Jinsi ya kutengeneza unga wa mchele nyumbani angalia video hapa 👉 kzbin.info/www/bejne/hZm6k2aNgbCte6M . How to make rice flour at home 👉 kzbin.info/www/bejne/hZm6k2aNgbCte6M
@christinasote35356 жыл бұрын
Shuna's Kitchen 0
@vickysamwely81965 жыл бұрын
Shuna's Kitchen
@nassorkhalaf27043 жыл бұрын
Habbty unga wa ngano na wa mchele unakanda pamoja ama unasukumia tu
@shunaside89562 жыл бұрын
Mbn mm inakua mpk niekee unga mwing wa mchele au unapaka na mafuta wakat wa kusukuma kaki mn kaki zinakua na unga mwing
@rahmaa.naim.93916 жыл бұрын
Maashaallah nimepend nifundishe na jins ya kuchanganya iyo nyam ya sambusa.
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Rahma Ayoub. Asante dear, video yake nilishawahi kuweka humu.
@rahmaa.naim.93916 жыл бұрын
Shuna's Kitchen saw inshaallah nitaitafut
@pilimwagakitu92346 жыл бұрын
Waalykum salam..shukran sana...masha allah mungu akuzidishie kheri in shaa allah.
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Ameen kwa sote, asante
@maybintomar19266 жыл бұрын
Alhamdulillah nimepika sambusa zangu kwa mara ya kwanzaaa kabisa na zimetoka kama ulivoelekeza... natamani pangekua na sehemu ya kuattach picha uzione wallahy... thank ypu so much shunas kitchen.. bless you guys...
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
MashaAllah shukran sana my dear nimefurahi zimetoka vizuri. Asante sana kwa kuangalia :)
@modestermartin87564 жыл бұрын
uliweka unga wa mchele
@tatuidrisa47406 жыл бұрын
MashaAllah nitajaribu In sha Allah
@naseemnaeem77322 жыл бұрын
Mashallah, nimezipenda Sana. Nitajaribu kuzipika in shaa Allah. Thank you soooooooooo much beautiful 😊
@biubwamohd60892 жыл бұрын
lkn kupika zanishinda
@biubwamohd60892 жыл бұрын
Mashalla inshallah nitapika mna hamna kitunakipenda km sambusa lkn
@salmahassan68096 жыл бұрын
shukran sana. Leo umenifundisha namna mpya ya kutengeza manda. Ntajaribu inshaa allah
@joycemugeta50436 жыл бұрын
Asante kwa somo Shunas kitchen.
@hazelbrown47125 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah yani Miaka yangu yote nasema Manda zina kazi kutengeza nabaki kununua tu huwa finaly kumbe kuna the easiest way... ntajaribu hii In Shaa Allah.. shukran alot dear
@jastmijastmi90636 жыл бұрын
Ma sha'Allah Asant kwa video
@florachogo55374 жыл бұрын
hongera sanan.kazi nzuri sana
@Nbatah8996 жыл бұрын
ماشاءالله عجينة عجيبة جداً جداً ورائعة👌
@raysalalmandhary17136 жыл бұрын
MashaAllah . Shukran sana kwa mapishi yako mazuri.
@zalfamohamed9804 Жыл бұрын
Mashallah umefunga bila ya kuzichoma manda
@maryammussa20026 жыл бұрын
MashaaAllah I will try inshaaAllah
@aishaomar23993 жыл бұрын
Ma Shaa Allah,, nitajaribu,, kumbe siri ni unga wa mchele
@haidarali68396 жыл бұрын
Mashaallah I will trying inshaallah
@fatmasaid58646 жыл бұрын
Mashallah zinaonesha nzuri shukran
@zalkhaley94526 жыл бұрын
Mashallah nmependa
@zahrahaidar52642 жыл бұрын
Mashaalah very nice too much
@valentinanduku87182 жыл бұрын
Ni nzuri nimependa
@fahas67796 жыл бұрын
Mashaa Allah. Nitajaribu.
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
In shaa Allah. Asante
@aviwaomar4395 жыл бұрын
Wow nimeipendajee jamaniii
@idrisaabalhassan67526 жыл бұрын
Wow!! Safi
@aminajuma27786 жыл бұрын
masha allah nzurii
@ukhtysakinaa76646 жыл бұрын
Masha Allah 👍
@mariamissa9405 Жыл бұрын
MashaAllah💥
@zuzhabsia38526 жыл бұрын
Mashaallah nimezipenda
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante
@sanurambete25676 жыл бұрын
Very nice Masha Allah
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Thank you
@aystv59986 жыл бұрын
Nimezipenda sana. Mashallah
@muhtasimnabhan633 жыл бұрын
Assallam aleykum nimeipenda sana hii recipe nilikua nauliza kama inawezekana kuibeba manda wakati wa kuifunga maana hiyo style yako imenishinda
@salwawairimu55366 жыл бұрын
Nzuri sana shukran
@FarhatYummy6 жыл бұрын
Ma Sha Allah so beautiful 😍😍😍😍😍
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Farhat Yummy thank you so much darling for your support
@FarhatYummy6 жыл бұрын
Shuna's Kitchen any time sweetheart and you're welcome 😘😘
@azizamufty63276 жыл бұрын
Nzur sanaaa Ma sha Allah...
@maryamomar20026 жыл бұрын
Farhat Yummy mashallah mungu akuzidishie
@elizagoda21486 жыл бұрын
asante sn ubarikiwe ,najifunza mengi sn kupitia ww,
@shidimhenne12836 жыл бұрын
Masha’Allah Shukran dear
@happinessmwanga42246 жыл бұрын
Lazima na mie najaribu Asante sana mwalimu
@nyotanjema41096 жыл бұрын
Mashaalah asante
@munirauweso24285 жыл бұрын
You're just stunning shuna
@zahrahaidar52642 жыл бұрын
Up wap dear ww kwn
@abudebinabri12875 жыл бұрын
shukran mungu akujazi kheri
@ashanaftali88356 жыл бұрын
Kaki nzuri sana nami nitajalibu
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
In shaa Allah. Asante sana
@عايشهسعيد-ض5ذ6 жыл бұрын
maasha allah ahsante
@mariammuscat43003 жыл бұрын
Naic
@pilimwagakitu92346 жыл бұрын
Nayakubali sana mapushi yako tena kwa njia unayo tumia #rahisi kuelewa
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia
@allatifsofia16624 жыл бұрын
MASHAALLAH maji umetumia kiasi ngani half a cup or one cup? Shukran.
@asiy22836 жыл бұрын
Nzuri sana. Mara yangu ya Kwanza kuona hiyo mikate inavyo tengenezwa. Asante habibty😍😍
@mwanaidathuman48046 жыл бұрын
asante my
@fatma-si5os6ni76 жыл бұрын
MashaAllah...very nice recipe bt what if we want to make for a large quantity and quick? ?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Fatma Ali feel free to double the ingredients , thank you for watching
@fatma-si5os6ni76 жыл бұрын
Shuna's Kitchen ok sis thanks.
@safiyaaminu3192 Жыл бұрын
So you will only use the rice flour for dusting
@mwanahadiyahassan31786 жыл бұрын
Mashaalla nice hoply hii recipe itanifaa maana nlikua nikihangaika sana mpk nimekat tamaa ktk upishi wa sambusa next time tufundishe jinsi ya kuuga nyama tamu ya sambusa
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Mwanahadiya Hassan video ya sambusa nilishaweka humu, asante dear
@batulaosman64546 жыл бұрын
good
@lulhersi86846 жыл бұрын
Hi so did you only use the rice flour for spreading the dough?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Hi, yes
@zamdabakari63726 жыл бұрын
Shukran habibty
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Afwan dear
@elizabethfrank43966 жыл бұрын
Asante sana Manda zaweza kukaa week moja kwa freezer ?
@fatmayunus75166 жыл бұрын
nice video as usual☺ KZbin ama kweli wapata jua new things daily.nimeona Leo kutumia rice flour.ila swali langu,manda hizi huna haja kuzichoma mwanzo? manake nimezoea zile za home sawa piled up together kisha wazichoma kwa sawa kisha wafeel moja moja. what is the difference between the two ways of making? jazakillah kheiran for your uploads
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Fatma Yunus hata hiyo ya kuzipika baada ya kuzisukuma nafanya sometimes ila haina ulazima, manda zikiwa nyembamba tu zinatosha
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Fatma Yunus asante dear
@asyaomar49506 жыл бұрын
Mashallah mashallah nzuri. Naomba uliza swali jee kaki baada ya kusukuma hatueki kwenye moto kwanza hata kdg kubabua wanasema?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asya Omar huweki kwenye moto, ukishakusukuma unaweza kufunga na kuchoma moja kwa moja, asante
@ffahima20106 жыл бұрын
Mashaallah, km sina ungq wa mchele naweza kutumia corn flour
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Unga wa mchele ni muhimu kama huna tumia wa ngano
@ffahima20106 жыл бұрын
Shuna's Kitchen shukran 😘
@barkesaid1656 жыл бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu nice show us how to make rice flour please.
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
W msalam dear, I will in shaa Allah. Thank you for watching :)
@neemakilomoni42586 жыл бұрын
Thanks looks yummy 😋
@mwanaharusisalim90196 жыл бұрын
mashaallah Allah azidi kukupa kwa moyo Huo ,naomba kujua ukizifreeze unaweka kule kunakogandisha kabisa, na ukitoa kwenye friji unatumia baada ya muda gani, na unga wa mchele unaweza ukatumia wa aina yoyote?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
mwanaharusi salim ndio kule zinakoganda though sinawah kuziweka mda mrefu ila hakikisha umezihifadhi kwenye chombo vizuri hazipitishi upepo wala kuingia maji. Ukizitoa ziwache ziyayuke unatumia kama kawaida. Unga wa mchele wowote unaweza kutumia. Asante sana
@mwanaharusisalim90196 жыл бұрын
+Shuna's Kitchen thnx sana dear
@mohamedayda77566 жыл бұрын
Shukran uo unga wa mchele unasukumia tu au unakaandia pia pamoja na unga wa ngano?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Unasukumia tu
@mohamedayda77566 жыл бұрын
Ahaa asante dear
@phinzah6 жыл бұрын
Nice thanks
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
You are welcome
@hadijaahmed44876 жыл бұрын
Asante Sana..
@chabychaby10964 жыл бұрын
Unga wa ngano umetumia kikombe cha gram ngapi?
@flowerys72646 жыл бұрын
Mashallah i tried it very crunchy. but the dough was very soft that i dint get a triangle shape :(. can we use the same dough for springrol?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Thank you dear, yes, the pads are very soft and a little bit tricky.. I used to experience the same problem before but practice makes perfect. . You will get used to it. ... and yes you can use the same dough to make a spring rolls sheets, here is the link to the video; kzbin.info/www/bejne/gHy2fYetms9nedU . Thanks for watching :)
@penninamabonye37616 жыл бұрын
Thank you... swali moja.. unga wa mchele ??🤔🤔.. ni lazima? Na unapatikana wapi au unasaga mchele??
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
pennina mabonye ndio unaweza kusaga pia upate mlaini na mkavu
@penninamabonye37616 жыл бұрын
Shuna's Kitchen thank you again
@thourasaif56546 жыл бұрын
Yummy
@عايشهسعيد-ض5ذ6 жыл бұрын
Asante sana dada nilikua napata tabu sana
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Karibu tena my dear
@عايشهسعيد-ض5ذ6 жыл бұрын
Asante 😍😍
@38wahida6 жыл бұрын
Sante lovr
@amounanyale92206 жыл бұрын
Mashallah
@zinapzinap56656 жыл бұрын
Mashallah 😙😙😙😙
@biubwamohd60892 жыл бұрын
Mimi jna nilipika mofa nimekula nakuku wakukausha nimitamu shukrn
@leilamohamed9506 жыл бұрын
assalaam alaykum,, Maa shaa Allah nimependa nzur sn,,, Mm swali Lang ni maji Yale ni ya Moto au kawaida?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
leila mohamed w msalam dear, maji ya kawaida tu
@hadijaally37404 жыл бұрын
Mashaallah ni nzuri
@raniaalkhaifi56985 жыл бұрын
Nzuri nimefahamu vizuri na unafahamisha vizuri kuliko aroma of znz
@stellasungusia71824 жыл бұрын
Hello madam..napenda sana mafundisho yenu aki..ila sasa naomba resipe ya crips dear
@shabkhatry82596 жыл бұрын
Asalamaleikum, unga wa mchele wowote unafaa ama kuna aina maalum ya unga wa mchele
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
W msalam dear , wowote tu
@irenegumbo94316 жыл бұрын
Asante sana
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Karibu tena my dear :)
@noorahmadalamryfffgf6 жыл бұрын
Shuna dear shukran sana for the recipe... are these zanzibari style sambusas? Nyama yake inapikwa je please teach us? nyama za sambusa hizi nafikiri hazina bizari na vipimo ya vitungu huwa sawa na nyama so 1 kilo nyama should use 1 kilo onion is that true please teach us shukran again
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Hi dear, recipe ya sambusa utaweza kuipata hapa kzbin.info/www/bejne/ipm9moKilsaGps0 . Asante sana
@noorahmadalamryfffgf6 жыл бұрын
Shuna's Kitchen shukran
@flowerys72646 жыл бұрын
whats unga wa mchele? naeza saga mchele kama sina unga wa mchele?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
flowerys ndio unaweza, mkavu na mlaini tu
@bintsalimalbimany93736 жыл бұрын
Mashallah Dada ahunna's ck ix umeamua
@bintsalimalbimany93736 жыл бұрын
Allah akulipe kher ishallah
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Bint Salim Al Bimany ameen dear asante sana, kwa sote
@bintsalimalbimany93736 жыл бұрын
Shuna's Kitchen Afwan dear
@bintsalimalbimany53406 жыл бұрын
Nakuuliza mamy hiz kaki kama nitaweka kwenye frizer haina neno au kuna proces nyengin halaf ndio nitie kwenye fridge????
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Unaweza kuzifunga sambusa ukaziweka kwenye freezer, kama ni kaki tupu ziweke unga wa kutosha kila baada ya kaki kuzizuwiya zisigandane. .shukran sana kwa kuangalia
@bintomar35456 жыл бұрын
❤👏👌
@rahmasadick63766 жыл бұрын
Hellow Kwan lazima unga wa mchele
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Hi, sio lazima. Unaweza kutumia wa ngano pekee
@furahayamoyo91936 жыл бұрын
Do you sell them?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
No dear, sorry.. I don't sell them .
@furahayamoyo91936 жыл бұрын
Shuna's Kitchen Thank you, it was worth a try. Are you in Brent?
@wardawarda72076 жыл бұрын
Mashaallah asante
@shunaside89562 жыл бұрын
Mbn mm inakua mpk niekee unga mwing wa mcheleee hlf kaki zinakua na unga mwingiii au unapak n mafuta kidg wakt wa kusukum
@gracecharles12446 жыл бұрын
Asante, umeweka nini ndani?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Grace Charles chichen nimempika na spices simple tu nikamix na kitunguu maji.
@ummsalamahrashid79206 жыл бұрын
shukran dear
@asyaomar49506 жыл бұрын
Ok unaweza kufanyia spring rolls pia ?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Asya Omar ndio zinafaa kwa spring rolls
@gracemsanjila3276 жыл бұрын
😢😢😢😢😥😥Shukrani my ila unga wa mchere sina naweza kusaga mchele kwenye brenda nikatumia au?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
neema msanjila ndio unaweza, unga uwe mlaini tu sana
@funfactory28886 жыл бұрын
Shona when are you going to invite us for iftari ?
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Genuine Stock hehe you don't need any invitation for iftar 😃 . Thanks for watching 😊
@funfactory28886 жыл бұрын
Shuna's Kitchen Shukran sister. .. :)
@millicentnaitore3063 жыл бұрын
Unga wa rice ni wa kusukuma tu?
@ShunasKitchen3 жыл бұрын
Ndio
@julianawilson81794 жыл бұрын
Naweza kutumia nini badala ya unga wa mchele
@sanurambete25676 жыл бұрын
Je naweza kutumia unga wa sima
@ShunasKitchen6 жыл бұрын
Kama huna wa mchele unaweza kutumia wa ngano tu
@haulaabdalla89175 жыл бұрын
A alkm naomba msaada Nini unaweza kufanya manda za sambusa zikitoka kwa fridge au freezer zinavunjika wakati wa kuzifunga. Shukran
@khadijahkhatib79985 жыл бұрын
Masha allah
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Zifungie kwanza sambusa ndio uziweke kwenye freezer pamoja na unga wa mchele uziwekee ndani ya chombo utakachowekea
@genovevatesha33993 жыл бұрын
Hadi mate yamenitoka
@KheirPatma Жыл бұрын
santee
@a.8566 жыл бұрын
Thx dear
@sakhiyasaif58974 жыл бұрын
Shukran kwa mapishi naipenda sauti yako cute mashallah
@tamhidamohamed605710 ай бұрын
Unga wa mchele lazma
@ahlaamamy93424 жыл бұрын
Tena ukipika kwa mikate unayotengeneza mwenyeo inafanya sambuza isipoteze unyevunyevu wa nyama uliotia ndani lakini mkate utakuwa crunch inakuwa tamu kuliko mikate ya kununua