Simba sc have intervene the signing of Stephen Aziz ki from Asec Mimosas to young African and are likely to sign him on a two years deal #aziz ki #simba #yanga #asec
Пікірлер: 20
@emmanuelmajingwanseka71512 жыл бұрын
Simba hatari sana
@shabanmoringa34282 жыл бұрын
Anakuja simba
@skylove5146 Жыл бұрын
Wazeee wa kudanganywa
@midongodeus82422 жыл бұрын
Je ni kweli ninyi viongozi wa simba mmepindua meza mimi ni mwanasimba damu ila mnatuchanganya oh mara yanga oh mara Simba kipi tufuate?
@enalamlenga61882 жыл бұрын
Tusubiri dirisha la isajiri lifunguliwe japo kuwa Kama ni kweli Simba wamemalizana nae Hilo litakuwa bonge la dili.
@mohamedirajabu23622 жыл бұрын
Uwongo mpakalini?
@adiliabdullah7592 жыл бұрын
simba
@nusrakatabazi42562 жыл бұрын
Azizi anaingia cimba
@skylove5146 Жыл бұрын
Naona manzoki aaaaaa
@ismailmasoud60012 жыл бұрын
Hahaaa.....wadanganyeni MAKOLO.....huyo Azizi ki yupo na Engineer...kasha sign WANANCHI
@greenwellnsyukwe47292 жыл бұрын
Hizi timu mbili ni wasumbufu na wanatabia ya kuharibu physical ya wachezaji.
@fadhiliselemani16182 жыл бұрын
Mbona atuelewi wanasimba
@saidsalum46022 жыл бұрын
Sipendi uongo
@albertvalentino1302 жыл бұрын
Kama ambavyo Manolo walikuwa na nafasi ya kupindua usajili huo,hata Yanga,bado wanayo nafasi ya kufanya kitu,ikiwa wana mhitaji mchezaji huyo.
@morganforsagebusd29962 жыл бұрын
Hakuna mchezaji apo
@maduhumembi12462 жыл бұрын
#ngoma ngumuuuuu
@geraldbenjamin93022 жыл бұрын
Endelea kuwadanganya
@mbaroukrashid62012 жыл бұрын
Wote wananafasi
@mombasa00762 жыл бұрын
NYINYI MNAPENDA POROJO NANI ANAWAAMBIA MAMBO YA USAJILI. ACHENI KUTUFANYA WAJINGA.