Jazaaka llah khair.waislam tusomen dini yetu tujilazimishe kufuata kheir
@mariammasalu6547 Жыл бұрын
Mashaallah shekh Mungu akulinde kwa kusema kweli
@saidgawawa8519 Жыл бұрын
Huyu sheikh nampenda Kwa ajili ya Allah ,Huwa haogopi mtu akisema mambo ya kweli hususan yanayoathiri jamii Kwa ujumla!! Allah barik Yaa sheikh....
@Kondoa8052 жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah nasaha nzuri sana allah atujaaliye tuwe wenye kuzingatia
@kabirigisaidi8253 Жыл бұрын
Jazakallahu haira sheikhe
@umugumyabangakhadjraty8319 Жыл бұрын
Shukrani saaaaaana mwalim
@user-ju1pl7rr8n9 ай бұрын
Aslm alkm ww.... Jazakallah kheir 🙏.
@sayaribrand538 Жыл бұрын
Shehe rusaganya mungu akupe maisha malef
@ahz69072 жыл бұрын
Kweli sheikh.umenena kweli.
@ahz69072 жыл бұрын
Jazaqallah kheyr kwa ukumbusho. Allah akujalie uwe na umri mrefu wenye manufaa na akujaalie mwisho mwema 🙏
@claudiabakisa8052 Жыл бұрын
Amiin
@mubirirashidi3 ай бұрын
Mashaaallah❤❤❤
@ussihamza-xn7bx9 ай бұрын
Sheikh Shukran Sana.
@aminashaib6956 Жыл бұрын
MashaAllah Allah barik
@aminashabani9526 Жыл бұрын
Allah atuhifadhi
@khadijadirunga67157 ай бұрын
Allah akijaaliy Pepo
@shiishayeabdillahi8809 Жыл бұрын
Dalili za kiama hizo ustadh
@ayubojoao74602 жыл бұрын
Asalam alaikum ostazi nachukuru k wa ukumbucho wa alha
@sayaribrand538 Жыл бұрын
Yani uyu shehe wallahi nampenda sana yan hapindi pindi alaf akiongea ukwel moyo wng hua unapanda iman na uwoga unabak kw Allah pekeyake na sio mungne
@kaitaramadan6340 Жыл бұрын
Sheikh rusaganya nakukubali Sana ktk mawaidha yako ila ktk hili suala la waislamu kutokuijua dini Yao wakulaumiwa sio waislamu wa Tanzania Bali wakulaumiwa ni bakwata kwa sababu bakwata ndo wamejipa jukumu la kuwasimamia waislamu Sasa Nani anaetakiwa kupanga mtaala wa kufundisha madrasa? Nani wa kuwalipa waalimu wa madrasa? kwa sababu elimu ya dini inatakiwa uianzie ukingali mdogo bakwata wanapata pesa nyingi Sana kutoka kwa wahisani wa nje na wa ndani hizo pesa wanapeleka wapi? waliachiwa shule za sekondari taqwa secondary school hospital za bakwata zimekufa bakwata watajibu siku ya kiyama kwa kuwanyima haki msingi ya elimu ya dini Yao Kuna nafasi za wanafunzi kusoma nje ya nchi misri, Saudia, nk hizo nafasi wanapeana wao kwa wao bakwata ndio chanzo cha kuwafarakanisha waislamu wa Tanzania