Akhi asalaam alaikum, Masha Allah unajitahid kutupatia darsa hizi lkn shida huzipangilii katika mpangilio maalaam, . Hiz darsa ni mihimu sana tena sana kwa kutambua Hilo basi usipost post tu jitahid kuzipangilia ili ss wafuatiliaji tuelewe na kwa watakao kuja baada yetu pia iwe rahis kufuatilia .Allah akubarik