Kama umekuja hapa sababu ya twenty kama mimi gonga like tujuane
@JonasOmary4 ай бұрын
Asante kaka
@DjCreyxon5 ай бұрын
Tulokuwa tunasubr saut ya 20 niwaone
@RamadhaniJafari-h1l4 ай бұрын
Tunamkubali 20pasent tumemmis gonga like kwa 20pasent
@starlonejadamskp82244 ай бұрын
Nimeona 20 nimeifungua chap Big up brother
@sadicksamuel2005Ай бұрын
Sana mwanetu kabisa huyo
@StevenMunugwa5 ай бұрын
Wako wapi tunaompenda 20% WA kipindi kile arudi?
@AlexisNimubona-x7l4 ай бұрын
Ukwel tunasubili sauti ya 20 pac🎉🎉🎉🎉
@IsimbulaAthumani4 ай бұрын
Kaka 20 kaka nzur ila me nimefurahi kukuona ukirudi kwenye tasania ya mzika kaka maana napenda nyimbo zako❤❤
@AsebaleylaDavid4 ай бұрын
🎉🎉🎉wimbo mzuri sana ila luga sasa ndo sielewi chochote
@felisimshana90886 күн бұрын
Sana kaka luga
@EmanuelElisha-b5j4 ай бұрын
Sana 20 pa mbona upo vzr sana unakwama wap ❤❤❤❤
@awemaqway12014 ай бұрын
20 fire🎉 jamaa hujawahi feli !!!!!
@pastorychagata8905 ай бұрын
20% kwa huku kwenye Ngoma zetu jina lako linaenda kurudi kazi nzuri pia endelea kupiga colabo zaidi na vijana wa nyimbo zetu za asili achana na akina diamond wanaokudharirisha na kukuita umeisha huku ww ni msanii Bora sana sema maisha tu hongera sana kaka 20
@AmisseMwenetombwe5 ай бұрын
Mfagio WA zamani hufafamu kila kona ndani ya Nyumba. Na mfagio mpya pia unafaguaga vizuri.
@fadhilimbotela10495 ай бұрын
Nione like nying za wasukuma hapa kama unawakubar hawa vijana
Yan huyu kaka 20 hajui jinsi ninavyoumia kumuona mbali na muziki bs kaka 20 rudi ufanye hata tamthilia tu nitafurahi Sana mungu akusaidie akulinde bro 20.
@FasteKIKANDI2 ай бұрын
Merci vraiment 20
@ereutelymhongole50955 ай бұрын
Zuri tatizo ndefu muno
@shabaniihassanii9555 ай бұрын
Mbona nyimbo za Congo husemi ndefu
@EmmanuelyAllan4 ай бұрын
😅😅😅😅😅 tupishe
@erickhaule86804 ай бұрын
Kama tamthiliya
@BARUANIKIBANGULA-jt3vs5 ай бұрын
Mkubwa uyoo 20 bro
@m.m.tvmbebamaono5 ай бұрын
Kama umesikia namzagamula like yako hapa
@AllenAlex-g2z4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤mwamba ni mwamba tu aise pongezi kwako 20% sura mpya miguu ya Zaman umetisha sana had kisukuma, hiyo ndio ile location niliyokuona maeneo flan ukiwa unalecod kumbe ulikua Ulaandaa hilo jiwe Tisha mbaya pic lov My brother ❤❤❤❤❤ 20%
@SayiGumada-h3t3 ай бұрын
Big up sana we mwamba 20% kuteleza ni moja ya daraja bro hyo ndo hatua ndung tulia mashabiki tupo.pamoja sana mwamba