Subahana llah . Allah Akbaru, shukrani sheke kwa kutusisitiza umuhimu wetu kwa waume ze2. Pia nimejifunza kitu hapa kumenti zinaonyesha wanawake tuna gubu ktk kuoa waume ze2 mathina n.k. wallah namuomba mungu Atujaalie kutwii yale yote aloyatuhusu allah na s vinginevo . Tuwasikilize waume ze2 na hata tuolewao mke wa 2, n.k. basi tukawe wake bora pia . Yarabby turidhie ktk hili na utujaalie mathina zilizo jaa mawaddah warahma yailayi n ww ndoutatupa mme bora s mwingine ili ndoa ibaki kua ndoa na sio ndoano. Yarabby utupe mapenzi ya kweli kutoka moyoni na tutridhie ktk maisha hayo in sha allah 🌹
@manzekeleramazani6 ай бұрын
Shiekh ADBi Allah akupe ilmu marudufu. nakufata nafurahi kututetea. Ni mimi hadji ramadhani congo D.R.C.
@MohamedMohamed-fr4gr3 жыл бұрын
Masha Allah sheikh timid Mungu akujaalie kheir
@saudamohamed72083 жыл бұрын
Allah akuzidishie Elmu na umri yaraby uzidi kutuelimisha.
@felicitendayishimiye8092 жыл бұрын
Shukran sheikh Allah akujalie kila lakheri akupe umbri murefu
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Subuhanah Allah sheikh umeongea mambo makubwa sana,sheikh wapo wanao sema usiniguse wanitengua udhu, saa zote siku zote yeye yuko na udhu na hataki kutenguliwa udhu wake, wa swali sana hata sunnah, wafunga sana hata sunnah, watoaji sadaqa wazuri sana,wasomaji wazuri sana wa Qur'ani lakini hawajui kwa nini wamekuja kwa mume hawajui kabisa!hawajui wametoka Kwao kuja kwa mume kufanya nini,tena hawataki kujua kabisaa tusaidie sheikh labda hawajui umuhimu wa mume kumtafuta kooote huko na kumleta ndani ni nini hasa sheikh tunakushukuru darsa hili sijawahi sikia popote shukurran al habiby
@mosamadmwahija78793 жыл бұрын
SubuhanallAh😭😭😭😭 ya rabby tusamehe sisi wanawake
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Allah atuhidhi Yarrabb, lakini pia sio mambo mema yote mtu akitaka kuyafanya kwa mja mwenzie tusisubiri Hadithi ikiwepo Alhamdullah, lakini Hadithi zingine hazifundishwi na hatuzijui kwa Yaqin, ila tujifundishe kuishi kwa amaniwema na kutendeana mema na mazuri ya kufurahishana, na kuoneana huruma kutendeana ihsan na kumuogopa Allah kwa kila fikra mbaya inayo kujia kuufanya ubaya kwa mwenzio, iwe kwa kila mja ni muhimu sana kujua i'nsha'allah Allah akupe mwisho mwema kwa mapenzi yake Rabbana
@haseanatnsanya20793 жыл бұрын
Shukran sana shejk wetu
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Shukurran sheikh, Allah akuweke ukupe yenye kheri kwa Dunia na Aakhera, nilikuwa natamani sana hili jambo lipate mzungumzaji hasa kutoka kwa wadhifa wa sheikh ilivyo kwako,maana leo sheikh imekuwa ni mtihani ndani ya maisha ya ndoa na kuiona ndoa ni mtihani kwa baadhi ya watu hawana furaha na maisha ya ndoa, imekuwa ni machungu tu, kitu kingine sheikh ninakuomba sana sana tena kama Allah akikuwezesha naomba siku upate wak'ti wa kuongelea jambo hili muhimu sana kwa upende wa mume kuongeza mke, sheikh hiki ni kilio cha wanaume wengi na wale wanawake wanao olewa mke wa 2au 3 au 4, hawa wake wakubwa imekuwa ni kigingi au kizuizi cha maisha ya furaha ya wake zaidi ya mmoja, sheikh imekuwa ni taabu mume kuoa mke, na akioa basi atapata taabu yeye na huyo Mke wa 2 alo muoa,maana imekuwa ili wafurahike ni mpaka mke mkubwa aridhie mume kuoa, na haijapata kutokea wakaridhia waume zao kuoa, inamfamya mume na mke alo olewa waishi kwa mashaka kwa taabu, maana mke mkubwa hataki kabisa na zile haki na usawa Katika ndoa hukosekana, na hii humfanya mume akose kutenda usawa na haki zake kutokana na huyu bi mkubwa hataki,hii humfanya mke mdogo kukosa mahitaji yake na hamuoni mume kwa muda mrefu, naomba sheikh ongelea kuhusu wake wakubwa wamuogope Allah kufanya dhulma hii ya ndoa, wapo wanawake ndani ya uke wenza wanateseka kupitia hawa wake wakubwa,huwamiliki waume bila kujali mume huyu ana haki Katika kuongeza mke zaidi ya mmoja, wao hujioangia maisha kwa huyo mume, sio mume kumpangia yeye mke maisha Subuhanah Allah, Allah atupe yalo na Kheri na atuepushie yenye shari Yarrabb 🙏
@ballkissymubarak94163 жыл бұрын
Naaaam nakuunga mkono juu ya mafundisho ya ukewenza tuishi vipi na maisha hayaa
@aairraahseif56483 жыл бұрын
@@ballkissymubarak9416 wallah imekuwa mtihani,Allah atuhifadhi,wake wa aina hii hupingana na Allah,wajutishwa alo owa na olo olewa hawana raha taabu wallahi,hujuta hasa kuingia ndoa za aina hii,yatakikana darsa hasa tupokeane kwa mapenzi,na huruma na wenzetu nao wanahitaji waume,wawe na huruma wamuogope mungu,mume raha hana na olo olewa raha hana,kisa ameingia kati mke mdogo waonekana huna haki kuolewa,ila yule alo olewa mwanzo ndo ana haki zote,hii dhulma haifai uwe wa kwanza au wa mwisho wote ni sawasawa
@khadijaahmed64113 жыл бұрын
Shukran sheikh Yusuf ,,mungu akupe kila kheri na furaha inshallwa,,jazakal u kheri....
@faizanassor63363 жыл бұрын
Mashallah shukrain sheikh wetu Allah akujalie afya njema akuifaidhi mashallah mada nzuri sn 💯 Allah azidi kutuongoza tupate pepo za wa umezetu sote kwa jumla Allahuma meen 🤲
@aydaawadh3883 жыл бұрын
Mashaallah darsa nzuri sana
@mamawa3mamawa3213 жыл бұрын
MashaAllah tumesikia Sheikh.Aallah atujaalie tuwe wasikivu na watendaji mema InshaAlah
@deathrow80043 жыл бұрын
Vilio vitaendelea Sana Ni mfumo NDANI ya mfumo wa maisha
@mahadhinoor123 жыл бұрын
MashaAllah my dearest bro sheikh yussuf abdi Allah akupe umri mrefu wenye kheyr.
@zaitunimsumi10073 жыл бұрын
Kila lenye ktk maisha. Yako. M mungu akujaallie. Kheri. Zaidi
@mohamadfaridalwahaibi50783 жыл бұрын
Maa Shaa Allah. Allah akuhifadhi mada nzuri sana sheikh Yusuf.
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Shekhe shukrani ,wanawake wengi tunajuwa hatufanyi kazi wafanya waume mnatupoteza ,mkisoma vitabu msome vizur
BONSOIR LE CHEKH DONNE LES MAWAIZA AVEC INTELLIGENCE .ANASEMA VIZURI SANA MTU UNA COMPRADE KWA URAISI NA ROHO INATULIYA KWA ANAITOWA
@halimaissack22093 жыл бұрын
Mashaallah ni ukweli allah atuongoze shukran sheikh
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Shukrani sheikh wetu 😍😍😍
@khadijaangore44083 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah
@sakinat25273 жыл бұрын
Jazakallah kheyr yaa sheikh Yusuf Abdi
@mariamogao62743 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@زينبأمينة-ظ7ق3 жыл бұрын
Masha allah
@OmanOman-gp7xm3 жыл бұрын
Masha allah shekh yusuf nimekupenda bure mungu yakupe umri tooiri
@hasnaally17133 жыл бұрын
Subuhana Allah pole ndugu yangu katika imani kama yakukuta Hayo Allah akufanyie wepesi Inshallah
@awenaabdallah35943 жыл бұрын
MashaAllah
@zayyatiyussuf95663 жыл бұрын
Jazzakallah kheri
@bindauud10373 жыл бұрын
Jazakallahu kher
@a.8563 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@awaznasor29133 жыл бұрын
jazakallahu khairah sheikh
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Sheikh wanawake wengi wapenda uzuri wao na urembo wao na manukato yao kuwaonesha watu wa nje na sio mumewe,wapo wafanyao makusudi hata hawakogi wala haibadilishi dera kutwa anuka mchuzi, makusudi mume asimguse, na wapo waanzishao ugomvi wa makusudi ili asiwe faragha na mumewe,sheikh mambo ya ndoa mazito wallahi, mume apanda kitanda mapema mke anangalia vipindi vyake vya tamthilia visimpite,apanda room kulala saa apendayo yeye amkuta mume akoroma hoi kwa usingizi,na hata anyata taaratibu asije shtuka na hamgusi mpaka alfajir ya ingia, eti hayo ndo maisha ya ndoa sheikh
@just_this_way3 жыл бұрын
😭😭
@shamimnassor61923 жыл бұрын
Mapenzi hapo yameisha kabisa hakuna
@just_this_way3 жыл бұрын
@@shamimnassor6192 Ndio. Yan ni mtihani.
@salimseif14683 жыл бұрын
Mashallah kwajina lubna furaha Sana kweli
@aishaaisha14953 жыл бұрын
So wanawake tu hata wanaume wapo wenye tabia km hzo kikubwa Allah atupe waume wema nanyi waume Allah akupen wake wema Amiin
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Sheikh Allah akuweke, unayo yaongea wallahi yamesisimua mwili na hasa moyo wangu sadakta umeongea kwa niaba ya ndugu zetu wanaume mie ni mwanamke sheikh wallahi nimekuwa nikingojea viongozi wetu wa dini waongelee hili labda wanawake watazingatia,leo wanawake hatuna hadhi kwa tabia zetu, mwanaume ni kivuli cha mke, na mke ni tandiko la mume lakini leo hakuna zaidi ya kibri na kushindana ndani ya nyumba, wanawake hawaoni mahangaiko ya mume, na waume wakija ongeza mke ndo balaa hawataki kujua,wao wataka kuwapeleka mbio waume zao,na hawajui majukumu yao kwa waume zao,tena sheikh wanaume wa ulaya sheikh utawahurumia wanateseka sana,afadhali hata wanaume wa Africa wana hadhi na sauti, lakini waume wa ulaya ni dhaif kwa wake zao,hawana sauti wako chini ya amri ya wake zao,heshima zao kama waume hazipo,mtihani Allah atufanyie wepesi
@just_this_way3 жыл бұрын
Jazakillahu khayran.💖💕
@aairraahseif56483 жыл бұрын
@@just_this_way shukurran za barka na kheri kwako 🙏
Kama utaisoma historia ya kiislaam utakuta wanawake wengi Wa zamani hao wema walikuwa na wafanyakazi au watumishi majumbani mwao na wewe kazi zinapokuwa nyingi si vibaya kufanya hivyo ila kiukweli kazi za majumbani zinachosha sana haswa unapokuwa na watoto ni haki wanawake kulalama
@mamussi68723 жыл бұрын
Ila kwa kuwa wewe ni mwanaume huyaoni hayo ila muige mtume wako saidia wake zako nyumbani kupunguza malalamiko
@aairraahseif56483 жыл бұрын
@@mamussi6872 lakini kama mume afanya kazi kukutafutia ridhki na mahitajio yote, huhitaji kumfanyisha kazi za nyumba mume, labda uwe mgonjwa na huna mdaidizi wa nyumba,pia ukiwa mnapenda na kuhurumiana nyote mwajikuta tu mwasaidizana bila hata kuambizana, lakini kidesturi Sio picha nzuri kumfanyisha kazi mume, hasa mume asi choka kukutafutia ridhki,ikiwa mume hana kazi yupo tu home ni sawa
@tommethodjr.97313 жыл бұрын
True talking
@rajabyusufwesonga98863 жыл бұрын
mashallah
@yasinially36753 жыл бұрын
Shekhe ntapataj nambazako
@kevinkaina3 жыл бұрын
MashaAlla
@chayogasperi97833 жыл бұрын
Kwa yeyote ambae ana namba ya simu ya Shekh Yusuf Abdi naomba mnisaidie kumfahamisha kwamba ; kuna tangazo ameliweka facebook na Instagram kuhusu mtoto anaeumwa anahitaji kuchangiwa kwa ajili ya matibabu , Namba iliyowekwa kwenye tangazo hilo ni yangu .napigiwa simu na watu wanataka kuchangia , na mimi sifahamu chochote kuhusu huyo mtoto .
@SheikhYusufAbdi3 жыл бұрын
Asalam Aleykum Naam Mimi ndie Yusuf Abdi nipe hiyo Number yako hapa nikupigie au nipigie 0720801217
@chayogasperi97833 жыл бұрын
@@SheikhYusufAbdi Siwezi kuweka namba yangu hapa Shekh . Nipo Tanzania . Nikupigie vipi hii namba yako nikupate , kila nikipiga inakataa .
@SheikhYusufAbdi3 жыл бұрын
@@chayogasperi9783 +254720801217
@SheikhYusufAbdi3 жыл бұрын
@@chayogasperi9783 Kama number yako ni ya Tanzania basi wanao kupigia niwatanzania na hawaeki code number ya kenya, sasa wanze na +254
@chayogasperi97833 жыл бұрын
@@SheikhYusufAbdi Ni sahihi , alionipigia wote ni watanzania na wote wanataka kuchangia , basi kwenye tangazo haikueleza vizuri kwamba kwa kenya ni hivi , kwa Tanzania anza na +254
@hajihassan54333 жыл бұрын
Wanaume wote tunapenda wanawake Malaya kisheria ndani ya nyumba.
@salimseif14683 жыл бұрын
Busu Malaya utajua raha
@salimseif14683 жыл бұрын
We vp
@Awatee3 жыл бұрын
Subhanallah ALLAH atujaalie tuwe na Mapenz na waume zetu kwa kwel wanaume wengi wanaowa kwa kuangalia uzur na sio dini vijana ukimwambia mke yule mashallah anajistir na ana dini yak ana kwambia Aaa anataka pisi kali ALLAH awape wake wema wanaume wote wanaoteseka na awape waume wema wanawake wanaoteseka
@aimanbritish3 жыл бұрын
Namba ya sheikh plz
@husnahamisi78263 жыл бұрын
Shukran
@hidayarashid52633 жыл бұрын
Jazakallahu
@yusuflaly62893 жыл бұрын
Ukitakata kukosa peace of mind oa,ndoa za zama hizi ni kifo,si mwanamke ulomzidi umri au aliekuzidi umri,wote ni balaa.
@tommethodjr.97313 жыл бұрын
Bro usipo oa mtihan nao Cha nj dua ktk hili
@OmanOman-gp7xm3 жыл бұрын
Shekhee huo sindio uislam lakini ndio tunayaona uko uarabuni shekhe
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Funguka hatukuelewi huko uarabuni ndo kuna wengi wateseka eee subuhanah Allah