Presenting from Kenya shabiki mkubwa wa Kelvin wapi likes zangu jamani ❤❤❤
@HalimaAdam-v7e3 ай бұрын
Toa maon like wew kama nani
@user-ec2lr7fg5e2 ай бұрын
Pia wew mwanamke mkubwa unaomba likes? I wonder 🤔
@Modesther-iz7uw2 ай бұрын
Hapo mwanamke
@NicholausMziray3 ай бұрын
Mama yake lina namjua alikuwa anaishi tabata maeneo ya msikitin kumbe ni bonge la movie hongera sana mama
@hawasilangala75143 ай бұрын
Waoooh now mpo active sana na movie ❤🎉 chukueni maua yenu💅🌺🌺🌹🌹🌹🌹🥀🥀
@user-qx4qi8vu4e3 ай бұрын
Mimi sikuomba like ni kuwapongeza kwa kazi nzuri mnayo ifanya Mimi kutoka KIGALI Rwanda🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@juliettv66263 ай бұрын
Kumbe mnyarwanda
@deuspeter62763 ай бұрын
Amakuru.
@ZanaatTv_Vlogs3 ай бұрын
Hii scene amecheza Linah na Kelvin aisee bonge ya scene sana, Linah anaumia bila Kelvin kujua...
@hadijashija14663 ай бұрын
Lina ni nan?
@user-wi5go9yd6z2 ай бұрын
Mke mtarajiwa wa Kelvin ndo linah mwenyewe
@user-wi5go9yd6z2 ай бұрын
Hapa kwenye scene ya mchumba wa Rashidi wakiw na Rashid chumbani Kuna mistake ya Saut inayo sikika kumuongoza Rashid ikisema (Nilijiona mwanaume mpumbavusana kwahichi nilichomfanyia kakayangu!)
@user-wi5go9yd6z2 ай бұрын
So next time naomba tuwemakini Nawapenda sana na napenda kazi bora" so Kupeana mawazo nikitu bora kama tukopamoja gonga ❤❤❤
@valentineonyoni90653 ай бұрын
Walai Leo nimewahi kurepresent Mombasa Kenya 🥰 ❤❤❤😂
@Phoebenafula3 ай бұрын
Twende nalo nikiwa bamburi mombasa
@valentineonyoni90653 ай бұрын
@@Phoebenafula Majaoni ndo mji.
@Phoebenafula3 ай бұрын
@@valentineonyoni9065 👍
@user-ql7to3rm3p3 ай бұрын
Mombasa mpooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Phoebenafula3 ай бұрын
@@user-ql7to3rm3p hatukosi tupo❤️❤️
@hassanmoh66013 ай бұрын
Mimi apa wa kwanza lakin sitaki like ata Moja tusonge kufatilia filamu yetu pendwa
@ShadiaIdrisa3 ай бұрын
Kiukwel kaka yang kervin nakupa like Zang 30
@RactBoy-mq1mr3 ай бұрын
Ukijarib kumpendezesha mwanamke Alf ukajisahau wew anatafuta mwenzake ambay anafanana big up sana kunambi
@OmaryOmmy-kl4si3 ай бұрын
Nawpend, san
@MarthaAsajile-og7kl2 ай бұрын
🫡🤝
@judithpendo99853 ай бұрын
Wakwanza team strong like comment naangalia nikiwa Riyadh nawapenda saaaana n Iko n funzo kubwa saaaana hii movie km ww n team Kelvin nakupenda saaaana 🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰🥰🥰
@GeophreyTokyo3 ай бұрын
i got you ladie
@judithpendo99853 ай бұрын
@@GeophreyTokyo mob love bro 🥰🥰🥰
@user-ot3te6mj7b3 ай бұрын
Umemaliza kaz au waiguru Akurudish 254😂😂😂😂 Pamoja nikiwa saudi jidda Acha ntoe ctress Za warabu😂😂😂
@Aishybeb3 ай бұрын
Mbna tupoo team strong karibia wote wanamtambua huyu mwamba ❤❤
@judithpendo99853 ай бұрын
@@user-ot3te6mj7b 😂😂swez acha kucommet kisa n kazi za waiguru ajipange
@RamaOmar-lq1uu3 ай бұрын
Wa kwanza kutoka kenya nipeni likes zenu 🇰🇪
@user-qd5bx7db9q2 ай бұрын
Nimefatilia hii move bt iko na funzo kubwa sanaa...bt naangalia nikiwa Lebanon
@ggfwtgg16523 ай бұрын
Jmn mbona hii movie inachangamusha sana unae mupenda hagupendi anapenda mwingine ila lina hiyo wivu inasababu 😅😅😅❤❤❤
@-mwanasato3 ай бұрын
Ety kila mtu anaomba like mnakera bhana , pongezen kazi ya watu wanajitahidi
@HalimaAdam-v7e3 ай бұрын
Waambie hao wajing weny wanaomb like kila siku wanaboo kweli
@kezia-cw7xb3 ай бұрын
Naawapenden sana kutoka moro endeleen kutufulaisha
@PeterMgani-v7c2 ай бұрын
Nikweli wanakela ..2wapongeze wa2nzi wa hii
@fadhilaahmed6639Ай бұрын
Yaani umeniwai 😊inakera sana like za nini Sasa
@user-gq4hc3yy6nАй бұрын
Waeleze jamani wanakera wanataka like kwani ni chakula nini
@MarthaAsajile-og7kl2 ай бұрын
Mama lina anasauti mbili. Akiwa na mosses ana sauti nyingine, na mshangaz huyo huyo akiwa na lkna anasauti ya ki kurumbembe😂
@imraniside43273 ай бұрын
Acha ufala kelvin kula vyombo wew mtoto wawatu anautaka😂
@Gloriarespiki3 ай бұрын
Kwani watu mnalala KZbin 😂😂😂enewey KAZI nzur kevie❤❤❤🎉🎉🎉
@PREMIO8293 ай бұрын
Tô a pedir minha like que foi primeiro lugar assistir, que sai Moçambique 🇲🇿. Good your jobs all alment.
@user-gp8vp3ow2p3 ай бұрын
Yah bonitu❤
@JumaAdamo-rz4ye3 ай бұрын
Leo wakwanza kutoka mozambique naomba like zanku
@HalimaAdam-v7e3 ай бұрын
At naomba like zangu muone huna haya toa maon
@Judithkadzo-t6q2 ай бұрын
Leo hatakama hamta nipa leke ila nawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoifanya🎉
@RebeccaYacobo3 ай бұрын
Kazi nzuriii jaman kelvin nakukubali sanaa❤❤❤❤
@user-er3cb9mb9m3 ай бұрын
Much love from Kenya guys like back wapi like za boss❤😂
@user-le6xc6ei5x3 ай бұрын
Wakwanza leo naomben like hata 10 tu kevin na team yako nawapenda sana mungu awazidishie na awape muongizo zaid❤❤❤❤
@HalimaAdam-v7e3 ай бұрын
Toa maon like wew muigizaj muone
@user-ww1ge5pq8zАй бұрын
😅
@CastoSilwimba3 ай бұрын
Duh ila dunia ina mambo hii Unayempenda anampenda mwingine, anayekupenda haumpendi😢😢
@selemanezekiel57923 ай бұрын
Kama kawaida yangu kuwa wa Kwanza like hata 20 tu
@HalimaAdam-v7e3 ай бұрын
Mkome kuomba like mjing wew toa maon like wew umejuw muigizaj
@WINFREDMWONGELI-oz1bt3 ай бұрын
Victoria anambabisha#😅😅❤❤❤
@user-bu4nt2nn6u3 ай бұрын
Yaani ma neno ya kunambi yaani kumbusha mengi we acha tuu
@MargaretKimanzi-qf1dd3 ай бұрын
Hi am watching and enjoying the episodes at Nairobi Kenya we love you so much team kelvin one day prepare show for kenyans
@user-uk6oq2xl5w3 ай бұрын
🤣🤣🤣kuna sauti nmesikia ya nyuki akimsomea script rashid😂😂😂kwa mbaaali
@user-rn3su5tr9p3 ай бұрын
Mm pia nimeisikia 😂😂😂
@user-uk6oq2xl5w3 ай бұрын
@@user-rn3su5tr9p 🤣🤣🤣🤣🤣
@HidayaMbodze3 ай бұрын
😂😂😂😂
@tabithaolango2 ай бұрын
Kazi nzuri ndugu zangu nawapenda sana kelvin❤❤❤❤❤❤❤
@Jipsonkl2 ай бұрын
Kelvin amevaa koti ya papa mobimba😀😁😁😂
@user-rd6nr4qq3s3 ай бұрын
Rashid ni mzuri sana kwenye dialogue
@bahatiomar52972 ай бұрын
Hahahaha 🤣🤣🖖 linah tuliza mshono una mumeo mke wa mtu sumu ridhika 😂 acha Rashid atoe mawazo 😢
@AishaMohammed-vh7mm3 ай бұрын
Kwanzaa izo like zinasaidia nn nnanikera kweli ovyo
@ashamrisho13223 ай бұрын
Imekuwa ndefu hadi raha... Big Up
@MbawaTv3 ай бұрын
Na mm nimewah bn naomben like zangu
@HalimaAdam-v7e3 ай бұрын
Hadi wew unaiga at like zangu nichakula hicho toa maon broo like wew ni kelvin 😊
@Hassansadick-pv7tb3 ай бұрын
daaah nilikiwa bz xana nimechelewa kutizama ila ktk hii movie nimependa sana kervin alivyo cheza kipande hk vzur sana kuliko vyooote,,,,,xo kaz njema broow
@delvinejeruto3 ай бұрын
Kazi zuri sana kelvin napenda mafundisho yako nimazuri
@AnithaIrankunda3 ай бұрын
Jamani Linah mwamba Sana ❤❤You're the best Linah
@DOREENNAIMA7 күн бұрын
Nkiwa Mombasa nampenda sana kelvin team kelvin movie zake Zina mafunzo sana.
@halima2382Ай бұрын
Nataka nizae na ww nipate mtoto aki nyinyi❤❤❤🎉🎉
@jacklineminja-fg9ji3 ай бұрын
Aaaah yani nikifikiria watoto wa huyo mama linah wakiangalia movie hii sijui wanareact vip
@MousaAmos3 ай бұрын
Iiii ni move tu ww
@jacklineminja-fg9ji3 ай бұрын
Asiyejua kwamba ni movie nan
@sikudhanimohammad76923 ай бұрын
Watacreat vp kuhusu nn?
@AishaSalem-g2v3 ай бұрын
Mm kam bint wakike nachukia sana linah na bro rashid nawachukia kinoma afu kelvin kubali tu boss wako maisha yazonge vizury joman❤😊
@NaomiKurgoiАй бұрын
Kelvin kakangu,,linah si mwanamke unayemfikiria..
@MCMussa-tl8kn3 ай бұрын
Jaman Rashid kidod atuzalilish pak wamemwambia alikua kazam kwel kweny penz had kasahau
@user-mg2nu5sr9b3 ай бұрын
Nimeisikia saut ya nyuki akimwambia rashid. Nilijiona mpumbavu sana
@Agustino-gw4qy3 ай бұрын
kelvin kazi zuli san nakupogez san kak ila endelea kuwa na moyo munzuli wa kusaidia wa2 kak usiwe na moyo mnzuli2 kwenye muvi zako2 lamwisho nawapenda san ww na familia yako yote
@Fatuma-x7j3 ай бұрын
Jemsi umenichekesha over ulivyo cheka wewe mwenyewe🎉🎉🎉 umemwambia kweli huo shangazi.
@FailaQueen-qm4dt3 ай бұрын
Sasa wa kwanza wa kwanza ndo nini jamani uwa munanikera sana 😢😢😢bali mowapongeze kwa kazi nzuri
@Planettz-bw3re3 ай бұрын
Planet hapa respect sana wapendwa wangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 pamoja sana.
@user-xr6xk9lb5c3 ай бұрын
Editing tafadhali, mbona twasikia maelekezo kwa Rashidi!? Smith Julius umepita huko, Kenya Watching
@Almas-tf3eb3 ай бұрын
Kelvin undeziii umekuziiidi kila series Wewe ni uchizi tuu ata kama ni kuigiza bhana
@boazygodfrey93713 ай бұрын
Hahaha😂
@boazygodfrey93713 ай бұрын
Sponsor
@ZuwenaHamza-oq4fc2 ай бұрын
Movie Bomba sana Kaz saf hongeren sana❤❤❤❤
@IsabellanasimiyuMusungu-jf8bd3 ай бұрын
😂😂😂 hapo noma kelvin
@PeterMgani-v7c2 ай бұрын
Daaa!!.. Kevi kumbe we mkare nimekukubali sanaaaa
@pkcamlesh2465Ай бұрын
Pia mm nmepatwa na pigo la moyo wakati Tina kaingia nyumbani kwa kina Rashid 😂duh
@clariszawadi20103 ай бұрын
Staki likes napenda kupongeza donta family Kwa kazi nzuri, keep moving forward
@SilviaDirecto.3 ай бұрын
yaani wote ni maraya hamna mwenye ako n partner moja except kelvin ndo mwaminifu
@delvinejeruto3 ай бұрын
Niukweli. Kelvin nimwamunifu
@SakinaHassani-xm7ti3 ай бұрын
Tina ungemsahee tu Nelly maana uyo anko mele nae ana mshangaz😂😂😂
@RizikiZiki3 ай бұрын
😂😂😂yani hana kimbilio
@DibundileMavulu3 ай бұрын
❤❤❤❤❤ mpo vizuli
@user-rp3hf9oi7v3 ай бұрын
Mafunzo ya mama Lina hayaja nipendezea sababu mwanamke ameruhusika kumiliki mume mmoja Tu hatakama ni move lkn rekebisheni baadhi ya ushauri Mnao utoa kwa watu😊
@sikudhanimohammad76923 ай бұрын
Wa mama kama hawa wapo katika jamii zetu tunazoishi
@agnesdeusdedit50713 ай бұрын
Mwisho wao upo Tena mbaya kwaio wenyewe wanaujumbe wao subilia Hadi mwisho
@juliettv66263 ай бұрын
Jamani mimi napendaka sana Nelly nilimfataka mpaka insta lakini hakunijibu from Congo ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@RizikiZiki3 ай бұрын
Pole sana mufwate WhatsApp njo
@juliettv66263 ай бұрын
@@RizikiZiki sina namba zake
@juliettv66263 ай бұрын
@@RizikiZiki asante
@RizikiZiki3 ай бұрын
😂😂😂😂mama na mtoto watagombaniya mabwana Kelvin eti kunambi anamutukanaga kimya kimya afu mweye munacekesha 😂😂😂yallah tina anataka kumwaga utumbo Rachidi karowa kumuona Tina kumbe Tina hajajiya anaco kifkiriya Rachidi alikua anatiya uruma maskini uboraivo Tina amemusame
@EmilykuvunaKonzi2 ай бұрын
Kunambi anakwambia ukweli😢😂ww puuzia tu
@michaelibrahim37462 ай бұрын
Hongereni sana, kwakazi nzur pamoja sana brother
@aselaanord44513 ай бұрын
Mbona simuoni loveness jaman
@user-cy3ro8lp8s3 ай бұрын
Ata mimi jmn I need her 🌹
@sefaniambuba71333 ай бұрын
Movie Bado mbichi relax😂
@BarakaAloice3 ай бұрын
Rashidi nakuonea huruma unawakati mgumu san
@user-ko5co3bk9f3 ай бұрын
kunambi unayo madini 💥 kaza kaka utuleteee madini zaidi ya hapo🎉🎉🎉❤
@user-jf9pt8bu5j3 ай бұрын
Umeongeza minutes tunashukuru sana❤
@JoyieKananaАй бұрын
Good luck my people you teach me alot .. nawapenda sana from Kenya 😂
@liliannafula-wv2jg3 ай бұрын
Kevin, Kunambi mwanifuraisha sana walai😂❤
@user-bd3fe4pu4c3 ай бұрын
Si dhani km like ni comment sahihi! Tuseme tumejifunza nini kupitia funzo hili km waongeze bidii au hongereni kazi nzuri imejitoshereza
@user-wm1ue2dr8e2 ай бұрын
Umesema kweli mpendwa
@user-kp6lz7zs1w25 күн бұрын
James mzuri cn kaka yn nakupenda cn ❤❤❤❤❤❤❤
@AngelinaMwelafi18 сағат бұрын
Nakukubari sana kervi nakupa asilimia 100
@RashidGalu3 ай бұрын
Respect to you Kevin I will continue your work we are together
@ObjBorn-kj5in3 ай бұрын
Kula nyama nyamaz kelvin 😂😂
@user-ny1jz7jp6f3 ай бұрын
Kazi yenu poa but movie zenu mnamalizanga vibaya mnatuachanga vibaya imagine kama movie Kesho yangu ak nyinyi
@user-qk2dp9dx2l2 ай бұрын
labda wanamaliza mapema Ila wanamaliza vizuri tuu
@mirajinabaswa2492Ай бұрын
Daaaaah mshangazi,hapo kwa mwanaume c ndugu yako umefinish kumaloo
@BonheurKf-xo7bv3 ай бұрын
Tua ingojea bila utulivu 😰
@user-ip5gj9qb7k2 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉 mr kelvin 🎉guys don't touch my comment 😊
@SadaRwehabula2 ай бұрын
Kelvini umepigwa nakitu kizito wanawake sisi nimajambaz pole sana ukijua cijui
@user-vr4dz4jb2t3 ай бұрын
sema apo bi mkubwa alifer kweny saplize yako kelvin hakutakiwa kukuandalia chakula nakati mkeo mtalajiwa ndo alikua kaandaa saplize au unasemaje apo mkuu
@user-lu3mf1ir4w3 ай бұрын
Najuwa sijachelewa sana naomba like ka tano hivi❤❤
@user-nq8wk7sb6vАй бұрын
lina na magauni yako ya kihehe ayo ipo siku utayakoga ila nakupendraaaa,💕
@SophiaDenalwa-sx7yu3 ай бұрын
Kula chuma kelvin ngoma hio idance kama hakuna mtu anaekuona kajilete huyo usimuache achana na lina😅😅
@RamaWanaman3 ай бұрын
Kama kawa wakwanza mm apa wana man ❤
@joelnyaga19852 ай бұрын
😂😂 mama Lina anataka mtoto 😂😂atamuita mama ama nyanya😂😂😂
@sifaelmwaweza13562 ай бұрын
Kunambi mdamwingine unaongea point sana!;;
@QuenDidah-n5w22 күн бұрын
Hooongeraaaaaaaaaaaa😅kunambi kama umeona kitu vile🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@IsaBella-lf6ts3 ай бұрын
Niko sambamba nawewe mweshimiwa kelvin kan ❤❤❤❤
@MagdalenaBajuta3 ай бұрын
Kunambi upo vizuri, mpe makavu yake.
@winshitgood90643 ай бұрын
Naangalia nikiwa oman movie nzuri sana
@thommasemanuell43203 ай бұрын
Leo atamimi nimekua wa kumi na 13 😅😅😅😅😅
@KassimThelavive24 күн бұрын
Big up Kelvin nakubali sana
@user-te6qu3fx9z2 ай бұрын
Ndugu Kevi. Hebu nambie ni nini maana ya neno nanilii. 😂😂😂
@user-ms3ug6ki3r3 ай бұрын
Nawapenda woote donta tv mko vzr kaz nzuri
@halima2382Ай бұрын
🤣🤣🤣🙌🙌rashida yuko na homa la ghafula
@Inezamethodebrighton3 ай бұрын
Rashid unajuwa san bro
@MousaAmos3 ай бұрын
Kelvin shituka uo upelelezi vp
@phineasmwiki2 ай бұрын
Much love from kenya thanks to kevin 🙏🙏🙏
@CarolyneNyanchama-yk1gf3 ай бұрын
Mayasa kelvin atakukubali kweli alf kicheko cha moses😂😂kina maana mengi ila mama linah😂😂😂😂
@sefanianaftari63 ай бұрын
Lina mshenz sana
@user-mg2nu5sr9b3 ай бұрын
Yaan mi sijui hata nipoje et nataman epsod za mwisho nione Aya matukio yanaishaje