Inspiration to many other young people. Nimejifunza
@daviddouglas89432 жыл бұрын
Hiyo ndio Bongo ukitoboa vizuri kwa uthubutu wako,utaitwa Usalama wa Taifa au Freemason...Kuweni wabunifu kulingana na mazingira ambayo yana create opportunities. Big up Sheta.
@xyz-tv4om2 жыл бұрын
Hongera sana Shetta.....Mungu abariki kazi za mikono yako🙏
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Hongera sana sheta, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga inshallah 🙏
@frankakuno.95112 жыл бұрын
Safi sana shetta very intelligent 🧠
@rahabusanga15592 жыл бұрын
sheta ni mtu ana heshima sana....hana dharau ht kidogo
@aminanamoyo832 жыл бұрын
Congratulation shetta 👍👌🙌
@mshangaf17262 жыл бұрын
nakukubali sana Shetta japo katika kingreza hakuna neno Preventation, ni prevention au preventing
@allahisone63862 жыл бұрын
Haya 🙌 Teacher🙌
@hilalmohd89412 жыл бұрын
it's very difficult to understand but it's true shetta is another thing I love you brother
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Hongera mzee boss
@weelzthorum9782 жыл бұрын
If u hang around a star ..u will become star
@halimakindamba48832 жыл бұрын
Ooh Inspiring
@lovecutetz96682 жыл бұрын
Keep it up boy nice work
@damaskinkela22652 жыл бұрын
Toka Congo🇨🇩 kipindi changu pendwa
@michaelboaz81082 жыл бұрын
Hongera sheta
@mkaliupdatesmkali57232 жыл бұрын
Keep it up shetta
@theubbakoderoshow85542 жыл бұрын
Shetta baba Kayla!
@Creative1studios12 жыл бұрын
Dah maisha yanabadlka,
@spreadlove53002 жыл бұрын
Sheta excuse me 32 yrs ni umri mkubwa tu mbona jamani
@hassanhancha14132 жыл бұрын
ila mimi huwa najiuliza wanapata wapi hela ya kulipa mishahara na kupata faida
@spreadlove53002 жыл бұрын
Kuna watu wanafadhiri haya mashirika wakishaona proposal yako wakajirishasha
@hassanhancha14132 жыл бұрын
@@spreadlove5300 kwa hiyo tuseme jamaa anapiga dili hatoi tu msaada bali kuna na yeye ananufaika si ndio
@spreadlove53002 жыл бұрын
@@hassanhancha1413 lazima ananufaika ndio, cha bure salamu tuuu
@maujanjatv24h412 жыл бұрын
Wanafadhiriwa na wazungu
@trayoversion2 жыл бұрын
Huyu jamaa nasikia ni usalama wa taifa
@abutwahirramadhani35612 жыл бұрын
Wapigaji tu nyinyi hyo ndio zana
@hassanirajabu54532 жыл бұрын
Acha fikra potofu aisee anzisha na wewe upige kama ni rahisi
@ziyandamhlana87762 жыл бұрын
Shetta Tanzania anafanya kama mtoto bob mar
@Cyper2552 жыл бұрын
SKy hakuna unjanja utupe Tu-subscribe mara mbili ili tufikishe Subscribers 1.8M?
@SimuliziNaSauti2 жыл бұрын
ha ha, hakuna, twende pole pole tu tutafika
@Cyper2552 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti kabisa tutafika
@richiecharles23012 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti Br sky naomba direct communication na Director sheta.nina shida nae muhimu sana
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@ezeedi8712 жыл бұрын
Hapa nani guest maana wapo ofisin kwa Shetta so nilijua sky ndo atakua mgeni