Mwanzo na mwisho wetu sote ni vumbi tu, cha muhimu sio shepu wala sura, ila mahusiano yako na Mungu alokuumba , wako wapi warembo walotamba na kuwa gumzo , dunia ni mapito tu
@fikirileon69042 жыл бұрын
Amen kweli hiyo
@MesaidMwinyikai9 ай бұрын
Uko sawa ila Wacha makasiriko kwa maisha ya wenyewe
@salhamrisho81383 жыл бұрын
Masha allah nakupenda saana dada nicole 😘😍😘😍❤
@ZaiMbonde10 ай бұрын
Muongo saaan huyu dada anahisi😅😅😅
@GRACEEZEKIEL-td5bl10 ай бұрын
Dada Nicol mm mwenyew Niko irika kihesa nakupenda san
@nasmaaboubakhary30813 жыл бұрын
Mashallah watu na mashep yao nakupenda dada nicole
@nicecosmas9 ай бұрын
alikuwa kanyongonyeaaa kma anautapiamuloo hii ni sajalii😂
Nnikol nakupenda sana yan sijui tutaonana lin jaman😅❤👈👈👈👍👍👍😁😃👏
@fatmafetty41173 жыл бұрын
Mtangazaji Wa mwisho nimekupenda kwakweli 😂😀😀ulivyo mkazania aongee ukweli
@thoraiyahassiem47213 жыл бұрын
Sura hana
@salamasaidi66203 жыл бұрын
@@thoraiyahassiem4721 ww sura unayo????
@neemaruben54273 жыл бұрын
Wee usituongopee Nicol khaaa umetengeneza vtu vingiii hpo mpk mbavu ukachomoa moja na Huku moja maziwa sauti mdomo matako vyote sajari
@saram35303 жыл бұрын
Hahahahaaa
@hawamabira14993 жыл бұрын
🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😩😩😩 Ety Sajari
@adamsaga67003 жыл бұрын
Hahahahaaa
@MossyOthman10 ай бұрын
Jamni nimecheka mno
@Nailaty56410 ай бұрын
Mpaka mbavu kumbe zinachomolewa😂😂😂😂😂😂
@ruthkasumba77392 жыл бұрын
I like her to the moon nikole🥰
@antonimateru70883 жыл бұрын
daaaah amejikataaa yaaaan amejiyuda esikariot
@kiri58073 жыл бұрын
hilo tako ukiliona unajua sio natural . hebu ona hiyo picha tako limekuwa duara km mpira umegaiwa nusu huku na huku tako la nature linaonesha kushuka hapo muonekano wako km manyonyo badala yakuwa matako .
@shakiraissa11703 жыл бұрын
Jumaaaaa eti mmmh
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Nimeshapata jibu hapa amezunguuka jibu ameongeza shepu yake
@biashahassan92252 жыл бұрын
Yeah amesema alipunguza mwil so imamaana aliongeza shape
@LedyCute6 ай бұрын
Jamani wahehe tunayooooo jamani minipo kijijini ila jamani naloooo
@ednambata95033 жыл бұрын
Piga kelele kwa wahehe wote. Nikole anawakilisha wahehe
@josephmponda10 ай бұрын
Ata Mimi mzee
@maggienjoroge76983 жыл бұрын
"Ilikua kama mamitto"
@massoudjr61463 жыл бұрын
Nicole Bwana
@antoninakwekwe38533 жыл бұрын
Mm hupenda huyu dada haki
@kimaiyoadan3963 жыл бұрын
Mamito😅😅😅😅mnataka vita
@vincentmushi12473 жыл бұрын
Mtoto shape shape ni mzuri anatamanisha Lkn wanawake kama hawa wavivu sana kitandani....
@ernestsebai7373 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ramadhanmahongole56633 жыл бұрын
kazi yako si kukojoa kwani tatizo nini??
@blandinamyinga94893 жыл бұрын
Na hivyo wewe mwenyewe mchaga😂😂😂😂kiruuuuuuu kibo chandede
@vincentmushi12473 жыл бұрын
@@ramadhanmahongole5663 kaka epuka ule usemi wa dakika mbili tuu kamaliza Hahahaaaa
@vincentmushi12473 жыл бұрын
@@blandinamyinga9489 kwani uchaga tatizo Lake nn dada
@malmavoice89893 жыл бұрын
Hapo tyr mmempa airtime hakunaga,nani atajua Nicol alikuwepo mule bila kuangalia upya
@aminamgaya75113 жыл бұрын
Kwa kweli hata mimi narudi kuitazama upya
@aggreyvincent28553 жыл бұрын
@@aminamgaya7511 Me nimeangalia mara mbili ila nimeshindwa kumgundua Nicole kwenye hiyo video
@bintabdallahjuma33313 жыл бұрын
Kwakweli imenifanya nirudie Tena kuiangalia hakunaga
@malmavoice89893 жыл бұрын
Umemuona kweli,mbona mm nimecheck sijamuona. Lkn haipo ktk account ya Suma Lee ndo shida hyo tyr
@sebastianfuluge15403 жыл бұрын
Aisee, nakusalimu sana Nicole aka J
@ChogoInnocent7 ай бұрын
Mmh hay bhan
@othmankhamis43933 жыл бұрын
Mm siwez kataa Bali anavaa Va mbano tu but ...
@omarylukindo53063 жыл бұрын
Huyu ndio alisema nalima mchele na 😂😂😂
@zuweinaalhabsya87733 жыл бұрын
Hee kumbe ndio huyu 🤣😂🙄
@hamisanasra4763 жыл бұрын
Nalima mpunga nalima mchele pia na matango
@nancyproches38903 жыл бұрын
Nalima mpunga na mchele iringa!!!!!!!!!!!
@janethkilonzi42603 жыл бұрын
Na hapo kasema ivoivo
@sharinv88643 жыл бұрын
Shape kama shape mama.
@sharifajuma5963 жыл бұрын
asidangany kajibadilisha
@vivifaustine88553 жыл бұрын
mh Nicole kumbe ndo yule wa akunaga
@sophiajamaly37083 жыл бұрын
Weeeeeeee 😲😲😲ndo huyoooooooo
@vivifaustine88553 жыл бұрын
ndio
@AfricaQueen3 жыл бұрын
Na meno kaweka rangi nyeweupe demu anatengeneza pesaaaaa🔥🔥🔥🥁🥁🎺🎺
@mishikikoti29483 жыл бұрын
Akunaga yle yule ambae ni video qeen au alikua mchezaji ebu niambieni
@salummzee97393 жыл бұрын
ujinga mtupu munapenda dunia kuliko Akheir acheni ujinga huo
@laurasawe7123 жыл бұрын
Hawez kukubali ety ajaaongezaa😏 ata wema sepetu alikuwa anasema ndivyo alivyozaliwa Leo hii upo wapi ule mwili wa sepetu wetuuu
@christinasilungwe35433 жыл бұрын
Miaka 28 mmmhh...!
@rajabukhamis4672 жыл бұрын
Wedada wewe kwaiyo macho yangu pia yananiongopea sawa bana we kataa uwalisia wako kwani sh ngapi kuwa mkeeli bana au unataka ufike mbinguni umechoka nawewe
@haido.993 жыл бұрын
Simu za zamani
@massoudjr61463 жыл бұрын
Analiwa Uyoooo
@KhadijaMasoud-m6u10 ай бұрын
Yaani ktk ktk Hana tumbo hakuwa hivyo cm na hiyo shepu
@cobrachristian36853 жыл бұрын
Anacheka vuzuri maskini ya mungu
@lilianestephanie78812 жыл бұрын
Yaaaaaniii
@benedictkiilu65523 жыл бұрын
Wacha urongo. Umeongezea 😂
@leokamil62842 жыл бұрын
Tena kaongeza zaidi tena na matiti kaongeza mpaka imetisha zaidi
@TeresiaChrisant9 ай бұрын
Mbona imepinda😂😂😂
@mbonibaby7060 Жыл бұрын
Jamani jamani tunakuomba sumalee uje hapa utueleze ndo yeye ama aio yeye, kama ni hiyo huyu dada mwili mzima ni saggery kuanzia shepu, sura, matiti hadi urefu. Ndugu yake Michael Jackson kabisa huyu
@KhadijaMasoud-m6u10 ай бұрын
Kwani watu hawakujui
@mwezimaystorr40343 жыл бұрын
Saw
@scollantandu62782 жыл бұрын
Dah jamani acha uongo jaman
@MaimunaSalum-o1x10 ай бұрын
❤
@simbawateranga70202 жыл бұрын
Hayo Manyonyo Kama masufulia kaongezea bw
@abigaelsalome68522 жыл бұрын
Watz mna mambo sa maminto wetu mnamtoa wapi
@Blessedhopefamily3 жыл бұрын
Duu jamaa wa kabagalashia umemkomalia nicole hadi anakataa kwao na kujihamishia mkwawa
@antelimangonyani67603 жыл бұрын
Mbona kwenye Michele na mpunga hakuwa hivyo
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Ngoja nikaangalie wimbo w akunaga🤣umbea kz
@zakatadam25213 жыл бұрын
Akung up wa sumalee
@Iddahkitula3 жыл бұрын
😆😆
@FurahaTesha-ky3mn Жыл бұрын
Yaani ukitaka kujua mtu kajibadil msikilize hiyo sauti
@NewDanielProsperDi-sy9nq9 ай бұрын
Matikiti ku dondoka😅
@johnalembi28483 жыл бұрын
Natafuta Dem jamani Niko Kenya 🇰🇪 nko na pesa kila ki2 jamani serikali ingilie kati
@spreadlove53003 жыл бұрын
Basi usiwe na wasi wasi wadau washakusikia watakutafuta
@mishikikoti29483 жыл бұрын
😂😂
@talhiyaibrahim10743 жыл бұрын
Weye mjng sio ukubali tuu
@silverman69303 жыл бұрын
Nalima mpunga na Mchele 🤣🤣🤣🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@teddylameck213 жыл бұрын
Kulima ndio dil wewe acha ushamba
@patriciacarlo72363 жыл бұрын
Kwenye miaka 28 hapo
@fatmasalima38473 жыл бұрын
❤❤❤❤
@allymohamed73183 жыл бұрын
Upo?
@petermwanyondo53703 жыл бұрын
Mnazinguw mtu yoyote anae jiphoto mwili juwa hamna kitu apo
@farhadhassansaid88303 жыл бұрын
Weeee, sio mtu kuzaliwa hivo kama ulizaliwa hivo ulikuaje wakati ulikuwa umezaliwa hebu tujue kuongea lugha uzuri
@tinashayo68883 жыл бұрын
katengeneza
@dannybellnixbellnix1873 жыл бұрын
Poa sana
@hapinesphilimon81273 жыл бұрын
Mmmm nikole
@speciallvoice809110 ай бұрын
Sasa unamuongopea nani wakat Shepu la mchongo Maden Uturuki
@RechoKihombo10 ай бұрын
Mambo ya iringa ayo
@threed19203 жыл бұрын
SAuti sasa
@alimashabani22523 жыл бұрын
Yani maziwa makubwa matako makubwa ata hajaka vizur sauti yake tunzuri ila kamuiga orpa
@joycejackson25193 жыл бұрын
Hadi nimetafuta wimbo wa Suma lee
@Neyller9963 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣ayiiiii comment hiziii ila kafny sili ile kidg ajasem tu ukweli
@bakarifatherb41803 жыл бұрын
Hiyo mikucha yenyewe niyakubandika, kawa kama jini makata.... Sembuse shepu na weupe, asema ati kazaliwa nao... Mpuzi mbuzi huyu, kunya mavi ya tembe tembe... Akubali tu mwili wote mzima kaubadilisha, nna imani hata sauti pia sio yake
@hellenalbert53173 жыл бұрын
Duuh si kwa vichambo🤣🤣🤣🤣
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Kwa maumbile mzuri lakini sura mbaya
@Veni5845 ай бұрын
Iringa wengi wana shepu hiyo
@vampire94642 жыл бұрын
kila kitu feki midemu yetu ya kibongo manywele feki masura feki kujichubua aibuu tupu
@HusnaSwalehe-x2k3 ай бұрын
Achan nao
@ismailyismailyshakahaji40663 жыл бұрын
kumbe wa kwetu
@janethsamwel14943 жыл бұрын
Aache kutu danganye umejiongezea
@sophiemwanina59793 жыл бұрын
Yes amejiongeza sasa anadanganya nan🤣🤣
@mohamedmustapha42733 жыл бұрын
Duh
@umwaminyarwanda24953 жыл бұрын
Umeubwa vibaya mama
@wisperfect53203 жыл бұрын
Mlima mchele na mpunga uyo
@khadijakheir93233 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ramadhansaid54723 жыл бұрын
🧢🧢🧢🧢🧢
@tinahmenza84853 жыл бұрын
Kibonge bonge😂😂😂
@victorylimo3473 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 nmepungua
@princessqueen35833 жыл бұрын
Kwa
@mckombamckomba643 жыл бұрын
She is lying wallah, tumelala wote deka moja chuoni joyce
@Iddahkitula3 жыл бұрын
😁😁
@jorgettemwajuma54283 жыл бұрын
Nice
@ibrahimrajabu87223 жыл бұрын
Hahahahahah anamuongopea nani
@faustadonasian27773 жыл бұрын
Me miguu yake tuu jamanii. Angejiongeza kote kote
@ibrahimrajabu87223 жыл бұрын
@@faustadonasian2777 ameongeza titi halafu anasema sio feki........
@faustadonasian27773 жыл бұрын
Sasa ukiona kwenye tamthiliya ya huba DSTV mpk unaweza ukacheka mara nyingine. Hilo nyonyo la saa sita me mpk huwa nachoka kabisa.
@athumanmakale82213 жыл бұрын
Ni kutangaza umalaya tuu..
@salamacady9913 жыл бұрын
Kifua kimesimama dede mtangazaji😂
@anithaingabir46783 жыл бұрын
Sasa simutu anakua naanabadirik
@bahatihassan54133 жыл бұрын
Ukubali tuu km umeongeza kila kitu ktk mwili wako
@neemaruben54273 жыл бұрын
Kbsaaa
@bahatihassan54133 жыл бұрын
@@neemaruben5427 picha zake za zaman zipo anabisha tuu
@afyayangutime87383 жыл бұрын
HABARI MIMI NI MTAALAM WA AFYA NAWASAIDIWA WATU KUTATUA CHANGAMOTO ZA TEZI DUME
@laizerlekisongo12163 жыл бұрын
Chawaaaa hizooo
@ashatimo46663 жыл бұрын
Wa kulima mchele na mpunga
@fgfg71753 жыл бұрын
Picha za zamani
@carenalphonce50133 жыл бұрын
Kwan yule dada wa nyimbo ya akunaga ya sumalee ni Nicole
@shamomar6293 жыл бұрын
Hapana
@tulizosteven31933 жыл бұрын
Jirani yangu tabu mtaa wetu mkwawa
@queenkahindi59953 жыл бұрын
Duh mbona anajiita Nicole,
@mghuna3 жыл бұрын
huwezi jua kesho yako
@milanwazula39103 жыл бұрын
Asinikarishishe nipost picha yake ya kitambo
@aminaathumani68323 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳🙃🙃🙃🙃🙃
@margaretrusteau26453 жыл бұрын
She is fake bwana alikua mweusi matiti fake na uko nyuma ameongeza u can easily tell. But anasura nzuri tu