unaunacho kielewa dada imani una uwez kumweka mumeo kwenye mitandao afu unasema naijua din unaweza ukawa mwisilamu jina ndo wewe shilole ujielewe ata kidogo kama pepo ya mume ushakosa kwaela gani wanaoa waindi na mazahabu utakuwa wewe kwaelela gan ww sio unaela wewe limbuken waela
@hijahsaidy15624 жыл бұрын
Muislamu gani anakataa salam
@benie19784 жыл бұрын
Shilole miss facts
@mwanaseiph28534 жыл бұрын
Usimseme vibaya mwanaume uliyeishi nae muda wote
@catherinejumanne93784 жыл бұрын
Malay Tu kamsema Kwa umbaya sasa hiv et unataka kumsalimia kwenda huku wew mnafik Tu
@felistersmejumaa51884 жыл бұрын
Shishi huwezi u single naona dry sell zakuwasha xx
@ساميالبلوشي-ث5ف4 жыл бұрын
Unavyo msema vibaya unategemea nn hata ningekuwa mm nisinge itikia Salam yako kwenda
@naamohamed99644 жыл бұрын
Sure
@mandelanghoka8544 жыл бұрын
Siku zote mwanamke akiwa na kipatao hpenda kuburuuuuza wanaume
@linahsemindu95754 жыл бұрын
mmh aibu lkn😳yani mm ndo naona aibu sasa,yani kama,nimekatiwa,mm cm😄
@aymanikhamiskhamis29064 жыл бұрын
Mm nakuombeni mumlinganiye shinshi arudiane na mumewe ndowa nisitara usisikilize maneno yawatu nishawishi ndowa nikutia mkono kizani tulia vumilia ipo siku itaeleweka tu hakuna anaye penda kusemwa kila siku usiringie usta talaka nijambo zuri lakini nibaya sana talaka ikitoka au ndowa ikivunjika bas arishi ya Allah nadunia mzima hutikisika rud kwa mumewako muyaonge yaishe maisha yaendele bs
@jumaabayo86174 жыл бұрын
Ata sisi mombasa twataka mke
@maryammarham28624 жыл бұрын
Aho
@hakikahoman6154 жыл бұрын
shishi we muugope mola wako tena tubia sana yaani sijuw unakwama wap
@mwajabumussa48604 жыл бұрын
Mmh utoto sasa
@ericmunoru6224 жыл бұрын
Wacha za ovyio rudi nyumbani mama
@zaiiomary89704 жыл бұрын
Shishi mnafki saan unavyo mchafuwa mtandao kma ungekua mwema ungemfata mungeyaongea munge yamaliza sio kumchamfua hatakama ningekua mim uchebe nisingee pokea umemchafua saan kaka wawatu ona hapo umesha kanuka het hakuna nilicho faidi kwake khaaaa👆
@ayshakayeko20433 жыл бұрын
Cku ya uchebe hapo wsf mbona hakumtaka au kumpugia shiiiiiiiii cm Leo mdajisshebedua dini km din na ushabik haujengi muacheni uchebe wetu
@safiaothman10984 жыл бұрын
Acheni Maswali ya ovyo.
@aishahela17354 жыл бұрын
Watu wambeya
@magrethmkira62504 жыл бұрын
Wanashadadia mambo ya watu....ndoa n ya watu wawili walivopatana hamkuwepo
@mamaahmad86154 жыл бұрын
Kweli mwanangu shishi ndowa siyo jela ni makubaliano mkishindana basi muachane kwa heri
@fatumamilimo73364 жыл бұрын
Huna tatizo unavyomsema ovyo kwenye mitandao inahusu nini
@fadhiliramadhani81963 жыл бұрын
Macho sasa jamani umezaliwa jamani
@janeeliah30974 жыл бұрын
Jmn
@maxcharles40024 жыл бұрын
Shishi mbona wanaume wanakupiga nitafte mim
@jacklineulomi77804 жыл бұрын
Anajuta sasa uchebe ndo hatak mazoea
@happysanga65954 жыл бұрын
Shishi ni muongo tena Hauna kumbukumbu ulpo kuwa unaishi na uchebe ulimsifia saana baba bola leo haupo nae et unamsema vibaya
@luckyrasulyrasuly98234 жыл бұрын
Nakumbuka huyu dada alishamnyang'anya mke mwenzie mume nakumbuka akasema haachwi mwenzake alilia mno Tena alisababisha mpaka mwenzake kutelekezwa na mtt Leo Tena yamemfika na yey
@aishasaid26914 жыл бұрын
Hajaachwa ila yy ndiyo kamuacha
@sismnfamily34264 жыл бұрын
@@aishasaid2691 kwa maneno yako, yeye ndie kaoa au?
@luckyrasulyrasuly98234 жыл бұрын
@@sismnfamily3426 sku zote mwanaume ndie anaoa sis waafrika tunachukua maisha ya wahindi mkeo kumuoa mume lakn kisheria tunajifanya wanawake ndo tunataka tuoe hii inaishara ya kutokua na heshima mwanamke mzul sku zote huolewa
@luckyrasulyrasuly98234 жыл бұрын
@@aishasaid2691 na ww nimwanamke gan anakubali kuitwa msimbe Ike bas tu wabongo bana
@nangathedon21044 жыл бұрын
Ys.
@winfridamwamban10784 жыл бұрын
Mmmm
@murhulafuraha70274 жыл бұрын
Habarini jamani WCB, mmetisha saana na mahojiano na Shishi ,mwanamke wa ukweli, nataka Siku niongee na Shishi tufanye kitu huku DRC na TZ kuhusu kusaidia wanawake wenzetu, naitwa Prudence P5 wa Bukavu DRC
@liamiomary67504 жыл бұрын
❤️
@derektitus86363 жыл бұрын
i guess I am kinda randomly asking but does anyone know a good site to stream new movies online?
@makaiyosef2413 жыл бұрын
@Derek Titus Flixportal :P
@derektitus86363 жыл бұрын
@Makai Yosef Thanks, I signed up and it seems like a nice service =) I appreciate it!!
@makaiyosef2413 жыл бұрын
@Derek Titus you are welcome :D
@safiaothman10984 жыл бұрын
Msimlazimishe uchebe kumsalimia Mtalaka wake.
@antonmpagama83774 жыл бұрын
Shilole usiseme hakuna mazuri yake usingekuwa nae mda huo wote,jaman bas hata mpin haukukolezwa acha dharau
@mkiwamkiwa35704 жыл бұрын
Yani dadida shirore macho tu yanahoyesha bad hanamepena
@fdsggfdgf12364 жыл бұрын
Mafki shishi ananikera simpend mshezi tu
@barakalukosi22514 жыл бұрын
Muongo huyu Dada kama ulikuw hufaidik ulifunga ndoa ya nini
@tumainsawe75254 жыл бұрын
Haaa shishi wewe kuna kesho alafu ujue huyo uchebe ana nduguze unajiachia sana shauri yako mwangalie mwenzio hajakuzungumzia vibaya siyo kwamba huna mabaya
@juniourdominic98214 жыл бұрын
Wewe shishi hufai
@zuleajuma76974 жыл бұрын
Shishi nikiludi tz nitakuta futa kwan nakupend
@emmanuelherman62874 жыл бұрын
Uchebe naye ni choko san mtoto wa kiume unashindwa kupokea salamu
@sismnfamily34264 жыл бұрын
Apoke simu ili iweje? Ni hiyari yake kupokea au vengine.