Tunataka tram Zanzibar sio treni tram kwa ajili mitani na vijijini
@JCMaxima14 күн бұрын
Uko sahihi bro! Watu hawajui tofauti ya Treni na Tram! Mimi naishi Ulaya, kuna TRAM za mjini ! 😅😅😅
@MsabahAli-d6u13 күн бұрын
Io ya bara kila siku inagoma msitafute kiki
@fakihdarusi438513 күн бұрын
Itaundwa🎉😂😂😂
@modenasayi14 күн бұрын
Misplaced priorities. They should invest in Trams like Mauritius, or BRT buses its going to be costly for them if they implement SGR project just for passengers. SGR to be economically viable they need CARGO. Invest in Passenger Cargo/Ports, Big shipping lines, Big Malls , Skyscrapers, Economic zones, Conference Centers, Arenas to host events etc Zanzibar economy is a Service Economy stop copying mainland.
@benimlisa605614 күн бұрын
My friend it is about the tram
@modenasayi14 күн бұрын
@@benimlisa6056 Ooh okay i didn’t know that
@nassorjuny11 күн бұрын
Hatutaki manambazi sie kwanza wafanye hiyo ya kwao inayokwama kila siku. Zanzibar wanaweza wenyewe kufanya maana walikua na train hata hiyo Tanganyika haipo kiufupi majizi ya TRL yatengeze na kusimamia ya kwao kwanza wakimaliza waende Kenya na sio ANZIBAR
@chidi_don14 күн бұрын
Dah Sio Poa Hi Umeka Sawa 💯
@IssaMuhamedi12 күн бұрын
Haya nawaunga mkono kama me mtanzania nikija kujitaftia lizki niwe napita vizuli
@fakihdarusi438513 күн бұрын
ZANZIBAR CORPORATION COMPANY -ZRC
@MsabahAli-d6u13 күн бұрын
Tunataka mtupe nchi yetu hatutaki ukoloni wa Tanganyika
@kassimomar758912 күн бұрын
😅😅😅😅 unafiki mtupu
@HvhVvb-k3i14 күн бұрын
😂😂 eti kampeni tushazoweya drama akimaliza 10 aondoke kashachota hela z kutosha mahoteli viwanja kashamiliki tayar
@mwalimumstaafu852913 күн бұрын
2:23 Mkurugenzi RC acheni siasa, endesheni shirlka kibiashara. Watanzania wamewekeza fedha nyingi. Tukipenda kuona shirika linajiendesha lenyewe. Tuwafumbie macho wanasiasa. Mambo yale ya coupons na warrants hatutaki kusikia. Kila mwananchi alipie hiduma.
@ahmadSeif86014 күн бұрын
Uyu mshenz kaja kuua uchumi wa zanzibar, hakuna mahitaj ya reli zanzibar, izo gar za abiria hazijai! Iyo Zaman gar zlikua kidogo sana ndo ikawepo reli ila kwa sasa Hakuna mahitaj ya reli hapa
@JCMaxima14 күн бұрын
Sio Treni ni TRAM. Hii inahitajika kwa usafiri wa Wananchi! Itapunguza msongamano wa magari kwa kiasi kikubwa! Na ni nzuri kwa ecology! 😅😅😅
@mudighurayra13 күн бұрын
Acha ujuaji nchi inakua uko zaman kulikua na watu laki 2 saiv wanakaribia million 2 so maendeleo ni malengo ya mdaah mrefu sio sasa
@Kabwela77613 күн бұрын
Uwa nawashangaa sana wazanzibar kuendelea na huu muungano na watanganyika muungano hauna faida kwa Zanzibar bila Muungano Zanzibar ingekuwa mbali sana kiuchumi na kimaendeleo maana wangefanya mambo yao kwa faida yao bila kujadiliana na watanganyika na kuwapotezea muda, na ingeweza kuthibiti kiasi gani watanganyika waishi zanzibar kuna malaya wengi wa kitanganyika wanajiuza Zanzibar na wezi wote wangekamatwa Na kurudishwa bara Na wengine wanatafuta kazi mahotelini ila shughuli yao kuu ni kuuza uchi wao wa kitanganyika kwa wageni
@SaneMwezi13 күн бұрын
Unafikiri zanzibar Ina rasilimali nyingi kuliko bara
@mudighurayra13 күн бұрын
@@SaneMwezisio nyingi kama tanganyika ila inatutosha kwa mika ata elfu 10
@mudighurayra13 күн бұрын
@@SaneMwezimaana ata pesa ya Zanzibar ilikua ina thaman zaidi ya marekani, maana shilingi moja ya Zanzibar ilikua sawa na dolla 2 za marekani
@SaneMwezi13 күн бұрын
@@mudighurayra lakini kiongozi Mimi kama mtanzanzania ambaye pia ni mtanganyika nadhani mungano umewekwa kimasirahi ya kiulidhi dhidi ya maadui zetu maana rasilimali za zanzibar zifanya maendeleo zanzibar sio bara sisi bara tunawazidi mbari mno nchi yetu ni ya maziwa na asali tuna Kila kitu madini ,fukwe ,maziwa,bahari, aridhi yetu inaruhusu ufugaji lkn pia kwani United kingdom ni nchi nyingi lakini hazina shida sio kwamba hamna watu kama ww wenye mtazamo wako wapo lakini tukiwa wamoja inapendeza zaidi
@Sheba465113 күн бұрын
@@SaneMweziMuungano unadhibiti Zanzibar kujiamulia mambo yake ya maendeleo, ati mpaka mafuta ya Zanzibar muungano utake, bandari na uwanja ndege wa Zanzibar pesa iwe mkopo ama msaada Philip Mpango na Lukuvi waridhie, si tunaona bunge, Philip Mpango alikataa kuweka saini miradi ya Zanzibar wakati wa Jiwe
😁😁😁😁 kila kitacho fanywa Tanganyika na wao wanataka,bado bwawa la nyerere (Lao wataita karume)
@maase202314 күн бұрын
@abdulnaseermrisho4342 😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@fakijecha14 күн бұрын
Sisi ndo tulikua tuna TREN kambla uko tangayika km unasema iyende wapi Kwan yinyi mkija mnakua mnakwenda wap huoni hata haya
@maase202314 күн бұрын
@fakijecha unguja yenyewe ni km 50 tu sasa treni iende wapi nyie kanchi kadogo mno ! Hamuachi jamani kila kitu cha bara na nyie lazima mfanyiwe 😃😃😃😃😃😃😃
@fakijecha14 күн бұрын
@@maase2023 kwani ata km ndogo ndo tunajenga Kwa mujibu ya maisha yetu shida yenu mnapenda kuingilia vitu ata haviwausu apo zaman Kwan ilikua inakwenda wapi mana ata km itakua inaingia chumbani na ukumbin lakin yetu sawa kuwa mpole maisha hachaguliwi mtu huchagua mwenyewe mbna hamsemi kua tuko wengi lakin bado tunakuja muwone aibu mambo mengine
@salehkhamis-ob8ln13 күн бұрын
Kwa hali hii bila kushirikiana na wabongo hatutoboi inamaana sisi hatujasoma mpaka watalam watoka bara
@SaneMwezi13 күн бұрын
😂😂 sisi wote ni watanzania kiongozi ndio maana raisi anatokea zanzibar na hatuna hofu na utajiri wa rasilimali nyingi tulizonazo umoja unakifanya kitu kiweimala
@KechaGames-k5y12 күн бұрын
Andamaneni muungano uvunjike tu maana amna umoja apa
@hafidhiabdullah317214 күн бұрын
Wafanye treni inayotoka dar mpka zanzibar itakua poa tumechoka bot kwanza wamekua na dharau sana
@salehkhamis-ob8ln13 күн бұрын
Bora unguja to pemba maana ni nchi moja hio dar vip. acha yatembee maboti watu wameekeza pesa nyingi usafiri wa baharini