Ameeen....still listening in ,2019/ God let us have a good ending
@paulosadoi83098 жыл бұрын
mungu akubariki ambwene kwa jumbe nzuri
@samsonleonard74157 жыл бұрын
wimbo mzur na wenye ujumbe ubarikiwe sana
@kaizarygeofrey83927 жыл бұрын
namuomba mungu nife ktk yeye anitieye nguvu
@isayanjapit35974 жыл бұрын
hakika Mungu hamwachi mja wake. Mungu akutumie jinsi apendavyo kutoka utukufu hadi utukufu.
@josephvuri37507 жыл бұрын
kifo kinakuja tujiandae yesu nisaidie nimaliza mwendo salama
@nurrysaleem86446 жыл бұрын
😢😢😢 ni siku ngumu mno
@neemaijuma61194 жыл бұрын
Mwrnyezi mungu
@mashigulumapato45307 жыл бұрын
kweli njia moja we make preparations before to see the Lord
@Klvn_Chriss11 ай бұрын
Ujumbe wa muhimu kwa watu wote uu ndio muda wa matengenezo
@gloryswai27407 жыл бұрын
Aisee maneno yanaumiza japo ni kweli kabisa itatutokea ila barikiwa sana ww
@tunsumeangumbwike53419 жыл бұрын
No kweli kufa no lazima na nikitendawili hivyo no her I kutengeneza njia kwa kutubu dhambi na kuziacha na kutenda mema daima maana neno la Mungu linasema hero wafu wafao ktk Bwana
@richardrich66606 жыл бұрын
wimbo mzuri sana
@shadracknyenga852810 жыл бұрын
ni kweli siku hiyo ni ngumu sana kwa wale wasio kuwa na matumaini
@marryalex84237 жыл бұрын
kwel hakuna neem ukifa her ujiandae kabl ya kufa ,je ww mwenzangu umejiandaaje
@adamgabriel74376 жыл бұрын
Jiandae ndugu yangu mpendwa maana neno la mungu lasema kuishi ni kristo kufa ni faida eee tusaidie
@veronicawariandumi35216 жыл бұрын
Adam Gabriel ni kweli kak mungu azid kukupa nguvu uzid kutoa ujumbe kwetu sisii
@denismwalukunga86866 жыл бұрын
Adam Gabriel amen
@kenesmakoga68175 жыл бұрын
Hakika kifo ni fumbo ambalo kila MTU hajui tumurudie mungu
@creopatrasimony87108 жыл бұрын
nyimbo nzur
@eliudmtailuka3818 жыл бұрын
all who live in Christ, death is not the end!
@sharonkasebele59297 жыл бұрын
eliud mtailuka
@juliuskinyanjui94505 жыл бұрын
Very real song
@msabatozeson90236 жыл бұрын
unaweza kulia
@zighemargaret7 жыл бұрын
Haijulikani saa wala wakati wala cku letu ni kujitayarisha nake cku ya kuja mwana wa Adam you never know. Tuzitubu dhambi zetu bado kungali mchana nake giza litaingia anytime.
@denismwalukunga86866 жыл бұрын
Zighe Margaret Hakika mwana wa Mungu tunapaswa kujitakasa kila itwapo leo ili siku ya mwisho tukalakiwe mawinguni
@janekimaro79527 жыл бұрын
Kweli Siku ya kifo ni ya kutisha nizaidi ya fumbo ambalo halina mfumbuzi zaidi ya alietushindia na kutufanya tupate ukombozi. So ni vyema kuwa karibu nae siku zote na kila wakati ili hiyo siku iwe siku ya ushindi kwako badala ya kuwa siku ya kutisha.
@emmakayombo2738 жыл бұрын
usajigwege ambwene
@zulfaalfan84616 жыл бұрын
Binadam kumbuka wewe ni mavumbi na mavumbin utarudi mludie anae kufanya upumue leo
@tabithamkila60658 жыл бұрын
kweli mbele ya kifo wanadamu hatuna ujanja . ukiondoka duniani utasema nn mbele za mumgu
@denismwalukunga86866 жыл бұрын
Tabitha Mkila hakika tunapaswa kujiandaa muda wotewote maana hatujui siku wala saa
@lightnesscharlse58777 жыл бұрын
Nina kuomba Mungu unisaidie niyatende mapenzi yako
@salomelyanga16667 жыл бұрын
shaloom
@eriyayazan97917 жыл бұрын
No body knows time
@bluehada86649 жыл бұрын
Oh my God this song it's too bad.
@nooproblem91718 жыл бұрын
leta wako tusikie
@priscilarkahindi91268 жыл бұрын
Blue Hada coz waogopa kufa!au ni mbaya kivipi?
@winieramadan98577 жыл бұрын
Blue Hada nanilazima hio kwaiyo be ready
@juliusmushobozi25647 жыл бұрын
ni kweli siku ya kifo ni fumbo. la Msingi kumwomba sana Yeye ajuaye kila hatua tuipigaye na mwisho wetu Namna ufananavyo.