Masha Allah, Alhamdulillah, Allah atujalie mwisho mwema Insha Allah
@bellbell92943 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akujaalie umri mlefu wenye kher na Baraka Aamiin wajazakumullah
@user-cq7vr1mo3o3 жыл бұрын
ammeen
@tuterlakapo20163 жыл бұрын
Hafdhakallah Waraak..sh. Allaama.. Othman Maallem bilashaka yyte.. uanaeleweka vzri sana ktk ufasaha wako wa kutoa Elimu juu ya umma.. kwa uwezo wa..Allah atakulipa ya kheri na baraka na utulivu wa moyo hapa Dunuiyani na akhera, na akusamehe dhambo zako Yaarabby Tqabbal..amin.
@zainarashid10243 жыл бұрын
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakat.Sheikh M.Mungu akujaalie siha na Afya utupe zaid ilmu. Na akuhifadhi na Aila yako.
@aminarajab58093 жыл бұрын
Mashaallah Yan Allah akupe mwisho mwema sheikh ❤️ tunakupenda kwa ajili ya Allah
@shabankayumbo19333 жыл бұрын
Alihamdulillah nakupenda kwa ajili ya Allah.
@hassanawale35763 жыл бұрын
Jazakallahu kheir
@ftimaramadan47483 жыл бұрын
Allahu swale alla saidina Muhammad waala alihi waasihabih wasalam Shukran wajazaka llahu heri inshallah
@rahimasaid47023 жыл бұрын
Tumsalieni sana saw ili tupate baraka katika jambo letu na kua na utulivu katika maisha yetu Ahasante shekhe wetuجزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Mungu mkubwa kwakweli nimejifunza kitu kikubwa kweny huu ujumbe
@rytalmoha37963 жыл бұрын
Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh naomba SHEIKH tueleze zaidi kuusu hagia sofia kanisa ilobadilisha msikiti kule uturuki the ottoman empire tueleze zaidi jamani hakuna SHEIKH East africa yuwaongelea historia hio nani muhimu sna