SHEIKH PONDA, KIONGOZI MTATA WA DINI ALIYEWAINGIZA JWTZ MTAANI, AKAWATOA JASHO POLISI NA BAKWATA

  Рет қаралды 47,138

DAY 2 NEWS

DAY 2 NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 135
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 8 ай бұрын
Allah ampe maisha marefu sheikh pond ,bakwata ni taasisi inayojificha kwenye uislam undani wake ni wanyonyaji
@AbdullahSewando
@AbdullahSewando 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa Mzee
@AdamMapuyanga
@AdamMapuyanga 2 ай бұрын
Allah ampe pepo ya juu shekh ponda umeupambania sana Uislam nakuweka lehani maisha yako ulipigwa lisasi morogoro nikishuudia
@DullahNyoni-cr2fu
@DullahNyoni-cr2fu 7 ай бұрын
Allah Akbar mpe maisha marefu sheikh ponda na uwashushe madharimu AMINA
@Babangida_Hd
@Babangida_Hd 8 ай бұрын
Bakwata ni kikwazo cha waislam nchini. ALLAH anajua zaid na anajua siri ya haya yote
@najashdawood9680
@najashdawood9680 7 ай бұрын
#❤SHEIKH PONDA ALLAH AKUPE MAISHA MAREFU AMIR WETU
@zayumar2955
@zayumar2955 7 ай бұрын
Uislamu unachangamoto kwelikweli Allah atusaidie ktk yenye kher na atuepushe na yenye shari amiiin 🤲😢😢
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 8 ай бұрын
MashaAllsh
@SelemanHuki
@SelemanHuki 8 ай бұрын
Hii kali Sana kaka zungu 😀🙌💯💯💯
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 8 ай бұрын
Bakwata wameuza mali nyingi za Waislamu..!!
@JYLYOCHI
@JYLYOCHI 8 ай бұрын
Good presenter
@mohamedkondo-tq2bm
@mohamedkondo-tq2bm 7 ай бұрын
Mungu ampe umri mrefu na wenye afya shekhe huyu amin
@Jamesmwakisambwe
@Jamesmwakisambwe 2 ай бұрын
Tanzania tanzania nchi yangu nzuri tanzania nakupenda kwa moyo wote tanzania
@MandindiGuluguja
@MandindiGuluguja 7 ай бұрын
Allah amsimamie kwakweli daah
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 7 ай бұрын
The power of "Laaillaaha Ila-ALlah".
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 7 ай бұрын
Asante shekh ponda asante
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 8 күн бұрын
BARAZA LA KUUSAMBARATISHA WAISLAM TANZANIA (BAKWATA)
@ConfusedDaisies-rb5
@ConfusedDaisies-rb5 7 ай бұрын
Allah amrehemu ndugu Ponda Issa Ponda
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 18 күн бұрын
Daaah ... Shekhe Ponda Yuko makini kuliko umakini wenyewe... 🙏
@Aminakajanja
@Aminakajanja 2 ай бұрын
Mimi namshukuru ,sana Mungu niwamapsmbano ya haki , Allaha amsamehe makosa yaye shekhe ,,Ponds ISSA ponda kwani hakukamilika , Kwa ubinadam alionayo , Haki haitaoza mille isimamie haki ,,Amin .
@clevalupakisyo7460
@clevalupakisyo7460 7 ай бұрын
Simulizi nzuri sana. Tutashukuru mwendelezo: Zungu msimuliaji mzuri
@THEQUILLSTORY
@THEQUILLSTORY 7 ай бұрын
Simulizi nzuri saana
@luganomosesmwalaba1084
@luganomosesmwalaba1084 5 ай бұрын
Safi sana Zungu
@selemanhussein
@selemanhussein 6 ай бұрын
Allah akibaru mungu atamripa na atawapa kinachostaili hao wausika wote
@NasriJuma-cn6rw
@NasriJuma-cn6rw 7 ай бұрын
😂😂😂 sheikh tunakuomba kidogo kaka zungu umetisha ni 🔥🔥🔥🔥
@KhojaNasri
@KhojaNasri 7 ай бұрын
Allah Akbar
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 22 күн бұрын
❤❤
@amirjuma9395
@amirjuma9395 2 ай бұрын
Ongera sana
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. 5 ай бұрын
Wakati nasikia habari za juu juu za Sheikh Ponda nilikuwa namchukulia kama mkorofi. D2N ndio imenifungua nimjue vyema huyu Sheikh kumbe alikuwa mtetezi wa haki za waislamu. Ingawa I'm Christian ila namkubali sana Sheikh Ponda.
@krizofrancisco5310
@krizofrancisco5310 21 күн бұрын
Hata mm nilidhani ni gaidi kumbe nililishwa matango pori
@shabanikasele8071
@shabanikasele8071 7 ай бұрын
Leo ndio nimeamini kua hakuna alie juu ya polisi zaidi ya wao wenyewe tu msikilize afande mwanzo wa maneno yake ndio utaelewa
@alimau7939
@alimau7939 7 ай бұрын
Na baki kujiuliza mm nimeutetea kitu gani uislamu wangu
@zureashomari2408
@zureashomari2408 2 ай бұрын
Inafikirisha sanaaaa
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 2 ай бұрын
Kwanza viongozi wa bakwata hata kwenye migogoro ya ndoa wao wanachangia utoaji taraka
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani 2 ай бұрын
Bakwata wapo kimaslai sana wanafiki na wazandiki kwelikweli😢😢😢
@OmarSeafood
@OmarSeafood 7 ай бұрын
Ni mtu wa maana sanaa huyu
@rashidsaid6015
@rashidsaid6015 7 ай бұрын
Allah awalaani bakwata
@ommybabz
@ommybabz 7 ай бұрын
Uislam unapigwa vita kila sehemu ulimwenguni lakini katu hawateweza kuuvunza sababu sio dini fek kama zao
@DianaRichard-bu9tz
@DianaRichard-bu9tz Ай бұрын
Sikiliza vizuri na uerewe usipende kucoment tuu bila kuerewa
@AbdullahSewando
@AbdullahSewando 3 ай бұрын
Uonevu TU Kama hamatakufa matumizi Ya vyeo vibaya kujiona wababe Ila mjuwe Hakuna m,babe mbele Ya Allah 🤲
@husseinyathuman87
@husseinyathuman87 3 ай бұрын
Laailaaha illallah Muhammad rasulullah
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 6 ай бұрын
There's a need of change for reviving the lost hopes of the weak, poor and vulnerable
@YusuphuMashimila
@YusuphuMashimila 3 ай бұрын
Allahu Akibar
@naasibabuu
@naasibabuu 7 ай бұрын
upo vizuri ila hili jambo lilikua jepesi nguvu ikatumika kubwa halafu kuna nn kati ya selekari na bakwata
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 8 ай бұрын
Bakwata sio waislam
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 8 ай бұрын
Wakristo au???
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 8 ай бұрын
DAH CHUKI HUAMUA CHOCHOTE!
@KhalfanSeif-r7p
@KhalfanSeif-r7p 7 ай бұрын
Bakwata ni makafiri wanaotumiwa na mayahudi
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 7 ай бұрын
Acheni chuki nyie wajinga ponda ni khawarij na uislamu hautaki hivyo anavyofanya ponda
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
​@@abbaspaziaog2188we Yahud vipi?nini kinachokusibu?
@lawrencendagilel.6488
@lawrencendagilel.6488 7 ай бұрын
Interesting…
@AthumanDauda
@AthumanDauda 7 ай бұрын
Wote walioshiliki ktk mpango wakumtsa shehe ponda naeenzake Allah awaazibu hapa dunian nakaburin nasiku ya kiama nyie waislamu mliokosa hofu ya Allah kwakushilikiana namatwagut kamwe Allah awaachi ktk hili
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 7 ай бұрын
Naichukia bakwata afadhali hata mavi
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 5 ай бұрын
Daah maisha kumbe yanatembea hivi ulivyokuwa unatisha wtu leo uko wap
@RelevantTV2024
@RelevantTV2024 2 ай бұрын
Mufti Simba dhambi hii inakutafuna bado huko kaburini. Allah akuhifadhi. Kova upo madarakani bado?
@EliaHiluka
@EliaHiluka 3 ай бұрын
Pia aliyemkubwa na mwenye nguvu kuliko wote ni Mungu pekee
@omanhh2875
@omanhh2875 2 ай бұрын
We mpakq mungu humuogp
@saidbanga
@saidbanga 7 ай бұрын
DAH UMESIMULIA VIZUR SANA HAUKUEGEMEA UPANDE WOWOTE
@YusufDaudi-v5f
@YusufDaudi-v5f 7 ай бұрын
Inna lillahi wanna ilyehi rajiuon 😭
@rajabmpamwa9051
@rajabmpamwa9051 7 ай бұрын
Kichwa cha habari ni upuuzi kutaka kumchonganisha sheikh aonekane kama gaidi, alaf hili neno mwanaharakati limekaa kinafki sana mradi tu mtu aonekane mpingaji
@aliebrahim9423
@aliebrahim9423 7 ай бұрын
Ndivyo mlivyo mnapenda kuwapa majina mabaya waislam.Hivi mna maaana gani kumuita sheikh Mtata? Haya polisi kuna wakati wanavunja Sheria.
@Aminakajanja
@Aminakajanja 2 ай бұрын
Huu jujumbe Kila moja anaijua bakwata ninani naninni . Nichombo cha Dini au siyo chombo cha ajabu 2 , viongozi wangazi ya bakwata lengo lenu siyokueneza Dini bali kuvuruga dawa zinazotokewa Kwa ajili ya safari ya Akhera hii ni wazi kuwa bakwata acheni tabia zisizo za haki .
@rashidimahmud8605
@rashidimahmud8605 7 ай бұрын
Mwenyezimungu awalaani walio husika kuwagusa waislam na kupoteza hakizao na wasababishi wote
@AbubakaliShabani
@AbubakaliShabani 7 ай бұрын
Allahuma amina
@KhamisiMkalipa
@KhamisiMkalipa 7 ай бұрын
Story nzuri sana ila umetupiga hapo umemtaja shekhe kondo bungo alafu ukaweka picha ya shekhe Osman imam msaidizi wa mtoro... Jambo zuri ukisimulia story weka picha za watu wa kweli kama ulipomtaja Bilal waikela na kondo bungo ungeweka picha zao.
@Pexmediatz
@Pexmediatz 5 ай бұрын
A.K.A sheikh Ponda
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 2 ай бұрын
msimamo mgumu ndiyo sifa ya uwongozi sana tu
@majigeelieza5180
@majigeelieza5180 7 ай бұрын
kuna ndugu yetu mpk leo atujui yupo gereza gani aliacha mkee mpka akaolewa na mwanaume mwengne
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 2 ай бұрын
Alipoteaaa kipindii gan
@sirajbakari104
@sirajbakari104 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@DianaRichard-bu9tz
@DianaRichard-bu9tz Ай бұрын
Hii ndio tz bwana😂😂😂😂
@AgnesPeter-r3t
@AgnesPeter-r3t 7 ай бұрын
Zungu.kiukweli unakipaji sana
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 2 ай бұрын
Kweli bakwata ni makafiri walahi dar bakwata ni makafiri
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 7 ай бұрын
Allah akulipe jheri shekh ponda bakwata njaa ita waunguza sana motoni nyie mcheni Allah
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 7 ай бұрын
ndio maan siwapend bakwata
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 2 ай бұрын
Mh Rais Magu aliliona hili akasema hataki kusukia mali za dini zinauzwa Kijanja janja hivi -; Hakupenda Kuona Machafuko yanatokea kisa kuna wajanja fulani wanataka wafanye yao
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 2 ай бұрын
Kwanza sijawahi kuipenda bakwata yani
@19ddr
@19ddr 3 ай бұрын
Mimi bakwata siwatambui
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 7 ай бұрын
Bakwata_ ni baraza kuu la wakristo Tanzania Bakwata_ ni baraza kuu la waislam Tanzania Huwezi kuona hata siku moja linatetea uislam kwamwe bali linatetea ukristo ,matumbo yao na serikali
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 6 ай бұрын
Mngekua sio waoga mngekua mnaenda kwenye matukio bila siraha
@nickbrown8350
@nickbrown8350 2 ай бұрын
😢😢
@YusuphuAyubu-n7u
@YusuphuAyubu-n7u 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 2 ай бұрын
Ponda mtu sana isee
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 2 ай бұрын
Bakwata wahuni tu wapo kwajil ya upigaje wale
@mussamwalimu4192
@mussamwalimu4192 21 күн бұрын
Sekh youote atakayesimamia haki ukweli na kutouza dini yake kwa kipande cha mkate lazima aonekane mtata
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 ай бұрын
Part 2 vipi jmn?😢
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b 2 ай бұрын
Wewe Unatii Sheria? Kwasababu Wewe Ni Mtupia
@KelvinKifyoga
@KelvinKifyoga 7 күн бұрын
Kilio changu kipo kwa askari je ni sahihi kumfyatulia risasi mtu asiye na hatia pili kama mnaijua vema taaluma yenu mbona matukio ya utekaji hayakomeshwi ushauri wangu kwenu msiwaguse viongozi wetu wa dini
@ms123ru
@ms123ru 7 ай бұрын
40 kwa 5 location. Purpose nadhani hekari 40 kwaajiri ya chuo ilikuwa sawa
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 ай бұрын
Angalia thamani ya eneo alafu kwani hao waliotoa eneo hawakujuwa kuwa ni dogo au kubwa
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 7 ай бұрын
Bakwata wangeuza eneo Lao la heka 5 kwa Bilioni 2 kisha wangenunua hilo eneo la heka 40 Kisarawe
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 ай бұрын
👊✌️👍.
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 2 ай бұрын
Hahahaha allah akbar ndio mwenye nguvu wengine nyie ni taka taka
@MzeeOsama
@MzeeOsama 2 ай бұрын
Bakwatandekawaidayaokupotezamalizawaislamu
@abdallahally842
@abdallahally842 7 ай бұрын
Kumbe alifungwa Kwa uonevu mpk serekali kumpa dhamana endapo atakubali kuacahana na haki mungu awadhalilishe wote walio dhulumu na kumtetea dhulma
@Fredymwambamapigo
@Fredymwambamapigo 2 ай бұрын
Uonho
@JosephuSwai
@JosephuSwai 7 ай бұрын
Tuna kupenda sana ponda wewe ni baba wa haki
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 2 ай бұрын
Mbonawanawo twekwa nakuuwawa watu hawajulikani kwanini
@AzizSultan-fc7rn
@AzizSultan-fc7rn 5 ай бұрын
😮
@JuniorDilema-ki1jy
@JuniorDilema-ki1jy 2 ай бұрын
Hao viongozi sahihi ni wachache
@TANGENERAL-kt8do
@TANGENERAL-kt8do 7 ай бұрын
Ninaposikia suala la uzalendo likitamkwa na jezi hizi huwa napata ukakasi
@19ddr
@19ddr 3 ай бұрын
Bakwata ni vibaraka tu na wanafki
@abdallahally842
@abdallahally842 7 ай бұрын
Jamhuri ilijikashif na kujiita aibu
@AllyMauya-v3o
@AllyMauya-v3o 2 ай бұрын
Kova ukowapi leo unakula tembele wakumbushe wezio
@abdallahally842
@abdallahally842 7 ай бұрын
Wote mafisadi waliouza Mali za waislam Kwa faida ya matumbo Yao wako makaburini wanadhalilika dhulma kubwa serekali ilijitia aibu na kujidhalilisha Kwa kuteteaafisadi Mali yaa mabilioni ardhi ya mjini kubadilishana ardhi ya shamba isio na thamani ponda alikua na msimamo Kwa kutafuta haki. Haki always itachelewa lkn haki lazima ipatikane
@abdulhamidomar8638
@abdulhamidomar8638 7 ай бұрын
Zungu hujatuwekea wazi kuhusiana na ardhi ya waislamu imekuwaje baada ya hukumu ya rufaa shekhe ponda
@THEQUILLSTORY
@THEQUILLSTORY 7 ай бұрын
Japo inasktisha
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 7 ай бұрын
Hakika malipo ni hapa duniani hakimu wa hiyo kesi ni kafiri hawezi kutoa haki itoshe kusema kirefu Cha bakwata ni Bibilia association Tanzania
@dalalimfupikigamboni7388
@dalalimfupikigamboni7388 7 ай бұрын
Ila wee sasa Biblia imefikaje hapo
@EliaHiluka
@EliaHiluka 3 ай бұрын
Ukisema kila mtu atii sheria ni pamoja na police nguvu zenu zinatokana na mitutu na mahabusu na magereza pasipo vitu hivyo hao jamaa ni wepesi
@AbdallahMtonga
@AbdallahMtonga 5 ай бұрын
me nikion gwand ya askali nachukia san au nikion miwani mbele yang
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 7 ай бұрын
Bakwata ndo waloleta shia tz
@HassanChacha-bn6ho
@HassanChacha-bn6ho 7 ай бұрын
😢
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 17 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 10 МЛН
Sheikh Ponda: Askari kwa Sheria Hizi Wanaruhusiwa Kuteka
8:29