Mashallah ALLAH awalipe Kila la kheri katika kufaidisha waislam mwenye kutoa na mwenye kusambaza
@MshamShaa-v1v2 ай бұрын
Ishalwa
@ahmedthuva3162Ай бұрын
Mashallah
@RehemaWere2 ай бұрын
Sheikh pita uku nko na swal nauliza hyo rakaa 4 kabla asr unanuwia ukisema aje,naomba kujua Swal ingine hzi swala za usiku Kuna istihara hii swala na tahajjud ni tofautisha ama azn naeza tangulia either kaa tahajjud ndo nikuje kwa istihara ama naomba unijibu shukran 🤲