HAPO ANAE ZUNGUMZA MWANA WA ELIMU KWENYE ELIMU NA ZIADA YA BAHATI NI SHARIFFU KATIKA UZAO WAO . ALLAH AMJAALIE FURAHA KATIKA UMRI WAKE NA AFYA NJEMA. NAMPENDA SANA SHEIKH SHARIFFU IZUDIN ALWY. ALLAH AMUHIFADHI DUNIANI NA PEPONI NIKAKUTANE NAE
@AboubakarRashid15 күн бұрын
Kwakwel shekh wey sjawah kukuskia kujbu rad yoyote ila kuna mashekh wana mihemko san
@IddyDaruweshi-jv1fu15 күн бұрын
ANAJUWA NDIYO MAANA NI CHUO CHA ELIMU
@MwanahawaaJuma-g7n15 күн бұрын
Assalam aleykum mfano mtu ulikua ni rafiki yako halafu yule rafiki anakuonyesha dalili zote kama hakupendi halafu anatabia si nzuri wewe unamkanya unamwambia usifanye hivyo Allah hapendi sasa huyo rafiki hapendi kuambiwa ukweli siku moja rafiki yake akamwambia usiishi hivyo uislam hauko hivyo huyo rafiki ambaye anatabia si nzuri akampiga na akamfukuza kama mbwa je huyu rafiki ambaye anampenda mwenzake anatamani awe na dini kama aliyokua nayo alichokifanya kumnaswihi mwenzake amekosea mpaka ikafikia hatua ya kumfukuza kama mbwa na isitoshe huyo rafiki ambaye anampenda mwenzake juu ya kitendo alichafanyiwa na mwenzake lakin anamsalimia kwa sababu ndo dini inavyosema lakin yule lafiki ndo amezid kumchukia juu ya salam anayosalimia😢
@MwanahawaaJuma-g7n15 күн бұрын
Huyu rafiki ambaye anampenda mwenzake anaogopa hata kumsemesha anamsalimia Tu kwa sababu anaogopa akirudi tena anaweza kumuumiza kabisa naombeni mniambie huyu rafiki mzuri ana Fanya makosa kutokumsemesha akawa ana msalimia Tu akihofia akimsemesha atamjibu vibaya