#zuchu #diamond #litawachoma Subscribe + Like + Share + comments kwa Habari kila siku
Пікірлер: 145
@gypsummzuri_tz4 жыл бұрын
Bangi mbayaaa sana brother tumia hata Ugolo
@aminamwangile40204 жыл бұрын
Hahahahahaha
@rahimaaaaa56824 жыл бұрын
Kama mme wangu mie ogolo2 kwakwnda mberee😂😂😂😂😂
@ibnhassan99804 жыл бұрын
vyote ni haram
@estamathew51674 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwakwerrrr
@aburetalreginaelias29194 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@othmanmasilamba38444 жыл бұрын
Aliesikia THEN kwa hili liongo anipe like zangu tuuu😅😅😅😅😅
@idrissatuppa39974 жыл бұрын
Wabongo bwana wengine Zuchu wamemuona juzu tu lakini wanamtolea jamaa povu cha ajabu nini hapo.au mnaponda jamaa kwa kuwa sio star hawezi kuwa nae. Kila mtu anajuwa maisha yake aliko anzia. Nyie wengine mnadandia gari kwa mbele.2010 kitambo sana jamaa alikuwa nae uko povu la nini sasa🤣
@rehemahamisi45084 жыл бұрын
wanashangaa umri wabongo huwa tunapenda kujishusha kiumri,zuchu ni mkubwa huyoooo
@idrissatuppa39974 жыл бұрын
@@rehemahamisi4508 Wapambe wanamuona jamaa mshamba hawezi kuwa nae.kwa kuwa keshakuwa Star kwa sasa.🤔
@khadijajuma73524 жыл бұрын
Duh!!!! Watu wanatafta umaarufu na kik alafu jamaa na kibandiko cha heshima na uchebe huo mzur unaenda club duh!!!! 🙈🙈🙈🙈🙈 aibu na uzalilishaj
@mamymdogomamy36704 жыл бұрын
Nyinyi vijana wa kislam muogopeni mungu kwani hakuna kazi zinazo wapatia riziki mpaka muingie kwenye mziki
@ibnhassan99804 жыл бұрын
mtehani mzito kwa hawa watu
@doreenandrew30634 жыл бұрын
Hahahaaa mpaka naona aibu kumsikiliza utadhani mimi naongea maana si kwa kubabaika huko.... acha kuaibisha mzee🤣🤣🤣🤣....utaachaje kukumbuka mahusiano yako vile mulianza? Acha uongo
@muuechii57613 жыл бұрын
Mlisema huyu kaka muongo jaman sio mama kasha confirm ilikuwa kweli
@fantamohamedi85644 жыл бұрын
Huyu kk simuamini mbona anajikuna macho mara pua si kweli anatafuta kiki ameipata atuonyeshe ushahidi .Lzm ukiwa na mpenzi wako mtakuwa na kumbukumbu.
@ismailyusuph7404 жыл бұрын
Hahahaa’ Yaani mnachobugi mkikaona kazuchu kadogokadogo ka mwili mnakaona Vp....!...hahahaaa kana mambo makubwa kale ‘ shauri yenu..!
@magdalenakilian83104 жыл бұрын
Wew si baba ake zuchu kweli
@sadasadick67964 жыл бұрын
Uongo tu kazi kujikuna tu kama unaogonjwa wa kuwashwa
@selmesaid7405 Жыл бұрын
Umesoma na zuchu au dimond mana upo sawa na baba dimond sasa zuchu Ana wachumba wangapi jamani na katembea nao Veep mwaka huu tutawaisabu wakwe wa bi khadijaaa kMa mvuwa
@marthamasue40094 жыл бұрын
Dah!!! Mbona ni babu kwa zuchu??
@elvisstacy21654 жыл бұрын
Kingu najua🤣🤣😂😂😂
@cpasalma15324 жыл бұрын
Huyu kaka anatafuta umaarufu au vipi sielewi mtu mzima ovyoooo
@witnessmsokwe92413 жыл бұрын
Kwan mapua yanawashaaa 😀😀
@satohiroshi95984 жыл бұрын
hatutaki tuache kwanza ngoja tumuulize khadija kopa ndio mama mzazi anajua vzri
@iceplay184 жыл бұрын
zuchuu kumbe malaya tuu , katembeza ngoma sana sasa anajifanya mtoto mpya lakini ukweli ndio huu
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Astaghafrullah hivi ww wajuwa hukumu ya kumwita mtu hivyo
@mhandoonthebeats5004 жыл бұрын
Tatizo watu hamtafakari kwani zuchu alishuka toka mbinguni kwamba hakuwa na mahusiano na watu kabla ya kutoka kwani huyo hawezi kuwa nae zuchu yawezekana mtu akiwa maarufu wengine wanajua labda sio mtu yaani mtu anashangaa eti jamaa kumiliki zuchu acheni ushamba basi
@fantamohamedi85644 жыл бұрын
Jamani c kwa uongo huo. Naomba ushahidi mi staki maneno. 🙋 hayo siyaelewi
@victorpetro70044 жыл бұрын
jamaa liongo linasema walikutana 2010 au 2011 hivi huyo Zuchu kipindi hicho alikuwa na miaka mingapi? kudadadeki acha uongo mbwa wewe
@zuenamohamed20214 жыл бұрын
Duuh! Hata mm nimeona kuwa mashekh waongo ila sio wote.
@khadijamakame25964 жыл бұрын
Kwani ulimbiwa kuvaa kanzu na kofia ndo ushehe na ww unaweza kuvaa wala usiwe shehe nivazi km vazi lakawaid
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Haha zuena hila sio mbaya
@sgfdhaikuhusu60864 жыл бұрын
Kuvaa kanzu na kofia si ushekhe hata anko magu alivaa kwenye mashindano ya kur an
Sasa Osama kwani zurah ulimkuta mnato...na hiyo wa Kwanza naye hajitokeze...mbona hukumtoa.....unaomba kaswida au taarabu ....Nina dawa ya chawa nauza..maana hiyo midevu
@wizzahgfalme38744 жыл бұрын
Nimecheka jmn
@zainabumaltin70164 жыл бұрын
Acha kumtusi binadam mwezio
@linnwambui33894 жыл бұрын
I lv zuchu and respect her ....my gail
@yohanamaulid94934 жыл бұрын
My girl not my Gail 😀😀😃😃😃 kiingereza hiki jamani
@AngelAngel-sy6my4 жыл бұрын
Kaka muongo😂😂
@maureenachieng23454 жыл бұрын
Pole bro ata Rudi tu
@dohaqatar27624 жыл бұрын
MI naona hata hakufanya kitu hiyo ndo style ya kuimba angemvua nguo zote cos alikuwa uchi tayari stahili na aendelea kama kuimba ni huko basi usilalamike
@luckyvenance45764 жыл бұрын
Kwahiyo leo kawa maarufu unajinyandua hapa angekuwa kapauka siungefurahia chefuuuuu
@davidmangi38274 жыл бұрын
Zuchu ni mwanamziki so akubali matokeo
@jumahamisi14584 жыл бұрын
huyo kashakuwa msanii sasa . kazi unayo. ndugu yangu,
@josephinetabu14454 жыл бұрын
Pole sana ndugu atarudi
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Asikilize ile nyimbo ya harmonize atarudi
@himond63584 жыл бұрын
Team mond gusa Apo naitaji sapoti yenu kzbin.info/www/bejne/eofcYaOMqNxraK8
@tatumdaki78434 жыл бұрын
Mhhhh jaman unawweza kumpenda zuchu ww
@fadyaahmed714 жыл бұрын
Ende huko kwani anavyo imba ndio sawa na anavyo shikana shikana nao
@rehemamasoud36874 жыл бұрын
Huyu ni shekh au mchungaj
@ahmedaliahmedahmed30034 жыл бұрын
😆😆😆😆ata mm najiuliza
@ramadhanyusuph76334 жыл бұрын
Huyu muongo sio mchumba wake bali walikutana huku wakihaso kimaisha sasa mwazie katoboa kimaisha unataka amkumbuke jamaa kanyewe kanaonekana kana njaa hata ndevu kuchana hataki
@maiidd583 жыл бұрын
Ni mchumba ake alikuwa kweli
@gaudensiamganga81404 жыл бұрын
Mmmmmmh makubwa ukweli mnaujua wenyewe naona mauza uza hapa mm
@aisharajimbo67844 жыл бұрын
Topic iko tofauti na maelezo.
@khalidjimmy57744 жыл бұрын
Duh duh duh hatar sana
@jenestermerchades91114 жыл бұрын
Tatizo bangi mbichi #kick Kujikuna kwingi ni dalili ya uongo
@teddymwageni17634 жыл бұрын
Mtu muongo lazima ajikunekune kichwani,macho apepeze pepeze, katumwa huyu hayawani,mpz hayalazimishi cz hakumuoa ni mahusiano yanawezadondoka muda wowote,so usimchafue zuchu muache na maisha yake
@frankkaiza36584 жыл бұрын
Kibamia au?
@Drkhan3454 жыл бұрын
Naona huyu jamaa ni mzeee
@satohiroshi95984 жыл бұрын
wewe inaonyesha labda mlikua mnajuana enzi za utoto saa umeona amekua super str unajifanya mpz wako🤣😂🤣😂🤣😂
@lungusii4 жыл бұрын
Duuuuuh kanzu kubwa lakini eti Mzikii! 🤔
@tumakimberley25294 жыл бұрын
Achaneni na zuchu wangu jamani
@godfleyjohn93694 жыл бұрын
We jamaa muongo sana
@mahukukurza86834 жыл бұрын
Uongo wake ni upi?
@gracewiliam88724 жыл бұрын
Huyu Kaka muongo acha kimchafua zuchu ishia huko
@anamerykatto18974 жыл бұрын
Siute ayo mandefu kama yanakuasha mpaka ujikune
@cheiknamouna20584 жыл бұрын
Hebu tupeni upande wa pili tusije tenda DHAMBI buuuuure Kwa bwana shemeji kumbe kazuchu kameanzaga hiyo michezo mapema
@mussakadikilo11404 жыл бұрын
Mwaka 11, 12, 13...????
@ashamatolla17564 жыл бұрын
Kwani amewambia no shekhe
@juliusjohn94534 жыл бұрын
Kizungu you two are friends ("Marafiki)
@giftmetely93294 жыл бұрын
Ueenda kwerr jamanii ila mh
@faidhatmagige55864 жыл бұрын
Dar yan unajua kuna mtu anaongea uongo wa Waz kabisa anakuja mapua utasema kuna upupuu jaman Yan kuna watu wanatafuta Kiki za kijinga
@fatmasalim82934 жыл бұрын
Huyu jamaa muongo sana
@fatmaamish71584 жыл бұрын
Atafta kiki huyoo
@uaeuae18714 жыл бұрын
😳😳😳 Nini? Uongo
@SaadaRamadhani-iy7hx Жыл бұрын
Iko poa
@fantamohamedi85644 жыл бұрын
Dada hadija kopa tupe ukweli hatutaki uongo funguka mama
@namirihamisi38994 жыл бұрын
Umepangwa ww acha uwongo unatafuta kiki subiri majibu kwa Bi khadija kopa utaisoma no hiyo Aksheni yako peke yake hadi macho yako yanonyesha umuongo kwa sababu inaonyesha hujazoea uwongo ila umeshinikizwa na watu wajinga wachache pesa bwana shetwani.
@ibnhassan99804 жыл бұрын
kwanini useme uongo?
@namirihamisi38994 жыл бұрын
@@ibnhassan9980 sikuhizi watu huwa wanapangwa ili kumchafulia mtu jina.
@wivinemwamini91104 жыл бұрын
Kwenu watu wote wakorofi hakuna mukristo wenu
@leilaadamu48174 жыл бұрын
Hehehe heh hehe😄😄 ndo safar ikanza
@tabumussa67054 жыл бұрын
Aya ndiyo ivyo tena
@rozmihambo19354 жыл бұрын
Tatizo yuko na daimondi
@fatmaamish71584 жыл бұрын
Huyu jamaa msomali
@arnoldrukwembe41464 жыл бұрын
Wewe mbona mtu mzima afu zuchu mdogo
@Salumsalehe4 жыл бұрын
Ww mbn mtu mzm huna hatahay mh
@swagger70534 жыл бұрын
Mmmh at a aelewekiiii anaongea utumboo ajui kujielezah
@Amneamne-qi2du4 жыл бұрын
Mmh napita mie
@zamzamhassan41594 жыл бұрын
Sijakuelewa Kaka hii intavyuu inahusu malalamiko au Nini Minaona ukamtafute maalim othuman ukajifunze dini Kingine acha kuchokoa pua
@asmahamis46584 жыл бұрын
Kigugumiz kibaooooo acha kumchafua bint wawatu
@hamislyegwa22194 жыл бұрын
We muache mody ale vi2 kama we urishidwa kaakushoto
@namirihamisi38994 жыл бұрын
tafuta zile dawa za kunyolea utoe hivyo vinyweleo vya ndaani ya puwa vinakughasi.
@ibnhassan99804 жыл бұрын
why?
@bahatynangi38424 жыл бұрын
Kaka huna Leso ? Unajishika saaaana pua
@ahmedaliahmedahmed30034 жыл бұрын
Mhh afadhali unyoe ndevu
@khelefomar40974 жыл бұрын
Acha wivu at a Hali mtia kidole unaumia wap na yule sio make wako?
@jacqulinelukumay87054 жыл бұрын
Mwacheni ashikwe paja c waimbaji hao nyie vipi acheni ushamba
@haleemahaleema10064 жыл бұрын
Yan huyu shekhe fala tyu mnapenda Kiki za kijinga kuongea mwenyewe tabu au wamekukaririsha maneno waachie wenyewe wanaojua kufanya Kiki unapendeza sana ukiwa msikitin unaswalisha so hapo unaongea mwisho mafua yakutoke bure hahahaha hovyoooo
@ibnhassan99804 жыл бұрын
sio sheikh huyu kwanini wewe ufikirie ni sheikh?
@haleemahaleema10064 жыл бұрын
Anachekesha sana
@athumanamri76664 жыл бұрын
Ww acha mtu afanye kazi ww Kama inavyo takiwa
@rahelmasiga15034 жыл бұрын
Wivu Tena ? Utaachwa
@angelreuben67514 жыл бұрын
Uso hila na fedhur uongo umekujaa
@RajKumar-ub1ns4 жыл бұрын
😂😂😂
@aishambise65294 жыл бұрын
Hata hogea yk wewe n mwongo hakunakitu hapa medevu kama yt
@ibnhassan99804 жыл бұрын
kwanini umdhanie uongo?
@sheysarahnjeno93264 жыл бұрын
Mmmmmmh!!!!!!
@muzdalifatomar97124 жыл бұрын
Mtoto mdogo kasharukwa na wakubwa mapema
@musitemusite43164 жыл бұрын
Makubwa
@Dalla_Boii4 жыл бұрын
Mrongo huyo yuwatafuta kiki tu
@mussakadikilo11404 жыл бұрын
Mnaona raha kutuibia mb zetu....kiki za kijinga zinagharama we jiandae kilipa tu....
@juliusjohn94534 жыл бұрын
Leo hii mko pamoja au????¿
@bonnysureolkokolaboy43424 жыл бұрын
Shingo mbwa nyie mnatumia umaarufu wa mtu kupata Subscribers na views mbwa nyie
@belenawilson69004 жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmh acha mambo zako wew kwaza unajieleza kinaga ubaga tyuuu hueleweki na pua zako hizo zina niniiii
@elishajohntv82944 жыл бұрын
Acha ujinga
@maamuu79774 жыл бұрын
Shida unajishika shika mapua sanaaaaaa yucccck 🤮🤮
@cutenaa69844 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😕
@imanially11694 жыл бұрын
muongo sana huy mwanaume anatafuta matusi y khadija kopa na atapat mhh hana hay
@abubakarmahad31014 жыл бұрын
Mkubwa
@zainabumaltin70164 жыл бұрын
Duu
@husnamohamed92454 жыл бұрын
Muongo hasa anajizazalisha ukimpenda mtu unajuwa kwenye moyo wake huyu jamaa muongo
@frankkaiza36584 жыл бұрын
Ukikutana na demu bar mnachana kibar bar uc umize kchwa kk unajichelesha mtt kavulugwa na mwamba!!
@الال-ط6ث9ض4 жыл бұрын
T
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Kiba
@cutenaa69844 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@akidaally26974 жыл бұрын
Ustazi hujakojolea msaafu kweli mbona skuelewi
@rahmaaotman70284 жыл бұрын
😍
@edibrown41904 жыл бұрын
Ww acha ujiga zuchu hamfanani kabisa duuu haoni hata haya hata hajakutambulisha muone unawaswa Sana unachawa nn