Mm ninachojuwa police wa tanzania hawana weledi wa kupambana tit for tat ila kuonea raia wanaweza safi sanaa
@HamisMghuna-fj3vz8 сағат бұрын
Tuko pamoja hili la kutesa rai yan akisema yy askari hutakiwi me kumjibu et kwnn hujashusha akambiw na askari wenzie nan angepokea,yan wanatishia rai bure,
@Educatedmind-k9r6 сағат бұрын
Kwahiyo na wewe unajihesabu kichwani kuwa zinasoma? Mbona unaonesha kuwa wewe ni raia mzigo na ni janga kwa taifa?
@hassanrashid-l3u4 сағат бұрын
@@Educatedmind-k9r hata Askari ni Askari mzigo,why awe muonevu
@Leodimk-n5c8 сағат бұрын
Jaman msiende kichwa kichwa hamkujifunza tu la TRA? Sasa hivi watu wanajihami eti
@YohanaMathayo-r7p48 минут бұрын
Mungu utujalie mwisho mwema Amen poleni wote
@meryshekoloa9618 сағат бұрын
Heeee 😂😂😂 askari wa maisha kupambana na askari wa kulinda usalama na mali zao endeleeni kuwapeleka dp miezi 6-24 tupo tunasubiri miujiza ya mwamposa
@FestoMunishi8 сағат бұрын
Unaongea upumbavu gani mjomba wwe unatetea askari kuuliwa lakini wako watu wamepotea zaidi ya wawili adi sasa hatujui waliko n wako watu wanatekwa wengine ili kuwauwaaaaa je hili mbona hamliteteiiii hao askari waliouwawa ni siku yao ilifika iweje useme serkali iangaliee hilo acha bangi kuwa na akili y kuona mbali hao wamaotekwaaa kilaa siku ni mmmbwa sio
@ShukurkollAngel2 сағат бұрын
Inasikitisha sana. Achukuliwe hatua kali bila huruma. Ni kweli kabisa.
@majidimussa8678Сағат бұрын
Nan
@giftmusa654315 сағат бұрын
Mwananchi kampuni kubwa ila camera zenu sijui mnarecodia simu?
@nancyg866414 сағат бұрын
kamera haijafutwa
@giftmusa654314 сағат бұрын
Kwahyo matukio meng camera hazifutwi?,pia angalia angle ya camera mara akate kichwa kwa juuu mara aweke sawaaa .Lack of professionalism@@nancyg8664
@giftmusa654314 сағат бұрын
Asilimia tisin za video zao zinalack video credit na professionalism,angalia choise ya angle ,mwanga na camera visibility stability
@charlesthomas958714 сағат бұрын
🤣😅😊
@Fatima-v9k6f12 сағат бұрын
From 🇧🇮 kamanda muliro 😂😂sija muskia leo wangemutowa ata uyo muliro wenu😂
@Kasika-hi6hf5 сағат бұрын
Kamanda muliro sio kamanda wa Dodoma ni wa Dar es salaam ndo mana hujamsikia
@user13375Сағат бұрын
Mbwa wewe
@JaneMkinga2 сағат бұрын
Hapa wao walienda bila kujihami mtu kama huyu ni mzoefu na unaambiwa anatumia siraha. Kumbe alikuwa na panga akashambulia mpk siraha yao ilipodondoka ndipo akaitumia hiyo. Huwa wakikamatwa wanaachiwa wapewe adhabu kali wapo wengi sana na tunaishi nao mitaani.
@ThelastMantz-i7j29 минут бұрын
ILA MAGEREZA KUUWA RAIA ASIYE NA SILAHA NI SAWAAA MWANANGU HAYAJAKUFIKA
@AshuuuBakari12 сағат бұрын
Eeeh ima ndule sasa ongea haraka unatumalizia bando.sawa askari ndio wamekuuma maaana ulikuwa unanunuliwa pombe pale mnadani .eti askari umesahau wanaotekwa na kuuwawa
@HamisMghuna-fj3vz8 сағат бұрын
Anatumalizia bando,wanotekwe+kuwaw ye hajuii, Asante kw hilo Ashura mwnmk jembe unafaa kuoa mashaaalah,
@edwardmagige318725 минут бұрын
Huo ni ushuhuda au ni utetezii au ni ushauri?
@biberpriyer33046 минут бұрын
Tatizo lililop ni watu wanapelekwa JKT halaf mwisho wa siku hawapati ajira lazim wajiajiri kwasababu mbinu wanazijua
@edwardkishiwa3296Сағат бұрын
Pumzikeni kwa Amani Ndugu Zetu Mliouwawa Kikatili Na Police Wakati Wa Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa, Mwanga Wa milele Uwaangazi Wapumzike Kwa Amani,
@yukundapeter820013 сағат бұрын
Sasa unakuta askari ni kijana mdogo,sasa wanaenda kukamata njemba ji2 la miraba 4,kijana labda 24 yrs huoni kuna shida? Kuna Askari kijana mdogo walienda kamata jambaxi,tena wako askari 4 ,jambaxi kutoka ji2 kubwa ikabidi wakimbie,kwani askari ni vijana wadogo.Jambaxi sugu wanapakiwa askari 10 waxingire nyumba,serrano askari aliyeuwawa na jambaxi kirahisi tu,kafungua mlango katoka na panga kamcharaxa.Babati na sehemu nyingi.
@ArsenPaul3 сағат бұрын
Maleem uwa Ana sifa nzuri
@HansypMellp8 сағат бұрын
Sasa huyu anaeleza tukio au anatoa hoja we mwandishi unazingua
@AnociathaChuwa-cb5nk8 сағат бұрын
WAPUMZIKE KWA AMANI
@KakaAyubu13 сағат бұрын
Kuna watu ni wehu...! Hili jambo lina pande mbili no way watu 8 waje nyumbani kwako usiku pasipo kuwa na taarifa za msingi, ni lazima mtu kujitetea cha msingi jeshi la polisi lifanye kazi kulingana na taratibu za kazi jeshi la polisi hawapo juu ya sheria. Hata kama mwananchi ni mwizi/jambazi/kibaka ama mwalifu kuna utaratibu wa kumfuata sio saa saba za usiku na kusababisha vifo visivyo maana
@marymanoni553612 сағат бұрын
Sw ao majambazi omba yasikukute
@KakaAyubu12 сағат бұрын
@marymanoni5536 hujui lolote hilo tukio nilakutengeneza.
@JofreyMsigwa-ok7hv12 сағат бұрын
Kifo ni kifo Mimi nanukuu
@KakaAyubu12 сағат бұрын
@JofreyMsigwa-ok7hv Yana mwisho haya, polisi huu uhuni wanao fanya wananchi wamesha choka
@MariaAndreaMusa-j6n11 сағат бұрын
Na haoo polisi wanastahili hiyo zawadi ya kifo
@paulinaobiria964915 сағат бұрын
Hii imetokea lini?
@girikimdaila602614 сағат бұрын
Wao wanaua raia je ?
@NeemaMasala-o7c14 сағат бұрын
Nashangaa
@cidewashington6702 сағат бұрын
Huyu jamaa nae badoooooo sijalielewa kabisa
@Furahinikatkabwana13 сағат бұрын
Askar hapo vpi
@chuchumeta83742 сағат бұрын
alitumia panga kushambulia akawanyanganya bunduki!
@TumtukuzeMbise9 сағат бұрын
Akina kibao soka beni Awana familia?
@YouTuber-r4u14 сағат бұрын
Shahidi: …kinatuuma sana Mwandishi: Asante
@manchalijob96009 сағат бұрын
JPM ALIWANYOSHAA NAONA WANAANZA KULUDI
@ChausikuAli12 сағат бұрын
Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote wa marehem
@Mjeda-q1m7 сағат бұрын
Khaaaa mweeee mmmm ilikuaje jameni
@MahmoudJaffar-mt1qr5 сағат бұрын
Huna akili wewe askar kila leo wanaua bwege wewe wacha n.a. wao wauawe
@fidelnkurunziza7 сағат бұрын
kwahiyo asikal walinyanganywa sikaha amakweli jama alikuwa mwamba
@franciscojohn575111 сағат бұрын
Dah jamaa kavimba mashavu huyu dah kavimba kalibu na masikio shida inaweza ikawa ni nini jamani huu ugojwa nahisi unaweza ukawa ni mpya kuvimba mashavu hivi dah inaumiza sana
@ChristianSiwale-iw7ex10 сағат бұрын
😂😂😂
@AgnesAndrea-l3k10 сағат бұрын
Labda alizani watekaji akajiami
@PedadMiyombo-pc8gc12 сағат бұрын
Hiii imekaaje 😅😅😅😅😅😅
@charlesthomas958714 сағат бұрын
Nasikitika kuona mochwari ilivyo!
@DINASSOUR13 сағат бұрын
Michwari kama jiko
@AshuuuBakari12 сағат бұрын
Sasa mnataka iweje. Sio jiko hiyo ni kubwa tu au kwa vile imepauliwa mgongo wa tembo. Hiyo ni jengo tu limetengwa pembeni kwa kuhifadhi miili lakini hos ni kubwa tu ndio ya wilaya
@JenniferJackson-m5t11 сағат бұрын
Ongea haraka haraka emma ndule mi nina hasira zangu apa😮
@ArsenPaul3 сағат бұрын
Una akili wewe
@FestoMunishi8 сағат бұрын
Na pia unafuataje mtu saa saba za usiku ikiwa ni mwizi nyie askari
@MichaelMadohola-v5g10 сағат бұрын
Mmmmh sio jambazi bhwan
@MohammedMaulana-m2t9 сағат бұрын
Uyujamaa anaonekana chapombe
@EdinaEdwardi11 сағат бұрын
Duh inasikitisha sana
@IddiKhamis-u6c15 сағат бұрын
Naomba huyu mtu akikamatwa azikwe bila ya kutolewa roho. Maana huu alioufanya ni unyama.
@NeemaMasala-o7c14 сағат бұрын
Hehee..na bado
@roswitaexavery337810 сағат бұрын
Mmmmmmmm sikuhizi watu wanajihami ukisema ujisalimishe kesho inijikuta kwenye mtaru au mochwari
@vicentmapunda314610 сағат бұрын
Uyu nae katokea wap mbn hatumuelew😅
@dr.sendeuonlinetv291610 сағат бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajiuun 😭
@marymanoni553612 сағат бұрын
Poleni sn police katika kujenga taifa
@roswitaexavery337810 сағат бұрын
Ila msiende usiku usiku lolote linaweza kuwakuta
@MasterOil-qm6vw15 сағат бұрын
Umeongea ukweli wafuatiliwe watu wa namna hii
@MohammedMaulana-m2t9 сағат бұрын
Police kanyanga'anywa bunduki siopoa akuna police apo
@gililwise14 сағат бұрын
Hilo jingo la mochuary mbona halieleweki jamanj
@mohamedamini426811 сағат бұрын
Baba wakikukamata police hufiki unakufa tu , police mfuate raratibu za ukamataji tu
@fidelnkurunziza7 сағат бұрын
ndiyo wap lalini
@charlesshija737115 сағат бұрын
Wagogo sio watu wazuri
@HarunaJackson15 сағат бұрын
Kumamako
@yustergeofrey57814 сағат бұрын
Wagogo wamekukosea nini acha upumbavu wewe
@marcynhumbi353414 сағат бұрын
@@HarunaJacksonukosefu wa afya ya akili,una mama una dada na ndugu kibao wa kike hilo tusi la Nini Sasa khaaaa.
@charlesthomas958714 сағат бұрын
🤣😂
@JocelyneMary7 сағат бұрын
Hatutaki ujinga sawa
@joshuayoile614915 сағат бұрын
Sawa
@FatumaMatanga10 сағат бұрын
Kwahiyoo
@DINASSOUR13 сағат бұрын
Peer to peer battlefield on de ground.
@RamadhaniKessy-v6r10 сағат бұрын
TATIZO ASKARI WA TANZANIA WAMEZIDI DHULUMA NA UONEVU , MFANO KWENDA KUMKAMATA MTU PASI NA KUFUATA UTARATIBU
@annafredinandmatandiko843810 сағат бұрын
Kweliii
@imankyamba442415 сағат бұрын
Polisi lini wanajitolea😅
@AllyMaya-yj3xd14 сағат бұрын
Kama hujui ni kujitolea nenda uone alafu usikie risasi inapigwa hapo mbele kama haujafungua kilometa
@DINASSOUR13 сағат бұрын
@@AllyMaya-yj3xd....Kwan wanapokula kiapo hawalijui Hilo....kujitolea ni kua ambko hakuna MALIPO....poleni sana ndugu jamaa
@AnnaKabelwa14 сағат бұрын
Upo sahihi home boy, police wafanye intelijensia yao ili kuzuia matukio ya uhalifu kabla hayajatokea Kama intelijensia yao inavyofanya kazi kwenye mikutano ya chadema hivyo hivyo ifanye na kwa majambazi