Nimetamani sana kujua kutengeneza Kashata. Thank you so much, I like how you explain slowly with alot of details. Nimejifunza sana na video zako.
@ter-nan29235 жыл бұрын
umenikumbusha shule ya primary,kuna mama alikua anatuuzia kashata,my favourite coastal snack mpaka saa hizi...👍👍👍👍
@thourasaif56545 жыл бұрын
Mashaallah zinaonesha😋nitajaribu In Shaa Allah shukran for the recipe.
@preciousvian13435 жыл бұрын
Napenda sana video zako. Unaeleza kwa umakini sana mtu yeyote anaelewa vizuri. Nimejifunza mambo mengi sana kupitia youtube channel yako. Na imenipa moyo wa kuanzisha biashara ndogo ndogo za bites kama hizi. Ubarikiwe sana.
@theresiadaniel269010 ай бұрын
Huwaga unauazaje kimoja
@theresiadaniel269010 ай бұрын
Huwaga unauza bei gani kimoja
@leticiakasase7623 ай бұрын
Bei ni sh ngapi kwa kipande kimoja cha kashata?
@nussmam20095 жыл бұрын
Mashallah Nazipenda sana kashata, nikipata hiyo frozen nitajihid kupika hii kitu
@samirafaraj96364 жыл бұрын
Shukran Shuna wetu Allah akupe kheri juu ya kheri.
@hellennakio43562 жыл бұрын
thanks so much for this lesson ,ur are so amazing dada
@fatmasaid58645 жыл бұрын
Mashallah nimezipenda shukran
@BeingSyombua5 жыл бұрын
You have made making of the these stuff so easy.. 💕 thank you
@MariaKangajaka11 ай бұрын
Ahsantee sana Imeeleweka sanaaaaa nitajaribu hii
@stellamulisa-englishandlit74614 жыл бұрын
Lovely,I have always wanted to make kashatas at home
@rahmanakapi40715 жыл бұрын
Shukrani dada ninavyozipenda hizo kashata inshaallah nitajaribu na mimi
Duh najikuta nameza mate bila kutaka, thanks bby shuna
@selmezahor4696 Жыл бұрын
Shukran sana 😍 Allah akulipe kherr biidhillah
@iwciera3 жыл бұрын
Tried it and it's perfect
@mariamomdahoma53495 жыл бұрын
Bismillah Machallah 💞
@azizashaaban8706 ай бұрын
Mashallah soo lovely kashata.l like it.
@gloriagrace89725 жыл бұрын
Tried the recipe and it's amazing 😍👍
@joanneallison69665 жыл бұрын
thank you for the tutorial! May i ask how long can Kashata can last after being cooked? How do you store them?
@huldaestomihi67409 ай бұрын
Wow. Umeelezea vizuri Leo ntapika huzi
@asilaali84745 жыл бұрын
Mashalla kashata tamu nimejaribu kuzipika
@jossrock64583 жыл бұрын
Can I use Fresh orange juice as an ingredient to make this kashata? thanks
@yasminsheikhahmed927610 ай бұрын
Asante zinaka a tamu sana nimependa ubao Yako je nikitaka ubao kama hiyo nitanunuwa aje mimi niko nairobi
@SaidaKanju-u4h3 ай бұрын
❤❤❤ napenda xana video zak
@MariamMarry-l4qАй бұрын
Asante mungu akubariki
@safiasalim26025 жыл бұрын
Mashallah
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Shukran
@zahramunir85965 жыл бұрын
Ahsante sana nice job na clean...
@zaynabyusuph58975 жыл бұрын
It's very helpful, I like it
@wardanna82895 жыл бұрын
Zaman mama alikua akitupikia mashallah nzr sana nilikua cjui zinavopikwa cos nilikua mdg
@emmybassumbul38754 жыл бұрын
Maashaallah Tunaomba mapishi ya pera maziwa
@ayshaaysha80905 жыл бұрын
Masha Allah yummy
@gladyskazungu30814 жыл бұрын
Waaaau looks appetizing
@annaanthony28505 ай бұрын
Unajua kuelezea vizuri dada shukran sana
@DanielKimea-s2f Жыл бұрын
Hv za biashara znalipa? Nataka nijaribu kuuza nimezipenda
@wambulucy14595 жыл бұрын
Napenda kashata ,👌👌👌👌 thanks
@akidumahmoud98025 жыл бұрын
Mbona mimi zilikataa kukauka dada?nilikosea wapi
@a.8565 жыл бұрын
Mashaallah asante dy🥰
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Asante pia kwa kuangalia
@alikhamis40555 жыл бұрын
Mashallah i will try it
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
In shaa Allah please let me know how it goes
@alikhamis40555 жыл бұрын
OK
@fettyfetty60915 жыл бұрын
Mashaallah, shukran dada
@brendachola68603 жыл бұрын
Can I use icing sugar
@esthermutua12873 жыл бұрын
Amazing one
@marymjema80943 жыл бұрын
Napenda sana unavyoelekeza
@BustedBuster12 жыл бұрын
Iliki ni nini? Great video
@bisharaabubakar9425 жыл бұрын
Thanks for the recipe.. Will surely try it!
@bisharaabubakar9425 жыл бұрын
Tried it.. Mashallah! Taste was fantastic!! Looking forward to making more recipes
@juliesmwasjuy72643 жыл бұрын
Umeeleza vizuri sana. Asante sana. Swali, unaweza pika na nazi imesha kamuliwa?
@hopemchomvu44743 жыл бұрын
Dada hivyo vikombe ulivyotumia vya ujazo gan?
@asmaomar14713 жыл бұрын
simple mashallah. mrejesho soon
@latwifahkhassimu93465 жыл бұрын
Asante mpenzi umenipa adia ya biashara.
@DanielKimea-s2f Жыл бұрын
Hv kwa biashara znalipa? Nataka kujaribu
@habibakifura16445 жыл бұрын
Mashaallah shuna's kitchen
@mariabageni70054 жыл бұрын
Samahani shila nini?
@mumblessed0015 жыл бұрын
Asante kashata naipenda sasa nimejua jinsi ya kutegeneza santi 💕💕💕
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Asante pia kwa kuangalia :)
@gidaninga17405 жыл бұрын
Shukran for sharing🌹
@josuzajsk3984 жыл бұрын
Wooow looks yummy
@mangafilsta24723 жыл бұрын
Kazi yako nzuri sana, kama mtu hana vanilla escence utatumia nini?
@sarafinaerasto33834 жыл бұрын
Daaaah Dada asant
@annastaziaflorian37705 жыл бұрын
Unaweza ukatumia sukar ya brown?
@magdalinesheila12323 жыл бұрын
Wow i love this naijaribu sai tu ❤
@mrsbattashy123battashy75 жыл бұрын
Mashaallah zaonesha taam😋
@rafiamshana61563 жыл бұрын
Nimejifunza ubarikiwe sana
@salmaamour77005 жыл бұрын
Mashaallah asantr kwa kutufundisha
@eshesalman936211 ай бұрын
A.aleikum nauliza kama kashataa zangu hazishikani huwa nimekosea nini?
@dianakinyasi74875 жыл бұрын
Woooah nzuri sana I love the simplicity dear
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Thank you so much Diana
@azmeenakarim19945 жыл бұрын
Mashallah very nice 👍
@husnamohamed92454 жыл бұрын
Kashata nzuri mashallah
@rahmaayoub81315 жыл бұрын
I like it congratulate ukhty
@nurujuma32722 жыл бұрын
Au n nazi ambyo haijachujwa??
@lovemajogolafia58393 жыл бұрын
Asante ngoja nijaribu mamy
@nickbash9224 жыл бұрын
Unaweza ukatumia maziwa baada ya maji??
@asiashabani3255 ай бұрын
Habari mmi kina oven naweza kupika
@rumbahstacy3 жыл бұрын
Iko sawa nimependa hii
@MogireMogire-ph8wx7 ай бұрын
sukari inayotumiwa ni ile ya kawaida ya kupika chai
@shammoha52975 жыл бұрын
MashaAllah. Nice 🙌🏽💐
@halimadunia6432 ай бұрын
Asante sanaaa dada❤❤
@ShunasKitchenАй бұрын
Asante pia :)
@aliciaotty58655 жыл бұрын
Asante sana for the recipe. Naomba kuuliza, brown sugar inaweza kutumika au ni vizuri kutumia hiyo nyeupe?
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Vizuri sukari nyeupe
@ahmedomar65374 жыл бұрын
Nazi inatakiwa ikauke? Au vile machicha na tui lake bila kukauka?
@ummukuluthumumbowe8802 Жыл бұрын
Nimependa sana hii style ya kutengeneza kashata .naomba no yako plz
@firdosamuktarmuhammad99665 жыл бұрын
Shukran sana
@rehabsaidalharthy76294 жыл бұрын
Shuna you are the best😘😘😘 God bless you
@husnaadawy47285 жыл бұрын
Wooooooooooowww I will try it, it was 👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Thanks for watching..I'm waiting for the feedback in shaa Allah
@josekizing Жыл бұрын
Perfect 💪
@zenaadam32214 жыл бұрын
Km nazi moja sukari naweka kiasi gani na maji nataka kujaribu kesho insha allah
@pilitumba90903 жыл бұрын
Mashallwa
@malekjr96995 жыл бұрын
Shukran saana😍
@tumtam88255 жыл бұрын
A must watch video.. Thank you
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
You are welcome :)
@malaikamasenga56683 жыл бұрын
Asantee napika kesho
@kautharabdullah-ml9el Жыл бұрын
Asnte
@najmasalum31392 жыл бұрын
Love it
@fatmachanzi99664 жыл бұрын
wow nitajaribu kupik hii kitu
@najmamuhsin58765 жыл бұрын
Shukran allah akujalie kila la kheri nzuri sana
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
Ameen kwa sote. Shukran
@nebulanhiijjj Жыл бұрын
Wow yummy 😋
@asiy22835 жыл бұрын
Thanks.💖 please Tuonyeshe jinsi ya kupika kashata za mayai
@joanneblessing29535 жыл бұрын
Thanks for the recipe
@selmezahor4696 Жыл бұрын
Ma Sha Allah 🥀mim nauliza kama huna arki jee ni lazima kuweka,
@ShunasKitchen Жыл бұрын
Sio lazima, unaweka kuweka iliki ukipenda:)
@najjyussuf78885 жыл бұрын
Nilisubiria kwa hamu asante sana, plz tuletee na kashata za mayai
@francayub5 жыл бұрын
Mashallah thanks
@LutnallKombo10 ай бұрын
Asant sana kwa darasa mm najarb kupik kla mda lkn inakuw ngum kukauk kmbe mchangnyiko wng ni mwepes now nmejfunz vzr zaid i hope nkifany tna ztakuw nzur
@topbrainfacts5 жыл бұрын
Tasty recipe
@briandeflugel90552 жыл бұрын
Wanaume tunacomment wapi.... ladies wamedominate huku😃.... otherwise av always liked and tried your recipes..... Hadi watu hufikiria mimi ni professional Chef 😜.... keep up the good work .. Mungu akubariki.