Рет қаралды 62
Mwenyekiti wa ccm mkoa tanga Shehe Rajab Abrahamani ameridhishwa na usimamizi mzuri wa mradi wa madarasa na mabweni yatakayo garimu zaidi shilingi milion 300,katika Shule ya sekondari mtumbi iliyopo Jimbo la mlalo katika kata ya malindi.
Hata hivo mwenyekiti huyo slimsifu na kumpongeza mhandisi mkuu wa halmashauri ya wilaya ya lushoto bwana Hilton makundi kwa usimamizi mzuri katika kufuatilia kwa karibu mradi huo wenye pesa nyingi za serikali.