SIMBA MWEUSI {BLACK LION} - EPISODE 40 | CHUMVINYINGI

  Рет қаралды 32,965

CHUMVINYINGI GANG

CHUMVINYINGI GANG

Күн бұрын

Пікірлер: 197
@MOASLLY
@MOASLLY 2 күн бұрын
Sema mbugilaa mbugilaa, ukiejti mlevi unafurahisha sana😂😂😂
@gee-n1u
@gee-n1u 9 күн бұрын
Maganga katisha sana Leo kama n mpira angekua man of the match 🫡🫡
@zakariawilliam-3816
@zakariawilliam-3816 8 күн бұрын
Maana sio mapacha kabsa mbona mnatufuruga jamani 😂😂😂😂😂😂
@SHIZATV-u5r
@SHIZATV-u5r 9 күн бұрын
kutoka mjini sasa kijijini mapambano yanaendelea kazi nzuli sana chumvinyingi
@omarymuya142
@omarymuya142 8 күн бұрын
Mbigili unabidi uwende jimu so kwa ubonge huoo😂😂😂 jimu inakuhusu😂😂
@YasintaKanyopa
@YasintaKanyopa 7 күн бұрын
Chumnvi umecheza vizur sana hii movie big up
@KhadijaKhatib-l8o
@KhadijaKhatib-l8o 8 күн бұрын
Tuendelee na movie yetu pendwa❤❤❤ila maganga jmn hawez kosa kinibu😂😂😂😂pia nmependa mzee simba alivomwambia mama mbigili😂😂😂😂
@OmarAssira
@OmarAssira 8 күн бұрын
Naona Sasa mmehamia kijijini 🎉🎉🎉🎉😮😮😮
@DidaTuesday
@DidaTuesday 9 күн бұрын
Khaaa nimecheka kwa nguvu et madansa wa miso misondo
@IdrissaMakame-i5c
@IdrissaMakame-i5c 8 күн бұрын
LEO NI MWENDO WA VIGOMA TUUU HAMNA SIMBAA MWEUSIII NI YEYEEEEE
@HalimaHassan-n4w
@HalimaHassan-n4w 6 күн бұрын
Nimekua nimemmiss chumvi wakati hayuko serious 😂😂😂
@agrozazubah4224
@agrozazubah4224 8 күн бұрын
CHUMVI nimesha jua mumehamia kijijini
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂maganga jamaa anakufnnisha na dancer wa misomisondo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@EmmanuelBuninison
@EmmanuelBuninison 8 күн бұрын
Kama unaikubal hii movie like ap 👉👉
@ButoyiRukiya
@ButoyiRukiya 8 күн бұрын
Nayikubali saaaana😂 Maganga😂😂😂😂
@HazardBoy-h4w
@HazardBoy-h4w 9 күн бұрын
Uyu apaaa kine let's go
@MazanzaOfficial
@MazanzaOfficial 6 күн бұрын
Great Job Hongereni Kwakukiwashaa Kila Ep🔥🔥🔥🔥
@Samiyabahatinanti
@Samiyabahatinanti 9 күн бұрын
😁😁😁🤣🤣uyu mrevi afanani mjini🎉🎉🎉
@AbbudallahSaidi
@AbbudallahSaidi 9 күн бұрын
Hahahah kaj amevaa kam misond sond hahah
@DaystarDieugo
@DaystarDieugo 9 күн бұрын
Mbona wote mmehamiya kijijini hatari
@Bakarishaibu-s9q
@Bakarishaibu-s9q 9 күн бұрын
Da aixe unyama mwingi xana
@osiamkumbwa-b1f
@osiamkumbwa-b1f 9 күн бұрын
Eeee we mama mwenye nyumb umetok
@mbarakmkanyi2224
@mbarakmkanyi2224 8 күн бұрын
Shami , kibisa uliwatema mkuuu😅😅😅
@HamisiMachinda
@HamisiMachinda 9 күн бұрын
Naikubak sana team chumvi nying na gang Yako mungu awafanyie wepec mzidi kua ju juu zaid🎉🎉🎉😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉
@MauwaArfahn
@MauwaArfahn 9 күн бұрын
😂😂😂ety misomisondo khaaa
@JacquelineErick
@JacquelineErick 9 күн бұрын
Nice job sio rahis mnapambn sanaa
@JohnMwenda-m8g
@JohnMwenda-m8g 9 күн бұрын
Chumvi nyingi you always make me smile 😁😁 toka mkiwa na mkojani tin white kamgisha weeee
@dullahally-jv7kj
@dullahally-jv7kj 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kam madance wa miso misondo
@MalcelaOnesmo
@MalcelaOnesmo 9 күн бұрын
Waohhh God job mapemaaa
@MwanamisiJapani
@MwanamisiJapani 9 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Hii kali wacheni masiara
@Boniphace-l1k
@Boniphace-l1k 9 күн бұрын
Mm ni wa pili mnipe lank zangu
@noahchepe8036
@noahchepe8036 9 күн бұрын
Mc machete kaenda bush, chumnvi na nyangemba wameenda bush.. mama mbigili anaenda bush.. nae kisofa anamfata chumnvi bush.. huyo nae mlevi maganga anamfata machete kijijini😂
@tausifautini407
@tausifautini407 9 күн бұрын
😂😂😂😂
@HassanAlex-cm4tl
@HassanAlex-cm4tl 8 күн бұрын
So movie iko bush
@noahchepe8036
@noahchepe8036 8 күн бұрын
@@HassanAlex-cm4tl eee movie imehamia mandhari ya bush
@noahchepe8036
@noahchepe8036 8 күн бұрын
@@tausifautini407 😂😂😂
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt 9 күн бұрын
Eti Kama madasa wa mise misondo 😂😂😂😂😂uyo kaka mkorofi kweli 😂😂😂😂
@ashurakiaga7812
@ashurakiaga7812 8 күн бұрын
Nzuri sana na mpo vizuri wote nawakubali❤❤❤🎉🎉🎉
@BraysonFrancis-gl2ry
@BraysonFrancis-gl2ry 8 күн бұрын
YANI APO KWA BABAAKE @CHUMVINYINGI ENGENOGESHA SANA MZEE "MSATI CHAMTUNGI"...
@dalalimwalimufurnitures
@dalalimwalimufurnitures 9 күн бұрын
Nipo hapa mapema kabisa ya motoooooo
@tigejuma9865
@tigejuma9865 8 күн бұрын
Nashukuru kwa kunisikiza na kurudisha cover photo ya awali ... movie nzur sana wanangu hampoi kabisa jiwe juu ya jiwe😅😅😅
@SultaniDitopile
@SultaniDitopile 9 күн бұрын
Mlevi kakutana na majanga njiani 😅😅😅😅😅
@ArafaKusyoka
@ArafaKusyoka 9 күн бұрын
Uyo babu harusi yuko 🔥
@SaidiKazungu-f8m
@SaidiKazungu-f8m 8 күн бұрын
Sawa team chumvinyingi hapo kw mbilmbl moj kichwn dah hpo mbn uchawi sana mpak nafurahia so big up 👍
@DianaDickson-v8e
@DianaDickson-v8e 9 күн бұрын
Nakubali sema chumvi nyingi gang
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂jamni nyie mnqnifuraish naiyo mchambo
@joshuasonko6442
@joshuasonko6442 9 күн бұрын
Kazi zuri wana chumvi nyingi gang tunawapenda sana sisi wakenya
@chumvinyingigang
@chumvinyingigang 8 күн бұрын
Asant
@_Wayiva_mukuta_jean
@_Wayiva_mukuta_jean 8 күн бұрын
Mama mbingili ni hatari kabisa 😂😂😂🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@paulmaganga9700
@paulmaganga9700 9 күн бұрын
😂😂😂😂misomisondo😂😂😂
@ShashaMsuya
@ShashaMsuya 9 күн бұрын
Maganga pombe imeisha😅😅😅😅😅😅,,
@MohammedOman-y4l
@MohammedOman-y4l 9 күн бұрын
Movie nzuli sana
@RachelKyomo-yt4jn
@RachelKyomo-yt4jn 9 күн бұрын
Wa tatu leo naomben like na mm jaman
@Divina-pr6vr
@Divina-pr6vr 9 күн бұрын
Wa kwanza leo nipewe likes zangu from kenya 🇱🇧🇰🇪
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh 8 күн бұрын
Leo Kichenchede umekutana na domo la kizaramo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TALLUBOY
@TALLUBOY 9 күн бұрын
hili dada kisaut nalichukia kinomaaa!
@zakariawilliam-3816
@zakariawilliam-3816 8 күн бұрын
Jamani ndugu Zangu tunataka kujua chumvinyingi ni yupi hapo 😂😂😂😂 me najua yule mlevi ndo chumvinyingi
@NickWafula-j6t
@NickWafula-j6t 9 күн бұрын
Support bungoma boyz gengen
@fathiafathia6324
@fathiafathia6324 9 күн бұрын
Chapombe leo kakosa kinibu
@halimaali8732
@halimaali8732 9 күн бұрын
Wakwaza leo😅😅😅
@aziziyoungd8452
@aziziyoungd8452 9 күн бұрын
Oya wadau niaje
@HamisiNdale-qc9hl
@HamisiNdale-qc9hl 9 күн бұрын
Shida ya mbigiri Ni kamdomo kamdomo😂🎉😂
@HamisiSalimu-d1n
@HamisiSalimu-d1n 9 күн бұрын
Mbona watu wote wameamia kijijini i wonder 😅😅😅😅🎉🎉
@BUTILANJIA
@BUTILANJIA 9 күн бұрын
Mjini tunaishi nahatuna hata nyumba😂
@BUTILANJIA
@BUTILANJIA 9 күн бұрын
Mlevi mbwa😂😂😂😂
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi 9 күн бұрын
Ikonzuri sana hongera bro.
@Aiktz
@Aiktz 9 күн бұрын
Mimi nataka hiii nyimbo nikali Sana kaimba nani
@yunusimbonde
@yunusimbonde 8 күн бұрын
munta na elisha
@CostantineMunishi
@CostantineMunishi 9 күн бұрын
Chumvi nying apaaaa💥💥💥💥
@AlifaHamis
@AlifaHamis 9 күн бұрын
Kuna mda mnatupiga sana eti muv ina hamia kijijini watu wote wana enda kijijini😅
@LilianMalangachi
@LilianMalangachi 8 күн бұрын
Hii sehemu ya pacha ndo nlikua naingoja sana😂😂😂😂
@rashidgona1808
@rashidgona1808 8 күн бұрын
Kwaiyo kine kuensa kijijini wasaniii wote nao wanaenda kijijini😂😂😂
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 9 күн бұрын
Mama mwenye nyumb enda ukutane n kine😂😂😂
@rogynee8135
@rogynee8135 6 күн бұрын
CHUMVI NILIKUWA nasubiri ukutane na pacha wako. Hii editing ni noma UNAJUA.
@halfanimalinda5421
@halfanimalinda5421 9 күн бұрын
Movie ishahamia kijijini 😂😂😂
@SaideIssaOmar
@SaideIssaOmar 9 күн бұрын
Ilaa iihh mtwara ii mmetupiga😂😂
@AshuraIsimail
@AshuraIsimail 9 күн бұрын
Jaman hamkai mbali
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 8 күн бұрын
Muv nzur
@TwalibTwaha-p5j
@TwalibTwaha-p5j 9 күн бұрын
Mbigiri mdomo kma yanga
@negoboy002
@negoboy002 9 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤hiii kitu tamu
@AINEAEsipila
@AINEAEsipila 9 күн бұрын
Safi xana chuvinyingi
@Kombamalilo-rh6nb2vs4w
@Kombamalilo-rh6nb2vs4w 9 күн бұрын
Kazi mzuri
@ibrahimrajabu1599
@ibrahimrajabu1599 9 күн бұрын
Mbona movie imehamia kijijn wote mnakimbilia huko
@O.b.b.y_og
@O.b.b.y_og 9 күн бұрын
elewa movie kwanza 13
@isackmusa-jy5di
@isackmusa-jy5di 9 күн бұрын
Wa kwanza leo jmn naomba like zanguu🎉🎉🎉
@mariammariam5723
@mariammariam5723 8 күн бұрын
Wamjin nyote mnarud kijijin mkutane uko😂
@MiriamKufigwa
@MiriamKufigwa 9 күн бұрын
mhh bwanaharusi mswahi duh😂😂
@PrinceJeyfour-f3y
@PrinceJeyfour-f3y 9 күн бұрын
Naona Sasa tunarud kijijini ju Kla mtu anaenda kijijini ila🎉🎉🎉yako kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
@JUMABOY-xo2df
@JUMABOY-xo2df 7 күн бұрын
Ila uyo pacha wa chumvi mhmh em naombeni mnielewshe jamani😅😅
@HamisiMapande-z4y
@HamisiMapande-z4y 9 күн бұрын
Jaman wa tano Leo mm 😁😁
@MichaelMgana-s1l
@MichaelMgana-s1l 9 күн бұрын
wooow jomon noce
@BUTILANJIA
@BUTILANJIA 9 күн бұрын
Kama wewe ni mwanaume Utakuwa usha left 😂😂😂
@RukiyaAbdillahi
@RukiyaAbdillahi 8 күн бұрын
😂😂😂😂mgaga ama mchambaji
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 9 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@Roze-so4he
@Roze-so4he 8 күн бұрын
Kazi tamu
@LukeNdombi
@LukeNdombi 9 күн бұрын
Wakwanza leo naomba like zenu
@MaSuzy-zf8ol
@MaSuzy-zf8ol 9 күн бұрын
ila maganga😂😂😂😂anki ww kiboko
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 9 күн бұрын
Utakayesoma hii comment mungu akubaliki uweze kufuka mwaka salama 🤲💯🤲💦💙💢✍💫💢💙💙🤲💯🤲💦💦💢💫💢💙💯💦💦💙
@chumvinyingigang
@chumvinyingigang 8 күн бұрын
Amen
@zahraali5113
@zahraali5113 8 күн бұрын
Ameen Ameen Ameen ubarikiwe sana ❤❤
@MadamHn
@MadamHn 8 күн бұрын
Amen🙏
@IbrahimNiyonzima
@IbrahimNiyonzima 8 күн бұрын
Amen
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 9 күн бұрын
Mbigiri 😂😂😂😂
@Shabanimahamudummale
@Shabanimahamudummale 8 күн бұрын
Kaka chumvi hanatisha
@obedkasango7824
@obedkasango7824 8 күн бұрын
Wote kijijin 🎉🎉🎉
@AllyMilunda
@AllyMilunda 9 күн бұрын
Kwani nyinyi mnaumia na nini kuamia kijijini acha kazi isonge mbele
@BabyCappuccinoBabyCappuccino
@BabyCappuccinoBabyCappuccino 8 күн бұрын
Utawaweza wabongo kwa kupenda lawama yan kuna mda wanalaumu vitu avina kichwa wala miguu mtu kajitungia movie yake na ameshapanga kila kitu na nyinyi mnakuja tena kupanga yenu
@chumvinyingigang
@chumvinyingigang 8 күн бұрын
Asanten kwa kutusaidia kuwajibu
@BabyCappuccinoBabyCappuccino
@BabyCappuccinoBabyCappuccino 8 күн бұрын
@@chumvinyingigang usijari kaka tupo pamoja shabiki wa kweli aangalii makosa sana inabidi asifie pia unapofanya vizuri sio kukosoa tu kila mda mana movie haijaisha lawama kibao
@ModricMussa-y5y
@ModricMussa-y5y 9 күн бұрын
Hyo computer nd man unaon wat wawil wanafanan xx unaulz k huelw mwamb
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje 9 күн бұрын
Maganga......hahahahaha
@NassoroAzizi-s3j
@NassoroAzizi-s3j 3 күн бұрын
Mabuzi na kisofa nimarafiki flani ivi kwa mapacha wa doctory simba
@WardaKambi
@WardaKambi 8 күн бұрын
Team yote inaenda kulima namsubil kisofa na mr miwan pamoja na batur na mama kine ep inayofata wote wapo kjjn😄😄
@AminaSeif-p3x
@AminaSeif-p3x 8 күн бұрын
Watu wa mjini wote kijijini
@rashidgona1808
@rashidgona1808 8 күн бұрын
Chendu, msati, official kipiuda, sasha wako wap jaman
@NeemaMsita
@NeemaMsita 8 күн бұрын
Tafuta movie inaitwa bigwa utamkuta chendu anakiwasha na nyau atariii
@yusramwinjuma4721
@yusramwinjuma4721 7 күн бұрын
Bwana. Harus. Anachamba 😂😂😂
SIMBA MWEUSI {BLACK LION} - EPISODE 41 | CHUMVINYINGI
21:53
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 33 М.
SIMBA MWEUSI {BLACK LION} - EPISODE 47 | CHUMVINYINGI
21:05
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 11 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
SIMBA MWEUSI {BLACK LION} - EPISODE 46 | CHUMVINYINGI
21:26
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 25 М.
THE HOUSE ¦¦ EP 1 ¦¦ SENGO MK
16:26
SENGO MK
Рет қаралды 71 М.
LIKIZO _ part 02
21:10
ZEBUU FILM
Рет қаралды 186 М.
MY DAUGHTER  I ep 11 I
15:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 330 М.
SIO BEGI LANGU
10:25
Joti TV
Рет қаралды 186 М.
KANI WAA SANADKEYGII 2024 WHAT A MOMENT
20:36
ASAD HAGIO 27
Рет қаралды 120 М.
SIMBA MWEUSI {BLACK LION} - EPISODE 48 | CHUMVINYINGI
20:27
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 7 М.