Good morning loved ones thanks for being here, share your story with us on WhatsApp or text via (+2547 58527229)
@irenekhuma Жыл бұрын
It's a true story.. The same same thing happened to us in the year 2010... From Kangemi to western it took us three days...Sema njaa na kufura miguu😔😔😔
@lydiakimani5087 Жыл бұрын
,very sad indeed 😭, if a person does at casuality you are taken to City mortuary, but if one dies at the ward, then they take to the Kenyatta mortuary.
@puritykash8928 Жыл бұрын
Keep going Bob people always talk people will not appreciate you but with time I see you big
@Carolynemabera Жыл бұрын
So painful 💔😭 unforgettable huyu mum ndiye alimuua maybe alimpiga akiwa na njaa😭😭😭
@sarahwambuu8632 Жыл бұрын
Walitoa wapi connection za city mortuary
@cordeliaray8700 Жыл бұрын
Hivo tu
@janenana9579 Жыл бұрын
Sir God do miracle.
@marthanyamburasamuel5706 Жыл бұрын
Ati yesu wa tongalen false prophets of the doom,,kwanza wanawake fungukeni macho yenyu ya kiroho
@julietcute5306 Жыл бұрын
The boy was killed..fullstop
@veronkelly6337 Жыл бұрын
Sasa ukabila ni ya nini si useme tu Kenyans in the house, must you say luhyas, kikuyus etc
@wendie954 Жыл бұрын
Nashangaa na tena si Kenyans pekee huyu jamaa ako poor in communication
@rosendunge4217 Жыл бұрын
It's sad 😔 na ndio maana Kenya 🇰🇪 yetu ukabila haitawahi isha
@Christine045 Жыл бұрын
Hivyo ndivyo tunafeel mkitaja kisii🤣🤣🤣
@wendie954 Жыл бұрын
My brother just say viewers ,I can see u are improving in listening
@bobshakwilashow Жыл бұрын
Sure Wendy thanks
@liliannamwoya3903 Жыл бұрын
Weee Acha niame na mtoto wangu
@eddynaingasian2813 Жыл бұрын
Mngebadilisha geneza kichwa kiwe nyuma miguu mbele gari ingeenda ...that's what we did to our aunties body from nrb...however Women ungependa mwanamme mwenye watoto ,wapende kama wako same to men...mtoto wa mwenzio ni wako. Karma misses not it's way .mimi husema niche nife kifo alivyo nipangia Mola ukinikatiza geneza langu na wewe hamtaachana..wenye mila I shall scatter them before wamalize ...
@pamj9v Жыл бұрын
So sad iyo story ili happen kama kwetu mtoto w my brother ilifanyika kama iyo n kwanza wetu ilibidi azikwe usiku😭😭😭sema kufura harufi
@joycekaphevemba7215 Жыл бұрын
😢😢😭😭😭😭😭😭😭
@lydiakemuma9533 Жыл бұрын
Ohh my God uhuyu mama roho chafu kabisa
@mercyshany6400 Жыл бұрын
People are so wicked 😭😭😭😭
@dda001 Жыл бұрын
Ignorance combined with poverty is a lethal mixture! A child dies mysteriously then gets buried just like that without autopsy!😭
@nancyflorence6641 Жыл бұрын
Ndio maana siwezi acha watoi wangu na mama wakambo so sad story
@florahirene9690 Жыл бұрын
Aaaaiiii! ladies if huezi Kaa na mtoi umepata msee naye, better stay way then.Y kill an innocent soul aki.Weh Mimi heri Hio ndoa ikae basi.
@nkizurimwinyipande8322 Жыл бұрын
Halafu hata wakiulizwa kwann wanawachukia huwa hawana sababu
@marknyongesa5058 Жыл бұрын
The interviewer😡
@adhiambojessica7404 Жыл бұрын
Let God bless u
@rosemunyali8728 Жыл бұрын
Huyu kijana anapeana story km Sio y ukweli...nkm anatafuta story nkm haelewi chenye anaongea
@chepkorirsammary6008 Жыл бұрын
Anasitasita na kusupaa anaguess sio ukweli
@carolynebuya6652 Жыл бұрын
Sio eti siyaukweli chenye nimeelewa kwa huyo kijana kizungu ndio ilikuwa anajaribu kukiweka sawa ndio alikuwa anakwama
@mildredliambilah2605 Жыл бұрын
Kumbe hii story huwa ukweli 🤔🤔🤔🤔weuw
@rosemunyali8728 Жыл бұрын
Hiyo n western ....huko Sio Mahali pa mchezo huwezi uwa mtu n unataka kukaa Kwa hiyo Gari...haiwezi enda
@kiri5807 Жыл бұрын
Hii inaweza kutokea popote na inatokea sana iwapo alokufa hakuwa happy na mtu ambaye yupo hapo . Nimeona maiti wakiislamu anavishwa sanda kajikunja viganja na magoti akasemezwa haikusaidia wakaambiwa watu wapunguwe ndio kuna ndugu yake hawasemi akatoka hapo alinyooka viungo vyake . Tena zipo nyingi zinatokea hivi vituko .
@lilimoswambu9934 Жыл бұрын
Ata Mimi nikiuliwa awe mtu wa uko ama rafiki mwenye aliniuwa I will fight to her/she hata kama Ako mwambali Mimi na yeye hadi kieleweke Like niliona TikTok someone Alikufa the day alitolewa mochari maiti ilifanya vituko maiti ilishinda watu nguvu nyumba silibomolewa kumbe mwenye alimua alikuwa tu around there so usiuwe mtu ufikirie umefaulu something will happen to you yenye hutai sahau
,very sad indeed 😭, if a person does at casuality you are taken to City mortuary, but if one dies at the ward, then they take to the Kenyatta mortuary.