SHEKH DIWANI APIGIKA HADHARANI//KITOTO CHATANGAZA VITA YA ELIMU//

  Рет қаралды 4,516

ABJAD# ACADEMY

ABJAD# ACADEMY

Күн бұрын

Пікірлер
@hijahamadi5793
@hijahamadi5793 13 күн бұрын
Allahu akuhifadhi na akuzidishie elimu na hekima.
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 23 күн бұрын
Mungu amuongozee diwani aisee anakurupukaa sanaa nilikuwaa namsikilizaa sanaa Ila sasahivi nimtihani sanaa
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h 22 күн бұрын
Tatizo la diwani mmungu atamdhalilisha sana kwa sababu ya kukataa haq na kuwatukana wenzake allah atamlipa hapa hapa duniyani
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 23 күн бұрын
yusuf diwan kama hajui neno الله linamaana gani mnamuitaje shekhe
@HakimRamadan-kl1hx
@HakimRamadan-kl1hx 23 күн бұрын
Twamuomba Allah kuidishie hekima ❤❤
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 23 күн бұрын
@@HakimRamadan-kl1hx Amin kwa sote
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 8 күн бұрын
Mnapoandika neno Allah...msianze na herufi ndogo 'a'...anza na herufi kubwa 'A'
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 8 күн бұрын
@@saidimatezo6273 ahsante kwa ukumbusho
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 23 күн бұрын
Diwan n mganga mbona tunajua wote JAZAKUM ALLAHU KHAYRAN
@jafarikaoneka4890
@jafarikaoneka4890 23 күн бұрын
Baarak Allah fyk.
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg 22 күн бұрын
NI MAAJABU YAANI MTU ANAKATAA VIGAWANYO VYA TAWHEED LAKINI MTU HUYOHUYO ANASEMA ALLAH WAPO WENGI.
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 23 күн бұрын
Wallah Yusuphu hana imefikia hata Grama ya kiarabu anasema uongo pia anatumia vitabu vya mashia
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 22 күн бұрын
Huyu Yusuf diwani ni Tapeli na mwizi Allah atamdidimiza!!!
@AthumanAthuman-b6q
@AthumanAthuman-b6q 23 күн бұрын
Mshika mawili moja humponyoka,abaki nahuo uganga wake tu.
@khadijaiddi9422
@khadijaiddi9422 23 күн бұрын
MaashAllah
@abuuhandhallah7567
@abuuhandhallah7567 18 күн бұрын
Kwani kunagombewa nini hadi kufikwa kwenye maneno yaajabu kiasi hiko maana hata kama hujasoma basi ndii utafsiri upuuuzi au lengo nikumkasirisha allah Allah atuongoze na awajalie utulivu wanao taka kuleta ufundi kwenye dini ambayo amesha ikamilisha
@Bantu-u9m
@Bantu-u9m 23 күн бұрын
Je Alla katika aya ya 65 Ankabuut Niipi kati ya namna ya Diwani na ya Maulamai? Eee!Diwani we Mche Alla . Nasema humu kwakuwa ametufungi comments .
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q 23 күн бұрын
Diwani ni mshirikina lazima atetee shirk yake ndo inampa maisha
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 12 күн бұрын
Katika majina yote 99 ya Allah sijawahi kuona mungu yoyote wa makafiri wamempa jina hilo sijaona diwani amelaaniwa ulimi wake kwa unafiki
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 23 күн бұрын
Mackini Diwali linashindwa na hiki kitoto kw elimu na hikima yy limekalia USHINDANI tu😂
@iddimutua420
@iddimutua420 23 күн бұрын
A.alaikum Yussuf Diwani ana kibri ni sawa na yule mshia Shaffii Basalim
@Bantu-u9m
@Bantu-u9m 23 күн бұрын
Sheikh Baqir,nakuomba umshauri Ndugu yoko Sheikh Alghazal atufungulie ulingo wa comments.
@jordan.3109
@jordan.3109 23 күн бұрын
Hahahaha Umeona enhe
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e 23 күн бұрын
😂😂😂😂hawezi kufungua kamwe anajua kua anavurundaaaa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 21 күн бұрын
😂😂😂 mchokozi ww​@@RamadhaniShembilu-l1e
@CheniShauri
@CheniShauri 23 күн бұрын
Ahllwa akujaze hheri tutafika tu
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 23 күн бұрын
Diwani alizidi,Wacha anyooshwe.
@abuhamissi9082
@abuhamissi9082 23 күн бұрын
Alafu diwani. Mwenyewe alivyo kua mnafiki. Kafunga coment. Maana anajua kua hana hoja. Yeye hojayake ni matusi tu.
@nasoros.mgungo5502
@nasoros.mgungo5502 23 күн бұрын
Mbona page nyingi za Masalafi wanafunga sehemu za comments.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 23 күн бұрын
​@@nasoros.mgungo5502kiama utasimamishwa pekee yako kaka, acha kutetea upotovu
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i 23 күн бұрын
Acha uongo ww masalaf hawafungi coment bu mtaje mmoja ktk hao
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 23 күн бұрын
Wakati wa majadiliano yanayoendelea comments zisifungwe , Ila katika Darsa mahsuwsi kwa kundi fulani mnaelewana.
@abuhamissi9082
@abuhamissi9082 23 күн бұрын
@@AdnanMohammed-l6i ingia kwenye KZbin. Uangalie. Hufunga coment Acha ubishi sheikh wangu
@kassimumikdad1611
@kassimumikdad1611 23 күн бұрын
Hata katika maswahaba kulikua na vitoto viliwashinda kibari sahaba, kwahiyo siokiroja, wala dalili ya qiyam, ila upotoshaji umekua mkubwa sana, Allah anawaleta waibainishe haki ya Elim usi one ajabu.
@halimaa9367
@halimaa9367 23 күн бұрын
Asalam aleykm Sasa kwann ukumfwata lv hili kumrekepisha hivi mna uzalilisha huislam 😢
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 23 күн бұрын
KWANN azungumze mbele za watu
@maralsaally4253
@maralsaally4253 23 күн бұрын
Mwlm una mbwe mbwe 😂 hadi raha
@SaleheKhamis
@SaleheKhamis 23 күн бұрын
Kikatoliki huchoooo
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg 22 күн бұрын
Umefika mbali, tunakupa udhuru huenda wewe ni jahil, kama una elimu, hili neno litakudhuru
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h 22 күн бұрын
Katoliki sheh wako na tafsiri yake mpaka mchungaji anmuunga mikono
@abalkaram786
@abalkaram786 23 күн бұрын
@all HICHI KIJAMAA KINATAKA KUJUILIKANA KUPITIA DIWANI.
@MussaSeif5G
@MussaSeif5G 23 күн бұрын
Acha ushabiki wa kipumbav ww Vitabu kadhaa wakadhaa anakuoneshen hapo hamuelwe nyinyi mbn mnakuw punguan nyny
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e 23 күн бұрын
Wewe nipunguani kwani husikii kinachosemwa au diwani nimgangawako ndomana watetea?😂😂😂
@suleali4915
@suleali4915 23 күн бұрын
Hahahahah nyie wabishi tutaenda hivyo hivyo munavyotaka hamuezi kutuvunja moyo nyie vikatoliki vichanga
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h 22 күн бұрын
Tatizo LA diwani anabainishiwa Haq ila hataki kazi yake ni ushirkina
@SharifRashid-g1j
@SharifRashid-g1j 23 күн бұрын
Hujuwi Jambo
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h 22 күн бұрын
Kamfundishe
@aboubakarjimmy5465
@aboubakarjimmy5465 23 күн бұрын
Ao ma sheikh wetu na ujuzi wawo walio nawo wawe makini wasije kujikuta yote wanayo yafanya wasijikute Kwenye Dhambi la RIYAA na Riyaa hiyo ikaja kupelekeya Kwenye Shirki na Shirki ikaja kupelekeya kwenye KUFRU " WAWE MAKINI KABISA, WACHUKUWE TAHADHARI "
@othmanramadhani6962
@othmanramadhani6962 23 күн бұрын
Amejichanganya diwani
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 23 күн бұрын
Tunaanza kushare ktk magroup ili watu wamjuwe Yusuph zwazwa
@HamzaAmani-b5j
@HamzaAmani-b5j 16 күн бұрын
Jamani acheni ushabiki ichikitoto bado kipo kwenye maelekezo qor an bado hajajua hatamimi nilikua mjinga hivyohivyo baada yakuelekezwa nakuzama nikajua tafasili anayo toa ninyepesi sio yakibobezi katikadini bado huyo msimpe kichwa
@MwalimJecha
@MwalimJecha 23 күн бұрын
Jamani hiki kitoto kimetokea wapi?
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h 22 күн бұрын
Katoto😂 ila kanajua kuliko huyo mtu mzima diwani ni matusi tu ndo anayoyajua sio kutafsir qurani
@SadickMussa-g6h
@SadickMussa-g6h 23 күн бұрын
Msiwe mnamwandika sheikhe huyo Yusufu, bali yeye ni Muhuni Fulani tu
@elizabethandrea3122
@elizabethandrea3122 22 күн бұрын
Munaudharirisha uislamu kutwa mitandaoni
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 22 күн бұрын
Kivipi dada yangu sijakuelewa?
@MbwanaHusein
@MbwanaHusein 17 күн бұрын
Unao ushaid kama kusomasha elimu mitandaoni nikuzalisha uwisilamu au nitazamo wakotu
@Smart_jarm
@Smart_jarm 23 күн бұрын
KATIKA HALI KAMA HIZO😂😂😂
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 23 күн бұрын
Katika hali za namna hyo😂😂😂
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 23 күн бұрын
Nyie wajinga mmenichekesha hadi wife kanimaind😂 ktk hali y namna moja ama nyengine 😅
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 22 күн бұрын
HIYO KAULI ANAITUMIA KUPOZA MOYO MAANA UNAMSUTA KWA BATILI ANAYO ITETEA
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 23 күн бұрын
Mukiona vifaranga vinawika ! ni dadika za mwisho kusimama qiyama
@othmanramadhani6962
@othmanramadhani6962 23 күн бұрын
Sio vifaranga kama hauna elimu piga kimya
@AliJuma-k2t
@AliJuma-k2t 23 күн бұрын
Hatahuyu hanaelimuyoyote qurani matinihaijuwi mm namnasihi kwamujibu waqurani inavyotakiwa isomwe anakosea 😂😂😂
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 23 күн бұрын
Kafungue MADA YA NISHATI YA NAMBA umsikilize diwani anavyobadilisha aya katika kuzisoma, wataka nisome kwa hukmu kwani nswalisha hap, haya si mawaidha we mganga vip bhana
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 23 күн бұрын
@othmanramadhani6962 wewe mwenye elimu tupe
@salumhamed5074
@salumhamed5074 23 күн бұрын
Diwani amekufaa bado kuzikwa tu
@mzeemmwinyihajihatibuhatib9331
@mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 23 күн бұрын
Huenda sio akili zake kwa Diwani sababu amemshinda Hadi Abuu jahal. Tatizo mbona hafungui comment tumuulize maswali? الله المستعان
@ramadhaniomary7083
@ramadhaniomary7083 22 күн бұрын
Diwani anajua shida ni kwamba hamheshimiani sasa kama huyu nae anabishana na wakubwa zake kwakua anaitwa shekhe hii sio sawa adabu inahitajika
@OmariOmari-y8h
@OmariOmari-y8h 22 күн бұрын
Diwani SI mtume atakapokiseya atakosolewa haijalshi kakosolewa na nani
@MussaSeif5G
@MussaSeif5G 23 күн бұрын
Diwan si sheikh ma matus yale nahis alikuw akivut bangi kwanz ndo anashik maiki kutukan wasomi
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 23 күн бұрын
Diwani haja ghafilika diwani kilele zote anatetea uganga wake sababu ndo unampa ugali sasa lazima atumie quran kuwashawishi watu ili wamuamini hata kama qurani atachafua tafsiri yake
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 23 күн бұрын
Ndo maana diwani aksami 3 za tauhidi hazitaki hususan uluhiyya Hii uluhiyya inakataza uganga directly akizikubali aksami 3 hizi uganga atafanya wapi ?
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 23 күн бұрын
Yupo tayar akufuru lakini maslahi yake ya dunia yabaki salama
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 23 күн бұрын
Yisufu ana KIBRI mtume kasrma kibri ni kuikataa HAQI Baada ya kubainishiwa
@darajanida
@darajanida 23 күн бұрын
​@@issaabdallah1205 tahadhar na porojo zako izo
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 8 күн бұрын
Na hii ndio sababu kwanini diwani ako tayari kuichafua quran ili kutetea uganga wake...kwasababu asili ya kuwa mganga mpaka ukufuru...ndio maana yeye hajali...ashauza akhera yake kwa manufaa ya dunia yake....So kwake kutubu ni ngumu sana maana ashachukua ahadi na shetani kwakupatiliza dunia yake.....Kwahivyo masheikh endeleeni kuwafundisha wsislamu kwa kufafanua ili watu wamulewe na wselewe ushirikina wake na wa waganga wote kwa ujumla....
@SalhaAlly-x8q
@SalhaAlly-x8q 23 күн бұрын
Diwani anahoma ya akili lazima mumtambue mtu jaman diwani anaugua kwan kibr ni maradh
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 22 күн бұрын
❤❤❤😂😂😂😂
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 23 күн бұрын
😁😁😁😁😁 shekh Diwali atupe ushahidi ile tafsiri ya ile aya amepokea kutoka wapi
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i 23 күн бұрын
Diwani ka
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i 23 күн бұрын
Diwani kaishiwa hoja ya kielimu anasema Mawahabi wakisema Allah cyo Allah wa waislam je wanapo soma azana wanamkusudia nani?
@Kzm-c9u
@Kzm-c9u 23 күн бұрын
Yusuf Diwani ni kijichawi tu cha kawaida mambo ya dini ayapishe
@shabankabarisa8785
@shabankabarisa8785 23 күн бұрын
Wewe Diwali poleee tuliya usome wewe .
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 23 күн бұрын
Pga dogo dogo huyo diwani hovyo kabsa,halafu endelea kumfundisha kuhusu jina Allah, Pia huwa anakosea sana ktk nahau hajui chochote ktk nahau
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 23 күн бұрын
ushauri alopewa na muhamad bachu yakwenda kuhufadhi qur an kwanza maana haya ni madhara yakuihama kur an
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 21 күн бұрын
Wewe kama ni sheikh wacha mabishano yasiyo na tija,jikite katika kufundisha darasani sio mitandaoni.
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 21 күн бұрын
Nitaachaje kitu ambacho watu wanafaidika nacho
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 21 күн бұрын
@ABJADACADEMY kama unaona hivyo sawa,endeleeni kubishana,kutukanana,kukejeliana,kuitana majina mabaya,kukufurishana,kujiona kila mmoja ndio anajua yeye,kuona wengine wamepotea nae ndie aliyeongoka ili hali Allah ndie anyejua nani kaongoka na nani kspotoka.Najua hamtaacha maana kuna vitu mnatafuta mitandaoni.Basi sawa.Mimi sina cha kupoteza kwa kutoa ushauri.
@IsmailSanga
@IsmailSanga 23 күн бұрын
Huo UTATU wenu mtakatifu ni BIDAAH iliopitiliza,hamtakaa mlete AYA wala HADITH inayogawanya hayo matawheed yenu.
@AliJuma-k2t
@AliJuma-k2t 23 күн бұрын
Ww mwenyewe unawambia wenzako Hawajui quran wakati wewe mwenyewe matini unakosea kasome qurani kwanza usiitukane qurani hujuwi kuisoma inavyotakiwa kasome japo kitabu cha hidayatulmustafid kinauzwa sh Mia 500/ zatanzania
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 23 күн бұрын
Diwani kadhalilika sana kibri kibaya eti ni wasomi wa balagha kumbe Diwali ni shia
@mohagurey2214
@mohagurey2214 23 күн бұрын
Anakuambia sio hivyo na hakuambii ni vipi?😂😂😂 Kisha eti wewe ni mkatoliki mdogo
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 23 күн бұрын
Acha wakudharau lakini kwa ALLAH una daraja kubwa.kauli ya mtume ni kweli.ukimwiita mwenzako kafiri ile kauli inamzunguka km hana ukafiri basi ile kauli inakurudia mwenyewe yy alimwiita shekh bachu kafiri ule ukafiri umemrudia
@RachidaIacine
@RachidaIacine 23 күн бұрын
Diwani achunzwe. Kanza Apimwe akili, alafu ufanyike uchunguzi wakila aina, huyu Diwani kuna siri imejificha, diwani kila anapo tafsiri aya ya curaani lazima lazima aigeuze maanayake, jameni fuatilieni sana anapo tafsiri aya za kuraani kugeuza maanazake... Achunguzwe
@twahamuhoro1656
@twahamuhoro1656 23 күн бұрын
hivi nyinyi mnaelewa kweli? sisi tunasikiliza hoja kotekote Shekhe Diwani ni Fwaswaha alafu anajuwa kujenga Hoja
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 23 күн бұрын
Kwa kuleta tafsiri atakazo yeye au.......
@darajanida
@darajanida 23 күн бұрын
​@@ABJADACADEMYnawewe mpaka saiv hujaleta dalili ya taksimu.tauhid mwapiga makelele tu
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 23 күн бұрын
Mbona hujamjom dalili ya vigaqanyo vya elim na masharti ya swala​@@darajanida
@ABJADACADEMY
@ABJADACADEMY 23 күн бұрын
Faradhi za udhu katafute hadith au aya km utapata, nyie ni viziwi
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 23 күн бұрын
Diwani alishatoa hoja hiyo ya kwamba washirikina walimuita mungu Kwa jina la allah,,soma biblia ya kiarabu kwenye kitabu mwanzo 1-1 mwanzo.
@Sarahmponjo
@Sarahmponjo 22 күн бұрын
Yule mdogo wake shekh diwani ni kama mbuzi yeye anakwenda atakapo taka mchunga wake ata alipo kukosoa wewe ulipo tafsiri na kugunaguna, yeye akuleta tafsiri yake ata ukimsikiliza utagunduwa ni mtupu kabisa ajui kitu ata maneno ya kuongea anamezeshwa
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Epuka sana NZI kama wataka Ndoa yako idumu - Sheikh Izudin
18:01
DIWANI UTAENDELEA KUDHALILIKA MPAKA UTUBIE KUFRU ZAKO || Muhammad Bachu.
1:01:35
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 8 М.