Good... watanzania wote wangekua na majibu kama haya...umbea ungepungua...inahusu nn kutaka kujua maisha ya watu kuna faida labda munapata
@giovannygracious34346 жыл бұрын
Ninachompendea huyu binti anajitambua sana!!! Mtoto mdogo lakin akili nyingi!! Amewazidi ad kina Joyce kiria!! Nakumbuka hata mara ya kwanza ulikuwa mstarabu. Sana. Mungu aendelee kukupa hekima mtoto mzuri. Lv u mama mozar!
@godlovegeorge23346 жыл бұрын
giovanny gracious inshallah dua yako itamrudishia amani
@adelinasteven58416 жыл бұрын
Tessy ww n msichan wa mfano nakupenda sana pia nakukubali unajua unachoongea!! hukurupuki
@hadijaibote5026 жыл бұрын
giovanny gracious
@tamimuomaramisse43735 жыл бұрын
Whow
@mufamozmufash1666 жыл бұрын
I love the way she answered all the questions, she is very beautiful and brave young girl ever in dat country called Tanzania. Mama moze Mungu akulinde Ww na kizazi chako, give you all respect 💎💎💎
@joram31196 жыл бұрын
Aslay , Tessy nimwanake mwenye busara sana how l pray you get back together. Tessy am so proud of you. 254 hapa tunakusalute.
@حجيالحارثي6 жыл бұрын
Harriet Mwalagho ĺ
@haliphsemwal87016 жыл бұрын
Nipo indiaa kiswahiri skijuwi ira huyu Dada nampenda bure
@faridasabu89464 жыл бұрын
Yaani siku tukikutana lazima unywe soda yangu Tessy! Uko vzr sana zaidi ya sana!🥰🥰🥰🥰🥰
@eteabii39872 ай бұрын
.... 'Ata wewe! sidhani kama uko na mke wako peke ake'😀 philosophical answer!
@naomirahmah5676 жыл бұрын
wise woman.....congrats lady si poa kujianika kwenye umati keep it up dear
@vallenqueen80506 жыл бұрын
Kiukwel nmempenda huyo dada ana confidence yakutosha big up kwake anajua kujieleza
@bipopoomar87106 жыл бұрын
MASHA Allah we ni mrembo sana mum Moza umesema ukweli nmependezewa sana na majibu yko,ckujui hunijui lkn nmekupenda sana Aslay plz muoe Tessy yy ni mke bora.Watu hukosana na kupatana Bp hpa nikiwa Dubz
@ednahbosire22736 жыл бұрын
Dada uko sawa....unajibu vizuri... wanadada tuige huu mfano nakupenda bure. Aslay huyu ndo anakufaa
@lovekyungai26586 жыл бұрын
good Dada akeee n vizuri sana kwa kweli nimependa c lazima maisha yako ukayaweka public
@nuruabraham37694 жыл бұрын
duh! Tessy nouma eti hata wewe sidhani kama unamke mmoja😂😂😂😂👌🏃🏃
@tunnaika6 жыл бұрын
eeeeh Queens eeeh..kumbe wako wengiii?..khatar wallahi..ata wewe jiulize ya nini kumtupia mavi mumoe muliokaa na mapenzi na hata mukazaaa..ya niniii..aah munakaa mabeste ama kama ndugu..manake mushazaa sasa mumekua nduguuuh.USIMUANIKE MWENZIOOOOOO.
@dazuuhmd8196 жыл бұрын
Nakupenda sana na umeongea pont hongera sana
@johntuju11566 жыл бұрын
Dada una majibu mazuri na ya wazi saana. . Hakuna mashauzi yeyote! Dada zetu igeni kwa huyu dada!
@janethbernady84065 жыл бұрын
Tess mdogoangu nakupendaga sana sana unaakili sana!!ila naamini usemi watu wasemao wanaume walio wengiwaoo hawapendagi mke Bora.wanapenda bora mke.umetulia sana Tess
@ansuhlaly51406 жыл бұрын
Safi sana tessi majibu mazuri c kama wanawake wengine wanoongea mambo ya ndani kweli umefunzwa mama aslay hakukosea kukuchagua na atakula hasara akikuacha ukenda kwa dalili tu unaonekana ni aina ya mwanamke ambae kila mwanamme anamuhitaji. big up mu my
@soniataila40336 жыл бұрын
kwa ndani sasa ndoo huwezi kujuwa Mke mwema anatoka kwa Mungu!unapo hangaliya nje kwa ndani kuna kitu ! sema tu Mungu akuongoze sio kujiongoza eti unahangaliya mtu anavyo ongea !Hakili zenu duh eti unatambuwa mtu akiongeya ! kila kinaco ngaa sio Gold !!!!
@rebecatimothy80676 жыл бұрын
Millard Hongera na Asante kwa kutusikiliza watazamaji wako kwa kuondoa lile tangazo
@NewMan-ei9cf6 жыл бұрын
Aissee!, mbona hamjatukaribisha wrn church leo? 😍 Ila mama moza yuko smart. Kabinti kanajielewa.
@rahmamavura4066 жыл бұрын
huyu dada kiboko majibu yake siyo ya nchi hii nimempenda sana😅😅😅
@oredikamili33546 жыл бұрын
This girl looks so smart and wise to be a wife
@hadijaabdallah54776 жыл бұрын
Mashaallah bint kwanza hongera kwa mzszi wako unaheshima sana pili giga moyo konde murudiane hakuna mkamilifu msamehe Aslay mumlee moza wenu
@inodeboytz39806 жыл бұрын
intelligent sana mumy uko Pw sana una hekima kupitiliza n'a unajua kujb maswal
@ashminaabdullah56266 жыл бұрын
hata ww cdhani uko na mkeo pekeyake hahahaaa mahojiano yameisha
bora mama moza unajibu kistaraab mashallah ila angekua shoga etu gigy kasharopoka yote!!!
@hashtagdarling47384 жыл бұрын
Aslay ana bahati ya mabinty wazuri.ukilinganisha Tecy na Sonia wote wako fine.but nashindwa wapi anakosea dogo Aslay.2018 Tecy/2020 Sonia
@رحيمهخميس6 жыл бұрын
Ma moza mungu akujaarie una majibu ya kibusara sn sikujuwa km utaji u vizuri hivo ongera umewashinda watu na majina yao ongera kwa famly yako my wamekurea vizuri
@tashakhantz39596 жыл бұрын
mamaeee 😂😂😂kuulizwa kwani ww unade mmoja kaktisha😂😂😂intview wandshwa kibongo buana😂😂😂😂
@thoyarashid57826 жыл бұрын
Mbona ulikatisha interview mapema ulipoambiwa hata wewe sidhani kama una mwanamke mmoja😀😀😀
@shuaibdanilo35656 жыл бұрын
"Hata wewe, sidhani kaa uko na mkeo peke yake."😂😂😂👏👏 . Huyu mdada ako vizuri tu. Si kwa majibu 🔉😂😂
@naamininafunguliwaernest96834 жыл бұрын
We mkali dada ake mm
@hassinaalharthi59846 жыл бұрын
Majibu safi kabisa natamani madada wote wangekua hivyo. Asley huyu mke anakifaa
@najmabajun91816 жыл бұрын
nime mpenda bule anajibu vizuli adi lahaa
@BigZhumbe6 жыл бұрын
Hassina Al Harthi Anakifaa gani 😂😂😂😂😂
@hassinaalharthi59846 жыл бұрын
WAMALIKO LUMUMBA sorry yani anakufaa . Siyo kifaa nilikosea. Kuandika
@hassinaalharthi59846 жыл бұрын
Chaden star safi
@mnzavachris54236 жыл бұрын
na ww japo ue hivyo
@amirijuma21046 жыл бұрын
Kwa kweli wanaume ss hatuna shukrani mungu akupenn aslay dd mstarabu sana Hongera sana mm mose
@davidmwamanda64733 жыл бұрын
Urembo, hekima na busara kwa mtazamo wa Haraka ni mtu mwema 👍
@rehemakulaba9236 жыл бұрын
Asanteeeee my teseeey kwa maelezo yako umenifurahishaaaas💋
@mrking-uu5oo6 жыл бұрын
dah ur so blessed Mama umelelewa katika maadili safi unajua kujibu i don't know ur education qualifications but big up
@ashuramamaashuraaachekuvaa77986 жыл бұрын
yani uyu mwanamke katulia sana inaelekea aslay ndio mwenye matatizo
@kacheali47776 жыл бұрын
Nakupenda sana kwa hekima ulionayo dada ...kweli usipende kuweka siri zako kwa mitandao n mwanaume kweli hakuna mwenye bb moja .. may Lord grant u many yrs to see ur grand children.+971 gonga lik kwa maongez ya huyu mrembo
@willywenger74176 жыл бұрын
Uyu mdada amekaa kipole sn, majibu ya busara na ana hekima duuuh. Aslay rudisha uyu mke 😢😢😢😢😢😢
@dicsonipaschal53336 жыл бұрын
Waaaaaaaoooooo shemeji yangu ludi Kwa brother aslay bado anakupenda
@humayduwe17626 жыл бұрын
Dada mzuri jmn hafu ana akili sana anajielewa Bahati km hizo wengn hatupati .Interview unaweza very skilled woman sio km mapatua wengn wa uswahilini
@hassanovajunior69726 жыл бұрын
She's so beautiful👌
@shakilapolisi99356 жыл бұрын
asley muoe Mzazi mwenziyo mambo yakuanza kuangaika nje yanini
@yohanahaule89946 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha ha ha huyu dada kamalizia vizuriiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@estherjonas46306 жыл бұрын
good umemjibu vizur sana
@godfreymautta50896 жыл бұрын
Mwanadada yuko smart sana....she knws what suppose to do...she is a woman
@petershalvah62136 жыл бұрын
Very clever woman like your girl.
@deusgabri6 жыл бұрын
Demu mzuri alafu anaakili. Mbona mm sipatagi kama huyu.
@nickalreadyknows6 жыл бұрын
Tafuta hela utawaona, wapo wengi sana sema hela huna
@alexmurithi13276 жыл бұрын
Deus nyumba omba mungu bro..mueke mbele ya safari yako
@ashminaabdullah56266 жыл бұрын
mmmh shida kweli cc wabaya tutoke mjini
@nickalreadyknows6 жыл бұрын
Ashmina Abdullah hahahaha
@binrashid16386 жыл бұрын
Deus nyumba kuwa msanii
@mussakeita88386 жыл бұрын
Duuuuh good...nimependa kila ulichojibu aiseeee
@DavisTibbz4 жыл бұрын
Hahaha..."hata wewe, sidhani kama upo ma mke wako pekeyake"
@MkurangaOneTV Жыл бұрын
Dah Ashley umemuacha huyu mwanamke mbona ni kichwa na ni mtu anayejielewa sana Mimi nadhani kama ungeendrlea kuwa naye mngefika mbali kimaisha, kaa chini mjitafakari wote angalieni wapi mmekosea Kila mmoja wenu ayaone mapungufu ya mwenziwe ndiyo changamoto ya mapenzi yenu, lakini pia muache ubinafsi wa kujifikilia nyinyi wenye we mpenzi furaha mtoto wenu, hakuna malezi ya mtoto kama wazazi hampo pamoja, NAWAKILISHA
@maryamjey63406 жыл бұрын
Dah...MashaAllah binti mtaratibu huyu ndio wife material na nazani wengi hawamjuagi. Wasanii bana..mkizaliwa ni scandals msipojaliwa inakuwa lawana kwa mabinti!!! Mungu anawaona🙄🙄🙄
@kiluwasalum50026 жыл бұрын
Aaah Dada umetisha eti ata ww ndugu mwandishi sizani kama upo na .msichana mmoja duuu
@bintisuleimani71246 жыл бұрын
Nakupenda dada majibu mazuri haki umelewa maezi bora sana
@vailethmoses35506 жыл бұрын
mashallah she is beautiful
@divarechol86576 жыл бұрын
Kiukweli unajibu vizuri sana afu uko peace.
@luizaenock99486 жыл бұрын
Hahahahaha nimeipenda iyo ni kawaida kwa wanaume wote, ingawa imenivunja moyo kwa kweli
@manjumpoto1656 жыл бұрын
Good interview 👍👍👍👍👍 "Hata wewe" 😭😭😭😭😭
@missmalindikenya62046 жыл бұрын
Umetisha tessy
@seifmassoud26866 жыл бұрын
Yani sisi wanaume sometime tunakuwa cjui tuseme na ""Akili Gani ama tumerogwa na nini????"" .Yani mtu unapata mke mzuri kama huyu simaanishi uzuri wa umbo hapana ni uzuri wa tabia, unafanya majanga anakutoka, hatuwezi jua ttz kwsbb ktk maisha ya wawili kunakuwa na mitihani mingi Ila mwanamke mstaarabu kama huyu ni vigumu kumpata kwa jamii yetu ya Tz ukiwa nae unatakikana kuvumilia na kumfunza ili akuzoee na maisha baadae yananyooka. Pole sana Aslay umekosa mtoto muelewa sana wa maisha ya mume na mke. Hakika nimevutiwa sana na majibu yake, kiukweli kamtoa nishai alokuwa akimuhoji alienda pale kutafuta umbea lkn baada ya kupata jibu hili" Ni kawaida kwa wanaume kuwa na wanawake wengi, Si dhani na ww kama uko na mke wako tu"" kaamua kukatisha interview yake . Hahaha, Allah akuongoze dada.
@nasrasumayya6136 жыл бұрын
Hatar sana Tessy umempatia sudi ndio safi sana hata yey hakos dem mwingine
Sikia anavyoongea....loh....yaani hawa,wanawake unawapata wapi jamani...japo kamoja ka hv ...
@nicholusmusya4746 жыл бұрын
Tessy... she is cute and wise
@jonaselias77296 жыл бұрын
very wise....
@hadijasuleyman41016 жыл бұрын
duuuh your so beautiful mamyy then unaongeea kistaarab alaah akuongozeee akupeume mume bora na si bora mume love u!!!!
@mudyshabani1016 жыл бұрын
Jamani me hata sijui kwanini tess usimfanyie hivyo huyo ni ndege wako tu huon Ata mnavo endena please mfikilie aslay
@nkunguusaada64746 жыл бұрын
Safi sana mdg angu huo ndio uanamke yaan una sifa zote
@rosehillary87426 жыл бұрын
Wachache Bongo... Wengi manenoooo... Anaakili sana majibuyakistaarabu
@denistarange55806 жыл бұрын
hakika mungu akujalie Dada nimevutiwa nawe mdomo wako uko vzr ubarikiwe tena
@deusimalawa65796 жыл бұрын
aslay so Pouwa Mtoto Yuko vizuri chalii yangu.... why lakn......?
@nzomukundafatuma53646 жыл бұрын
Uyu dada anaakili sana engekuwa vizur angekuowa
@dieudonnematabaro71446 жыл бұрын
😂😂😂😂Dhu nacheka sana 😂😂😂 eti ata wewe sizani kama uko namukewe pekeyake iyo kweli nijibu😂😂😂😂 acha nipite.
@salmadashlaquimanelaquiman44276 жыл бұрын
Mashaallah u so cute
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Safi sana *Mama mozah* umeongea point
@zachariamishai72586 жыл бұрын
Ety hata ww sidhan kama una mwanamke mmoja, vido akaamua tu akatishe Interviews😂😂😂 duuh!! Hii ni 🔥🔥
@graphixmaster61466 жыл бұрын
Zacharia Mishai 😀😀😀Ameamua kuepusha shari
@zachariamishai72586 жыл бұрын
Graphix Master 😂😂
@sabathodalton6266 жыл бұрын
Zacharia Mishai 😀😀
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
Zacharia Mishai ha ha ha ha Umeonaee mwanamke anajitambua
@zachariamishai72586 жыл бұрын
Mwanajuma Mahundumla 😂😂 ni 🔥
@scollapatric83424 жыл бұрын
Hahaha jaman tess hapa ulikuaga mshambaa kisha mpole lakin sasa mhhh aslei kakupa umaarufu nilazima umthamin sana
@irenemrema97766 жыл бұрын
Dada anajibu vizuri huyo hadi nimempenda sana
@swabrinamasoud1066 жыл бұрын
n vzr dda kujua mume ana mke mmja mana ucpolijua ilo waeza ukafa na presha
@sadiamohamed83286 жыл бұрын
Ni kawaida ya wa somali ku kuwa warembo 😍😍😂
@tinolucasy29676 жыл бұрын
Swali la mwisho lijibiwe 😀😂😂😂
@jasminesaid63586 жыл бұрын
asantee
@malikamanara40766 жыл бұрын
Huyu mdada maishaallah kama angekuwa nyumba basi ni kizingiti kizuriii ambacho mume anatakiwa akitunze.mwenyezimungu akustiri
@roidatadey45996 жыл бұрын
Safi sana
@faizadulla86636 жыл бұрын
Big up my daughter kwa unavyojibu maswali
@scholarmawalla67356 жыл бұрын
Aslay angalia utatupa dhahabu shimoni,chukua hatua mapema hao hawako wengi duniani acha kutangatanga.binti mzr anayejitambua
@hadija8466 жыл бұрын
Huyu mwanamke nimempenda sana kwa hekima aliyonayo😘✋
@annaswedy57126 жыл бұрын
Mzur dada sana bila cream uko mrembo umependeza 😍😍
@Basagamp46 жыл бұрын
Aslay Oa huyu Shemeji haraka iwezekanavyo. Mwanamke anajitambua,anaheshima,ana lugha ya Staha nk. Aslay Aslay Aslay (Nimekuita Mara 3)
@annjawa34066 жыл бұрын
Aki hyo dem yko poa sna, tna yko n majibu poa kbsa, madem n kama hao wanaojiheshim, sio hao malay kina mabetto, honger sna dada uko n akili poa sna .
@martinkabigumila53506 жыл бұрын
Dada mzur,mpole na anajua kuongea.wadada kama huyu kwa karne hii ni adim sana
@minskbelarus72556 жыл бұрын
Mama Moza, ALLAH ndie Hakeem nakuombea kila la kheir na Allah akusameh kwa madhambi yote uliotenda. Unahitaji kuwa na ma UKHTI ambao wanafata Uislam unavotuamrisha ili uondoke huko na uwe katika njia ilionyooka. Majibu yako yanaonyesha kuwa ULIJIKWA lakini hukugeuka na kuangalia kilicho sababisha kujikwaa kwako. Unaonyesha kabisa huko uliko unaweza kutoka na kuwa mke bora kwa Atakae pata BAHATI ya kuwa Mumeo. In sha Allah. ALLAH atakuongoza ikiwa utaombaTAWBA