othmani maalim mungu akupe heli zake zote miongoni ss waislamu wengi 2nakupenda sana akujalie maisha marefu tuweze kuongoka na daawa ALLAH akipenda ishaalla
@zanzibar-hf7vh11 ай бұрын
mashaallah kipenzi cha waumini,Allah akupe umri mrefu wenye manufaa na wewe pia atulinde na Shari za shetani 😢
@halfaniiddi281410 ай бұрын
Allah akulinde mpak mwisho wako sheikh wetu
@yvanshyaka833310 ай бұрын
Alhamdoullilah rabilaalamin asante shekh mungu akuhifazi
@waynejohn223911 ай бұрын
Allah atukinge na Shar zake❤
@kalamamuller-qe1yd11 ай бұрын
Allah atufanyie wepesi inshahallah amiin
@ibraah_rich11 ай бұрын
Allah Azidi kutulinda sisi Wa islam na azidi kutulindia Dini yetu ya ku'Islam Pia Allah atulinde na Shaitwan