SIFA ZA MWANAMKE MWENYE BUSARA KWENYE NDOA YAKE

  Рет қаралды 116,760

Pastor Daniel Mgogo

Pastor Daniel Mgogo

4 жыл бұрын

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZbin : Pastor Daniel Mgogo kzbin.info/door/eNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

Пікірлер: 71
@IrineJoseph-dd1vv
@IrineJoseph-dd1vv 4 ай бұрын
Mungu akubariki
@AngelaBungoma
@AngelaBungoma 11 күн бұрын
Yeah Mimi pia nilikuwa hivyo kwangu,nashukuru nitabadilika.
@abedkirway8668
@abedkirway8668 3 жыл бұрын
Nimekupenda sana mama Mungu akubariki sana unahekima na busara sana
@kiswaumwita3525
@kiswaumwita3525 3 жыл бұрын
duh mko vizuri hiyo semina ya ndoa ninzuri sana dah mama uko na busara na hekma na rehema dah ubarikiwe sana
@florencewandabwa8320
@florencewandabwa8320 2 жыл бұрын
Wanaume wote wangekuwa kamawewe paster Dunia ingekuwa safi sana
@toutpassefrancisaime3698
@toutpassefrancisaime3698 Жыл бұрын
Aksante saana MUNGU akubariki
@sintawaisiku8308
@sintawaisiku8308 4 жыл бұрын
Huyu mama ana hekima sana mana anayosema ni kweli kabisa na tunamwitaji Mungu na neema yake ili kuwa sawa
@alipanduali5947
@alipanduali5947 3 жыл бұрын
Mm muislamu,lkn huyu Pastor namkubali sana.natamani nionane nae angalau dakika moja.tubadilishane mawazo.
@salomesamwel6041
@salomesamwel6041 Жыл бұрын
Mmenijenga sana tena barikiwa sana nilikuwa nafikiria kuondoka kwangu now nimeairisha kwa ajili ya hilo somo
@angeljumla4344
@angeljumla4344 2 жыл бұрын
Imenijenga sana ... be blessed
@hassanikalio9676
@hassanikalio9676 Жыл бұрын
Warisema kwamba wachafu wengii wana taabia ya kuva nguo safi past.
@lazaroonyango8859
@lazaroonyango8859 4 жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi kwakweli ni mafundisho ya kuponya familia na, sio ndoa tu,.
@paulinabhoke9828
@paulinabhoke9828 3 жыл бұрын
Mchungaji mgogo Yuko vizuri anatuponya, mungu ambariki sana
@irenesusan2597
@irenesusan2597 3 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji Mgogo,asante law chakula cha roho.
@magnifiquentkrtmna320
@magnifiquentkrtmna320 4 жыл бұрын
Asante sana wewe baba unanicangamusha sana
@emmanueljackson3101
@emmanueljackson3101 3 жыл бұрын
Nilipenda
@teresiandungu673
@teresiandungu673 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa mashauri yako... Mimi niliwacha wangu kwa sababu singevumilia uchungu huo. Hakuna haja niishi Hapo kwa machozi. Najua Mungu atanibariki na Mwingi a ambaye atanipenda...
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Kabisa kamwe usiruhusu presha ya moyo muache aende Mungu atakupa wa kufanana nawewe
@noeldstanford9578
@noeldstanford9578 3 жыл бұрын
Karbu sana
@yesunijibunguba3020
@yesunijibunguba3020 3 жыл бұрын
Kweli Kabisa
@MariamuOboto-vc1sh
@MariamuOboto-vc1sh Жыл бұрын
We we mama unajua unacho kiongea kweli? Mungu akuhurumie sana nahayo unayoongea yakupate tukuone
@vinnyog1987
@vinnyog1987 4 жыл бұрын
Nzuri mtumishi
@mosesomoit4980
@mosesomoit4980 2 жыл бұрын
Nime
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Mabaya ntahesabu mnona yeye anaendelea kufanya mabaya halafu mimi eti vumilia ndugu yangu sitakaa kimya nitaongea kuvumilia hakutatatua tatizo kulikabili na kuliongea kwa nguvu zote mpaka kieleweke
@desderiasoko158
@desderiasoko158 3 жыл бұрын
Ni kweli mme wangu kila cku anakuwa w kunilalamikia ila yye unipa maumivu to mpaka celewi
@pastordanielmgogo9704
@pastordanielmgogo9704 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (OMOJADE MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349064257150) tell him I sent you to him. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 жыл бұрын
Mme akikosa kipato mwanamke hamheshimu kabisa wanawake waliowengi wanatamani wanaume wakifanikiwa ndo maana mme wake akikosa kipato huanza kuwinda waume waliofanikiw na hpo huanza dharau kwa me wa ndoa. tunao tunaishi nao kwan tabu kubwa mwanamke huwezi kusema jambo kama mwanaume akusikilize au akutii yaani inakibidi ww mwanaume uwe mke yeye awe mme ili maisha yaende kimsingi wanaume tunachangamoto sana hasa ndoa za kikristo
@sintawaisiku8308
@sintawaisiku8308 4 жыл бұрын
Mungu awabariki mana wametoa points za kuponya ndoa nyingi
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 жыл бұрын
Wanawake waliowengi huwa hawatupendi wanaume wanatafta mtu wa kuwaawekea misingi ya maisha lkn akisimama vzr mme hahitajiki tena mwanamke akisha pata watoto wakasima wakawa wakubwa mme hatakiwi tena kuonekana mbele yke
@marayiokedi6978
@marayiokedi6978 4 жыл бұрын
Hayo ni mawaida ya busara kabisa ya kujenga family nyingi
@desirekitumaini261
@desirekitumaini261 3 жыл бұрын
Hallelujah
@mellissauwase5514
@mellissauwase5514 3 жыл бұрын
U said exactly maisha yangu 😒
@samuelbajutatv5913
@samuelbajutatv5913 4 жыл бұрын
Ni kweli Mchungaji unayozungumza ubinafsi umezidi
@anethkanyabuhula9656
@anethkanyabuhula9656 3 жыл бұрын
Aminaaa
@pastordanielmgogo9704
@pastordanielmgogo9704 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (OMOJADE MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349064257150) tell him I sent you to him. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..
@sayunitenga8309
@sayunitenga8309 3 жыл бұрын
Asante kwa ushauri mzuri Mungu atusaidie

@coasternkidd2544
@coasternkidd2544 3 жыл бұрын
Kweli mwizi atami kuibiwa
@kageshsantrah9520
@kageshsantrah9520 3 жыл бұрын
Powerful message
@magnifiquentkrtmna320
@magnifiquentkrtmna320 4 жыл бұрын
Kwakweri natamani ungekuwa Babangu muzazi.
@pastordanielmgogo9704
@pastordanielmgogo9704 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (OMOJADE MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349064257150) tell him I sent you to him. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..
@saimongodian1754
@saimongodian1754 2 жыл бұрын
Mmeamkajee
@SN-wb3gm
@SN-wb3gm 2 жыл бұрын
Kupa heshima mume nisawa arakini utamupa heshima mume anakutukana anakupiga anaenda arudi utamupa heshima namna gani utavumiriya ju yawa toto arakini hakuna heshima
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 жыл бұрын
Nikweli kuna wasiovumilika lkn wanawake wengi hawawapendi waume zao wanapenda walichonacho wanaume yali mali
@etomere3716
@etomere3716 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@ndayiragijecyriaque9454
@ndayiragijecyriaque9454 4 жыл бұрын
Mugogo kuna wanaume ambao ni Bokoharamu hata ukimubeba mugongoni hawabadiriki
@pastordanielmgogo9704
@pastordanielmgogo9704 3 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (OMOJADE MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349064257150) tell him I sent you to him. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you..
@januarimagobe59
@januarimagobe59 3 жыл бұрын
Mwombee huyo mwanaume Mungu atambadilisha maana wakati mwingine ww kama ww huwezi kumbadilisha ila Mungu tu. Omba juu ya MTU huyo bila kukoma Mungu atambadilisha
@modestaissa1947
@modestaissa1947 4 жыл бұрын
Mm nadhani hapo tunatanguliza ubinafsi kwanza.MUNGU atufanye wepesi wa kujali wenzetu
@janethcharles5917
@janethcharles5917 4 жыл бұрын
Sema tupone baba nikwel kabisa ubinafsi umekisili kwa kizazi hiki
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Mwanamme asiye muaminifu Ana hatari ya kukuletea ukimwi wanawake wengi wamekufa kwenye ndoa zao na maombi waliomba na ukimwi walipata Mungu katupa akili akianza kucheat maombi hayakukingi na ukimwi atakupa ukimwi tu wanawake jaki afyå yako alale na mtu mwingine halafu usiku anakuja kulala na wewe are you mad 😠 bora muache aendelee kulala na yule yule wa nje huku mlango funga acha ujinga.
@ruthpreciousk24
@ruthpreciousk24 3 жыл бұрын
Hizi maandishi are not in line with the good interview going on.
@lisayasmine1283
@lisayasmine1283 3 жыл бұрын
Am sorry the lady is misleading. You can't change a grown man. Respect is two way traffic. Most men will take advantage of your patience and kindness to being stupid. One if the major red flag is a disrespectful man.
@paulinabhoke9828
@paulinabhoke9828 3 жыл бұрын
Natamani kupata no yake ya cm
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 жыл бұрын
Yaani nimheshimu mume hata katka upuuzi? Wewe mama wewe
@gracewaziri3221
@gracewaziri3221 4 жыл бұрын
Natamani ningemuwa mshirika wa kanisa unalochunga, nisingekwazika kwa jambo lolote!
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 3 жыл бұрын
Kukwazika kupo kwa kila Binadamu
@jesusfirst8464
@jesusfirst8464 4 жыл бұрын
Ila naona bibi kizee ana choma nywele piya mitindo za kuiga. Je uo ndio utamaduni wetu wa Africa au Tanzania??? Je mamako akiwa hivo utafurahu???, nywele zimekunjwa eti maendeleo ya utandawazi na kisasa... pole sana.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 4 жыл бұрын
Jesus First Wewe achana na nywele huyu mama anaonekana anajiheshimu angalia maneno yake
@samwelisaya470
@samwelisaya470 4 жыл бұрын
Mwombe Mungu hekima yakufikisha ujumbe ili umfae mwitaji nawengine pia
@anethjoseph6551
@anethjoseph6551 4 жыл бұрын
Acha basi mama wa watu ana jiheshimu kabisa
@judithmgaya7733
@judithmgaya7733 3 жыл бұрын
Eti JESUS first acha uongo Je haikuandikwa usihukumu usije ukahukumiwa.wewe utakatifu kwako ni outlook rudi kwa Mungu katubu angalia njia yako
@lidamethod2981
@lidamethod2981 3 жыл бұрын
@Jesus First, mwanamke pambo ee
@claraelengabulunda6750
@claraelengabulunda6750 2 жыл бұрын
Mbona ni fupi
@samdaboss5543
@samdaboss5543 4 жыл бұрын
Amina Mchungaji
@alayagietipaya973
@alayagietipaya973 4 жыл бұрын
Absolutely!!!!
@omwengapeter6251
@omwengapeter6251 4 жыл бұрын
Kweli hapo Sawa
@evamvanga4691
@evamvanga4691 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 23 МЛН
MCHUNGAJI MGOGO: WANAOTOA SADAKA KANISANI WENGI NI WENYE DHAMBI
5:17
Mtanzania Digital
Рет қаралды 383 М.
MCH DANIEL MGOGO - UNAFIKI (OFFICIAL VIDEO)
22:20
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 610 М.
OMBA USIPATE MKE WA JINSI HII-MCH;DANIEL MGOGO
15:02
NY TV
Рет қаралды 584 М.