No video

SIENDI TENA KWA MZEE SAID KWA HIZI HASIRA |YANGA WASAJILI SISI TUNAUMBUANA WENYEWE KWA WENYEWE

  Рет қаралды 89,883

Finest Online

Finest Online

Күн бұрын

Пікірлер: 490
@simionngayayi6903
@simionngayayi6903 2 ай бұрын
Wangapi tunaosubiri nondo za mzee said tujuane kwenye likes 👍 😂😂😂😂
@hassanchiwambo687
@hassanchiwambo687 2 ай бұрын
Wale wajumbe wana makosa lakini mo nae anazingua sana sema ela ndio tunazobembelezea.
@IsaacFredy
@IsaacFredy 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤p❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤p❤❤❤❤❤❤😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤p❤pppppopppppppp ppppp​@@hassanchiwambo687
@user-gt6kw1iy1l
@user-gt6kw1iy1l 2 ай бұрын
Tupo
@azamdick7545
@azamdick7545 Ай бұрын
😅
@PaskaliEdimundi
@PaskaliEdimundi 2 ай бұрын
Mzee said anaongea kweli hawa viongozi watuachie Tim yetu
@cassimjohar2663
@cassimjohar2663 2 ай бұрын
Uko sawa mzee said bado nakukubali
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 2 ай бұрын
Hahahaha mzee saidi napenda Sana maneno yako mungu akupe maisha marefu
@charlesmtamala4912
@charlesmtamala4912 2 ай бұрын
Mzee wangu nakukubal sana😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉😊
@ADEMSKTV-hy5rr
@ADEMSKTV-hy5rr 2 ай бұрын
Umemaliza mzee wang yaani wote waondokeeeee! Abaki tajiri Mwenyew
@user-xl5sv7lz4g
@user-xl5sv7lz4g 2 ай бұрын
Duuuuuhhh 😂😂😂😂 uyuu mzeeee noma Akiwa babakooooo kazi unayoooo
@georgettesaidi6809
@georgettesaidi6809 2 ай бұрын
Walio kuwa na musubiri mzee saidi tujuwane 😂😂😂
@hassanerayani7239
@hassanerayani7239 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 2 ай бұрын
B😂😂 oyoooooo huku vita Badoo mbichiii sijui shirikisho itakuwajeee😅😅😅
@azamdick7545
@azamdick7545 Ай бұрын
😅😅😅🇰🇪
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 2 ай бұрын
Kumekucha uku jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jifunze0042
@jifunze0042 2 ай бұрын
we mzee saidi we yani nshakuskia hapa roho yangu kwatu kabisa
@AbdulahJhuma
@AbdulahJhuma 2 ай бұрын
ila mzeee saidi jamaniiiii😅😅😅😅😅😅😅
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 2 ай бұрын
Hata mim ni yanga nilikuwa namsubiri
@chemstry409
@chemstry409 2 ай бұрын
MZEE SAID KWELI LEO KACHAFUKWA....😂😂😂😂😂
@stevensosipita
@stevensosipita 2 ай бұрын
MSISAHAHAU MIMI WA KWANZA LIKE ZANGU KWA MZEE SAID
@freedommuhanje057
@freedommuhanje057 2 ай бұрын
Hongera ndugu
@MichaelMwambango
@MichaelMwambango 2 ай бұрын
Huyu Mzee Said 🔥🔥🔥
@mussastephano4938
@mussastephano4938 2 ай бұрын
huyu said hajui chochote, msikilize kigwangala. hao wajumbe wote hawana halali pia MO hana hisa49. simba ni mali ya wanachama 100.
@MichaelMwambango
@MichaelMwambango 2 ай бұрын
@@mussastephano4938 nisawa Ila Nae Said Yuko Vizuri Simba inamuumiza Saana
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 2 ай бұрын
Kigwangwala nani .ni mamluki wa yanga .atuachee na mo wetu.chuku zake za kukosa dhamana ya pikipiki asitulete kwenye simba yetu​@@mussastephano4938
@zuberimwakipesile7108
@zuberimwakipesile7108 2 ай бұрын
Mzee said na saidoo tunaomba serikali iingilie kati wapatanishwe
@masumbukomoussa977
@masumbukomoussa977 2 ай бұрын
😀😀😀😀
@issamarusu4128
@issamarusu4128 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@simionngayayi6903
@simionngayayi6903 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 2 ай бұрын
😂😂😂 kumekuchaaaa
@ramadhanikashimbiri4851
@ramadhanikashimbiri4851 2 ай бұрын
Ahahahahhaaaaaa hii vita ya Said na Saido ikiisha tutapata wapi ladha hizi erooo
@user-eh6wn9qf4b
@user-eh6wn9qf4b 2 ай бұрын
Ukiacha kwenda kwa mzee said mm sitofatilia channel yako tena😢😢😢😢
@BasuleBasule
@BasuleBasule 2 ай бұрын
Wee Nan Sas😅😅
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 2 ай бұрын
😢 kweli kabisa
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 2 ай бұрын
Chagamba tunamsubiria kesho j3 Mzee Saidi amenifurahisha sana kwa kusema ukweli.Watu wengi tinampenda sana mzee Saidi ,pia anakuongezea viewers.❤❤🎉🎉🎉🎉
@minazsaid2470
@minazsaid2470 2 ай бұрын
Nimeomba no mda mrefu kwako chagamba ya mzee Said ili nimpatie pesa ya kupoza roho nampenda huyu baba jamani
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 2 ай бұрын
Saaana , chagamba tunaomba namba ya Mzee saidi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
WEKENI NAMBA ZENO ATAWAPIGIA.
@nassoloabdala8836
@nassoloabdala8836 2 ай бұрын
Nakupa mze wangu🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@mullahtmo
@mullahtmo 2 ай бұрын
Mimi yanga ila namkubali mzee saidi kwa fact
@user-mp6zd2ui7r
@user-mp6zd2ui7r 2 ай бұрын
Mzee saidi unanipenda Simba kweli nimeamini unaongea kwahisia kabisa
@abedymtore2707
@abedymtore2707 2 ай бұрын
Changamba acha kutupanga wew uwez kuacha kwenda kwa mzee saidi ila mpetu pole mana yanayo endelea yanatia imani kiukweli mana viongozi hawana karma ya utendaji ktk club sisi ndio DAR YOUNG AFRICANS mbele mbele yao? I❤❤yanga forever
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 2 ай бұрын
hata nyiynyi yanga mluteseka miaka minne mumesahau
@user-xl2iz6qe9w
@user-xl2iz6qe9w 2 ай бұрын
UTege kama ubanio wa ugalii😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daa mpira unauma mzeee saidii
@user-bl2ss4wv8g
@user-bl2ss4wv8g 2 ай бұрын
Chagamba, chagamba ila uliona mbali kumfanyia interview huyu mzee😅😅😅 hongereni sana👏👏👏
@maryamdadi8432
@maryamdadi8432 2 ай бұрын
😂😂 🔥
@user-bl2ss4wv8g
@user-bl2ss4wv8g 2 ай бұрын
@@maryamdadi8432 kiukweli aliwaza mbali na anauza sana
@MinjaPius-bx3ng
@MinjaPius-bx3ng 2 ай бұрын
Mtu anakwambia Bye bye nawe unamwambia byebye😂😂😂😂😂
@ShabaniMapengo
@ShabaniMapengo 2 ай бұрын
Mungu atafanya wepesi babu Mzee said
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 2 ай бұрын
Gaaaaaaaambaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂 so mzee saida kawakaaaaà😂😂
@chemstry409
@chemstry409 2 ай бұрын
Mzee Said Simba itakuua.........😂😂😂😂😂
@MpembaMayunga-im7zv
@MpembaMayunga-im7zv 2 ай бұрын
Leo mzee said kajaa aisee chagamba utakula Kofi brother 😂😂😂😂😂😂
@warrenkilimber4013
@warrenkilimber4013 2 ай бұрын
Ila siku mzee said akili ikifunguka akaja akagundua MO ndio tatitizo simba sijui itakuaje😅😅😅😅😅😅😅
@YahyaMakame
@YahyaMakame 2 ай бұрын
Mbona Fatma Dewj anasajili wachezaji wazuri na Simba queens inaenda vizur acheni maneno , ninan aliitoa Simba kutoka chini mpaka juu
@elizabethywinnie1090
@elizabethywinnie1090 2 ай бұрын
Mzeee Saidi basi baba inatoshaa laaaah 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@HadijaSalum-kf6gy
@HadijaSalum-kf6gy 2 ай бұрын
Chagamba kweli bora usimhoji mzee said xku iz ana hasira,anaweza akakupiga makofi sio kwa asira izo😂
@adinanimohamed895
@adinanimohamed895 2 ай бұрын
Yanii huyu mzee said nikimsikilza nasikia raha sana chagamba kila bada ya siku tatu nenda kwa mzee said ananipa raha sana np mbali tu lakimi nigemtafuta huyu mzee
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 2 ай бұрын
Wacha inyeshe tuone panapo vuja
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 2 ай бұрын
Mtupie hata mteni atakushukuru
@elizabethywinnie1090
@elizabethywinnie1090 2 ай бұрын
Oyaaaa Babu leo mzee Said kachafukwaa 😅😅😅😅😅 kaa vizuri unaweza pigwa kofi😅😅😅😂😂😂😂😂 Sasa Egn anamakosa gani😂😂😂😂😂😂 uwiiii nafaaa miee🙌🙌🙌
@mwasitiramadhani8684
@mwasitiramadhani8684 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nimecheka
@titobernard383
@titobernard383 2 ай бұрын
Dogooo !! Safi Sanaa 😂 nashukuru umetoka salama kwa mzee saidi 😂 maana leo Alikuwa wa moto sana ! Kazı nzuri dogo 👏👏😂
@user-rj6uh3rm8d
@user-rj6uh3rm8d 2 ай бұрын
kazia hapo hapo mzee wetu tuwe na amani Kwa kweli 💪💪💪💪💪💪🙆🙆🙆🙆🙏✅✅✅✅
@fahmysawafi1263
@fahmysawafi1263 2 ай бұрын
Omary jobe Anaenda kumuuza Kwa Nani???🤣🤣🤣🤣🤣
@user-cv4yi5hz9b
@user-cv4yi5hz9b 2 ай бұрын
Nakuuliza ww sio hasara hiyo😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤪
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 2 ай бұрын
Wamuzie nani wampeleke tu simba queen
@edwardsanga1182
@edwardsanga1182 2 ай бұрын
Mungu akubaliku mzee saidi by sanga
@SafiaWimana
@SafiaWimana 2 ай бұрын
tabu iko pale pale 😂😂😂😂😂😂ila mzee said na kupenda bure
@omaryMwezingo
@omaryMwezingo 2 ай бұрын
Mzee saidi bado ujasemaa nautasemaa
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 2 ай бұрын
wew nawe katafute bwana muwache bab yetu mzee said
@user-eh6wn9qf4b
@user-eh6wn9qf4b 2 ай бұрын
Sema nilimmiss xanaaa mzee said 😂😂😂😂😂
@nassoloabdala8836
@nassoloabdala8836 2 ай бұрын
Pole sana mze wangu
@user-bp2cc9eo6g
@user-bp2cc9eo6g 2 ай бұрын
😂😂 MZEE Said kavurugwa,leta mchezo wewe😅,atapiga mtu makofi,watu wa Simba yao hao🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@elizabethywinnie1090
@elizabethywinnie1090 2 ай бұрын
Nacheka mm jamn😂😂😂😂🙌🙌
@dilipdab3714
@dilipdab3714 2 ай бұрын
Lakini wahidi nao wanajanjaa sanaa lakini bora waindike wote
@DullaMasharubu
@DullaMasharubu 2 ай бұрын
Huyu mzee kavungwa anaipenda yanga like apa
@honestangalapa4178
@honestangalapa4178 2 ай бұрын
Mbona madogoliiii!!!!!!!!!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂
@MuddyAlly-jt8rn
@MuddyAlly-jt8rn 2 ай бұрын
Mzee said uko sawa baba
@SUNDAYMRGAMINGTZ
@SUNDAYMRGAMINGTZ 2 ай бұрын
Waondoke😂😂😂😂😂😂😂
@user-cv4yi5hz9b
@user-cv4yi5hz9b 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣waatokee😂😂😂😂😂
@stevenobure8241
@stevenobure8241 2 ай бұрын
Mimi nimeanza kufuatilia hii channel kwa sababu ya huyu mzee yaani natamani kila baada ya siku tatu tunapata nondo zake
@user-cl1ut6oq1v
@user-cl1ut6oq1v 2 ай бұрын
😆😅😄🤣😂 mzeee said hicho kingereza Sasa duuuh😂
@MzeewaYanga-wj4tt
@MzeewaYanga-wj4tt 2 ай бұрын
Dah mzee said anaongea kw uchungu xana
@buzaglomichael4339
@buzaglomichael4339 2 ай бұрын
Mzee Said kawakia gia namba nne 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 2 ай бұрын
Kweli tapeli sio mtu mzuri yaani uyu mzee unampigania muhindi ajimilikishe timu iwe yake ujui Kama yule mzamini tu
@stevensosipita
@stevensosipita 2 ай бұрын
DAH NOMA SANA MZEE SAID KARIBU JANGWANI KUMENOGA
@mussastephano4938
@mussastephano4938 2 ай бұрын
tatizo ni set up ya bodi, wajumbe wote wenye maamuzi ktk bodi wanatakiwa kuteuliwa na mfadhili, mwkiti ni mjumbe tu wa kawaida. waliofukuza na kusajiri wachezaji ni wajumbe wa MO.
@YahyaMakame
@YahyaMakame 2 ай бұрын
Nyinyi mlidai mo asiwe mwenyekiti wa bodi akubali akatoka Sasa set up gani mnataka bhn mnanikera nyinyi
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 2 ай бұрын
MZEE SAIDI KAVULUGWA🤣🤣🤣
@freedommuhanje057
@freedommuhanje057 2 ай бұрын
Sio kidogo😂😂😂😂
@ramadhanikashimbiri4851
@ramadhanikashimbiri4851 2 ай бұрын
Sema Mzee wang kavurugwa kweli hadi anasema Sala zipo 4 astakafiruallah pole sana mzee
@othmantv2654
@othmantv2654 2 ай бұрын
Nnachompendea mzee saidi anafoka lakini hajawah kutukana😂😂😂
@ngoshakulwa8348
@ngoshakulwa8348 2 ай бұрын
Nani amemsikia mzee Said akiongea kilugha...?😂
@elizabethywinnie1090
@elizabethywinnie1090 2 ай бұрын
Namsikia kuna m2 anacheka hapo pembeni 😂😂😂 Mzee Said hapana ni zaidi ya Machine 😂😂😂🙌🙌🙌
@jumahabibu5772
@jumahabibu5772 2 ай бұрын
Shikamoo mzee said hatariiiiiiii🦴👀💥
@j0sephmboya592
@j0sephmboya592 2 ай бұрын
Kweli lile lenye miwan ni takataka kabisa sijui yametoka wp hana hata bilion 1 halafu anasema meekezaji hata hawana fan ya mpira yanatafuta midea kutugombanisha tuu
@EnockSDady
@EnockSDady 2 ай бұрын
Huyu mzee😂😂😂😂
@AmirAthman-kx2yq
@AmirAthman-kx2yq 2 ай бұрын
All the way from Kenya, mzee said congratulations.
@shithyomar3828
@shithyomar3828 2 ай бұрын
Msiache kumuintervew mzee saidi anaongea kwa hisiya kali
@user-pf5zc6xi9w
@user-pf5zc6xi9w 2 ай бұрын
Mzee said swala ni tano
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 2 ай бұрын
Xavi mtupu 😊
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 2 ай бұрын
Duh upo vizuri mzeee! Nakukubali nipo nachekaga peke yangu hapa! Ingawa mimi Yanga nakuenjoy etiii
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Wale waondoke haraka
@PiliAbdallah-vc2no
@PiliAbdallah-vc2no 2 ай бұрын
Mzee saidi yupo sahihi Mimi ni yanga lakini anaongea ukweli kama unaamini like hapa
@haleemaali731
@haleemaali731 2 ай бұрын
Jamani uyu mzee ananifulaisha ebu wambieni atoe namba zake tumtumie japo pesa za soda maana nafulahi sana
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 2 ай бұрын
Kwakweli hata mi nipo tayari kumtumia chochote mzee saidi ❤❤❤uuu
@user-mz1sf8kq7e
@user-mz1sf8kq7e 2 ай бұрын
Nakubali sana huyu mzee
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 ай бұрын
Ila Chagamba unatukosea sana hizi dakika unazo muhoji mzee Said ni chache sana😂 ziongeze ziwe dakika angalau 50.... Au saa zima fresh kama filamu😅😅
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Mzee Said nampenda,lkn kuna kitu hakijui! Mo ndo mbovu kwa Simba!! Hajui masikini!
@SaadSeleman-cv7mu
@SaadSeleman-cv7mu Ай бұрын
Namkubar San Mzee Said Yaan
@juliuselikana6857
@juliuselikana6857 2 ай бұрын
Mzee Said ❤
@JosephBWAGIZO-fs5ig
@JosephBWAGIZO-fs5ig 2 ай бұрын
Mzee saidi kacharukwa😂😂
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 2 ай бұрын
Safi sana mzee Saidi
@MzeewaYanga-wj4tt
@MzeewaYanga-wj4tt 2 ай бұрын
Wachi is wich😂😂😂😂 mzee said
@nasryiddy9855
@nasryiddy9855 2 ай бұрын
Wazungu wansem wachi is which which is which 😂😂😂
@matiankomola2391
@matiankomola2391 2 ай бұрын
😂😂😂😅
@AbdalaAmisse
@AbdalaAmisse 2 ай бұрын
Tupo wengi nasa chama mzee saidi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😅
@TeacherTz-cw2xs
@TeacherTz-cw2xs 2 ай бұрын
hhahaaahhaa mzee said uk kumeshaanza kuchangamka
@RajabuHaruna-wb9yy
@RajabuHaruna-wb9yy 2 ай бұрын
Mzee saidi chukua uwe mxemaji mxaidizi❤🎉
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert 2 ай бұрын
Which is which mpaka mzee said aje aongee kiarabu siku moja 😂😂😂 nakupendaa xanaa mzee saidi huna bayaa ugomvi na saido upo pale pale
@Shadia544
@Shadia544 2 ай бұрын
Nasubili hapa jamaniii nimsikie mzee saidi jamaniii 😂😂😂😂😂michambo sasa kwa viongozi wa bilion 20 😂😂😂😂
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 2 ай бұрын
Huyu jamaa huwa anasababishaga tunaacha kazi tunamsikiliza kwanza😅😅
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 2 ай бұрын
😅😅Huyu mzee bana😅😅
@user-mz1sf8kq7e
@user-mz1sf8kq7e 2 ай бұрын
daa inatisha sana
@raphaeltanzania
@raphaeltanzania 2 ай бұрын
mzee said anasema kweli tupu na wana simba lazima wawe na hasira maana viongozi wa simba hawana huruma na mashabiki wa simba
@victorernest7702
@victorernest7702 2 ай бұрын
Madogoliiiii😂😂😂mpk Ngoma za wangoni umezijua leo😂😂😂
@user-xl5sv7lz4g
@user-xl5sv7lz4g 2 ай бұрын
Watooooookeeeeee 😂😂😂😂😂 duuuuh nimecheka mbaka bax
@favouredlizzy3124
@favouredlizzy3124 2 ай бұрын
Anakuja mtu from where 😢😢😢 ila mzee saidi 😆😆😆😆😆😆🙌
@petrobukerebe215
@petrobukerebe215 2 ай бұрын
Mzer said kavurugwa😂😂😂
@MabruckLingondo
@MabruckLingondo 2 ай бұрын
Mutamuuua Mzee said jmanii 😂😂😂😂
@ManjaHisani
@ManjaHisani 2 ай бұрын
Mzee saidi marahii kachafuka hatariiii
@Amne_ggg6
@Amne_ggg6 2 ай бұрын
Mzee Said umemaliza yote baba WATOKEEE,wasituchonganishe na Moo
@rehemawamwarami3854
@rehemawamwarami3854 2 ай бұрын
mzee saidi kwenye kipengele Cha swala umebolonga swala ni tano imekuaje kuisaau tano? Kama mzee saidi kakwepa kwamaksudi hivi like apa du?
@zainabusaidi4542
@zainabusaidi4542 2 ай бұрын
Mzee zaidi we vumilia tu hata sisi Yanga tuliteseka sana hadi tulitembeza bakuli
@user-ht5tc5yv5t
@user-ht5tc5yv5t 2 ай бұрын
Yaan nilikuwa nawaza mpaka msimu uanze ndo nianze kuona interview zako bas nimeenjoy kukuona 🤣🤣
@zainaburamadhani1444
@zainaburamadhani1444 2 ай бұрын
mzee saiid kaongea kwa sauti kubwa WATOKEEEEEEE BYEEE BYEEE😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RamadhanMsuya-eq3zf
@RamadhanMsuya-eq3zf 2 ай бұрын
Watokeee 😂😂😂😂😂 watokee😂😂😂
@idrisahamimuhasani5717
@idrisahamimuhasani5717 2 ай бұрын
Mzee said kwn huyo kadena alikuwa wp kusema Toka mwanzo?kila mtu anatetea ugar wake
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 11 МЛН
Young Africans 🆚 CR Belouizdad | Full Match
1:47:30
7d media
Рет қаралды 218 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44