Рет қаралды 163,806
✔Jinsi ya kutengeneza mayonnaise mwenyewe nyumbani / Homemade mayonnaise 👉 • Jinsi ya kutengeneza m...
_______________________________________
🔴✅Mahitaji kwa pita bread (mkate wa shawarma )
▫unga robo kg
▫vkk 2 mafuta ya kupikia
▫chumvi kiasi
▫vjk 2 maziwa ya unga (si lazima)
▫kjk 1 kidogo sukari
▫maji ya uvugu vugu kwa ajili ya kukandia
~shuna's kitchen~
__________________
🔴✅Mahitaji kwa sosi zake
✅Kwa red sauce tunahitaji
▫vjk 2 - 3 ketchup (tomato ya chipsi)
▫Kitunguu saum punje 2
▫Pilipili ya kuwasha ukipenda
▫kjk 1 kidogo sukari
▫vjk 2 maji ya limau au ndimu
▫chumvi kiasi
🔴✅White sauce - Tahini sauce (sosi ya tahini)
▫nusu kikombe ufuta mweupe
▫vjk 2 au 3 mafuta ya olive (olive oil)
▫chumvi kiasi
▫nusu kjk pilipili manga (si lazima)
▫vjk 3 maji ya limau au ndimu
▫kitunguu saum punje 3
~shuna's kitchen~
__________________
🔴✅Mahitaji kwa ajili ya vya kuweka kwenye SHAWARMA
▫Kuku nusu kg (alokua hana mifupa)
▫kjk 1 tangawizi na kitunguu saum
▫nusu kjk bizari ya mchuzi
▫kjk 1 curry powder
▫kjk 1 bizari nyembamba na pilipili manga
▫nusu kjk all purpose seasoning (si lazima)
▫kjk 1 kidogo garam masala
▫kjk 1 maji ya limau au ndimu
▫vjk 2 dark soy sauce (si lazima)
~shuna's kitchen~
__________________
✔For more updates please join my social media family ❤
▫instagram: @jifunze_mapishi 👉 / jifunze_mapishi
▫Facebook jifunze mapishi 👉 / shunaskitchen
__________________________________________
✔For business enquiry only : shunaskitchen@gmail.com
_____________________________________
✔More videos to watch;
🔴✅Jinsi ya kuchoma kuku bila kutumia oven wala mkaa / How to roast chicken without oven or charcoal grill 👉 • Jinsi ya kuchoma kuku ...
🔴✅jinsi ya kupika pudding ya mchele/ Rice pudding 👉 • Mapishi ya pudding ya ...
🔴✅ Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa kutumia unga wa mchele / Rice flour bread 👉 • Jinsi ya kupika mkate ...
🔴✅ jinsi ya kutengeneza Icing sugar mwenyewe nyumbani / How to make icing sugar at home 👉 • Jinsi ya kutengeneza I...