Wanaume haki unaacha msichana mzuri unaenda kwa kile kinyangarika wooo😢
@dorahruvaga602812 күн бұрын
Hujaskia akisema ni maskini?
@chunaabdullah133312 күн бұрын
@@dorahruvaga6028haki nawashangaa wanao laumu Jamaa dem mwenye ndio uyo kasema mkonde maskini nawala ajambiwa kama dem alikua na ball mana ni maskini 😢
@JohncenaSilverTV11 күн бұрын
Ni kama hujawatch
@SHEILACHEBET-nn1hp13 күн бұрын
I can't imagine mtu anahepa responsibilities then baadae ana demand for the kid shame on them
@ChristinatinnahAuma13 күн бұрын
woooouu huyu dem ako mcute❤❤
@rosemuthoni810912 күн бұрын
Ukweli kabisa
@TheeplanetTv13 күн бұрын
Good work kurukuta manterere❤😂guys mnipitie plzz comment done nikupitie pia❤
@Keynaju111513 күн бұрын
😂😂
@velmanyamusi783813 күн бұрын
😂😂😂
@Eunita-x8d13 күн бұрын
Mbona umeweka picha ya wenyewe jamani
@Shiie.mwongela13 күн бұрын
Utakungutwa wewe😂
@Keynaju111513 күн бұрын
@@Eunita-x8d ??? Nani ameeka picha
@beckymaria212512 күн бұрын
Unakosaje kujua uko na mtoto like seriously ,naelewa uchungu wa huyu mama mayb ameteseka sana na mtoto akijuwa babake ako majuu mungu alete suluhisho❤❤❤
@gracemanyonge444913 күн бұрын
Huyu dem mali safi aki ❤❤❤❤
@LeilaAbdi-p4i12 күн бұрын
Unaruka mkojo wakanyaga shonde wanaume aki bby mama ako fity sana❤❤❤❤❤🎉🎉
@JuliaOwendi-q7b12 күн бұрын
Just eagerly waiting for part 3😢😢
@JaneMomanyi-mh5kk13 күн бұрын
Kzi nzuri daktari huu mwaka kila maari tunaona ukuu wa mungu watu wapate bb kire kilipotea jao ni time yetu
@emillyzeeh117313 күн бұрын
Wow mama baby Amefika ,Abel na Dakitari na john mungu nimukubwa 🙏🙏🙏🙏🇪🇺🇪🇺🇪🇺🇪🇺
@florencemumbe523013 күн бұрын
Doc doa ni mapenzi usilazimshe wa oane,...
@sarahkadenyeka45813 күн бұрын
Uyu dame Ako na tumadharau kiasi pia yeye kitamramba achunge
@bettymuks707213 күн бұрын
Anafanya hivo ju ya hasira aliachwa na mtoto bila hata kujuliwa hali
@Ratio-s3g12 күн бұрын
She wants him back but machifuno kiasi
@mamake-e2k12 күн бұрын
Ako sawa ata wewe lazima angering kias kwanza mm ifikie huku sjui walai😢😂😂😂
@sarahkadenyeka45812 күн бұрын
@mamake-e2k bt kijana naye alimfanyia vibaya pia izo miaka Zote
@JohncenaSilverTV11 күн бұрын
😂
@JESCAMUHANJI13 күн бұрын
Wanaume aki mlikosea wapi,ona Tu venye huyu dem ni mrembo na unamwacha surely,buh I know watarudiana Io Ndo furaha yangu
@florencemumbe523013 күн бұрын
Wueh Abel atakama ulitia bengu apa lea tu mtoi,..mambi ingine ,.....
@wambumwash851012 күн бұрын
Baby mama is beautiful
@AliceNjeru-os1yb12 күн бұрын
Very nice, and good job 👍👍
@RehemaSafari-c3u13 күн бұрын
aki ni kaa smart San akaa Dem ❤❤
@EUNiCEMaish12 күн бұрын
Hata mimi namsupport keddy siezi rundi kama mtu alikuacha na umemove on siwezi rundi
@chunaabdullah133312 күн бұрын
Unajua kisa cha kufanya waachane?
@Tam.H.13 күн бұрын
From da look of things the lady has moved on na Kwa uwezo wa daktari wanaweza owanajuu ya mtoto lakini swali ni bado msichana anampenda kweli???? Mapenzi hailazimishwi though mtoto anafaa kusaidiwa like seriously but kulazimisha mapenzi nooooo, Kwa maisha 6a sai MTU anauliza Kwa sababu ya Mali yako, be careful Mr Abel
@zainaburuthzainaburuth337613 күн бұрын
Kabisa ni juu ya mtoto,Dem alishaa move on
@Tam.H.12 күн бұрын
@zainaburuthzainaburuth3376 Doc should not lazimisha mapenzi but aone venye wise atasadia mtoto coz mapenzi yakulazimisha siku hizi atankifo hutokea juu marriage is a journey na daktari hatKuwa naonmilele na milele
@MargaretMuli-f4v13 күн бұрын
This girl is very beautiful plz.take your babe dad.
@bettymuks707213 күн бұрын
But from my view Abel ameshampenda tena baby mama❤he has kafeeling😅
@zipporahkemunto440912 күн бұрын
Hawa wanapendana ni vile walipoteleana
@irene369612 күн бұрын
Wewe na mercy mmeamua contents ni 🔥 been addicted to these channels 😅😅😅😅
@MaldrnA13 күн бұрын
Msichana mrembo 💞
@Norah-s9f13 күн бұрын
Huyu dem akonastress
@Ashinagaltoto787612 күн бұрын
Mingi Sana... Ata asipo sa you see
@Jacintanabwera12 күн бұрын
Upcoming KZbinrs kujeni hapa tupitiane pia sisi tugrow pamoja ❤❤❤❤
@Norah-s9f13 күн бұрын
Huyo nimutu na bb yake kweli mpaka wamevaa fashon😂😂😂😂
@JohncenaSilverTV11 күн бұрын
😂
@Josaphine-o2w12 күн бұрын
Napenda kazi yenu sana mbarikiwe sana
@florencemumbe523012 күн бұрын
Akianani dactari aty amekaa kidoshodosho tuuuu!!!!.... kiswahili anguka na mimi😂😂😂
@Ashinagaltoto787612 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Nancy-t9b12 күн бұрын
😂😂😂
@PhaniceSungu11 күн бұрын
Congratulations kuitwa baba Abel maana wengi hawana mtoto
@VeronicahNjoki-i3x12 күн бұрын
😂😂😂😂 ati anakaa sanamu woiye rembo wangu
@mcraymohtv347413 күн бұрын
Kali sana🎉❤❤
@Katotooooooooooo13 күн бұрын
Mtu atakungutwa apa😂😂😂😂😂 much love doc😁😁😁
@zainaburuthzainaburuth337613 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@JaneNjeri-dz5et13 күн бұрын
Kazi nzuri daktari
@mumblessed00112 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂dactari nakupenda bure kazi safi ukisema ushasema kendi anafaa kungungutwa kiasi
@dancanomwenga198710 күн бұрын
Hapo hakuna ndoa bana, let them go their ways, achani jamaa afuate maisha yake
@Katotooooooooooo13 күн бұрын
Kafamliy kabel😂😂😂😂😂
@Norah-s9f13 күн бұрын
Kizungu hatutaki😂😂😂
@NancyKarash-j2k13 күн бұрын
Uyo dam ana macho baya
@susanaseyonyundo968913 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅 aki walai
@RaelNekesa-25412 күн бұрын
Waaaah,Abel hii ni spirit of rejection inakufuata walai😂😂😂vile huyu dem Ana adrees Mr wise I don't like😮
@CatherineMwaniki-jw9ni13 күн бұрын
Wewe Abel chukua Kedi wako,she is so beautiful ,wachana na yule gaidi.
@Yaahphilip484613 күн бұрын
Husikii Yuko na boy mwengine
@PhilisKundu13 күн бұрын
Kaz poa aki
@Norah-s9f13 күн бұрын
Huyu jamaa hampendi huyu kijana hampendi huyu dem hajamini kama .alikuwa anakutana na huyu dem
@loicekhanali-xd5xz12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂johncina unatupima bangi 😅😅
@HHfhf-o9g12 күн бұрын
Msichana mrembo sana❤
@SalmaSa-f3x4 күн бұрын
Vip bro huyo daktari anaweza fanya mchawi aongee kila kitu chenye alifanya
@MargaretMwapia12 күн бұрын
Kwani huyu mganga analazimisha mtu apende mwenye alimwacha 3yrs ago
@SalomeRevocatus11 күн бұрын
Hata Mimi nashangaa sana huyu mganga kama mchawi vile mbona anamlazimisha hivyo mwenzake na kumtishia kaaah Yan Hadi nashindwa kueleza
@keziahmwangi115513 күн бұрын
Waiting..........
@ChristinatinnahAuma13 күн бұрын
huyu babydady wako anameza mate😂😂😅
@MwakaKombo-h7r12 күн бұрын
Akh wanaume unaacha bby mama wako, unapata gaidi wapigwa heartbreak safi then huna otherwise 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DAISYCHEPKOECH-z5f13 күн бұрын
Aky wanaume si uyu baby mama ata alikua mrembo kumshinda ule malaya
@JohncenaSilverTV13 күн бұрын
Aki😂
@MaryMmm233-yh3hf13 күн бұрын
😂😂😂😂😂hapa kitu chenye haelewi ni kadhani hakuacha mbegu 😂😂😂😂
@ThaddesusNyaenya13 күн бұрын
What I suspect Dem pia akifikiri mimba ni ya mtu mwingine 😂😂😂😂
@florencemumbe523013 күн бұрын
Bt naona huyu Dem akujua kaa my mimba ni ya Abel,...so nikama alikua na jamaa mwingine
@ThaddesusNyaenya13 күн бұрын
@@florencemumbe5230 exactly 💯
@marthakin4kin52212 күн бұрын
Mengi daktari tanga atafafanua mengi ,, yaliojificha johncena silver kazi nzuri na daktari,, hogera
@chancyidumba62312 күн бұрын
Cutie girl ❤
@annmmbone752513 күн бұрын
Abel.atake care of mtoi hawa madem hutoboa mapua nop atafute another lady God's time
@ELPHSAMAKOKHA13 күн бұрын
Very true hawa watu wa kutoboa mapua hapa😂😂😂😂 huyu kila mahali ni mashimo tupu
@zainaburuthzainaburuth337613 күн бұрын
@ELPHSAMAKOKHA uweeeh😂😂😂😂😂😂
@zainaburuthzainaburuth337613 күн бұрын
Yes mapua no😢😢😂😂😂
@LucyNdunge-yy4nb7 күн бұрын
Madam ukizaa mtoto na uyo baba daddy akatae kumbuka mungu ajakuumba ukiwa mulemavu fanya kazi ujilelee mutoto wako
@valentinengetich2 күн бұрын
Kila kibaya huanzia njema,Kama sio kumtega shaniz hatungefahamu kumbe mke wake aliondoka na sonona💯 kendi usirudi kwa huyo mtu
@LonnahKoikoi-g4b13 күн бұрын
Ati scarecrow 😂😂😂😂😂
@ElgahKisilu12 күн бұрын
Mrudiane sasa ❤❤
@engineertyson91812 күн бұрын
Huyu mwenye ametoboa mapua na maisha bado na ako na madharau sana
@MariahWesonga12 күн бұрын
Huyu dem ako na madharau aje...huyu apewe adabu wallahi😂😂😂..shenzii
@rizeshiku12 күн бұрын
Apewe adabu ngani yet ni wao wameanza kumutafuta has she say ako na family ingine so sioni haja yake kufanyiwa anything
@IreneWanga9 күн бұрын
tuko hapa 😅😅😅🖐🖐🖐🖐
@NofelaJaco12 күн бұрын
Wanaume mnakuanga na shida gani unaacha dem mrembo kama huyu unaendea kitu hakijui kuoga
@maggieshi69011 күн бұрын
Manterere nike shoe iko sawa🎉🎉
@jaelokeke483512 күн бұрын
Hapa acha nisimame na boyshald😁makosa niya dem kunyamazia ujauzito, atleast angemuambia akae akijua ama aone reactions zake kama atakataa basi ndio aendelee n life yke, alafu my mind kitu ilifanya asiambie Abel ako n mimba yke n ety aliona Abel sio type yake n hakutaka kum involve kwa life y mtoto since aliona ni mtu Hana mbele wala nyuma😮 but who is God😂😂😂😂😂umdhaniaye siye kumbe ndiye😅😅😅from "maskini mkondee 😢" to someone special eeeeeish watu mtajifunza kuongea azin u maskini sio kuwa kilema😬back to you in studio kendi hasira itaisha tu tushone vitenge😂✍️
@edinahimali12 күн бұрын
😊😊😊😊
@wambumwash851012 күн бұрын
Wamevaa the same 😮😮😮.
@Salma-ne8en12 күн бұрын
😂😂😂😂 mukungute tu Daktari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RizikiNyamata12 күн бұрын
Waru mnasema ni mcute lkn hatak maskin
@Wyckieevents-y5v13 күн бұрын
Upcoming KZbinrs tusaidiane uku pls tukisonga
@OmugaCate-y8v12 күн бұрын
Ati maskini.....be careful Abel
@WinfredAloyo-r9u13 күн бұрын
😂😂😂😂nimependa hii yaani iko kama mm na baby daddie...wanaume ukuwa mafala sana' mnapea mtu mimba then mnajifanya hamjui alaf badae kinawaramba😂😂'mtatuheshimu sisi na baby mamas😅😅maombi na viliyo vyetu vinafanya kazi
@lornahshibikhwa12 күн бұрын
Baby Mama wanapendwa naturally kafeeling ka Wise man kako juu
@MunyirunguHonest12 күн бұрын
Leo hii Abel wise kimekramba ila baby mama Kendy nakupenda sana kutoka Uganda 🇺🇬 hakika we ni genius
@SaidinaSaidi-v5q11 күн бұрын
Hyu msichana ni mzuri
@LLl-p4r3l12 күн бұрын
Jamani siamusamehe jamani juu hakua na ufahamu na hakumwambia pia
@AnnKimotho-v8j13 күн бұрын
Wise ame asumiwa😂😂😂😂
@mercyiha272012 күн бұрын
Jamaa alipanda mbegu bila kujua, huyu msichana ni mrembo but aache dharau
@edinahimali12 күн бұрын
Kabisaa aache dharau😊😊😊😊
@Marry-u8m13 күн бұрын
Mimi najue kama dakitari yuko hapo kila kitu kita eda sw
@JohncenaSilverTV13 күн бұрын
💯💯💯🙏
@sophiasophia650013 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Christine-tx3xy13 күн бұрын
Wacha nicheke 😂😂😂 tu mimi nko hapo bt Mungu ako na pia watoto wanagrow
@fridahntinyarikimathi259613 күн бұрын
Hapo sasa❤❤❤❤
@mungaianne39913 күн бұрын
Exactly
@LucyFranc12 күн бұрын
Johncrna ambia ddkitari afanye jambo hawa wawilo warudiane walee mtoi.
@PamelaSimiyu-w3q13 күн бұрын
Aki wanaume mungu awaonekania unalisha mtu mwenye hawezi kukusaidia kwa yako jionea sasa
@Roz-m2z12 күн бұрын
Mschana mziri wee
@JacklineNjue-cx5ji13 күн бұрын
aki na vyenye ni mrembo wallai
@JohncenaSilverTV13 күн бұрын
😂
@TeresaKwamboka-s9j13 күн бұрын
Upcoming youtubers tupitiane tugrow pamoja 😊😊😊😊
@Divinah-kem13 күн бұрын
Nipitie pia
@PURITYWANJIKU-k6r12 күн бұрын
Huyo daktari anabore
@ivymugei12 күн бұрын
Jukua mzee akupeleke USA dear
@LonnahKoikoi-g4b13 күн бұрын
Huyu dem anachoms😂😂😂😂😂😂😂😂
@zainaburuthzainaburuth337613 күн бұрын
Waaalai😂😂😂😂
@Leah-h1j8g4 күн бұрын
Hii nayo ikona hadi mchawi 😢
@DivinaDivina-j4r13 күн бұрын
Niko ndani
@lydiahnafuna-w7w13 күн бұрын
Minimeona the guy hana makosa babymama ndiye angetafuta baby dady
@Vymo-lv9cu12 күн бұрын
Hawa wanaume wakiomoka hua wanadharau hadi mtu amemzalia 😢
@Roz-m2z12 күн бұрын
Anamdharau nae amenona dada atashanga
@aminachiziamina12 күн бұрын
Uyu dem ako swa aowee uyu beby mama wake na ule shani arudishee vituzote
@florencemumbe523013 күн бұрын
Nikazuri bt hawa watu wakutomboa mapua,.....ongopa!!!
@zainaburuthzainaburuth337613 күн бұрын
Nakuambia
@NicIbrahim12 күн бұрын
Kutoboa maisha ukiwa nao ni ngum😅😅😅
@TabithaTabitha-t6s12 күн бұрын
Huyu dem ni mrembo kuliko ule maraye
@Maggie256Cosmas13 күн бұрын
Able uko na nyota lakni mapenzi yana kutesa aky sii tufanye job to then the right one ata kam tu kwa time ya mungu ni Maggie niko saudia
@sarahkadenyeka45813 күн бұрын
Bt dactari anaweza sema kama mtoto ni wa uyo jamaa
@Damacklinebosiboriogaya12 күн бұрын
😂😂😂😂😂hii ni kali
@SharonGilo-ze9ni12 күн бұрын
A mini Musi amini next kutakua na vita baina ya kendy $habel na baba ya huyo mtoto 😮😮