Yope is still one of the best african's songs of all time and generations. Thanks Innoss'b and Diamond Platnumz
@officialtiger19103 жыл бұрын
Simba safiiii tembo safiiiii Swahili nation inatangazwa vyema Sana 😍🔥🔥🔥
@bizodidier3 жыл бұрын
Upewe heshima tuuu Simba🔥🔥🔥🔥😍 love from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@kivumbi76733 жыл бұрын
Mwenye nchi hii 🔥 sanam la chibu na liekwe makumbusho pale
@aminamayala83733 жыл бұрын
Kiswahili kimetangazwa, watz wa american big up sana
@wayboy50483 жыл бұрын
Simba baba lao ufund wako umetisha Sana Kaka🦁🦁🦁
@salimwalugembe16603 жыл бұрын
Great 🙌
@rashidyally87153 жыл бұрын
Washington 😳😳😳😳😳😳😳 nikajua madale
@timboxlee9193 жыл бұрын
Simba ni big nation!!!!
@pedrorachidekalamaga92333 жыл бұрын
Simba babalao 💓💓🔥🔥💪💪🙏🙏🇲🇿🇲🇿
@subirachuta81693 жыл бұрын
Hii ndo shoo Sasa👏👏 Sio unapiga shoo umedoda Kama ugali usioiva.
@nellymasengo14193 жыл бұрын
Na wew unasema hii ndio show ?
@subirachuta81693 жыл бұрын
@@nellymasengo1419 Kwani na wewe unasemaje???
@nellymasengo14193 жыл бұрын
@@subirachuta8169 mimi Nasema hii ni kelele
@subirachuta81693 жыл бұрын
@@nellymasengo1419 Hizo kelele Mimi ndo nazielewa na kuzikubali 🙏Kwani nakukera eeee!!!!
@tresormpani53933 жыл бұрын
Grand mopao 🇨🇩double 👑
@carinapaul173 жыл бұрын
Simba is fire💕
@hamisiselemani97773 жыл бұрын
Dah show ni Kali sana
@cosmaselias1873 жыл бұрын
Simba safi!Tembo safi!!baba na mwana wote mnatishaaaaaa
@keizerkaundila88053 жыл бұрын
Anaijua kazi yake ana haki ya kufanikiwa mana ukilipa kiingilio akiendi bule ila ndo ivo watu wanamchukia pasipo sababu
@sharinv88643 жыл бұрын
Simbaaa 💞💞💞
@rajustar75612 жыл бұрын
Amazing
@DiorMabaril-zp1xl8 ай бұрын
Wezombi haujui Simba wamasimba dangote 🔥🔥🔥🔥
@mvutobrand24783 жыл бұрын
Simbaaaa ohoooo
@basickasote5383 жыл бұрын
Dawa yenu nikuacha kumsema vbaya huyu kiumbe maana kila ck anazd kuwa juuuuuuuuuuuuu
@yussufamour65673 жыл бұрын
Wataelewa tuuuuu😅😅😅😅
@alexaiddan9793 жыл бұрын
Simbaa atali Sana mwamba
@mamarazaki89753 жыл бұрын
Simbaaa🔥🔥
@maryamalhabsi43643 жыл бұрын
Niceeeeeeeeeeeeeeeey 💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💕
@bignation98923 жыл бұрын
Huyu camera man amenogewa na vibe akasahau kazi😂😂😂😂
@kulwamussa36123 жыл бұрын
Uyumtu nihatali sana kwamajilani wenye loho zakisokoro kwinyo mondi nisumkwao
@eliaumetishatish26933 жыл бұрын
uyu mwamba ameshindikanika
@yahayamuna36793 жыл бұрын
JPM baba laooo..Safi sana
@peterjoseph50903 жыл бұрын
Uyo do simba bwana weee
@hamisiselemani97773 жыл бұрын
Alafu uyu cameraman alikua anachza na yeye
@donaldlameck60183 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️mondi
@marcelart_graphics19483 жыл бұрын
Yenye na furaiya diamond ni kwani hata akiwa usa, ana value african culture, aki acha luga zaki africa, na aki zi cheza... Oneni apo ame cheza koffi Olomide ☺️
@michaelymacochaly54833 жыл бұрын
Simbaaa
@emmanuelnjolomba39413 жыл бұрын
Powerful
@NyumbaniBackyardFarm3 жыл бұрын
Camera person shows lights more ..but good performance
@officialdmd89963 жыл бұрын
Show imechangamkaa Hadi raha thana.
@ezrabididi89753 жыл бұрын
Mashamsham
@smashboy61253 жыл бұрын
Alafu baadae utawaona tena wanakuja na maneno yao eti dogo kama ni konde mavi ndo mkali😂
@njoroboihustla1253 жыл бұрын
Kwanza kaa mbaliii,,,,coronaaa Simba👺👺👺👺👺👺👺
@jessykadaraja26913 жыл бұрын
Wabongo in DC.
@salehejuma78693 жыл бұрын
Wataelewa tu kuwa simba mtu mbaya
@mwambaebwatelogilbert66303 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@neemayusuphu15913 жыл бұрын
Laha mond
@achizakafulirokf74313 жыл бұрын
Lion
@ramadhanmahongole56633 жыл бұрын
🙏🙏🙏🏾🙏🙏
@blandinamyinga94893 жыл бұрын
Baba 🍪 cku hizi kawa mzito
@wardamasoud40613 жыл бұрын
👏👏👏💋💋💋
@fathiafathia87013 жыл бұрын
Wacheni ujinga kwani mnaangalia performance ya msanii ama watu
@lulurubby22353 жыл бұрын
Alafu hawajui watu or not diamond kashalipwa pesa yake tayari
@ramadhanmahongole56633 жыл бұрын
Huyo ndo simba bana
@lm63733 жыл бұрын
Tembo 100% yes
@khadijashaban32183 жыл бұрын
Wakwanza
@kakongemushota87383 жыл бұрын
kkkkkk siyo mbagala hapa
@maxozone37623 жыл бұрын
Chawa wko wapi BUDA da deki
@muxtaphamaeda83163 жыл бұрын
Simba
@bombodecrank26453 жыл бұрын
duuuuuuuuuh
@abdi00133 жыл бұрын
Anatisha simba ni simba
@vinnymuathes33013 жыл бұрын
💪💪
@mzembemakini35322 жыл бұрын
Utaongea t kiswahil
@hamisiselemani97773 жыл бұрын
Ujue mijitu mingine humu kama misenge vile nyie munaangalia show ya mtu au mnatazama watu kujaa
@erastomusa96053 жыл бұрын
Simba unatxha xna
@aliymwanafuno98483 жыл бұрын
Mchukua kamera ata aujui yani aujaturia kabisaa
@ndomandoma97443 жыл бұрын
Hujawahi kutuangusha mafans wak
@timelessdaddy.25423 жыл бұрын
Hii ndio show unalipa lkn mtu anafanya show kwel sio unone jukwaani km nguruwe utaliwa na nan....
@pascalsteve33083 жыл бұрын
Wakati wake umeisha uyo kabakia shalubu tu simba zeee
@timelessdaddy.25423 жыл бұрын
@@pascalsteve3308 sasa ivi ni wakati wa babako
@saidasao98973 жыл бұрын
Simba lazima awakalishe
@alexaiddan9793 жыл бұрын
Nakubal mzee
@josephkiwale34953 жыл бұрын
@@pascalsteve3308 unaforce mno mjomba tulia huu mchezo hauhitaji jazba
@dhilierasto3073 жыл бұрын
😁
@allyshabanially26443 жыл бұрын
Mbona mose iyobo anategea
@vitalisikavela60833 жыл бұрын
Where is tcha
@viannyndayihimbazev61373 жыл бұрын
💯
@yohanajoseph75553 жыл бұрын
Mbona hapo n kigoma Au n Washington DC ya wapi hiyo🙄🙄🙄, Halafu watuonyeshee Mashabiki sio waonyeshe Sehem moja tuu au cameraman na yye yupo anacheza😅😅😅
@pamojasanbongelangomapesa96803 жыл бұрын
We choko kigoma hii nyimbo ya waaah ilikuwà imesha toka huyo ndio Baba lao
@yohanajoseph75553 жыл бұрын
@@pamojasanbongelangomapesa9680 Brother Tuliza Mshono Matusi ya nn , Au kinachokuumiza hasa n nn ,Kwanza Unateseka Ukiwa wapi😁😁
@liliansingenda74923 жыл бұрын
yan mtu anananisha marekan nakigoma xaxa huyu nishabiki wamziki au chiz
@josephstephen20473 жыл бұрын
@@liliansingenda7492 Ni mwehu huyo
@jamesomoro30343 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 hii ndio aliedit akaweka insta kumbe haina watu 😂😂😂😂
@ezrabididi89753 жыл бұрын
Shangwena
@malmavoice89893 жыл бұрын
Asije akawa yuko Burundi hapo anatuongopea yupo Washington DC!! Wazungu wanaimba kiswahili namna hii!!
@nancymark6983 жыл бұрын
Wazungu wenyewe wako wapi mbona ukumbi hauna watu kabisa
@bizodidier3 жыл бұрын
@@nancymark698 😂😂kama wwe sukufe tuuu unachuki original kabxa Yani mungu kaumba watu wa ajabu sna🙄🙄
@niyonkurufaustin55423 жыл бұрын
Sina shida na performance ya @diamond 🦁 huwa niyakuchangamka mwanzo mwisho ila shida inakuja pale ambapo mara zote hutumbuiza nyimbo ambazo amefanya collaboration na wasanii wengine muda mwingi haimbi nyimbo ambazo kaimba pekee yake kwa kuhofia kuwa anaweza kuchemka jukwaani..... Tofauti na @harmonize 🐘 ambaye yeye muda mwingi huimba nyimbo zake za pekee kama alivyo jeshi la mtu mmoja huku featuring zikiwa chache jukwani. Ila tu wote 🦁 & 🐘 wapewe heshima zao 🕺
@agnettakamugisha49843 жыл бұрын
Sio lazima kulinganisha kila kitu. Enjoy the muzic and 💃🕺💃🕺💃🕺
@shackyllsavallah53643 жыл бұрын
Unalinganisha wewe na mwalimu wako we mwehu nini
@HassanKhalfan3 жыл бұрын
shida unayo dhidi ya kutokuwa shabiki wa Diamond, wewe hauko neutral wewe ni shabiki wa Harmonize based on your views in favour of Harmonize
@susanclara66113 жыл бұрын
Wacha wivu furahia wakati mwenzako anabarikiwa
@dullaiwen37643 жыл бұрын
Hakuna maajabu hapo
@subirajohn7283 жыл бұрын
Utaelewa tu!
@kiokojohn13803 жыл бұрын
Mbona mnaficha watu ama mnataka kuedit za kitambo mtume
@darkskyyoungking83193 жыл бұрын
😂😂😂 Ni huoni video au
@kiokojohn13803 жыл бұрын
naona 150
@mashambaelectronicsworksho4953 жыл бұрын
@@kiokojohn1380 msanii wenu saivi hajawahi post tena show afadhal hata huyu anayepata 150 anaeapost😂😂😂
@sharinv88643 жыл бұрын
Haki haters mko na shida mtahara mchoke.
@kiokojohn13803 жыл бұрын
We needed that competition
@shebbyabisai13503 жыл бұрын
Mbona hawaonyeshi watu au kabuma Tena😂😂😂😂😅
@chrispinmkanda60973 жыл бұрын
Ongea ukweli tu ndugu moyo unauma vumilia tu haina jinsi hiki kiumbe kimeshindikana
@rajabmsinzia79213 жыл бұрын
Na nyimbo zake za Jonny Jonny yes papa hahahah
@shebbyabisai13503 жыл бұрын
Huko c kigoma😂😂😂😂😅
@josephmoshi1503 жыл бұрын
Unajua bei za huko si sawa na za Kigoma et show 10000