SHEIKH KISHKI BADO AMUUMBUA SHARIFU FEKU NAKUWATAHADHARISHA WAISLAMU NA KIJANA HUYO

  Рет қаралды 6,138

IBUN JUMUA TV

IBUN JUMUA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@shamteshabani
@shamteshabani 29 күн бұрын
allaah akulipe shekhe wetu tunakupenda sana
@kivurugaMakoti
@kivurugaMakoti 23 күн бұрын
Mungu akupemaisha malefu kwajili ya wanyonge wasipotee
@Tours-t3i
@Tours-t3i Ай бұрын
Aslam alykum shekh wewe najua unapenda umoja kwakua kukutana nae inawezekana unda timu tukae nae na tuyaweke sawa kijana anakiri Yuko tayari kukosolewa kama watu wanamtilia Shaka
@RashidAbdulla-hv7yh
@RashidAbdulla-hv7yh Ай бұрын
Sharifu Feki amfagilia Chief god love
@omarizuberi7163
@omarizuberi7163 21 күн бұрын
Naaam
@OchuJuma-w7p
@OchuJuma-w7p 25 күн бұрын
2:10
@KassimHassan-y7t
@KassimHassan-y7t Ай бұрын
Kwl ktk dini hakun upako shekhe kishki hajakosea ht kdg
@BigboyBigboy-oy3lj
@BigboyBigboy-oy3lj Ай бұрын
Shehe usiache kuwa kemia walibu dini ya Allah
@RashidAbdulla-hv7yh
@RashidAbdulla-hv7yh Ай бұрын
Umeona wapi Sharifu akamfagilia Chief god love anasema anamkubali sana chief god love
@MudathirSaid-i9e
@MudathirSaid-i9e Ай бұрын
mi naria na mazinge nilikuwa namkubari sana yeye ndokampa chati uyo mwizi
@alikidungura9419
@alikidungura9419 Ай бұрын
Mazinge kateleza kuhusu pese
@saumu702
@saumu702 Ай бұрын
Wewenishek wauwakika upovizurisanaaaaa
@jumayusuphu322
@jumayusuphu322 Ай бұрын
Shekhe kishki tupo pamoja na ww
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og Ай бұрын
Waaambie ukweli hao wanatutia aibu kubwa na wanaudhalilisha uislam wetu, hatunaga upako kwenye uislam wetu, sema kweli hata kama itakuwa chungu kama mdudu chungu sema
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx Ай бұрын
Ajiita Sheikh na hata hadithi moja hawazi soma vzr
@MwalimJecha
@MwalimJecha Ай бұрын
Mawaidha khutba siku hizi hazijulikani ni kutusiana tuu.hizi ni zama za mwisho.Allah tunusuru.
@daudibashemela7095
@daudibashemela7095 Ай бұрын
Tujifunze kutatua matatizo kama anavyo tuerekeza mungu siokushutumiana ktk mitandao sasa nani aliye haribu kati yawewe nayure bado hatujui hata utaratibu wadin jamani
@Yunus-qv8ep
@Yunus-qv8ep Ай бұрын
Wewe kunasiku uliwahi kukubali kosa, mpuuzi mkubwa wewe danganya wasiojielewa
@SangiwaMsangi-x4x
@SangiwaMsangi-x4x Ай бұрын
Niwatu hatarii sana Hawa wanaojifanya wanatumiaa dini kuwatapeli waisilam Hawa nindio Allah alisema wanakula Mali zawatu kwanjiaa la batili
@IsmailOmarDahir
@IsmailOmarDahir Ай бұрын
Wape kuntu wasiwakadhibishe waislam ni hatari kuiga nje ya uislam
@ChampioniMjelumani
@ChampioniMjelumani Ай бұрын
Huu ni mtandao mukubwa wa maji ya upako tumewaona hadi mazinge yumo Kweli Pesa inafanyamtu kusaliti do ini
@Burange666
@Burange666 Ай бұрын
Kishki unafanya makosa makubwa kumuandama mtu kwa kosa la kujiita Shariff Fake na kazi zake, kama kafanya kosa kubwa mwite muonane umjulishe makosa yake na siyo kumshambulia kama vile hii dini umeshushiwa wewe peke yako jaribu kutumia busara siyo kutukana watu jiheshimu au hutaheshimiwa kutokana na jeuri yako.
@HarithAlyhamadi
@HarithAlyhamadi Ай бұрын
Hasa apo katukana nin wap katowa tusi au ndonyiny wale wale mnaoharbu uwislamu
@ibrahimrajabu8722
@ibrahimrajabu8722 Ай бұрын
acheni kuunasibisha uganga wa mashetani na uislam
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Ай бұрын
Aitwe afanye nini wakati anafanya maovu mbele ya waja
@UwesuUwesu-f7s
@UwesuUwesu-f7s Ай бұрын
Sema kweri japokuwa ni chungu, ELIMU mzur mno
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic Ай бұрын
Kosalikowapi la shkh yeye anafanya mahovi waziwszi anafanya shiriki waziwszi ahitwekisirihaje walehamepotosha
@Yunus-qv8ep
@Yunus-qv8ep Ай бұрын
Wewe kishki mbona wewe unajiita kishki kwani hilo nijina lako ? Hilo sijina uliloliiba kwa mwanachuona mtukufu! Halafu unajisahau unawashambulia wenzako, ukitaka kutaja aibu ya mwenzako kumbuka aibu yako, acha upumbavu kuwapa faida makafiri, mbona haujielewi ?
@mbarushimanasalimking6961
@mbarushimanasalimking6961 29 күн бұрын
Wewe nimujinga sana tena uko chini ya wajinga wote kutukana Cheikh Kishiki wewe Mupumbafu mukubwa kupitiliza
@abdulkarimchikweku2211
@abdulkarimchikweku2211 28 күн бұрын
Inahusiana nini na upotovu unaoletwa katika Uislam ndg
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq Ай бұрын
Huyu kishki anajifanya kama uislam ni wa kwake au ni wa familia yake. Atachanganyikiwa huyu
@KassimHassan-y7t
@KassimHassan-y7t Ай бұрын
Co iv unakosea kusema iv
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Anasema ukweli. Aio yy tu hata masheikh wa kenya wamechangia kusema mambo ya watu kujiita masharifu.
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Ай бұрын
Unalolote boya ww uyu anaongea kweli
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og Ай бұрын
Kishk pambana shekh wetu ipambanie dini yetu tunakupenda sana shekh wetu
@ZubeirKhamisAbdallah
@ZubeirKhamisAbdallah Ай бұрын
Ww mwenyew sio muslam yy kutaka ya waislam
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 12 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 129 МЛН
🔴#live:Unapaswa kuomba msamaha haraka sana, ata wewe mganga tunakujua
17:36
BACHU ARIPULIWA NA KITOTO CHA SHEIKH KUSOMA APIGWA ZA USO REJEA UKASOME VIZURI
29:14
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:15
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 12 МЛН