Big up kwa #wasafi kwa kuitisha kikao kama hiki pia na sisi maproducer wengine tupate kujifunza
@lil_yn9824 жыл бұрын
Mimi sidhani kama bongo producers wana sample kutoka nigeria, kitu kikubwa 1. Ideas 2. Market 3. Technology Nacho weza kusema ni kwamba muziki wa zamani wa kibongo walitumia local instruments, mfano zeze, marimba, ngoma, firimbi, njuga n.k pia ikumbukwe kua viifaa hivyo vilitumika kulingana na hali halisi ya maisha, mwanaadam anabadilika kulingana na mazingira, na matukio ambayo anapitia mwanaadam, Marekani waliaanza na nyimbo za kufight ukombozi wao hili swala ninavyo ona ni kwamba muziki unahitaji changes changes ambazo zinatokana na mahitaji ya mwanaadamu na wakati alinaopitia mwanaadam huyo. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@michaelkabeta79744 жыл бұрын
Kikao cha pili waleten ma producer wale legends watuambie kwann ngoma zao zinaishi mpka saiv
@christianeinstein25684 жыл бұрын
The only identity of Tanzanian music is only singeli .love all the way from northern Rwanda.
@joseebyser61544 жыл бұрын
Wasafi media number one for now... From 254
@josephgatunzi16704 жыл бұрын
Mie Upande wangu naona vijana wanajichanganya. ila sidhani kma wanajua wako Sawa kwa sababu wanachokifanya ni Afrobeat kwa hiyo wapo juu sana 💥
@mwikamwika48514 жыл бұрын
Hongereni Sana producers. Naamini muziki wetu sasa umepata platform sahihi. Tutafika mbali na biashara itakuwa
@tafadhalisubscribe37144 жыл бұрын
Ni kweli Nzuri, Pata Ushauri Alioutoa DiamondPatnumz Leo 🔥 kzbin.info/www/bejne/epSch6Nqmt2kqbc 🙏
@amanijampion30454 жыл бұрын
Sijawahi comenti, ila leo nimefarijika kuona wadau wa mziki mmekaa pamoja. Naona kukua kwa industry. Mnyororo una watu wengi wakiwemo waandishi, wasanii, wazalishaji, watu wa studio na pengine wasikilizaji
@jovinkinyaiya53374 жыл бұрын
Global scale, music is universal,there is presence of universal music riding the humanity souls, we should not put boundaries,we are all human beings regardless of where u come from, we have the same God the same devil ,have you ever ask yourself where does the music comes from, it's is the universal language, when there is not explaination music take it's space, it is the language beyond ordinary language....gonga like Kama unenielewa, nitafute nikueleweshe Kama hujanielewa
@Hitycooking4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n6HKfZ2MiLZ7p69q4
@nover80354 жыл бұрын
hakuna global scale broh....we are being driven
@babylonyNgwembe4 жыл бұрын
IDENTITY YA BONGO FLEVER CHA KWANZA NI LUGHA YA KISWAHILI KUTUMIKA KWNY MZIKI THEN BEAT HAIJALISHA HATA SOUTH AFRICA WANATUMIA MZIKI WA MAKABILA KAMA ALIVYOSEMA MOCCO... OTHERWSE TURUDI KWNY MNANDA NA SINGELI
@afandebrighttz28874 жыл бұрын
Thanx Lil ommy ,,,,napenda sana harakatizako
@christianeinstein25684 жыл бұрын
Musical Identity doesn't rely on beats itself but it always includes beat ,sound, and styles of singing. All the way from northern rwanda
@saidkamirius13934 жыл бұрын
The switch ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@salehfarid10034 жыл бұрын
BEST INTERVIEW THE MVP 🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
@simplissamba19434 жыл бұрын
Lizer ndo mkali wao
@chiefndatu18954 жыл бұрын
tatizo sis bdo ni watumwa wa kifikra, sio hao wasanii tu.. hat mabos maofisn ukuti wamevaa suti ya kitenge😅
@Hitycooking4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n6HKfZ2MiLZ7p69q
@johniadamu47144 жыл бұрын
@@Hitycooking p
@ommybamz72424 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii🎶🎶🎶
@victormwakenja89774 жыл бұрын
Nakubali #the switch 👊
@geofreykashililika47824 жыл бұрын
Mocco datc y akawa genius....
@grantwiddy62444 жыл бұрын
moko anajuaa
@prosperndelwa45604 жыл бұрын
Nakubarii mpe hai huyo bidada zao letu frm grn cty.
@Safari8792 жыл бұрын
Hata wimbo was beka #poapoa Beat ilikuwa ya wimbo wa garaton
@nairobiflavour4 жыл бұрын
Wapi mocco genius
@Hitycooking4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n6HKfZ2MiLZ7p6-prr
@nascoba97474 жыл бұрын
Hapo hao watayarishaji wa muziki wanashindwa kujibu maswali kw ufasaha wanachokiangalia wao ni hakuna mwenye elimu ya utayarishaji na kufatilia mtindo shida kubwa wameshazoea kukopi hao wanategemea kompyuta sana kuliko kugusa vitu kw kupiga kw mikono yao wenyewe, akuna lolote hao hapo mngewaita na producer wa zamani wakubwa ili wawape darasa hao mimi nawaita beat mecca tu sio producer hao, ndio maana wanaigana sana nyimbo wanazotengeneza sasa mtu anakuambia wao wanaangalia biashara tu sasa hiyi nini wanatakiwa kuangalia jinsi gani wanatafuta au kubuni mtindo wetu wa Tz...
@anoldangeliko82564 жыл бұрын
¹¹¹¹¹¹¹¹¹¹¹
@hikahika60954 жыл бұрын
hii ni kweli uzungu mwingi
@fransismodestus90704 жыл бұрын
Idea kali chama langu
@yusuphkibumo19054 жыл бұрын
Idia kali sana wajumbe
@mairahclinetz22414 жыл бұрын
Lil omy unajua na team yako ya the switch
@chiefnumborecords954 жыл бұрын
Ni naamini misingi kwanza na umoja wa maproducer wote kushirikiana kama walivyofanya kinamajani afu mziki mzuri utapatikana tu
@buberwajohn13124 жыл бұрын
Mie nasubiri makutano ya hawa jamaa kwa mara ya pili tuu ilitupate darasa huru kuelekea kwenye muarobaini wa hii kitu generally wazo zuri now we are heading there kwenye ku shape industry kuujumla wake manufaa yawe kwa pande zote. "Kupata kitu sahihi lazima ukosee kwanza. "
@victorsir-nga77084 жыл бұрын
Mje mfanye kikao cha producers wa kongwe na wapya wasasa
@grantwiddy62444 жыл бұрын
kama umemwerewaa moko kama mm ngonga like
@wizzymillyofficial88814 жыл бұрын
Maproduc wawe wajue kucheza mahazi ya kupiga beat tofauti kama pancho
@samsonjacob33654 жыл бұрын
The switch
@ayubusanga23254 жыл бұрын
Laizer
@selemanmayala74364 жыл бұрын
Alaiza na si2kizy kama niwamzazi 1 na muonekano wao
@josephstephen20474 жыл бұрын
Hilo malaya sijui linajiita likatibu linaropoka hovyo km lilevi
@davidmwanjela10914 жыл бұрын
Mwee jmn jmn
@EliyacostantinoPius4 жыл бұрын
Sema anaboa sana ammy gal.mm nafuatilia sana sana hiki kipind .Yaan lazima aende nje ya mstari
@mustafarashid24844 жыл бұрын
Me kutoka Kenya producer nnaowaminia ni S2kiz na Abbah.
@travellingandadventures25494 жыл бұрын
Ammy girl mbona mapepe acha watu waongee
@towelman23804 жыл бұрын
I hate that girl 😭😭 ako na mdomo sana
@amanlenatus90674 жыл бұрын
Mmenisahau mimi jmn
@husseinmachozi28484 жыл бұрын
Kizazi saana 👌
@kibushiramadhanikibushu5584 жыл бұрын
Unawaoji kuusu bongo freva wakati wao awajui uo mziki ume tokea wap mulize Majani ilo swali
@hamisiomari57244 жыл бұрын
Hatariii
@prosperndelwa45604 жыл бұрын
Kizaziii saaanaaa
@RamazaniMulongeca4 жыл бұрын
Why is this too short???? 24mnts???
@lucasshayo97054 жыл бұрын
Why wearing shades indoors? @djommy
@mwikamwika48514 жыл бұрын
Identity yake.
@hamoudcreator63434 жыл бұрын
Ila ikiwa Producers wa Muziki ndo wanaongea hivi. Ni Mtihani kwakweli.. Duuuuhhh😢 Wote Hawaaa..
@mwalihashaekyoci58124 жыл бұрын
Nice
@patrickdonald3364 жыл бұрын
Asee uyo amy gal apunguze kujiamini anaharibu sana inaterviews sikuizi. Anakatiza watu wakiwa wanaongea bila ajenda ya msingi
@mpenzramaah27134 жыл бұрын
WAJUMBEEEEEEE
@nelsardutch67254 жыл бұрын
binafsi yangu naona sawa tu sisi kama producer maranyingi niwatu wa kufanya ubunifu hivyo muziki hauna mpaka wala kuiga ila ni kufanya kitu ambacho kinaubunifu kwa upande wako ww kama producer
@idreamfoto4 жыл бұрын
mzee issue hizo ziko kwa Riddim Jamaica
@babylonyNgwembe4 жыл бұрын
Ata JZ alirudia beat na mashairi ya 2pac
@ramlandayishimiye54394 жыл бұрын
Uyo binti mjangazaji ni mjuwaji
@official_python.oglife21544 жыл бұрын
@wcb niwakumbushe tu ndugu zangu.... Amy gal anazingua hatuoni kazi yake hapo zaidi ya kujichekesha tu, sijui AC hapo ndani inamtekenya....
@RamazaniMulongeca4 жыл бұрын
Walioharibu mziki wa TZ tumewaskia... 😂😂😂😂😂😂
@agustinoboaz22144 жыл бұрын
Zombie
@shaban66444 жыл бұрын
Mada ni pana then muda umepunjwa
@kagungaboy50834 жыл бұрын
Sa kwann msanii ahusike kwenye kupiga copyright msanii aliyetumia beat yake?
@MrAfrica4 жыл бұрын
Msanii huwa anayapa makampuni ya kulinda kazi nyimbo nzima. So ikitokea umerudia kampuni ndo ina ku strike.
@bensonmwananchi77014 жыл бұрын
Kumbe t touch hayupo kwenye 14 bora
@HIPAVOMS20234 жыл бұрын
Time matters
@eddyeddy29074 жыл бұрын
Hayupo
@dicksonshija52024 жыл бұрын
Inadumza mziki
@peterchipasula15274 жыл бұрын
14 bora kivipi ? Mnaleta mgongano hapo
@HIPAVOMS20234 жыл бұрын
Hitmaker
@nover80354 жыл бұрын
No singeli sio mziki wakuupa credit..hauvibe watu wote
@kinyamal82014 жыл бұрын
Amygal😡😡😡😡
@godlistenremmy93494 жыл бұрын
Unapenda instaf like that why
@alextanzania4 жыл бұрын
and staffs like that
@alextanzania4 жыл бұрын
and staffs like that
@danielsama15764 жыл бұрын
All in all
@usanifumaandishi75194 жыл бұрын
@@alextanzania bora
@DrAvneen4 жыл бұрын
Ni shida ngoma mpya ya Diamond platnumz ft Rayvanny - Sikuachi ni bonge la hit gusa hapa uone kionjo chake kzbin.info/www/bejne/gnuZhYBoaLJ3b8U
@mymuamsrrr78844 жыл бұрын
Producers uchwara hawa wanatamba bure beats sio zao, hizo beats ziko kwenye system, waletee life band hapo, uniambie utamuabiya wapiga vyombo wapige hivi na vile?nyie ni computer operators. Thats all you are. Msijishaue.
@ommietrendz71754 жыл бұрын
Hakuna beats ktk system, softwares zina vifaa vyote vya muziki wanaanza kupiga upya na kila producer unaemuona ujue lazima ajue kupiga kifaa zaidi ya kimoja cha muziki
@stanleyasante4294 жыл бұрын
Oya achaaa izoo mzee atakama
@kisokatvonline37044 жыл бұрын
MOTO WATEKETEZA MABWENI AFRICA MUSLIM BOFYA HAPA KUONA ZAIDI kzbin.info/www/bejne/gqDPdoqorrRlkMk
@tmtwane90924 жыл бұрын
DIAMOND AACHWA MBALI NA HARMONIZE gusa link kwa full story kzbin.info/www/bejne/nHWbl4uNm7Kqq8U
@mwikamwika48514 жыл бұрын
Mavi yake na yako pia. Hata anye nyumbani kwako hafiki hata robo