SHIMO LILILOTUMIKA KUWAOKOA WATU KARIAKOO - USIKU WAOKOAJI WAZAMA NDANI KUTAFUTA WATU WALIOKWAMA...

  Рет қаралды 17,893

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 28 минут бұрын
MamaSamia hongera mama, lazima mitano mingine kwako, lazima uzipate toka kwetu. Kazi iendelee
@rukiabakari4428
@rukiabakari4428 21 минут бұрын
Mashaallah mungu afanye wepesi
@HawaAlly-b9d
@HawaAlly-b9d 2 сағат бұрын
Selikali imejitahidi saaana mungu awasimamie wahanga wote
@alpiusmwageni475
@alpiusmwageni475 Сағат бұрын
Mungu awe nanyi katika kazi nzuri ya upendo kwa wengine
@RuqaiyahAlly
@RuqaiyahAlly 14 минут бұрын
Allah amfanyie wepes waweze kutoka wote inshallah 🤲😢
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 2 сағат бұрын
Kweli jmn waendelee tu wanaweza kuwapata manusura hata siki 5 na wakawa hai baba Mungu tenda🙏🙏🙏
@michaelkisesa3959
@michaelkisesa3959 43 минут бұрын
Mungu awasaidie waokoaji wote wamalize zoezi na waokoe watu wote, amina.
@juliuspeter6971
@juliuspeter6971 10 минут бұрын
Mungu wasaidie baba watoke salama
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Сағат бұрын
Poleni sana. Mungu awape maarifa
@talhabakar2577
@talhabakar2577 Сағат бұрын
Allah awapeni nguvu waokozi na muweze kufanikisha In shaa Allah 😢
@AnnaBundalla
@AnnaBundalla Сағат бұрын
Mungu ninaayekutumainia tenda jambo jipya kwa ndugu zetu waliofukiwa na jengo hili
@roselinasandi6509
@roselinasandi6509 2 сағат бұрын
Mwenyew Mungu awatie nguvu...we are proud of you 👏
@saimonisinani4616
@saimonisinani4616 Сағат бұрын
Baba Mungu wahukumie hawa watu amen
@fatumajuma4459
@fatumajuma4459 2 сағат бұрын
Mungu wasaidie ndugu zetu
@mfungonishauri4234
@mfungonishauri4234 37 минут бұрын
Tumcheni Allah.. Sbb mtu nikama upo kaburini ukiwa hai
@AntiaMassanja
@AntiaMassanja 45 минут бұрын
Eeh Mungu mwenyezi tunakuomba okoa roho za ndugu zetu 🙏🙏
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 48 минут бұрын
Allah awafanyie wepesi yarab
@linusluka5358
@linusluka5358 Сағат бұрын
Nampongeza amiri jeshi mkuu na majeshi take yote tumeona upendo wenu kwa watanzania wenzetu Mungu awalinde tunazidi kuwaombea
@AlexMwailubi
@AlexMwailubi 2 сағат бұрын
Eeeee mwenyezi mungu wasaidiee ndugu zetu watoke salama hapo kariakoo
@EmmanuelMathayo-f1c
@EmmanuelMathayo-f1c 2 сағат бұрын
Mungu awabariki makamanda wetu kwa uokozi
@SALHAFRANKMSEMWA
@SALHAFRANKMSEMWA Сағат бұрын
Mwenyezi MUNGU azidi kuwatia nguvu🤲🤲
@kelvinnaftali4331
@kelvinnaftali4331 Сағат бұрын
Hongereni sana mwenyezi Mungu awape maarifa zaidi muweze kuwaokoa watanzania wenzetu. Amina.
@venancetarimo6862
@venancetarimo6862 Сағат бұрын
Tunamuomba Mungu afanikishe kazi hii na majeruhi wote waliopo chini watolewe salama.
@JoyceKasambala
@JoyceKasambala 37 минут бұрын
Inauma sana
@BiubwaMuhammed-un3dt
@BiubwaMuhammed-un3dt 2 сағат бұрын
Alhamdulillah jamani watoweni wa natamani watoke maskini
@Mohammed-v3i1u
@Mohammed-v3i1u 2 сағат бұрын
Yarab kama kuna waty humu naomba uwape uhai na warudi 😢😢
@MonicaMushi-z8s
@MonicaMushi-z8s Сағат бұрын
Nakumbuka yule baba alifunikwa na kifusi kwenye machimbo nafikirialikaa takribani siku 21 na alipatikana akiwa hai japo alikuwa dhaifu lakina alipona. Naomba serwkali iendelee kuwaokoa hao watu yamkini wanaweza wakawepo na wanaendelea kuishi. Wasisitishe zoezi mpaka wajiridhishe kuwa chini hakuna tena mtu aliye hai wala maremu. Mungu wa mbinguni aendelee kuwatia nguvu waokoaji msichoke.
@JairosardonJohn
@JairosardonJohn 45 минут бұрын
Mungu wanusuru na janga hili 😂 poleni sana wapendwa
@Mwachuomo
@Mwachuomo 18 минут бұрын
Mungu saide wajawako
@mwajoma1373
@mwajoma1373 40 минут бұрын
Jaman waendelee tu huenda watu bado wap chin Mungu awafanyie wapes waokoaj pia waendelee kuwatoa ndugu nzetu insha Allah 🤲🤲
@JafariNahimba
@JafariNahimba 2 сағат бұрын
Mungu awalinde kazi iende salama
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu Сағат бұрын
Serikali ya mama Samia Hassan Suluhu ni sikivu sana. pesa nimakaratas hasala Roho zoezi liendelee mpaka J/mosi Inshallah ilituweze kupatia majeshi yena waokowaji wetu pendwa nafasi ya kutosha.
@ludovickstephano
@ludovickstephano Сағат бұрын
Mungu atafanya miujiza yake.dah inauma sana mungu awape pumziko la milele waliotangulia mbele za na majeruhi waweze kupona kuendelea na majukumu yao
@salomewandya7257
@salomewandya7257 34 минут бұрын
Dah kazi ni ngumu jmn😢😢😢
@salomekense525
@salomekense525 39 минут бұрын
Mungu tenda waokolewe jamani
@marrowog8975
@marrowog8975 Сағат бұрын
Asante mama, tunakupenda
@HassanMohammedi-b6t
@HassanMohammedi-b6t Сағат бұрын
Safi sana mungu awape nguvu makamanda wetu
@AgnessPalanjo
@AgnessPalanjo 50 минут бұрын
Mungu awasaidie jamani wawe hai
@SleepyBallet-yp2cu
@SleepyBallet-yp2cu 44 минут бұрын
Tunamshuru mungu kwa kazi yauokoaji inayo endelea mungu axidi kuwalinda waliko ndani ya kifusi wapate kupumua na kuokolewa,tunapongexa pia serekali yetu mungu awatie nguvu
@angelmishi8284
@angelmishi8284 2 сағат бұрын
Tunawaombea waokowaji mungu awazidishie nguvu na serikali ya Tanzania mungu awape busara,,ila musiwakatie tamaa jamani bado wapo hai huko chini
@MhinteHassan
@MhinteHassan Сағат бұрын
Ewe mwenyezi mungu ww ndo tunakuomba kwa kila jambo kwa uwezo wako saidia wote waliofukiwa na ghorofa waweze kuokolewa wakiwa hai
@AbilahJoseph
@AbilahJoseph Сағат бұрын
Mungu wasaidie
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ Сағат бұрын
Poleni sana Wahanga wa hajali
@CharlotteMpangala
@CharlotteMpangala Сағат бұрын
Mungu awape tumaini jipya
@ShabaniMbwana-fz3rm
@ShabaniMbwana-fz3rm Сағат бұрын
Amiina yarabi 😢😢😢😢😢😢
@ChrispinMashauri
@ChrispinMashauri 2 сағат бұрын
Maneno yamekuwa mengi sanaaas bro.okoeni watu kusiwe na siasa
@WahuBoth
@WahuBoth 2 сағат бұрын
Ata akionge adi asubuh akuna shida watu wanaenda kwa shift mbona Amina jema
@salomewandya7257
@salomewandya7257 33 минут бұрын
Wanawake tuwape heshima wanaume
@ZeProDJay
@ZeProDJay 30 минут бұрын
Si mnatuitaga dogs nyie kulikoni leo 😅
@aggiebarton8315
@aggiebarton8315 Сағат бұрын
Leo jumanne wameokolewa watu jamani? Mungu pekee ndio muweza wa yote
@janedamian3828
@janedamian3828 Сағат бұрын
Mungu wewe wajua 😢😢😢
@evansisimchimba4301
@evansisimchimba4301 3 минут бұрын
Mhuuuu uzuuni sana
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 сағат бұрын
Je mtakuwa tayari mungu akawahiji kwanini mliacha wafe
@SakinaValy
@SakinaValy Сағат бұрын
Jamani watolewe wote😢😢😢
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Сағат бұрын
Africa ni africa tu ,maneno mengi bila vitendo,,watu wako chini wanakufa huyu ameanza mahubiri
@farhanahannana
@farhanahannana 12 минут бұрын
Wewe mbona hujaenda kuokoa
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 сағат бұрын
Mimi kwa sisi waafrika nahisi hayo mambo ya sheriya za uokozi hazitufai tungejaribu angalau kumaliza wiki mkajiridhisha hakuna binaadam alieachwa huko chini akiwa hai
@Mzawa12
@Mzawa12 2 сағат бұрын
Eeeh! Kwahiyo mlitaka kukatisha?? 🙄🙄
@dojoambilinyi4933
@dojoambilinyi4933 Сағат бұрын
Asante
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 51 минут бұрын
Jamani sio kama mtaendelea kuwatoa mpaka wote watoke Sasa je kama Kuna wazima humo itakuwaaje? 😢
@Anamika-w1h
@Anamika-w1h 19 минут бұрын
Mumgu awatie nguvu
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 сағат бұрын
Kama mtaacha kwa kufata hizo sheriya na mkaacha watu mfano wafe sitaona kama mmetenda haki serikali
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt Сағат бұрын
Jamani MSIAFUNGE UOKOAJI
@Mb0g0z
@Mb0g0z 19 минут бұрын
Msiache kuokoa hadi wiki, bado wapo naamini
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley 2 сағат бұрын
Dah zoezi linapotaka kusitishwa wakati watu wapo hai😢
@angelmishi8284
@angelmishi8284 2 сағат бұрын
Sad
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley Сағат бұрын
@@angelmishi8284 sana aise
@MubarakMuhummed
@MubarakMuhummed Сағат бұрын
Mimi nikiwa mkenya namuonbaMola awape pumzi wote ambao bado wamenaswa na vifusi waweze kufikiwa na waokowaji.
@Mb0g0z
@Mb0g0z 21 минут бұрын
Duuuu kumbe kaz kubwa na ngumu
@BarakaMwambwalo
@BarakaMwambwalo Сағат бұрын
Du pleni jamani sisi tuko Zambia
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 Сағат бұрын
mungefanya tu hadi wakaisha maana hio kesho mukiacha naamini watu bado wapo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 сағат бұрын
Sasa ikimaliza hayo masaa je mtaacha watu wafe humo madhimoni?
@sarahzuberi7530
@sarahzuberi7530 Сағат бұрын
Kwanini mwandishi hajahoji kama watakuwa hawajamaliza kutoa watu wote kwa hayo masaa itakuwaje
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu Сағат бұрын
Waebdelee hadi waokoe wote kama kuna mtu yuko hai ni afadhali taifa nzima tuwe hapo hado tuokoe uhai
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 Сағат бұрын
Kwan hawawndeleinhata week nzima watu wapo tu ndani
@Ommylayzah_tz
@Ommylayzah_tz 2 сағат бұрын
Siasa
@tonysadick5338
@tonysadick5338 Сағат бұрын
Mnapoteza mda kuongea toa watu
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 сағат бұрын
Naamini walobaki mumeshawakatia tamaa ya kuwaacha iwe basi
@RuthCharles-u4j
@RuthCharles-u4j Сағат бұрын
Jamn sasa wote tusimame kwajir ya masaa 24 yalo baki kuombea wenzetu
@MbwanaRashidi-s5e
@MbwanaRashidi-s5e 2 сағат бұрын
Nampongeza raisi kwamamuzi ayo raisi kweli anauzuni nakazia hii
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x Сағат бұрын
Kwanini kichwa Cha habari ni tofauti na kinachoongelewa ndani ya you tube?!!!
@tonysadick5338
@tonysadick5338 Сағат бұрын
Maneno mengi ya Nini toeni watu
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 сағат бұрын
Jana nilimsikiya mwakinyo akisema kuna watu walikuwa wakiomba msaada kwa kelele huko chini na sijaona wakitolewa zaidi ya kaka alotolewa usiku sasa inakuwaje hapo?
@LucianSanga
@LucianSanga Сағат бұрын
Raisi wetu kafanya vema
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 2 сағат бұрын
Broo unaleta siasa kwenye maisha ya watu broo
@WahuBoth
@WahuBoth Сағат бұрын
Siasa Gani bro ujapoteza mtu apo uwezi kuelewa
@pascofp145
@pascofp145 Сағат бұрын
Kaka hapo siasa ipo wapi
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 68 МЛН
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,3 МЛН
Hali ya Ukoaji Kariakoo Baada ya Saa 72 Kupita
3:38
The Chanzo
Рет қаралды 8 М.
MASHUHUDA GHOROFA LILILOPOROMOKA KARIAKOO WAFUNGUKA KILICHOTOKEA
2:58
How Russia Far North Nomads live in -60°? Russia nowadays life.
48:23
Activate Autophagy For A Long Life But Don't Do THIS
28:22
Dr. Sten Ekberg
Рет қаралды 1,5 МЛН