
@zaituniabeid46133 жыл бұрын
mashaallah
@jamilammnimtumzimakweliyot21783 жыл бұрын
Amin
@salmsalmo9312 жыл бұрын
Ishallah
@ayushiabubakar19304 жыл бұрын
Ya rabii mungu tunusuru si umat Muhammed s a w ya samiu mjibu shk kila analo litaka LA kheri ya manani walipe mashk wetu ujira unao ujuwa kwa kazi kumbwa ya rabii wape umri mrefu na mwisho mwema piya nimefaidika sana kwa mawaidha yako
@sammyngunjiri53692 жыл бұрын
I wish I had known this earlier... After listening to this teachings, I think I have come to love this religion
@hajeralqaidi21152 жыл бұрын
Your welcome❤
@mimikiki82252 жыл бұрын
May Allah guide you to the right path of islam
@shinayzashiraaz45882 жыл бұрын
May Allah guide you 🙏
@ramajasho62842 жыл бұрын
Sammy Ngunjiri Your most welcome brother
@ibrahimabbas40932 жыл бұрын
Welcome brother
@ummyzee62474 жыл бұрын
Shukran jazeelaah.. Allah akufanyie wepesi wa kutuelemisha,Allah na sisi waja wako wanyonge subra ya mitihani zetu
@shayammunir14894 жыл бұрын
Mungu atuongozee kwa njia za Sawa in shaa Allah
@mejumaamwaka13142 жыл бұрын
Ameen yarabil ala
@missmannydxb2 жыл бұрын
Inshallah khier
@eshahussein13472 жыл бұрын
Ameen ya rabi
@omanlover54702 жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah, Allah Akbaru Allah akuzidishie
@deqocllahideqocllahi55203 жыл бұрын
Mashaallah sheikh hamza mungu akuzidishiye
@hawasomane42224 жыл бұрын
Asalam alaikum warahamatulah warakatu.maostadhi na mashekhe Allah awape umri mrefu na awape nguvu za kutupatia nasakha.Allah awape maisha mema dunia fili akhera
@fredrickwdavid4544 Жыл бұрын
🙏
@jamilaatemu38823 жыл бұрын
Mashallah jaza yako iko kwa Allah
@jamalmuhumud75793 жыл бұрын
Ahsante sana sheikh, asante kwa kutupatia mawaidha na nasahi hii ya maana sana, tunaomba mungu atuzidishie neema zake na wote wako katika imaan, tupatane katika Janaah, ameen ameen
@hamidmbarakabdurahman63944 жыл бұрын
Masha Allah mungu akupandishe darja tukufu.
@hassanovajunior69723 жыл бұрын
Masha Allah, May ALLAH grant you Jannah Firdhaus Sheikh Hamza Mansour🤲🤲
@nicholaskhagayi74612 жыл бұрын
Amiin
@fathiyaahmed33102 жыл бұрын
Amiiiiin
@safiaahmed6190 Жыл бұрын
Amiiin
@mariammaalim33173 жыл бұрын
Allah mpe umri mrefu huyu shekh apate kutuelimisha zaid inshaallah
@majomaali23404 жыл бұрын
Masha Allah Dunia inatudanganya atuangalii mbele
@hassanidrissa10715 жыл бұрын
Jazakallahu khayra sheikh, maashallah, mbora ni yule anaesikia nakuyafanyia kazi, inshaalla Allah atufanyie wepesi tuyafuate yaliosemwa,
@mikidadimbule12244 жыл бұрын
Allah Allah akbar
@fahzernyizzy24184 жыл бұрын
Amiiin
@shabanisaid78884 жыл бұрын
Amina
@ibrahimdinmohamed18743 жыл бұрын
امين
@rahmaabdullah77563 жыл бұрын
Maa shaa Allah sheik Hamza may Allah bless you....long life💖
@faizunmohd98394 жыл бұрын
Ya rabil nipe mwisho mwema mm na wazazi wangu na mumewangu na watoto wangu
Mashaaalllh shekh allh akupe umri mrefu uzid kutuelimisha lnshaallh
@birdofpry38975 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri unayo tupatia tunamuomba Allah akujaalie umri mrefu na elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu na Allah akulipe kher hapa dunian na akhera
@sammashenene31745 жыл бұрын
Maasha.allah tabaaraka llaah
@jumannejabil70184 жыл бұрын
naam
@MerveilleUseni-qm4gh27 күн бұрын
Heeee mwenye zi mungu samehe wazazi wangu hote mawili mali wipo Amina yarabih 👏👏
@captainmaduks918215 күн бұрын
Ameen
@mauridiruhasha80573 жыл бұрын
Maanshaallah BarakaAllahu khayra Allah akuzidishie kheri, na akujalien mwisho Mwema inshaallah
@kadugudakadugu37372 жыл бұрын
She.alaa.akupe.umli.mlefu.ami
@huscopoz1491 Жыл бұрын
Asante Kwa faida shekh wangu ALLAH atakujaza moyo huohuo na yeye ndo atakulipa
@fatmakhanii16764 жыл бұрын
Swadakta maneno matam sana hakuna mfano wadini ya hakki Kama uislam niraha sana Masha Allah Allah akulipe kheri
@yahayabaruti10033 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema shehe wangu na mungu akupe afya njema ili uzidi kutufundisha
@najmaomar62626 жыл бұрын
Baraakallahu FIIKUM,,wajakumullahu khaira
@imanmohamed76323 жыл бұрын
Allah akupe khusnul KHATIMAH Allahumma Amiin
@hafsalul85722 жыл бұрын
Ameen 🤲🤲🤲
@salimumkangalization-np9ny Жыл бұрын
جَزَاكَ اللَّهُ خَيْرَ
@shinayzashiraaz45882 жыл бұрын
MashaaAllah, Allahu Akbar!! Ya Sheikh ,May Allah grant u jannatul Firdousy,grant u more knowledge to acknowledge us more, because of this...am so glad,peaceful, relieved and the knowledge I had of this,Alhamdulillah!! Jazakumullah kheir
@Clecadkingtz12 Жыл бұрын
❤️❤️
@jerardigiraneza89323 жыл бұрын
Nikutegemea kinachotoka kwa allah
@ValescaMayssaMelhoresHinos5175 жыл бұрын
Manshaallah Allah aku hifathi sheikh hamza
@user-bn7wt2zx9g3 жыл бұрын
Masha Allah Alhamdulillah
@mwajumamohamedi56832 жыл бұрын
Mashaallah allah akulipe khery god bless you👏
@saidiayubu58333 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema waislamu wote
@AlbyMohamed-uv8uh2 ай бұрын
Mashaallah!!ALLAH atupe Imani n subra katika kila Mtihani unaotufika inshaallah
@adijahidi12152 жыл бұрын
Subhanallah walhamdulila wa laailahailallah Allahuakbar walahaula wa lakuwata Ilabilahilaaliyu laadhim ❤ ♥
@kemeicesc505 Жыл бұрын
Allahu Akbar
@shabanstyles46433 жыл бұрын
JazzakaAllahu Kheir .....mashaaalah i just love this sheikh
@mnoor97333 жыл бұрын
MASHAALLAH Sheikh HAMZA .good lecture
@BetriceMwanisawa-ui8yj8 ай бұрын
Mashallah ewe Yarabi tujaalie mema hapa duniani na kesho akhera
@skjjsj18893 жыл бұрын
Ma sha allah Sheikh wetu allah akuhifadhi na akubariki
@hamisihamisi50784 жыл бұрын
MashaAllah.Jazaaka Llahu khaeran .
@zawadjuima34863 жыл бұрын
Allah Akulipe kheri Shekh kwa mawaidha mazurii Twazidi kujifunza Asante Kwaa ukumbusho
@kaburashindika56173 жыл бұрын
Mashalaa mashalaa mashalaa shekhe nakupenda kwajili. Ya allaah
@user-yk2ci7ip4h3 ай бұрын
Alhamdulillah Mawaidha yanatutoa sehem moja kwenda nyengie Allah akulipe kheri
@dc45435 ай бұрын
Alhamdulillah kwa kila jambo mwenyezi MUNGU ni mjuzi zaidi
@severinepetro76193 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@hawayusuph20795 жыл бұрын
Mashaallaah
@sophiamponi66668 ай бұрын
Mashallah Ewe molanisaidie kwenye mtihani yangu na wasaidie wazaz wangu na mtto wang waepushie magojwa wape ridhiki
@teampunisher94463 жыл бұрын
baada ya dhiki faraja in sha Allah
@ahmadbelier3160 Жыл бұрын
Sheikh Hamza Allah akupe kila unchokitamani Ila kiwa ni halali Allahuma amiiin 🤲
@nasrasuleiman571010 ай бұрын
Allah atujaalie tuwe miongoni mwa waja wema
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Sheikh wangu umenitoa mbali sana
@zakiaali46516 жыл бұрын
Shukran Nasaha nzuri Sana MashAllah Allahubarik
@zaidukimara88873 жыл бұрын
Mbora wenu ni yule anayemcha. M.ungu. mashallah ustadhi nakupnda kwa mawaiza yako mazuri sana tu
@rajabumbinga18163 жыл бұрын
Mashalah Allah akuongoze
@hikmarashid17294 жыл бұрын
Allahu akbar 🧕❤🧕
@omarsalim63304 жыл бұрын
MAA shaa Allah
@khdijahalmudhairb21473 жыл бұрын
Khusunul khatima yaraaby twakuomba 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@ramadhanimussa10313 жыл бұрын
Masha Allah jazaka llah khaira sheikhe kwa kutuelimisha kunako kutosheka na aliotukadria Allah alihamdulillah ghala kuli hali