Sheikh Ibrahim na Anwar wampeleka Mchungaji ndacha shule na kumuonyesha moto by Salim

  Рет қаралды 30,944

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@husseinmwenja4398
@husseinmwenja4398 3 жыл бұрын
MASHALLAH....hana lolote Ametiwa kwa baby class
@DimaDaro-ts1kq
@DimaDaro-ts1kq 10 күн бұрын
🎉ndacha maisha yake hataelewa lugha labda afundishwe na lugha yake ya mama
@HassanAli-mc4dt
@HassanAli-mc4dt 3 жыл бұрын
Jazzakallahu kheiran wa ahsanallahu ilaykum MashaAllah
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 3 жыл бұрын
Mashehe wetu twawapenda sana...
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
haha ndacha kwa kuweka viraka maandiko banaa😂😂
@arbebarile9524
@arbebarile9524 3 жыл бұрын
Shekh ibrahim .. elimu ya juu
@Adm9464
@Adm9464 Жыл бұрын
Murtad bado ako ha. This is Ndacha’s teacher . He is getting paid for helping Ndacha.
@abdinasirmohamed2238
@abdinasirmohamed2238 3 жыл бұрын
Ndacha and Embarrassment are twins😁😂 The guys comes to every debate just make fool of himself😋
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 2 жыл бұрын
Huyo anawanyula vizuri maana hamjui maandiko ya kurhani
@aminrendis7249
@aminrendis7249 3 жыл бұрын
NDACHA KAZI YAKE NI KUBADILISHA AYA ACHA UWONGO MUOGOPE MUNGU
@NurdiinXabiib
@NurdiinXabiib 2 жыл бұрын
Don't worry he can't change everything..
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 8 ай бұрын
Huyu ndacha yuajua uislam ndio dini lakini yualipwa hii kazi. Lakini hajui kua watu wanaona ukweli
@farhanabdirizak6613
@farhanabdirizak6613 3 жыл бұрын
Kazi nzuri lkn ningependa kuwakumbusha masheikh mkutano ifanywe na nidhamu sio kuchanganya wanaume na wanawake
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 жыл бұрын
Waandaaji wa huo mkutano ni wakristo’ ....huwaga hawana hizo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Huu ni mkutano umeandaliwa na wakristo sisi tulipitia tu
@abdinasirmohamed2238
@abdinasirmohamed2238 3 жыл бұрын
This is not a classroom or mosque where it is to control the audience/congeregants. Let us be realistic for a moment. Its hard to control people in the streets who volantarilly came to listen as they were passing by the road. We worship according to uwezowetu. No need to go extteme in everything. Wallahu aclam🙏
@muhamedswaleh
@muhamedswaleh 3 жыл бұрын
@@abdinasirmohamed2238 Sheria ya kiislamu Lazima ifuatwe popote boss, wanawake kando waume kando hakuna ugumu hapo.
@abdinasirmohamed2238
@abdinasirmohamed2238 3 жыл бұрын
@@muhamedswaleh tunafuata kulingana na uwezo wetu. We will not stress ourself with what we can't control. This is not a classroom where the teacher can maintain the learners in the vlass neither a mosque. Its in the middle of a street and anyone with a common sense knows that its very unrealistic to have control over the audience. Next topuc please🙏
@hashimmhashim2663
@hashimmhashim2663 3 жыл бұрын
Wame fanya kusudi kuzima 🎤mic ili watu wasielewe lakini inshaallah wataelewa
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 3 жыл бұрын
Warongo Wasabato.Mkuu wao Ndacha.
@kingabuu129
@kingabuu129 3 жыл бұрын
Mashallah
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Mashallah Allah
@abdur-rahmanmuhammad8531
@abdur-rahmanmuhammad8531 3 жыл бұрын
As-salaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh Masha Allah kwa mafundisho mazuri ndacha hana elimu kabisa ya Uislamu Bona hakuna social distance??
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yeah siunajua mkutano ndacha ndio ameweka wakiweka wao wakristo hawaweki social distance
@abdur-rahmanmuhammad8531
@abdur-rahmanmuhammad8531 3 жыл бұрын
@@salimdaawah123 OK nimekuelewa
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Ndacha aneandaa mkutano hapo analipwa per hour kwahuo mkutano na wazungu
@amblozambloz8812
@amblozambloz8812 3 жыл бұрын
Acha porocho kama hauko sure acha kuandika vitu ambavyo huna evidence
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Ndacha silim ndg yangu acha kundanganya watu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Uongo wa ndacha umefika mwisho sasa maybe asilimu tu
@hashimmhashim2663
@hashimmhashim2663 3 жыл бұрын
Bwana ndacha asumbuliwa na pesa, wala sikwamba atetea dini bal atetea pesa
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Anuar ndiye anatetea njia ya kwenda kusimu
@rashidahmed1718
@rashidahmed1718 3 жыл бұрын
Assalam alaykm wallahma turllah wabarakatuh, Ni apo? Ufanyia dawat?niwatemberee napenda hii kipindii sana,
@DimaDaro-ts1kq
@DimaDaro-ts1kq 10 күн бұрын
Mashehe wako na kazi mbili ,kufundisha lugha na maandiko
@abdullahiaynashhussein5937
@abdullahiaynashhussein5937 3 жыл бұрын
Huku ni wapi
@loner_wolf
@loner_wolf 16 күн бұрын
Ndacha bana , eti Quraan ..... hata hajui quraan ni ipi na sio quraan ni ipi . 😅😅😅😅 Muongozo wa Islam ni Quraan na sio vitabu vya kukusanya kusanya tu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 15 күн бұрын
Kabisa
@Hasankey22
@Hasankey22 19 күн бұрын
Kokobol
@abdirahmancafi1838
@abdirahmancafi1838 3 жыл бұрын
Bro tna taka ingene
@Adm9464
@Adm9464 Жыл бұрын
Ndacha is not a regular Christian . He and his church do not believe Jesus is the son of God. Nor do they believe in cross. That’s why you don’t see any cross in the seventh day churches
@CharoHarrison
@CharoHarrison 9 ай бұрын
Uongo,, ndacha hadi sasa ameachana na sda inayoamini mungu hana mwana,, kwa hiyo usilete porojo hapa,, we're well informed
@Adm9464
@Adm9464 9 ай бұрын
@@CharoHarrison sorry I see the truth hurts . How about the mother of all the churches which you all splintered from. The Catholic Church prayer . Maria mama ya Mungu. Kweli mwenyezi mungu anaweza kuwa na mimi. No wonder you splintered from them after realizing that and munejiundia kingine contrary to that .
@Adm9464
@Adm9464 9 ай бұрын
@@CharoHarrison show us anywhere in the Bible where you can find the word Christianity or where Jesus or God says your religion is Christianity because Yesu anasema jitiyeni niira yangu na mjifunze kwangu. You cannot say we love someone and you completely do opposite than what they teach or do in action. You can also tell us anything that you do on a daily basis that Jesus did and you as his follower do? Ndiyo mimi ni ka hama kule when I saw the lies being fed to us .
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 2 жыл бұрын
Background very poor.
@wilberchannel5346
@wilberchannel5346 3 жыл бұрын
mwache kuwapotosha watu mtahukumiwa siku yaja
@abdur-rahmanmuhammad8531
@abdur-rahmanmuhammad8531 3 жыл бұрын
Nani wanaopotosha watu??? Wanawapotosha kivipi??
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Wilber kweli hawa wachungaji wakikristo wanapotosha watu
@wilberchannel5346
@wilberchannel5346 3 жыл бұрын
@@abdur-rahmanmuhammad8531 hao mashekhe
@abdur-rahmanmuhammad8531
@abdur-rahmanmuhammad8531 3 жыл бұрын
@@wilberchannel5346 Kivipi ?
@allyhafidhshariff177
@allyhafidhshariff177 2 жыл бұрын
ss ww wilber ukweli wote umewona kuwa wakristo waoongoo bada uje uslim umekaa 2 utaeenda motoni ohoo ww jifanye maskio mabovu mnafunguliwa maskio na macho lakini bado mnaganda umo umo biblia yenu wenyewe unakukosoeeni lakini mnajifanya viziwii
@jafarykahera1727
@jafarykahera1727 2 жыл бұрын
Ivi ndacha unaposema yesu kafa unafaidika na nini kwani wewe na waislamu wote tunatafuta ufalme wamungu vip unahangaika na kifo cha yesu kama siupuuzi ni kitu gani ndacha. Tumia akili ipasavyo
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 7 ай бұрын
Kifo Cha yesu aliwakufia dhambi zao kw Imani yao.audhubika min shetani rajim
@kingabuu129
@kingabuu129 3 жыл бұрын
Nabaria ya sadaqa ndo natka tafadlini
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Tumia 0727431691
@hudsonolianah5535
@hudsonolianah5535 3 жыл бұрын
Yesu atahukumu Dunia. Fanya mzaa mtapata ghadhabu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
@@hudsonolianah5535 hahaaaaa eti Yesu atahukumu dunia
@ismailamin3284
@ismailamin3284 3 жыл бұрын
Mpesa name
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Peter wanyoike
@ashmalberto8446
@ashmalberto8446 3 жыл бұрын
Asalaamalaikum warahmatullah hi wabarakaatum? Jameni nauliza hii kanda ni yamwaka gani au ni ya hizo siku 5 zilizo pita kama ilivyo andikwa? Nauliza hivi maana huyo jamaa anaye shirikiana na dacha ni muislamu aliritadi,alafu miaka miwili iliopita akarudi Kwa uislamu na Sheikh Yahya, akajitetea njaa ndio ilio mtoa uislamuni,na sasa ameona amefanya kosa,na saa hii namuona Yuko upande wa ukristo je kwani njaa imemkamata tena ama anachezea dini ya Allah?
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh huyu kijana alirudi kwa ukristo because nia yake ya kusilimu inaonekana haikuwa nzuri alikuwa anataka pesa na alikosa ikabidi arudi kwa ukristo apate pesa za bure huko
@ashmalberto8446
@ashmalberto8446 3 жыл бұрын
@@salimdaawah123 Inna lillahi wa Inna ilaihi rajiun.
@luluamin1388
@luluamin1388 3 жыл бұрын
Ndacha Debe tupu. Kelele kama dalali anazungusha maneno hata Aya anazo soma anasoma nusunusu akichanganya watu wasioelewa. Mungu amuongoze awe mkweli. Hana aibu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Huyu anachunga mshahara kanisani tu
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
bingwa wa kuweka maandiko viraka
@alimpesa6496
@alimpesa6496 8 ай бұрын
Ndacha ni wrong
@sankey1902
@sankey1902 3 жыл бұрын
Bado huyu murtad yuko (msomaji wa kikristo) laanatula aleik
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 жыл бұрын
Yuko tu njaa kitu mbaya
@sankey1902
@sankey1902 3 жыл бұрын
@@salimdaawah123 wlhi kweli huyu ni njaa tu nakubuka akisilimishwa sheikh yahya kama sijakoseya akikirikuwa yakwamba ni njaa ilio mpeka huko akasema hata iritadi tena but baada ya siku chache nikamuna kwa wakiristo tena
@alexandermulilison5844
@alexandermulilison5844 3 жыл бұрын
Eti neno mutawaffika ni kukulinda usiuwawe....msidaganye...neno mutawaffika yatoka katika neno Tawaffa maanake kufa au kulala....na hata Quran tafsiri za kiswahili zimetumia neno nitakufisha....ikitokana na neno kufa sasa. Sasa Yesu hakuna mahali katika kukamatwa kwake alilala au kabla ya kubabaishwa Ndio kusulubiwe mwingine hakuna mahali alilala kama isemavyo Quran...basi neno inayobakia ni kufa maana mutawaffika Ina maana mbili...kufa au kulala
@NurdiinXabiib
@NurdiinXabiib 2 жыл бұрын
You need more time to understand Arabic language is rich language take your time...
@shabanmaulana8594
@shabanmaulana8594 Жыл бұрын
Kajifundishe kuelewa sasa,kabla,na baadae. Yani present, passed, and future. Mutawafika is in the future tense.
Wana kijiji wajitokeza kwa wingi kusikiza daawah leo ni leo
1:28:45
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 2,7 М.
Wachungaji waikataa bibilia mbele ya waisilamu eastlegh ajabu sana by sheikh Anwar
32:11
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
sheikh Ibrahim DEBATE In SOUTH AFRICA 🌍#quran#foryou#whatsappstatus
23:47
Hassan aweka mambo inavyotakikana utatu hauko kimeeleweka
1:12:00
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,9 М.
UKAI MWONE RIRI WA GIKURINO NA KWARAHURA KWAO FULL VIDEO
15:01
Pastor Kennedy Njuguna
Рет қаралды 435
kukuru kakara muhadhara waendelea vinzuri vitu vimeletwa kiustadi kiwanjani
54:52
AMA KWELI DUNIA IMEFIKA MWISHO DUUUUH!
3:02
CHADAI TV
Рет қаралды 4,6 М.
Nani wameahidiwa uzima ma milele kati ya wakristo na waisilamu
1:30:13