Mungu awabariki wote mnaotazama sheil nampenda sana huyu dada
@mariammariam57233 ай бұрын
Wakwanza mie bora leo sheila umemuona shangaz yako❤
@Official-Bee3 ай бұрын
Jamani unachelewesha sana mummy, hila kazi nzuri nakupenda sana Burudani wangu🎉❤
@bendera85893 ай бұрын
Huyu mutoto anaroho njur amerudisha kilakitu kwamwenyewe hky mungu akupe moyohuo Ili umuone dadako🎉🎉
@ShamimBinti3 ай бұрын
Sheila usijali hii ni Mapito tu kila kitu kina mwisho wake usijali. Kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Firdaus-w5j3 ай бұрын
Leo siamini nimewahi 😂naipenda ii movie kutoka burundi🇧🇮
@ChristineGaya3 ай бұрын
Sheyshey rudi kwada kid alafu unakipaji kizuri sana ntamani nimimi l love you sheyshey so much 💖 🎉😊😊😊😊😊😊
@NaimaAli-q5r3 ай бұрын
Ndio nmefka jmn nlkuwa bado nmelala nipeni like from Kenya nawakilisha
@CarolyneNasimiyu3 ай бұрын
Shaishai nakupenda sana dadangu kama unamkumbali shayshay nipe likes tu🎉❤❤
@FelisterMumo-rw4wb3 ай бұрын
Strong woman❤❤
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
Haiti shaishai anaitwa shey shey
@JustinaWilliam-nq8ft3 ай бұрын
@@MonkeyDLuffy-p4glakini si umeelewa
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
@@JustinaWilliam-nq8ft ok
@fatumasophu58553 ай бұрын
Sio shai shai bn ni shey shey (SHEILA)
@SyombuaMuvengei3 ай бұрын
Aiz huyu mkaka ameniangusha tu sana yaani mtoto munzuri ka huyu hila divyo hilivyo kwa wakaka wengi ukipata ujausito nao wanakwambia utoe from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉🎉
@salomemakene444610 сағат бұрын
Sijui kwanini huwa inakuwa hivi
@Beatrice-z4c3 ай бұрын
Nimefika nami hapa mfuasi wa Sheila 🎉🎉🎉 kazi nzuri dadangu❤❤
@SaamMolell3 ай бұрын
Kazi nzuri sheila❤❤❤❤ila unachelewesha🎉🎉🎉
@SalmaSalim-fu7oc3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 kwako madam shey shey kazi nzuri dadangu❤
@MartinaAgustino-fp5eo3 ай бұрын
Wa kwanza mie like jwa miss shey shey commando kipensi kweny plan b
@IucyMathole3 ай бұрын
Kazi nzuri dada shey
@MariamuAchimwene-c5u3 ай бұрын
Naipenda sana ii move iloveyou shey shey
@LilyNashela3 ай бұрын
Haaaaaa😂 kumbe MTU mwenye ni mwanaume shey shey kimekulamba waaah 😂😂😂😂
@sergesntunzwenimana3 ай бұрын
Leo nimetangulia kupenda kuwafatilia kutoka Burundi nawapenda kama wewe unapenda Sheila nigonge like nione kama unapenda Sheila kutoka Burundi nawapenda❤❤❤❤❤ndagakunda cane
@josephinejulius95993 ай бұрын
Congratulations shey shey unafany vzur Mungu atubaliki sisi mashbiki wako na wewe mwenyewe 🎉🎉
@NkorerimanaSalem3 ай бұрын
Natoka Burundi pia nakubali movie zako
@NancySibiaOnguti-gb9yq3 ай бұрын
Kweli mapenzi yatakufanya kuchizi😢 Sheila twakupenda sana
@LebonAlliance3 ай бұрын
Kazi zuri kabisa 🎉🎉🎉 nainpenda sana usisheleweshe
@NeemaMzur3 ай бұрын
Miss shey shey🎉🎉🎉🎉 Nakuja nami niingie kwenye hii move yako....❤
@JuliusJoseph-iq6fc3 ай бұрын
Hat mie❤❤❤
@LizieTopsha-2543 ай бұрын
Much love ❤️❤️❤️ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Shay shay
@buru12353 ай бұрын
Groly to God 🙏 Shila amepata shangazi wow bt hicho kikaka nakichukia Sana wallai kwenye life yko ukose Bibi for really kipoch manyoya hii
@DEEJAYVICKYzB254ke3 ай бұрын
Kaz nzuri mdada nakupenda ❤❤❤❤
@KeziaLucas-m4l3 ай бұрын
Jaman nimewahi kweli❤❤🎉
@MusaKeya-u5zАй бұрын
Sheyshey mama nakukubali sana 💕💕🙏 kwenye misheni zako😂
@fammamaboko65433 ай бұрын
Shey shey pole na majukum Ila mnachelewesha movie 🎉🎉🎉
@CharlesMyzairwa3 ай бұрын
Toka Congo bukavu nawafata 100%
@zainzain11633 ай бұрын
Weee leo nimewai kutoka kenya 🇰🇪 😍 😳 ❤❤❤wapi likes za Sheila
@maryamrashid-s63 ай бұрын
Nawapenda sana nyote Sheila na saidi ndo best🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️
@DushimeMelissa3 ай бұрын
Pole Sana Dada Sheilla Ni Mapito Tuuu Shangazi Msapot sheilla Nawapenda saana Goood Girl❤
Nawapendaa woote mnaofatilia SHEILA KAMA unawakubali waliomo kwenye SHEILA Jipongeze Kwa kumwaga makopaa❤❤❤❤❤
@Amina-d1v3 ай бұрын
Sheyshey hongera sana dada kw kazi nzuli ❤❤
@stephenzerozero3 ай бұрын
Shabiki mpya ndio nafika🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sarahkaniki17323 ай бұрын
Nan kagundua mdg wake sheila kabadili mavazi kapendez na tsht gonga like😂😂🎉
@halimaumubyeyi34633 ай бұрын
Kutoka Rwanda ❤❤❤❤❤❤❤tunawapenda
@JuliethaJulius3 ай бұрын
Maswali ya shangazi sasa😂😂
@DonardChips3 ай бұрын
Aunt sheila jamani mpe bc mgeni ht vi juice kumgombeza 2 shey kumpa vi juice aaaah 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@AzizaQueen-lr8oz3 ай бұрын
Jmn Nime wai Leo like kwangu 🎉🎉🎉❤❤❤ kazi nzuri
@DomitilaEmily3 ай бұрын
Hongera Sheila kwa msimamo mzuri 🎉🎉🎉
@ishmaelnyongesa16783 ай бұрын
Nawatazama nikiwa Kenya, Busia tunawapenda mwaaaa
@ErickJonhfredy8 күн бұрын
Napenda juhudi zako uishi maisha marefu SHEILA💯💯💐
@AlexAlex-e4x3 ай бұрын
Kazi nzuri sana kama unamubari sheishe nipeni liki
@beatricesamwel91333 ай бұрын
Kutuwekea tu yaliopita kwenye Sheila kutuwekea yajayo ahaaa
@faudhiahassan79073 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RadjaboyKubita3 ай бұрын
Wakwanza toka Congo 🇨🇩
@azizahmohamed34953 ай бұрын
Shangazi ukaachaga uchoyo ata kumpa mgeni vichai unamsakama maswali tu aaaah vibaya ivyo
@delickjava16993 ай бұрын
Aisee hongel sheyila wangu❤️💪🥰
@AishaHamid-u8g3 ай бұрын
Ila shangazi 🤣 maswal mpk unashindwa la kujifkiria
@lkibakefby71263 ай бұрын
Nimewai naomba likee zangu jamn
@christellairadukunda39613 ай бұрын
Umemuwekesha nani kwani?
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
Like za kupanguzia mavi au za kulaa
@alhimnamussasaid36193 ай бұрын
TEAM WIFI MUPOOO, MZIGO HUU HAPA TUNAKIMBIZA KATIKA SOKO LA FILAM NA KP GROUP AHSANTE KWA KUTULETEA SHEI SHEI ❤❤🎉🎉🎉
@SheikaYussuf3 ай бұрын
TUPOOOOOOO
@SheikaYussuf3 ай бұрын
TUPOOO
@MancaGilbert-os9kx3 ай бұрын
Kaz nzuri👏👏👏❤
@halimaumubyeyi34633 ай бұрын
Karibu tena dada ❤❤❤❤❤❤❤❤
@DanMark-jy2hk3 ай бұрын
Hata mjawatch mmesha ingia kwa comment section hapa mmenishinda kwa ujinga😂😂😂 like zenu hapa👍👍
@OsmanLawrence3 ай бұрын
Kazi nzuri sheila ,,,na ntazidi kukupenda
@AgabaAsnath3 ай бұрын
Dada uo wimbo mzuri sana
@SteveChacha-j4z3 ай бұрын
Kazi nzuri shey
@alhimnamussasaid36193 ай бұрын
SHEY SHEY NIKUAMBIE KITU HUYO SHANGAZI YAKO NIMEMUELEWA KINOMA YAANI ❤❤😂❤❤🎉🎉
@mechne8032 ай бұрын
Kazi nzuri sana hongera Sheila 🎉🎉🎉
@FaithMusyimi-h9q2 ай бұрын
Shey muendelezo jamani nimengoja sana
@ShadyaHassan-z7f3 ай бұрын
Mungu akulinde dada sheila uendelee kutoa kaz nzur nakukubali sana ♥️♥️♥️🫡🫡UISHI MIAKA MINGI ATA UKIZEEKA UENDELEE KUTOA KAZ NZUR KWA REHEMA ZA MUNGU 🙏
@SalomeMideva3 ай бұрын
Uko sawa sheyshey nyingine usicheleweshe
@JumaTomas-w8y2 ай бұрын
Mungu ni mmoja na hii muvi inafundisha pakubwa sana sheila mungu akuongezee ujuzi wa kutoa filam za kafundisha zaidi ya hizi na sisi washamba tuweze kupata elimu zaidi
@mwajumalubuva3 ай бұрын
Shukrani kipenzi mungu awalinde wote kheri ❤❤❤
@simbaomar34053 ай бұрын
Mbona mdogo ake sheila wanafanana sana au ni ndugu kweli
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
Inaewezekan maana kwa maisha ya kiuhalisia sheila ako kwa mahusiano yakimapezi na darkid huyo aliyempa mimba
@AplA-x9b3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@MonkeyDLuffy-p4g
@Mimahmtam3 ай бұрын
@@MonkeyDLuffy-p4gmmmmh😅😅😅ila wat😂😂
@MonkeyDLuffy-p4g3 ай бұрын
@@Mimahmtam tuko na mambo 🤣🤣🤣🤣🤣
@NasrahMsiagi3 ай бұрын
Huenda ni maisha yake alivyotoka kwao watu wanastory hata Mimi ninayo nitatoa movie yangu
@babynaash3 ай бұрын
Sheila unaweza ❤❤
@MamanEstherEsther3 ай бұрын
Pole Sana Sheila kwa kweli ume sumbuka na kale ka dogo ka jambazi bita kuaje pole
@alhimnamussasaid36193 ай бұрын
SHEI SHEI KOMANDO KIPENSI HILO SURUALI NIMELIPENDA 😂😂❤😂🎉🎉
@RizikiZiki3 ай бұрын
Maskini dogo cido ameshindwa kumuibiya uyo binti amepita anamukumbuka dada yake pole sana Sheila Mungu atawafanyiya wepesi Insha Allah
@yvesyveldinhomzee.56823 ай бұрын
Movie ni nzuri tatizo wanakawiya ku towa ma parts, wawe wanatowa haraka please 🙏 ✌️
@finegatwiri25973 ай бұрын
😢😢😢😢😮😮usuni kwangu imenonga sana aki 😢😢😢
@JentrixSungu3 ай бұрын
Kazi nzuri sheishei ila unachelewesha
@Happymchomvu-cr6kq3 ай бұрын
Jamn nakipenda Bure shei hongera❤
@FaithMinyika3 ай бұрын
Tnaipenda hii sana❤❤❤ ongeza dakika basi
@levinaleonard76523 ай бұрын
Shey shey nakupenda chukua 🎉🎉🎉🎉 yako
@faridahally63143 ай бұрын
Hatimae shangazi kapatikana😂😂 kwisha habar yk darkid mna sheila kurudi kwke ndio basi😂😂
@AdamJack-m5d3 ай бұрын
Reo nimejitahid nimekuwa mtu wa 8 🎉🎉🎉🎉
@Priscadzidzamasha3 ай бұрын
Sheila mwanangu nakupenda ❤❤❤
@NkorerimanaSalem3 ай бұрын
Aaah jamani sheyshey natakazi ya kuigiza
@noreennafula-zj8zp3 ай бұрын
Keep glowing Sheila ❤❤
@JumaTomas-w8y2 ай бұрын
Sheila nipe mimi hiyo mimba nipo kahama nakupenda sanaaaa
@AllyChimbulyaАй бұрын
Nakupenda sana dd yangu sheil
@ProspaIL3 ай бұрын
Good job 🎉
@TeddyPaul-j3g3 ай бұрын
😂😂😂😂shangazi ananichekesha jmniiii 😂😂😂😂 shangaziiiii weeeeeee mkorogo bei ya ghaliii mama
@gogoloveofficial56663 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
@SandraKhabeisa3 ай бұрын
Maswali ya shangazi Sasa 😂😂😂
@EnockMaguha-uj4lp3 ай бұрын
Shey shey anaweza 2nakukubal
@AlinaNizigama3 ай бұрын
Nigupongeze sana shangazi na nimegupenda sana
@aumasusan-gw9gq3 ай бұрын
Naipenda sana hii kividi sana❤❤❤
@DamasJulius-w1x3 ай бұрын
maua ya team shey shey 🎉🎉🎉
@slokidog3 ай бұрын
shey shey big up sana❤
@getrudajohn-y5rАй бұрын
Dada Sheila na. Kupenda sana kwajili mivi umenisikitisha sana bila zile muvi za wewe kp na zebu
@MwahanjeNdegwaNdegwa3 ай бұрын
Nakukubali popote pale
@Frankmwinuka3 ай бұрын
Shey shey najuwa kuigiza na Nina juwa kutunga movi kutokana na ualisia wa maisha au yaliopita
@Alphonsine-zc8cp3 ай бұрын
Wa Tano leo🎉🎉
@malkiawasauti12173 ай бұрын
Hatmae nikuona mwanangu nilikumis sana nmebaki na picha zako zikiniliwaza mungu akuze kipawa chako side wng