SHEKH MUHAMMD IDD - IMANI / SWALA / ZINAA / LIWATWI / RADHI ZA WAZAZI

  Рет қаралды 21,270

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@othmankassimu1544
@othmankassimu1544 4 ай бұрын
maneno ya hekima sana haya... #MwenyeziMungu Atupe Ufahamu mzuri na kuyatenda yaliyo ya hakhi.
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Baaraka LLAHU fiiqu yaa Shaykh. ujumbe umefikisha
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie shekh inshallah
@iddysufiani6116
@iddysufiani6116 5 жыл бұрын
bab deo naomba huyuu SHEKH anamaidha mengi sana na mazuri sana fanyeni kilp fup fup mziweke humuu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Sio wale masheikh\ maaskofu wanaohubiri siasa,,,,,, safi sana!!!
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 жыл бұрын
Shekh Mohamed iddi mungu akupe umri mrefu
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Subhanaallah mwenyezi mungu katulea dini yake lakini tumuamini yeye tu lakini nyinyi mashekhe wa tanzania mmeifanya dini kupigana na unafiki juu kabla huja tanga a dini kwa watu wengine hembu jiangalie wewe Mwenyewe unamfanya alio agiza mtume wetu salalahu aleyi wasalam wengi nyinyi mashekhe mnasali sala tano lakini nanyinyi ndio mnayofanya maasi makubwa
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 3 жыл бұрын
Ni likuwa sheikh wangu
@Shekhahmedbawazir
@Shekhahmedbawazir 4 жыл бұрын
Allah akulipe sana sana
@NurdinKishik
@NurdinKishik 5 жыл бұрын
yaallaah
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 4 жыл бұрын
Shukran Jazakallahu kheir
@abduhamzasungura1642
@abduhamzasungura1642 5 жыл бұрын
Allah Akulinde Na Mahasidi Na Mafasiki Lakini Shekh Abuu Idi Upo Muwazi Na Mwenye Hoja Na Unapinga Majambo Kwa Hoja Wewe Ni Tofauti Na Mashekh Wengine Wanao Towa Hoja Zao Kwenye Vichwa Vyao Na Nakusifu Shekh Abu Idi Unasimamia Kwenye Ukweli bila Unafiki Na bila Ya Kumuogopa Shekh Yoyote Mpotoshaji hawa Mafasiki Zama Hizi Wapo Wengi Wapotayari Kuwafarakanisha Waislam Kwa Kutaka Umaarufu tu Pamoja Na Chuki Zao Zidi Ya Viongozi Wetu Wa Kiislam Hawapo Tayari Kujibu Hoja Anazo Zitowa Shek Mohamed Idi Wao Wamekalia Ubishi Tuu Natowarai Namuomba Mufti Amualike Mufti Wa Saudia Aje Tanzania Aje Kutowa Fatuwa Kwa Yale Yote Tunayo Kufurishana Ili Tujenge Umoja Wa Waislam Afrika Mashariki Maana Akija Mufti Wa Saudia Ndani Ya Ardhi Yetu Ya Tanzania Na Akatowa Fatuwa Akiwa Hapa Hapa Tz Maswala Yote Yatakaa Sawa Maana Hawa Wanao Fata Saudia Wataambiwa Fateni Muandamo Wa Nchi Yenu Mawahabi Ndiyo Wataamini Waambiwacho watakao Bakia Wabishi Ni Kati Ya Kizazi Cha Mayahudi Maana Hata Watolewe Dalili Gani Wao Ni Kupinga Tu na Kuwakufurisha Mashekh Namuomba. Allah Atuhifadhi Na Mafasiki Amin Amin Amin Na shekh Wetu Abu Idi Allah Akupe Umri Mrefu Tufaidi Elimu Yako Aliyo Kufundisha Shek Muhammad Ayub Allah Amlaze Mahala Pema Peponi Amin Amin Amin.
@jumamlimbende9862
@jumamlimbende9862 5 жыл бұрын
aamiiin
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 5 жыл бұрын
Maashaallah sheikhunaa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Swadakta!!!!
@mzeemohamed8065
@mzeemohamed8065 5 жыл бұрын
Nan kafurah kama mm alipomuona Shekhe Othman Maalim
@athumanimsangi7092
@athumanimsangi7092 5 жыл бұрын
SANA TU
@jumamlimbende9862
@jumamlimbende9862 5 жыл бұрын
tupooooooo
@Badooyusuf
@Badooyusuf 5 жыл бұрын
Mashallah
@nadiakarata8984
@nadiakarata8984 3 жыл бұрын
Mashekh wa kutetea uzushi
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 3 жыл бұрын
kwa hapo kwa akili zako nyingi anatetea uzushi?
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 2 жыл бұрын
Sikiliza clip yake alipomkosoa Alhad Musa kwa kuomba kwa jina la yesu baadae akasema tumemaliza tofauti zetu jamani kwenye ugomvi wetu na shekh wa mkoa vipi hapo ukemee uovu kisha baadae uunge mkono ili msigombane ni shekh huyu?
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 2 жыл бұрын
@@abaafarhat9191 ww kunakitu kakiongea apo alafu unacho nikama amegusa ikulu pole lkn yy alijua kwamba mmo ndomana akakupozeni naushauri kwamba tubieni toba yenyekuswih mtasamehew
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 5 жыл бұрын
DAH : YANI YULE MUME ALIYE OLEWA KAWADHULUMU WANAWAKE 4 NA YULE MUME ALIYE MUOA MWENZAKE NAYE KAWADHULUMU WANAWAKE 4 AKUHIFADHI MWENYEZI MUNGU NA ATUNUFAISHE KUPITIA MAWAIDHA YAKO.
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 5 жыл бұрын
Sisemi sheik Mohammed Idd anawashinda masheikh. Wengine..lakini Mm huwa namkubali sana hana ubabaishaji ktk kuongea..mathalani ukiwauliza baadhi ya masheikh kwamba ikitokea Marekani wakauona mwezi jioni wakati huku ni Alfajiri tunaweza huku Tz tunaweza kuamka na swaumu ? Bila Nia bila Daku..?..je tukila mchana itakuwaje ? Wakati ni haramu kura mchana wa ramadhani ? Tufanyeje ?
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 жыл бұрын
Jembe ilo
@jumamlimbende9862
@jumamlimbende9862 5 жыл бұрын
hahahahaahhh
@mwanahamisjuma3361
@mwanahamisjuma3361 5 жыл бұрын
Allah akulipe kheiry maneno mazur unayoyaongea ni ukweli
@abubakarimwanyuki4963
@abubakarimwanyuki4963 5 жыл бұрын
NDUGU ZANGU TUJITAHIDI TUSITAJE UDHAIFU WA MASHEKHE MITANDAONI NI HATAR
@jumaissa1816
@jumaissa1816 5 жыл бұрын
Junha muogope allah hii ni dini sio mipasho .
@abdulrahmanbakar5416
@abdulrahmanbakar5416 5 жыл бұрын
Uyo shekh ana mada yake ya liwat na talaka embu fanya uzitupie humu
@hajimasoud7210
@hajimasoud7210 5 жыл бұрын
sheikh hivi wewe ulipotukana nyumba ya allah na kuifananisha na guest ulikuwa humuogopi allah au ulilopoka
@junhanbabu1218
@junhanbabu1218 5 жыл бұрын
Hayya Leo huna za wapotoshaji, heheheeee
@machembamatumbo133
@machembamatumbo133 5 жыл бұрын
Mashekhe wote mtoe mawaidha kama haya yanayo lenga jamii,tuache mwezi umeza lini utachomoka lini,jamii ikiwa vizuri rudini kwenye itilafu,
@mbwanarajabhussein7141
@mbwanarajabhussein7141 5 жыл бұрын
Acha unafiki ndugu, unataka mawaidha au migogoro? Wanafiki moja ya sifa yao wanapenda sana uchonganishi.....jitambue
@shosiabdalla6880
@shosiabdalla6880 4 жыл бұрын
Swadakta ya sheikh tupe kalima kwa hakika hoja zako kwenye mas ala ya dini hoja zako zina nguvu
@juliuskenyaisisitoridudaya1804
@juliuskenyaisisitoridudaya1804 4 жыл бұрын
Tusitowe. Aibu ya. Mashekhe. Mtandaoni
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 3 жыл бұрын
mashaallah
Sheekh Mustafe Siirada Nabiga (ﷺ) | Qaybtii 2aad
3:29:56
Siirada Islaamka
Рет қаралды 153 М.
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
Ayat Kursi ,Surah Yasin,Ar Rahman,Al Waqiah,Al Mulk,Al Kahfi,Al Fatihah & 3 Quls
3:55:08
القران الكريم مباشر Holy Quran live
Рет қаралды 857 М.
Madinat al Zahra Fundraising Dinner - Dewsbury
1:23:52
Madīnat Al-Zahrā
Рет қаралды 226
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
40 QISO oo saamayn leh & 15 kamida culimadeenna waaweyn
3:57:33
Salafmedia
Рет қаралды 4,1 МЛН
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,4 МЛН