MNAOTUKATISHA TAMAA AYA MMEFANIKIWA KUANZIA LEO HATUTAIGIZA TENA NGOJA TU TUKAKIME 😢😢😢😢 ila mngejua nguvu , malengo na mazingira tunayofanya kazi wala msingeinuka na matusi yenu 🙌🏻 SIO LAZIMA SISI KUANGAIKA KUWAPA BURUDANI KILA MTU AISHI MAISHA YAKE SWALA LA FILAMU SIO LAZIMA 🫵
@muxfilmproduct6 ай бұрын
Mr mwanya movie mzuri MashaAllah na wala usikate tamaa
@AbdulYussuf-se8ot6 ай бұрын
Broo so kimatusi me ni mmoja kati ya mashabiki wako nafatiliya sana kazi zako na nakukubali sana ila in case of this film you just need to be serrious in some actions ni hivyoo film ni nzuri endelea kutupa burudani achana na wanao kutusi
@barnabasmarsel38766 ай бұрын
@@AbdulYussuf-se8otexactly 💯
@SaidiJuma-k4p6 ай бұрын
Kaka mwanya hii movie kali tena utafanya vizuri siokoni mungu yuko nawe atabaliki
@LukasPaskali-cw4fm6 ай бұрын
Story mbovu alaf inakera ad mtu unakosa sababu ya kuangalia we weka comedy tyu watu tuangalie movie imekushinda
@ZidoJr6 ай бұрын
Mwanangu nakuelewa kichizi 😅😅😅 big up
@StarringVivaSmart6 ай бұрын
Usikonde. Kazi ni nzuri. Waache waponde tu. Wewe jitume, watakukubali baadaye.
@AntoineMwefuRuben6 ай бұрын
Kazi nzuri kabisa kk
@MussaAbdallah-nw9bx6 ай бұрын
Kazi nzuri mwamba. Achana na wachawi wanaowanga mchana
@DominickKanyata6 ай бұрын
Bado hawajasema 😂😂endelea kuwaburuza kaka mwanya🙌
@SportfixafricaTv6 ай бұрын
Bibichala msenge sanaaaa 😂😂😂 katembea na geti😂😂😂
@emmanuelibrahim45566 ай бұрын
Mr mwanya umekuna ki vingine sana any umeuwa sana😅😂😂
@BraysonFrancis-gl2ry6 ай бұрын
Kaka we endelea tyu! so wote wataikubali mbn wengine tunaish nayo afu safi!..
@dicksonyohana43446 ай бұрын
Movie kali sana 😅😅😅
@ikrahtune6 ай бұрын
Nilicho gundua mr mwanya unapenda sana kudakezwa
@MsebengiJuma-eu8wz6 ай бұрын
Movie kali sana😮😮😮
@assymayaprod20396 ай бұрын
Acheni kusema ivi mimi napenda mwanya sana watuhawafananani endeleya mista mwanya kazi njema
@_Wayiva_mukuta_jean6 ай бұрын
Nipo mpaka mwisho 🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤❤
@BoscoMkula6 ай бұрын
Comedy nying sanaa unaharibu movie mwanya
@MussaMlowe-w5g6 ай бұрын
Yaah
@NiyonkuruJuma-pq2nw6 ай бұрын
Mwanya analeya comedy 😃 😀 sana
@EdsonLifath6 ай бұрын
Tumetisha hap
@JacquelineMuganwa6 ай бұрын
Baki kwenye ukomedi tuh,ujui kuigiza
@YohanaSimion6 ай бұрын
Afande Mwanya hahah aisee
@RichadGeorge-ww3ep6 ай бұрын
Hii movie mwanya ingekuwa mpole ingekuwa tam sn
@mgishaobadia-kz9bo6 ай бұрын
Imetisha kaka unyama San
@SaimoniAloisi6 ай бұрын
I ni move ya hakili ukitaka kuielewa tuliza kichwa 🎉
@muxfilmproduct6 ай бұрын
Mm namkubal sana mwanya
@GregoryKimaro6 ай бұрын
Mzaaa mwingi kaaribu sahemu ya tatu
@HusseinBizzy6 ай бұрын
Hupo sirous babu usiambiwe kwan ushwh kuambiwwa kama una kazi mbaya ispokuwa hii apa sisi ndo mashbk zako makosa mingi Karib ya yote tunaona sis so tuna haki ya kukrekebsh unapokosea sw mwanya kwa vile hii ushzinguwa achana nayo hem lt kt chengine alaf kuwa sirous mm ni shbk yk no.1
@BarakaNYTz6 ай бұрын
Himove ni nzuri na Kwa ushari tu Kuna baadhi ya vitu inatakiwa uimarishe katika kutengeneza Kwa waigizaji wako wote tengenezeni ubize wa Kila muigizaji
@HAWAMAULIDI-zl5xd6 ай бұрын
Mara paap irene ambaye nimtoto wa boss ashavaa kofia ya mwanya wakati hajuwi ata ni nani (apo kwenye mgogoro)
@EspoirMumbere-lg2xh6 ай бұрын
Hamuweze😅😅😅😅
@k.o.n.g89256 ай бұрын
Mwanya hujui ku act lakini watoto wazuri kama wote 🤣🤣🤣
@pwiziBarbarecia6 ай бұрын
Courage mr mwanya usisikilize maneno yawat wameumbw jil yakukatisha tama wenzao ww kazi kazi kama ulipvy panga fanya hivo hibo wao walikuwa wapi wakati unaanda movie yako waje kuku saidiya leo waende zao uko courage mwanya utafeli sana ukipa na fasi maneno yawasio pend maendeleo yamtuuu
@zuenakashinde6 ай бұрын
😂😂mama boss
@salumuwembo-fo5rr3656 ай бұрын
Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩🇨🇩 iyi kweli ni ngoma 😆😆😂😂😂😂🤣🤣🥰🥰🥰💯💯💯🙏🙏🙏
@ZawadiNyemba6 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@salumuwembo-fo5rr3656 ай бұрын
🎉🎉🥰🥰
@flaviusflavius39796 ай бұрын
Xhubamiti 😂😂
@bahatilucas41296 ай бұрын
😂😂😂😂Geti hiloooo
@AziziRajabu-mv8jz6 ай бұрын
Mwanya wew ni mbwa
@MussaJuma-sd4jc6 ай бұрын
Tatizo comedy nyingii sana mwanya punguza unaharibu movie 😅😅
@MussaMlowe-w5g6 ай бұрын
Kweli😂
@fasajitv2286 ай бұрын
Let's go 🔥🔥🔥🔥
@GerardSandrizo6 ай бұрын
Shabil8 yk sn lakini sio nzur kwali mwanz mgumu Nevers Give up
@mazambilucien6 ай бұрын
Kaka kwakweli jifunze kupitiya wasani wenzio Bado saaana
@tekashichannel6 ай бұрын
Mwige @clam vevo kuna mda wa kuwa comedian na kuna mda wa kuwa serious unaznguwa mwanya Ila Kwakuwa ndo unaanza Sawa next time lekebisha🎉🎉🎉
@IbrahJami6 ай бұрын
Katoka usiku nayeye anazunguka usiku tuuu mmh director
@VeronicaKalinga-r9d6 ай бұрын
awo wtt na mama lika moja
@Spagles6 ай бұрын
Oya Ivo Ivo ipeleke movie ndo unakuwa tofaut na wengine Kwan lazima uwe serious 😂😂😂😂
@khalidjmfaume6 ай бұрын
Umeiona ee😂😂
@EdwardDismass6 ай бұрын
Tuonyeshe sasa iyo siku mbaya bado tu
@officialyoungxure6 ай бұрын
😂😂😂
@SaleheMauya6 ай бұрын
Kaka muendelezo lini
@SaidiKatete-p4t6 ай бұрын
Respect kwao cram vevo na kicheche heshimu kwenu maana hapa ujinga umetawala
@elisbegaelias1636 ай бұрын
Kumbe wewe unaona kama mimi
@AliyAliy-zn3to6 ай бұрын
Azibe na uo uchochoro babaaa 😅
@khadijatanzania80406 ай бұрын
Hujui kuigiza siriasi kabisa una utoto mwingi we endelea na comedy zako tu
@barnabasmarsel38766 ай бұрын
Na hataki kukosolewa
@AugustinhoManyangaunitedboetz36 ай бұрын
Me si mwigizaji ila kusema kweli brother story nzuri na nimeikubali sana sema tu kwenye movie kuna baadhi ya makosa kidogo unatakiwa uyarekebishe kwenye sehemu ya tatu kuna mda unakuta ni usiku na upande mwingine ni mchana alafu kingine kwenye movie unafanya sana comedy kuliko serious movie ungerekebisha hapo movie kali story nzuri sana my brother 💪💪
Mwanya punguza mza kwenye kazi ndugu yangu lakini naipenda sasa utoto ni mwingi
@EverineKaniki6 ай бұрын
Movie kaikosea sana achezi na uhalisia
@STOPERHUNTEDOFFICE6 ай бұрын
Movie kali kaka malekebisho kidogo tuu jitahidi iko poah tu ila weka uhalisia tuu
@MbwiloYoely6 ай бұрын
Ayupo siliaz uyo Amna kitu apo
@Twilumba6 ай бұрын
Hakuna kitu apa mwanya kazingua anazan kila kitu shubamiti m ata sielew ap
@AlifaShabani6 ай бұрын
Katika maisha brother kwenye kutafuta Kuna vingi tunapitia changamoto kama hizi ni zakupigana nazo na kulekebisha maana Hawa ndo mashabiki wako na hii ndo Tanzania yetu Mr mwanya kwahiyo brother jitahidi tu kulekebisha na sio kuacha mm nafatilia sana movie zako kila kitu kinawezekana kaka kwahiyo usikate tamaa endelea kulekebisha tu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nicholausmwinuka76406 ай бұрын
Movie ni kali sanaaaa ayo ya mbaya ya kwenu
@barnabasmarsel38766 ай бұрын
Unaogopa kukosoa😂😂😂pole sana
@ginimbifamily39956 ай бұрын
Mr Mwanya naomba nikushauri kitu..kiukweli una wazo nzuri kwenye Movie yako ila Shida yako Unaingiza UTOTO mwingi sana Yan aupo serious kiukweli..unacho kifanya ni Utoto tu
@erastoantony93066 ай бұрын
Muvi mbaya sana
@bajondj6 ай бұрын
Namba 1❤❤❤
@WillyPozzee6 ай бұрын
Mwaga nyingine unyama
@isayabryson88576 ай бұрын
Movie mbaya kwel jmn
@_Wayiva_mukuta_jean6 ай бұрын
Je me souviens que j’arbitrais un match de foot, tout à coup je me retrouve à l’hôpital, alors qui sont ces gens là ?😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@jtiger65216 ай бұрын
We jamaaa unaboa sana badilika tunashindwa kukuelewa bhana ni comedy ama ni movie
@DanielGilong-hj5gz6 ай бұрын
kama mnaona movie ni mbaya si muache tutaangalia sisis tunayoipenda nakuielewa.
@barnabasmarsel38766 ай бұрын
Amna lazma mtu aelekezwee bhnaa hii cyo movie ni comedy
@dullysalah44836 ай бұрын
Dah mwanang kama kuigiz hamujui kwel hamna hata mmoja uigizaji unatak uhalisia wa maisha asa wewe yan dah tafut tu chengin cha kufany
@AjuwaeTz6 ай бұрын
Mwanya kwenye ubala tamsiria
@ChristianAman-qb9ns6 ай бұрын
Amna mwigizaji hapa
@godey_tz6 ай бұрын
Majambazi 70😂😂😂
@reddysanois6 ай бұрын
Big up Saana
@Babulaotv-n7q6 ай бұрын
Good 🎉🎉🎉🎉
@NEYNER5556 ай бұрын
Nomaa✅❤️
@ShabaniSaidi-c5m6 ай бұрын
mov ina rocection moja kwel hakuna movi hapa blood 😂😂
@trixjanja15266 ай бұрын
sorry mkuu rocection ni nin au ni kikabila gan nielekezenii apo embu 😂😂
@edyicoyigombeye51206 ай бұрын
Kweli kabisa
@AugustinhoManyangaunitedboetz36 ай бұрын
Rocection Yes, what is it?
@abduli_karimkhamadi17306 ай бұрын
Yani Mzee hupo sirias kabsa
@JacquelineMuganwa6 ай бұрын
Una aribu movi 😢
@nyigaKija6 ай бұрын
Hamna uhalisia wowote ule jalibu kuwa Sirius
@helinasubila9876 ай бұрын
Huyu apana Hana kitu Ata makilele tu
@AbdulYussuf-se8ot6 ай бұрын
Mwanya ww comedy sana huwezi kuwa serrious movie hahitaji hivi be serrious broo otherwise back in comedy
@ankonzala016 ай бұрын
JAMANI MOVIE NDIO INAMTAKA AWE IVYO JAMANI MOVIE KALI SANA🫡
@SamsonAzory6 ай бұрын
😂😂Anko zala Acha Uongo Unamchoma Mwenzako
@hamisitours_tz88346 ай бұрын
Mwanyaaaaa
@rammyMpwapwa-f1o6 ай бұрын
STORY NI MZURI ILA KUNA SEHEMU ZINGINE UMETIA SANA U COMEDY SEHEMU AMBAZO KWA SS WATAZAMAJ TUNAONA HAZITAKIWI KWAHYO TUJITAHID KUPUNGUZ U COMEDY SEHEMU AMBAZO HAZITAKIWI NI MAONI YANGU TU 👍
@nelsonbisi64996 ай бұрын
Mmm kwakweli mimi nmeshindwa hata kuielewa hii movie
@SadatiIssa-n1r6 ай бұрын
Kaka kaza2 una ki2 kwanza ndo unaanza siyo wote ndo wataokupenda hata ufanye vipi kazi
@YunnusAhmed-vy3cw6 ай бұрын
KUMANINA MWANYA MBONA WOTE HAMNA ATAMMOJA MWENYE AFADHALI😂😂
@dullymsomaly37826 ай бұрын
Apaaa broo bado kuhus movie....jitahidi usiriaz na kuwafanya wengine wawe serias
@JumaAus-py9zt6 ай бұрын
Ninavyojua mimi mfanyakazi anae tafuta kaz hawag hiv muv imepoteza mvuto siangalii tena samahani 🙏
@cristaezekiel10366 ай бұрын
😂😂😂😂😂Movie mbaya ,hayuko serious ajifunze kwa clam
@BoscoMkula6 ай бұрын
Hahah
@SellemaniJapheti6 ай бұрын
Ni kweli utaombaje kazi unakuwa unakuwa unachangua Kazi
@khadijatanzania80406 ай бұрын
Halafu huyo mama na watoto wake umri sawa😅😅😅
@dullymsomaly37826 ай бұрын
Yaan apo tuu kaharib movie yte.....piaa mtu anaetoka kijijn kufika mjin lazima atakuwa mpole kwanz ili afanikishe lengo..sasa ata kaz hujapewa unagombeza nyumba mzima jamn hahaha
@Ibraa__226 ай бұрын
Mwanya punguza masyara utafanikiwa movie hii ni nzuri lakini mzaha wako mwanya unahalibu
@helinasubila9876 ай бұрын
Huyu kwanini ako namakelele hivo
@MussaMlowe-w5g6 ай бұрын
Ongeza usriazi movie inakua mbaya ukomediii mwingiii😢
@AlhajiJumanne-g5e6 ай бұрын
Mwanya we fanya komed2 movie huziwez waachie wa kina clam vev kichech na bailam