Рет қаралды 38
Hiyo ilitokana na idadi kubwa ya watu wengi walivojitokeza kupatiwa Elimu ya kufahamu sheria na haki za msingi.
Akiongea na waandishi wa habari wakati wa sherehe za maazimisho ya siku ya sheria duniani ambayo ilifanyika katika viwanja vya mahakama hiyo,alisema idadi kubwa imeongezeka mwaka 2024 tofauti na ya mwaka 2034.
SIKILIZA KWA MAKINI...