''SIMBA KUNA SHIDA KUBWA, MO DEWJI ANAHUSIKA KUIBOMOA TIMU'' - IBRAHIM MAESTRO....

  Рет қаралды 18,149

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@MohamediSaidi-yr4qy
@MohamediSaidi-yr4qy 5 ай бұрын
Mo. Aondoke anaiuwa simba kwan ye si muhind yeye na mpira ni wap aondoke na hao akina mangungu na trai agen
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 5 ай бұрын
Maestro uko fresh mno Big up
@neemaben9989
@neemaben9989 5 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏 we jamaa unajua
@DanieliDgani
@DanieliDgani 5 ай бұрын
We maestro boya tu mpaka simba inafikia kwenye top ten ya timu bora afrika yanga ni ya ngapi mkono wa mo umefanya Simba iwe kwenye top ten
@medardjustinemakonge9900
@medardjustinemakonge9900 5 ай бұрын
Kiukweli Mesut,,nimekuelewa sana,,,Kinashida kubwa sana ndani ya simba,Kuanzia Uogozi mwekezaji,,,Yaani kila kitu hakiko sawa:,,,,Watu wamebaki kulopoka badala yakusema ukweli:
@amrijuma6621
@amrijuma6621 5 ай бұрын
Mimi naona hapano mo yeye ni muwekezaji ambae anahusika Kwa % chache tatizo viongozi ni wapigaji wanapata pesa Kwa maspornsar kama m- bet. But hizo wanakula viongozi. Ila scouts wakipata wachezaji bora. Wanakuwa ba gharama for example. Protional ana gharama ya million jero. So dewj anapaswe kutoka million mia mbili na sehemu. Na Wana simba wenyewe kama ndio wenye timu hawatoi sehemu iliobaki wataka kula Kwa mdhamini. Ndimaana wanalet wachezaji wenye quality ya jobe na kubrani fled. Why mo?
@MussaMarwa-z3n
@MussaMarwa-z3n 5 ай бұрын
Viongozi wa simba niwezi ayo awafai
@FellaMbogela
@FellaMbogela 5 ай бұрын
Aachie ngazi, ILI TUPATE WATU WASIO NA MAGUMASHI
@Selemaniramadhanikusila
@Selemaniramadhanikusila 5 ай бұрын
Mo anahusika Kwa ubaguzi wa wachezaji makocha, anawapa nafasi wachezaji wageni,makochawazungu hatuelewani hatarugha.
@frankurio469
@frankurio469 5 ай бұрын
Mimi kila siku nasema mo ndio kisababishi cha kuyumba kwa simba na mo analijuwa hilo kuwa yeye ndiyo sababu, hata huu uongozi m bovu kauweka yeye kwa rushwa ili wamlindie maslahi yake
@SilimaUssi
@SilimaUssi 5 ай бұрын
Sema mm nisimbaa
@leonardlunguya7112
@leonardlunguya7112 5 ай бұрын
Kwani Mo Dewji kama anazingua Simba haiwezi kumpata mdhamini mwingine?
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi 5 ай бұрын
Ni sahihi kabisaaa hyo mwekezaji anahusika kuishusha simba na kama hahusiki je? Yeye anaridhishwa na mwenendo wa timu? Na je? Kwann watu wakisema yeye anahusika kuishusha simba hatoki hadharani kusema yeye hahusiki?
@songombingo108
@songombingo108 5 ай бұрын
Bado hamjasema
@jamesjames2368
@jamesjames2368 5 ай бұрын
Global tv sponsored by GSM, watangazaji na maokoto bahasha za kaki VS Mo Dewji.
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 5 ай бұрын
Mwekezaji angeachia timu simba iendelee.
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 5 ай бұрын
Hii timu yetu angeichukua mzee Bakharesa kipindi kile,nafikiri tungefika hata fainali ya CAF champions league.
@husseinmpuruti1372
@husseinmpuruti1372 5 ай бұрын
Hakuna mwekezaji happo iweje kipindi ya usajili halafu unaonekana kwenye ahadi eti natoa kiasi hiki muongo huyo anaiua simba mhindi na mpira wapi na wapi?
@charleslugemalila1168
@charleslugemalila1168 5 ай бұрын
Unataka kutwambia wachezaji wanasajiliwa na nani? Mbona mnatuchanganya nyie? Wachezaji ghali kama Chama na Ngoma nani kawasajili na nani analipa mishahara?
@maguosenior7809
@maguosenior7809 5 ай бұрын
Bahati mbaya hujui unachosema.wew mchochezi tu.
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 5 ай бұрын
Wewe ndio uelewi kitu. Jamaa yupo sahihi kabisa. MO ndio tatizo kubwa kwa Simba. Kwa hivi sasa tulipofikia hatutakiwi kumuonea aibu MO inatakiwa aambiwe ukweli ili kama ni kujirekebisha ajirekebishe. Na kama awezi au hataki basi aondoke aje mwekezaji mwingine.
@abbasisudi6899
@abbasisudi6899 5 ай бұрын
Mchakato huwez kuisha hapo wa uwekezaji na udanganyif
@eliashelyongolo4123
@eliashelyongolo4123 5 ай бұрын
We ndio chawa,hy anachoongea ni kweli tupu,
@ThomasMakarius-x9n
@ThomasMakarius-x9n 5 ай бұрын
MO atuachie timu wawekezaji wapo atoke.
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 5 ай бұрын
Leo ndio najua Ndio Maana kwamba pale Efm ndio maana huwa hamuipendi Yanga ndio maana huwa umnaisema sana Yanga Vibayaaa kumbe wewe ni Mnyama
@SaidJumanne-ue2jy
@SaidJumanne-ue2jy 5 ай бұрын
Kwahyo na pale wasaf wanaisema vibaya sana Simba sababu kitenge ni yanga, daa ushabiki wa hiz timu mbili unaweza ukakupola uelewa wako bila mwenyew kujitambua
@mcharodavis2182
@mcharodavis2182 5 ай бұрын
Hivi Simba ina mwekezaji tayari? Hakuna mwekezaji,maana hakuna mfumo uliokamilika,MO DEWJI anafadhili tu timu Ukiwekeza unatakiwa uwe na uhakika wa usalama wa pesa yako Je Simba imemaliza transformation? Je imeshajifanyia tathmini ya thamani yake(mali)? Tusubirie mchakato uishe ndio tumseme huyo mfadhili
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 5 ай бұрын
Tatizo lilianzia kwenu nyie Efm maana mlikua mnasifia hata kibaya.. Lakini tatizo lilianza toka mwaka juzi 2022. Tukamtukana kigwangara. Leo ndo tunatambua kuwa moo ni muongo.
@afropatriot7769
@afropatriot7769 5 ай бұрын
Manara snitch kama unamtaka nenda nae utopolo
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 5 ай бұрын
@@afropatriot7769 Manara kaingiaje hapo
@UpendoTonny
@UpendoTonny 5 ай бұрын
SIMBA KUNA TATIZO KUBWA HASA RUSHWA NA USHEMEJI,WATU WAMIIHODHI TIMU KAMA MALI YAO
@SuleimanNgware
@SuleimanNgware 5 ай бұрын
No haina shida viongozi bora na wachezaji bomba ALL kipigo na mihela bwerere raha ni kipigo tu
@andrewdaudindullu1749
@andrewdaudindullu1749 5 ай бұрын
Bado mchakato wa mabadiliko (Transformation)haujakamilikaMo ni kama mfadhili tu; Kisheria sio mwekezaji.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
Kam MO bado mguu ndan nje achie timu yetu tumechoka mashabiki
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Mo ndio na mwenyekiti ni majini yanayoiangamiza Simba
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 5 ай бұрын
Hakuna kitu kinaitqa majini, mpira wa sasa ni wa uwazi, unawekeza + utawala bora = matokeo mazuri
@nicastesha5986
@nicastesha5986 5 ай бұрын
Upo right sina kaka aliye ifufua simba ni yeye na anayeiua simba ni yeye mo wanachama wa simba wasipo amka kla sku mangungu timu itardi kule kule
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 5 ай бұрын
Aachie VIP wakati niyakwake na alishainunua
@charleslinhege690
@charleslinhege690 5 ай бұрын
Kigwangara uko wapi taf jitokeze uiokoe Simba mawazo yako Yana tija sana
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Tulimbeza yametufika mo na mwenyekiti ni majini yamimaliza Simba yetu, tatizo wengi hatumpendi ukweli hayo ni majiti tungemsikiliza kigwangara na kuchua hatua tusihatibikiwa
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 5 ай бұрын
Mawazo bila pesa yatasaidia nini?
@DanieliDgani
@DanieliDgani 5 ай бұрын
Club kubwa ata ulaya ziko na pesa zinaweza kupotea ata miaka mitatu pamoja na mashabiki wao na wadhamini wakubwa.nyie wachambuzi wachumia tumbo tu
@MohamediSaidi-yr4qy
@MohamediSaidi-yr4qy 5 ай бұрын
Atuachie simba yetu chonde chonde chonde
@Shawadh1
@Shawadh1 5 ай бұрын
Kwanibtranformation imekamilika
@DanieliDgani
@DanieliDgani 5 ай бұрын
Yanga ya ngapi kwa ubora Africa na Simba ya ngapi,mulizeni huyo mchambuzi boya tu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 5 ай бұрын
Mjinga sana wewe .kusema nirahisa sana kuliko kutowa pesa .Acha ujinga wako mo dewji anacheza mpira
@emmanuelmsumali9237
@emmanuelmsumali9237 5 ай бұрын
wanachama wana hisa 51% nao wamewekeza nini? tusimlaumu Mo pekeyake.....wanachama nao wawekeze kwa kulipia michango, kununua products za club....
@ABDIKASIM-qe4lc
@ABDIKASIM-qe4lc 5 ай бұрын
Shida yahawa wanamshambuki mo haliyakua wanajua mchakatohaujakamilika hii nikumuonea mo wefikilia toka 2018 mpakaleo mchakato haujaisha he angekua niyeye angeendelea kutupa elayake
@PhilipoFabian
@PhilipoFabian 5 ай бұрын
Hatuwezi kununua kwa viongozi wahivyo
@istiqaamadar7493
@istiqaamadar7493 5 ай бұрын
mm nahisi kwanza kutatua suala la katiba ya timu mchakato uishe, pili club iendweshwe transparency hakuna kuficha ficha wenye 51 wajulikane wanatoa nn na Mo ambaye ana 49 anatoa nn ili tutoe uhasama na hapo ndipo utaona timu inakaa pazuri ila kama sio hvy upande mmoja utaonekana unamatatizo kumbe sio. kstiba inashindwaje kumalizwa kuna nini hapo ndio maana MO hawezi kuwema pesa hapi mijitu inasubiri ipige tu
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 5 ай бұрын
Wanachama watawekeza Transfornation ikikamilika na hisa kuuzwa. Hata MO hajawekeza. Anafadhili tu. Na ni mdhamini pia. Na kama ni kuwekeza kwa Wanachama, wameweza GOODWILL yao ambayo ni kubwa kuliko hata hiyo 20bn.
@andrewdaudindullu1749
@andrewdaudindullu1749 5 ай бұрын
Bado mchakato wa mabadiliko (Transformation)haujakamilikaMo ni kama mfadhili tu; Kisheria sio mwekezaji.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Wait for it 😂
00:32
ILYA BORZOV
Рет қаралды 6 МЛН
ALFA TYMZ SPILLS MAGOGO'S DIRTY SECRETS
4:28
SOUL T.V On Air Uganda
Рет қаралды 252