wanasimbaaa oyee mwaka uho ubingwa niwetu akuna kizuizi
@Minjum-j5m10 сағат бұрын
Alhmdhulillah❤
@Jumamaduka24011 сағат бұрын
Mzamiru alikuwa bora sana aisee
@akwinobenarddy12 сағат бұрын
Asante FADLURAHMAN DAVIS
@ShafiiRashid-x9m11 сағат бұрын
😅🎉❤
@AgnesMashaka-ph6uw12 сағат бұрын
Tunataka usajili mengine haya tutaangaliaga hata mwakani
@jumamangombe649310 сағат бұрын
Kumwacha mwenda kuliniuma sana, ona sasa huyo kijili anakimbia kama hana kichwa, haeleweki anacheza kwenda mbele au nyuma. Mimi naamini tulikosa viongozi wenye busara ya kumshawishi au kumwelewesha vizuri mwenda. Na ni bora hata tungempeleka kwa mkopo hata timu zingine hata ikiwa ni nje ya nchi ila si kumvunjia mkataba.
@brianbatoleki65319 сағат бұрын
Mwenda alikuwa Bora Sana, pia sijui kwanini kocha hamuamini duchu, ni Bora kuliko huyu kijili
@kudrathmohammed38 минут бұрын
Mwenda akuwachwa labda yeye alitaka kuondk mwenyew, aliongezewa mkataba mpya akasaini kabisa mwisho akawageuka eti anataka kuondk, ilo sakata lilitokea kipind kibu d nae amegoma kujiunga na team
@jumamangombe64939 сағат бұрын