Mungu awabariki,mmetupeleka katika kiti cha enzi mbinguni
@eznalichelesi20034 ай бұрын
Nyimbo nzuri mbarikiwe watu WA MUNGU 🙏
@AbigaelPatrice-po5lc3 ай бұрын
Jamanii msonge mbele katika Bwana mbarikiwe
@hannahturo89056 ай бұрын
Kazi nzuri. Na hui ndo utunzi unaotakiwa katika nyakati hizii. Turudi ktk misingi. Watu wamjue Mungu kupitia nyimbo... Barikiwa kwaya, Mtunzi abarikiwe sana...
@AsteliaMagoma4 ай бұрын
❤ Mungu awabariki sana muendelee vivyo hivyo kuinua jina lake
@nellymnzava52777 ай бұрын
Jamani, nimeusikiliza huu wimbo usiku kucha kwa kuwa hili ni ombi la mwenye imani! Barikiweni Descendants of Asaph! Yaonekana mnakimbilia kuimba kama Asaph mwimbaji enzi za mfalme Daudi! Mtunzi abarikiwe kupita haya maneno. Mmeinua mioyo yetu kwa mpangilio wa maneno na sauti.
@descendantstz28677 ай бұрын
Barikiwa
@edel001tvАй бұрын
Nzuri nzuriii hii
@theserosfamily3 ай бұрын
Tunabarikiwa all the way from Kenya 254 .... God bless this choir and the writer ❤
@NoelaJuma-n4m4 ай бұрын
Mwendleee hivi hivi Kwa viwango vya Mungu apendavyo msije kukata tamaaa Kama mahudhui yasemavyo 1:09
@dottokinds4031 Жыл бұрын
Na Ahimidiwe....🦋 Bwana anayetuwezesha Kutenda makuu, zaid ya tuwazavyo Chukua utukufu wakoo Ee BWANA kupitia wimbo huu🤲.....
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Amen dada karibu sana🙏
@ConsciousGundaАй бұрын
Amazing
@DrNatureclinic Жыл бұрын
Mbarikiwe sana friends.. huu wimbo unenibariki san❤
@dianangowo8958 Жыл бұрын
Mwimbo mzuri, Mungu awatunze mzidi kumtumikia😂😂 Naaa😍
@NoelaJuma-n4m4 ай бұрын
Mwendleee hivi hivi Kwa viwango vya Mungu apendavyo msije kukata tamaaa Kama mahudhui yasemavyo
@cecymwanyota814414 күн бұрын
Am blessed by this song. God bless you all
@eminkmedia19 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@mike.feleshi Жыл бұрын
Wimbo wangu wa pili wa Kisabato nilotokea kuupenda mbarikiwe❤
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Amina sana🙂 karibu sana SDA
@emmanuelnduki60894 ай бұрын
wa kwanza ni upi😂😂😂😂 karibu sana boss
@descendantstz28672 ай бұрын
😂😂😂@@emmanuelnduki6089
@nackymanjale28505 ай бұрын
Ahadi zake ni za kweli, hujibu kwa wakati apendao. ❤
@descendantstz28675 ай бұрын
@@nackymanjale2850 amen karibu sana
@alphoncinamanyama834 ай бұрын
❤🙏🙏🙏🙏
@hannahturo89055 ай бұрын
Huwa sichoki kuwasikiliza.... Nawaombea: Bwana awape moyo safi, aziumbe upya Roho zilizotulia ndani yenu. Awape unyenyekevu, awatakase kwa Ile kweli, awaongezee kipimo cha Imani, awajaze nguvu za Roho Mtakatifu.... Hatimaye wote mkafike ktk makao ya Amani .... Ameen.......
@descendantstz28675 ай бұрын
Amen, karibu sana
@esthermsemo5 ай бұрын
I love the song❤
@descendantstz28675 ай бұрын
Your mostly welcome🙏
@mbarikiwamtwa Жыл бұрын
Amina na atasikia maombi yetu. 👏😊🤲
@kleinmnibi132 Жыл бұрын
Congole Kwa mtunzi,. 🎉❤
@cosmassbaritoro7668 Жыл бұрын
Amen Mtunzi wa Wa wimbo abariki sana😢
@ezekielmgeta5022 Жыл бұрын
.....Mungu awatunze na awafikishe mbaali....
@addiepaul590 Жыл бұрын
Jamani Mungu awabariki sana kaka na dada ,mzidi kubarikiwa
@asheryemmanueli6267 Жыл бұрын
Bwana na adumu kuwabariki sanaa
@shilatusabuni896 ай бұрын
Amen!....What a prayer 🙏
@elizabethkamungo9583 Жыл бұрын
Kazi njema, Mbarikiwe🙏
@simonmbwambo3660 Жыл бұрын
Wimbo mzuri hakika Mbarikiwe
@benmaemba3268 Жыл бұрын
Niseme tuu. Mbarikiwe” @Al
@AmosPaul-p2s Жыл бұрын
May be blessed with the lord
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Amen, karibu sana Descendants Tz
@nehemianyerembe8840 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana, kazi njema mno
@theamontenor Жыл бұрын
Great item wakuu
@msilakabaka-pp6xt Жыл бұрын
Nmefurah kuona ndot ya alvinus inatimia
@khajirajafari1591 Жыл бұрын
Albinus ,,Mungu aendelee kukutumia
@AMOSJOHN-ln8xq Жыл бұрын
Kazi nzur sana mungu awabariki
@rinnie32 Жыл бұрын
Congrats mat…. gee😂🔥🔥🔥
@Sr_BookLord7 ай бұрын
👌Kazi nzuri watu wa Mungu 🔥 Mbarikiwe Sana na Jina la BWANA litukuzwe 🙌
@descendantstz28677 ай бұрын
Barikiwa sana, karibu🙏
@alphamwipopo5725 Жыл бұрын
Wimbo mzuri Mungu awabariki sana
@Sautizawarithi Жыл бұрын
Be blessed Sana sana🔥🔥🔥🔥 🥰
@geeveennyonge6457 Жыл бұрын
Mnabariki vijana.❤
@eliudpayovela0593 Жыл бұрын
Mungu awabariki watu wa Mungu .wimbo mzuri,sauti nzuri
@gitaghayamnada1875 Жыл бұрын
Si ulisema📌, very powerful.
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Amen brother
@anitaarchibaldshoo3369 Жыл бұрын
Naomba maduka hapo apewe maua yakee🎉
@madukasayi2022 Жыл бұрын
Asanteh sana Bwana atukuzwe ❤❤
@VickySafari-gx2pp Жыл бұрын
mbarikiwe sana
@barakawanjara3239 Жыл бұрын
Hongereni DoA😊
@danychimagu Жыл бұрын
Glory glory glory
@AmosPaul-p2s Жыл бұрын
Hongera sana da naomi
@juliusbrush3202 Жыл бұрын
Awh 🤭 nice song
@rehemaondieki3462 Жыл бұрын
Amen!
@sammjingo4268 Жыл бұрын
DoA ,,,,,Mbarikiwe na Mungu.💯
@descendantstz2867 Жыл бұрын
❤
@matildastanleydononda916811 ай бұрын
Be blessed ❤
@descendantstz28678 ай бұрын
Be blessed as well, keep sharing
@japhethgeriad4519 Жыл бұрын
Bwana wangu azidi kuwainua Nimebarikiwa sana🎉
@petergelard2034 Жыл бұрын
Mungu ametukuzwa... HOPE ATAWAWEZESHA KUFANYA ZAIDI NA HAPO. 🎉
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Amina sana
@mayalastephano6781 Жыл бұрын
Barikiweni sana wajoli🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@neemahpeter3734 Жыл бұрын
Barikiwa sana vijana wa Yesu 🥰🙏🏽🙏🏽
@martinmpuya56399 ай бұрын
Hakika nyimbo zenu ni nzuri sana,Mwenyezi Mungu azidi kuwa bariki katika kuinjilisha neno lake na msipungikiwe na chochote na katika masomo yenu pia
@descendantstz28679 ай бұрын
Amina sana ndugu
@deborahkemunto1433 Жыл бұрын
Amen, Amen
@JosephLengai-n2c Жыл бұрын
Aminaa🎉
@josephelikana9074 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana mbarikiwe sana DoA
@OrgenessMbwambo10 ай бұрын
Amen
@descendantstz28678 ай бұрын
Blessings, Elder
@ellieNassary Жыл бұрын
Wimbo mzuri mnoo....
@kerubomorara5910 Жыл бұрын
Amina huu wimbo ni baraka❤
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Amen amen, barikiwa zaidi na kazi za DoA
@addistephano8393 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana keep the fire burning
@ogenoray1311 Жыл бұрын
Wonderful
@naomimagoye2073 Жыл бұрын
Amen 🙏
@lovenessmedard8990 Жыл бұрын
To God be the Glory 🙏 Nice work fam 🤠🔥 Be blessed always 🙏❤
@VeshaErasto-ti6ci Жыл бұрын
Gift u did it BEDDO 😩😩♥️
@geeveennyonge6457 Жыл бұрын
Be blessed Vesha❤
@athanaskalihamwe3046 Жыл бұрын
Kawimbo kazuri sana. Barikiweni!
@SifikaYohanna-if2fe Жыл бұрын
Mimi Mama tuma barikiweni Sana namuona mwanangu amepemdz Sana na samweli
@tumainmdee7543 Жыл бұрын
ameen
@jacksonkiwale4150 Жыл бұрын
I just hear something new and good melody DoA be blessed all🙏🙏😇😇
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Amen kaka karibu sana🙂
@jacksonkiwale4150 Жыл бұрын
Thanks be blessed
@Asila-fb3gp Жыл бұрын
Lov from Burund🇧🇮🤼🙇🙇♂️
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Hello
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Please whatsap us through +255744855117, We need your help in burundi
@MayJuma-yp5tj Жыл бұрын
AMINA
@peterkimaro9336 Жыл бұрын
🔥🔥
@dr.edwingeorge9837 Жыл бұрын
Much blessed.
@neemajohn10 Жыл бұрын
🥰blessed
@happynessaron7056 Жыл бұрын
Mbarikiwe saan 🙌🥰
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Karibu sana
@OrgenessMbwambo Жыл бұрын
Be blessed
@BongelaShangwe8 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana
@descendantstz28678 ай бұрын
Karibu sana, Endelea kushare uwafikie wengi na baraka za Bwana kuambatana nao kama Bwana alivyokusudia kufikisha ujumbe huu kwao
@madukasayi2022 Жыл бұрын
Aseee Bwana awabariki sanaa 🌹🌹🌹
@jivastechsolutions Жыл бұрын
May God bless you and give more excellence power
@descendantstz2867 Жыл бұрын
We are so grateful brother
@gimbuya475 Жыл бұрын
Iko makini sana👍
@javicnyamwange50629 ай бұрын
Wimbo mtamu
@descendantstz28678 ай бұрын
Amina barikiwa ndugu😊
@RhodaMusisi Жыл бұрын
English subtitles please , and share on this very page. Beautiful voices and melody but can't get a thing. Probably lindirira only which means wait in my language, I guess being a bantu dialect cld mean the same
@descendantstz2867 Жыл бұрын
Hello down there are the lyrics, which translate the song into english dear❤ Furthurmore, you can email us on descedantsasaph@gmail.com