Shuhudia Meli kubwa zaidi ya kubeba abiria 4700 ikitia nanga Bandari ya Dar

  Рет қаралды 5,323

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Meli kubwa zaidi iliyobeba watalii zaidi ya 2,340 kutoka Canada imewasili alfajiri ya leo Jumanne Januari 16, 2024 katika bandari ya Dar es Salaam.
Meli hiyo ya kitalii inayoitwa Norwegian Cruise Line Dawn yenye urefu wa mita 294 imetajwa kuwa kubwa zaidi kuwasili katika bandari zote nchini tangu kuanzishwa kwake. Norwegian Cruise Line Dawn ilianza kufanya kazi mwaka 2002 ikiwa na thamani ya zaidi ya Sh 1trilioni.
Norwegian Cruise Line Dawn pia ina kimo cha mita 59, ikienda kwa kasi ya kilomita 46 kwa saa na ina wafanyakazi zaidi ya 1000.
Mkurugenzi wa bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho amewaambia wanahabari leo kuwa meli ya Norwegian Cruise Line Dawn hadi inafika Tanzania imepitia katika bandari tofauti ikiwemo Mombasa Kenya, akisema ina uwezo kubeba abiria 4700, lakini waliowasili ni watalii 2,210.

Пікірлер: 2
@DaimaNyakunga-jb6do
@DaimaNyakunga-jb6do 9 ай бұрын
Kazi ya jpm jpm
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 9 ай бұрын
Mmm royar tour faida
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 28 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 21 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 9 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
Dar es Salaam to Zanzibar VIP Class Ferry in Tanzania 🇹🇿
20:50
Jason Billam Travel
Рет қаралды 128 М.
Life Inside the World's Largest Cruise Ships Ever Built
11:29
Beyond Facts
Рет қаралды 7 МЛН
JE UNAHITAJI KUAGIZA GARI KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM? TIZAMA HII...
25:00
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 28 МЛН