No video

SIMBA Yatangaza Wachezaji Wapya 10 WALIOSAJILIWA na 10 WALIOTEMWA Dirisha Kubwa la Usajili 2024/2025

  Рет қаралды 83,229

TOP5 MEDIA

TOP5 MEDIA

Күн бұрын

SIMBA Yatangaza Wachezaji Wapya 10 WALIOSAJILIWA na 10 WALIOTEMWA Dirisha Kubwa la Usajili 2024/2025
#ligiyamabingwaafrika
#kombelashirikishoafrika
#vilabuboraafrika
#yusuphkagoma
#usajiliyanga
#usajilisimba
#wachezajiwanaotemwasimba
#wachezajiwanaondokasimba
#kikosichasimbaleo
#simbaleo
#simbasc
#namungo
#chama
#kochampyawasimba
#jumamgunda
#kochampyawasimba
#benchikha
#simbakumfukuzakocha
#kochawasimba
#golilababacarsarrleo
#golilasimbaleo
#muungano
#simbasc
#azamfc
#msimamowaligikuu
#msimamowaligikuunbc
#golilaguedeleo
#golilayangaleo
#yangaleo
#yangasc
#costalunion
#kikosichayangaleo
#yangaleo
#singidafountaingate
#kalaba
#rainfordkalaba
#msimamowaligikuunbc
#msimamowaligikuu
#golilachamaleo
#golilasimbaleo
#magoliyoteleo
#golilasingidaleo
#simbasc
#ihefu
#chemalonefondoh
#simbasc
#ahmedally
#kikosichayangaleo
#yangasc
#dodomajiji
#simbasc
#kikosichasimbaleo
#mashujaafc
#golilaazizkileo
#penaltizoteleo
#yangasc
#mamelodisundowns
#cafcl2024
#kikosichasimba
#simbasc
#alahly
#yangasc
#mamelodisundowns
#cafcl
#kikosiborachawiki
#simbasc
#yangasc
#ligikuutanzania
#magoliyoteleo
#nbc
#azamfc
#ligikuu
#tanzania
#yanga
#azamtv
#trending
#youtube
#usajilisimba
#usajiliyanga
#tetesizausajili
#dirishadogolausajili
#dirishakubwalausajili
#2023
#wachezajiwanaotemwasimba
#wachezajiwanaotemwayanga
#usajili
#simba
#magoli
#chama
#maxinzengeli
#manara
#alikamwe
#ahmedally
#gsm
#moodewji
#raissamia
#samiasuluhu
#caf
#cafcc
#cafcl
#harmonize
#diamondplatnumz
#alikiba
#wcb
#wasafi
#millardayo
#wasafitv
#music
#football
#news
#sports
#samatta
#novatusdismas
#ccm
#chadema
#zanzibar
#africa
#cecafa
#live
#ngaiyajamii
#fifa
#messi
#ronaldo

Пікірлер: 273
@PudencianaMinde
@PudencianaMinde 2 ай бұрын
Simba nguvu Moja hongera sana kwa tunachosikia kuhusu usajili kama nikweli ila kumbukeni kulekebisha na kuwatoa baadhi ya viongozi wanaotaka kuangusha brand ya Simba ssc tutafika na kuchukua club bingwa.
@SimionWesiko
@SimionWesiko 2 ай бұрын
Chama abaki naipenda simba saan💔💜🩸🌹💛💛💝💝💝💝simba nguvu moja
@EMMANUELMWANISAWA-uf3yd
@EMMANUELMWANISAWA-uf3yd 2 ай бұрын
Tunampenda chamaaaa,badoo.usajili mpya uko vizur saana.tvnaipenda Simba yetu.ni Mimi Tobias nikiwa na imma.Dodoma Hombolo.❤❤❤❤❤simbaaa,❤❤❤❤ moo
@johnjamaly9369
@johnjamaly9369 2 ай бұрын
Mimi kwa maoni yangu chama anasitahili kubaki simba vijana wanaosajiliwa wajifunze baadhi ya mambo kutoka kwake na pia atawasaidia katika kupushi mafanikio ya timu kwa ujumla.CHAMA ABAKI SIMBA.
@shirrangimedia4570
@shirrangimedia4570 2 ай бұрын
Chama hatakiw kubaki maana ndimoja yawachezaji walio husika kutuferisha
@doshy44
@doshy44 2 ай бұрын
Chama hastaili kuondoka simba naomba aongezewe mkataba
@PatronizerTz-cd2bk
@PatronizerTz-cd2bk 2 ай бұрын
😊😊.Simbaaaaa wenyewe acheni hizo jamani mbona mnawasababishia watu pressure mtahukumiwa adhabu ya kusababisha vifo kwa mashabiki😅😅😅😅
@AlphaYoram-uh9bp
@AlphaYoram-uh9bp 2 ай бұрын
Simba nguvu Moja✊✊
@RajabuNdauka-cv2oe
@RajabuNdauka-cv2oe 2 ай бұрын
Simba nguvu moja❤
@RipijemaMakongwa
@RipijemaMakongwa 2 ай бұрын
Simba nguvu moja hutukubali kushindwa tapambana hadi mwisho
@user-gq9fb9nh2k
@user-gq9fb9nh2k 2 ай бұрын
Simba oog lkn chama naomba abakie msimbaz,, by Festo from KIGOMA
@shabanikingu752
@shabanikingu752 2 ай бұрын
Viongozi wa Simba ninawashauri chama aendelee kuwapa vijana mauzoefu asipewe Asante/Kwa heri Simba ni timu yangu pendwa ninaumia na matokeo mabaya jamani.
@SadickKamendu
@SadickKamendu 2 ай бұрын
Chama anapaswa abaki
@EMMANUELMWANISAWA-uf3yd
@EMMANUELMWANISAWA-uf3yd 2 ай бұрын
Tunampenda chamaaaa,badoo.usajili mpya uko vizur saana.tvnaipenda Simba yetu.ni Mimi Tobias nikiwa na imma.Dodoma Hombolo.
@SaneRajamoAdamo
@SaneRajamoAdamo 2 ай бұрын
Kuondoka Chama sio sawa Chama abaki jaman
@Mariyamidi
@Mariyamidi 2 ай бұрын
Mariamu iddi chama abaki
@EMMANUELMWANISAWA-uf3yd
@EMMANUELMWANISAWA-uf3yd 2 ай бұрын
Abaki chama
@JohnZebedayo-gk5uw
@JohnZebedayo-gk5uw 2 ай бұрын
Mimi John Zebedayo nipo karatu naipenda sana simba yetu
@NassoroSelemani-fo6sf
@NassoroSelemani-fo6sf 2 ай бұрын
Kiukweli mayele anatufaa❤😂
@AHONIAMAGYANE
@AHONIAMAGYANE 2 ай бұрын
Mimi kwa maoni yangu chama Abali byiii anthonia
@MsafiriKassim-o8k
@MsafiriKassim-o8k 2 ай бұрын
Chamaa anastahili kubaki simba because anamsada mkubwa sanaa simba ko please asiondokee abakii apo sababu nyingine chama amesaidia sanaa simba katik nafasi mbali mabli imiwemo club bingwa ko abakii apo simba chama ni mzuri anauwezo mkubwa
@PeterPeter-bv9hl
@PeterPeter-bv9hl 2 ай бұрын
Ñavyoon Simba iendelee kusajili iimalike zaid❤🎉
@EmanuelHizza
@EmanuelHizza 2 ай бұрын
Aondoke chama
@AHONIAMAGYANE
@AHONIAMAGYANE 2 ай бұрын
Wanatufaaz sana kalma kweli watatuszjilia Antonia magayane
@JohnsonMathias-fb2ww
@JohnsonMathias-fb2ww 2 ай бұрын
Kwangu mim naomba Chama a abaki simba
@Zukranngangana-d2k
@Zukranngangana-d2k 2 ай бұрын
Me maoni yangu chama anastail kubaki simba
@EstherJonas-he3ff
@EstherJonas-he3ff 2 ай бұрын
Simba wafanye usajili wa kweli
@AslanKh-uh1dv
@AslanKh-uh1dv 2 ай бұрын
xio xahiihii chamaa kuondokaaaaaa
@user-md4ir8sb5c
@user-md4ir8sb5c 2 ай бұрын
Chama asiondoke tunaimani naeeee❤❤❤❤
@ThobiasWilliam-bw9zc
@ThobiasWilliam-bw9zc 2 ай бұрын
Atoketu Hana chochote
@MillcentHassan
@MillcentHassan 2 ай бұрын
Chama abaki
@SamirNassor-py2lf
@SamirNassor-py2lf 2 ай бұрын
Chama usiondoke jmn😢😢
@ChilonganMagoma
@ChilonganMagoma 2 ай бұрын
Shabiki
@kasigwaabel3036
@kasigwaabel3036 2 ай бұрын
Chama awepo
@ZulfaJafari-zy5cn
@ZulfaJafari-zy5cn 2 ай бұрын
Chama kashazeeka
@RashidiShabani-q2d
@RashidiShabani-q2d 2 ай бұрын
Mimi naamini kama simba kweli watawasajili wote hawo kweli itakuwatima asaaa
@AndreaMzee
@AndreaMzee 2 ай бұрын
Chama abaki i❤ simba forever
@ALBERTMWASIBATA-hp9on
@ALBERTMWASIBATA-hp9on 2 ай бұрын
Mimi naona ni vizuri Chama akabaki Simba ,nipo Tukuyu Mbeya
@officialsuccess67jr52
@officialsuccess67jr52 2 ай бұрын
Chama abaki bana asee
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
❤❤ Kama kweli tunashukru sana Mo.Kama atairejesha simba yaan maana tumelia sana.
@michaelafyusisye2451
@michaelafyusisye2451 2 ай бұрын
Kikosi Cha viongozi,Simba nguvu moja Mo kikosi hiki kikiludi furaha ya Wana Simba inaludi kwa kishindo, Mo kaza boti
@PatronizerTz-cd2bk
@PatronizerTz-cd2bk 2 ай бұрын
Chamaaaa yeye hana mpinzani ni sawa kubaki😅😅😅😊
@MashakaShabani-sh6yo
@MashakaShabani-sh6yo 2 ай бұрын
Mimi kwa maoni yangu chama bado muhimu Sana katika timu yetu ya simba
@castorynkwera1760
@castorynkwera1760 2 ай бұрын
Simba waachane na chama jr
@ShekheMpili
@ShekheMpili 2 ай бұрын
Chama nimchezaji mzuri Sana asiondoke ❤❤❤
@ShekheMpili
@ShekheMpili 2 ай бұрын
Tuna mpenda sana
@EmaniJohasi-mf2bb
@EmaniJohasi-mf2bb 2 ай бұрын
Kweli Cham anaend au 2uwek wazim bn mashabik
@user-br9kq3nv5b
@user-br9kq3nv5b 2 ай бұрын
Ee mungu awabariki hao wachezaji watakao kuja.simba tumeumia sana
@JumaKatwanga-jq4gh
@JumaKatwanga-jq4gh 2 ай бұрын
Tatizo najiona super star aondoke asizingue
@SaidiAlly-l2k
@SaidiAlly-l2k 2 ай бұрын
Kwajina naitwa Saudi kasembo kutoka katavi maoni yangu chama abaki simba
@AbubakarAli-io7ke
@AbubakarAli-io7ke 2 ай бұрын
Bad Chama Tunamuhitaji.
@AmriMtemela
@AmriMtemela 2 ай бұрын
Mpanda kwa wachezaj na viongoz
@LucasiTuluca
@LucasiTuluca 2 ай бұрын
Simba itabak kuwa Simba Kama as washabk tunashukr Kama viongoziweti wak kaa saw Simba itard Kama zaman viongz 😊😢
@PeterMakoye-zs7sx
@PeterMakoye-zs7sx 2 ай бұрын
Mm nipo njombe naipenda simba mpak nakufa nayo
@FrankMafuru-uc4yg
@FrankMafuru-uc4yg 2 ай бұрын
Mwanasimba kindaki ndaki naomba xana chama langu uxajili xahh Ili turudxhe hexhim
@aloycekaumbu
@aloycekaumbu 2 ай бұрын
Kama mayele anakuja Simba bas chama abaki
@user-jt4yt4dq5e
@user-jt4yt4dq5e Ай бұрын
Upande. Wa viungo. na. washambuliaji
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Wasajiliwa wote wako vizuri hakuna naya yaan❤❤❤👍👍👍🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉
@hassanikulwa
@hassanikulwa 2 ай бұрын
chama abaki jaman
@CharlesDosa
@CharlesDosa 2 ай бұрын
Abakiiiiii chama
@westonmbeyela9811
@westonmbeyela9811 2 ай бұрын
Chama abakie miaka miwili tena
@lidiashabai5675
@lidiashabai5675 2 ай бұрын
Luis na chama ❤❤❤❤❤ wabaki
@WistonWilbard
@WistonWilbard 2 ай бұрын
Mo tunakuhamini tunajua simba italudi kwenye ubora wake tena simba nguvu Moja 🤙🤙🤙
@MjakaOthman-kh4wc
@MjakaOthman-kh4wc 2 ай бұрын
Chama aondoke2
@CammieGee-mv2xt
@CammieGee-mv2xt 2 ай бұрын
Chama asiondoke
@MichaelSikaumbwe
@MichaelSikaumbwe 2 ай бұрын
Apo itakuwa fresh ❤😂😂💪💪👍🦁🦁
@MalukoShauritanga
@MalukoShauritanga 2 ай бұрын
wasajiri washamburiyaji
@Jastinkasanda-xq6fo
@Jastinkasanda-xq6fo 2 ай бұрын
Chama thank you imuhusu
@AHONIAMAGYANE
@AHONIAMAGYANE 2 ай бұрын
Abali Simba chama
@JosephSimplis
@JosephSimplis 2 ай бұрын
Chamade abaki simba
@hamisimasoud3928
@hamisimasoud3928 2 ай бұрын
Chama sio wa kubeza hata kidogo viongozi wanatakiwa wamtafutie wachezaji wazuri ndiyo wataona vitu vyake Mzee wa asisty
@charlesMagali-cm9to
@charlesMagali-cm9to 2 ай бұрын
Kenedi juma
@SamsonMhaya
@SamsonMhaya 2 ай бұрын
Chama abaki maana kiwango chake bado kinambeba
@AnnaPatrick-zy3dj
@AnnaPatrick-zy3dj 2 ай бұрын
Chama abaki ki kubwa hao wanaosajiliwa waweze kuisaidia timu
@berdonnyondo7017
@berdonnyondo7017 2 ай бұрын
Chama akibaki atashawishi migogoro mbeleni
@AlexNguvumali-jd9ix
@AlexNguvumali-jd9ix 2 ай бұрын
Abaki Mzee wa asist
@Naah-xo6eh
@Naah-xo6eh 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@PetermakanikaMadaha
@PetermakanikaMadaha 2 ай бұрын
Kwa wachezaji hao simba wataikoma msimu ujao kama watamchukua na mayele
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 2 ай бұрын
Chama ni Bonge la Mchezaji lakini ni Msumbufu kwa Uongozi hasa wakati wa Usajili. Kwa suala hilo Simba bora Aachwe. Akina Kagoma na Fei Toto wataziba Pengo la Chama. Vyuma vipya viingie ndani ya Lunyasi. ❤ ❤❤ Simba.
@shaabannyoni5450
@shaabannyoni5450 2 ай бұрын
Mickson ni Mapema Mno kumuacha, ana nafasi kubwa kama atapatikana kocha anae Jitambua! Kapombe Aachwe, Wakati wa Kuwa Nae umeisha na Uwezo wake UMEISHA!! Mayere Asisajiliwe Kuna wachezaji Zaidi ya Mayere!! Tuache Usimba na Uyanga! Tutoke nje ya Simba na Yanga!!
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Abaki simba
@Pundawayesu-g9h
@Pundawayesu-g9h 2 ай бұрын
Simba nguvu moja
@MichaelSikaumbwe
@MichaelSikaumbwe 2 ай бұрын
Chama abaki naona pale wakiwa na fisto Kalala mayele mambo yatakuwa fresh
@EmmanuelZephania-wk6xk
@EmmanuelZephania-wk6xk 2 ай бұрын
Usajili uko vizuri mo anaupiga mwingi
@RahimuSaidy-in9qn
@RahimuSaidy-in9qn 2 ай бұрын
Tunamkalibisha simba oyeeeee
@GotardSalum
@GotardSalum 2 ай бұрын
Wakati huo Simba wakiokolewa na wachezaji waliotoka Azam ambao wangeiweka Azam ktk ubingwa miaka minne.Simba ikaokota dodo chini ya muarobaini na kubweteka.Simba alifaidika na shida zilizoikumba Yanga,kwa sasa Yanga wapo sawa Simba watavurugwa sana,pamoja na Yanga kuporwa porwa wachezaji wake kwa fitna kudhani wataidhoofisha.
@SikujuaKibona-zd7ik
@SikujuaKibona-zd7ik 2 ай бұрын
Chama m nashauri aongezewe mkataba maana Simba ikiondoa wachejazi wote itapata shida bola TU aendelee kubakia Simba ili kuwapa kampani watakao sajiliwa wapya
@PendoUzze-pj1us
@PendoUzze-pj1us 2 ай бұрын
Jaman jaman jaman naomba chama abaki
@NassoroSelemani-fo6sf
@NassoroSelemani-fo6sf 2 ай бұрын
Kwamajina naitwa nasolo mpangule kutoka mologoro, kiukweli chama, luizi, na onana, wabaki
@MalumbaLucas
@MalumbaLucas 2 ай бұрын
Hapo sawa
@EmmanuelMalibwa
@EmmanuelMalibwa 2 ай бұрын
Chama abaki Simba
@FrankSonta
@FrankSonta 2 ай бұрын
Nipo katika pande za dodoma
@LoriviAndrea-en3ux
@LoriviAndrea-en3ux 2 ай бұрын
Mm na katembo natokea Arusha mm mshabiki wa shimba kama Hali ndy hiyo tutafika lkn kama Hali siyo hiyo hatutafika mahali tunayoitaki Asante kwA wote❤simba
@hamisinameno7230
@hamisinameno7230 2 ай бұрын
Chama ❤❤❤❤ apaswi kuondoka Simba kamwe mo pleas tunakuomba usimuache chama baba
@EstherJonas-he3ff
@EstherJonas-he3ff 2 ай бұрын
Waamuongeze chama mda wapate mmbadala
@user-ej5dq7gx9r
@user-ej5dq7gx9r 2 ай бұрын
Wana Simba sasa tutulie tusiwe wepesi wakuingizwa mkenge mo tumetokanae mbali na yeye ndie alietupeleka hapa tulipo Kwa hivyo tumpe heshima yake tusimtukane na kumkatisha tamaa juu ya Simba yetu hao wengine ni walaghai Tu
@LameckRobart-dc6oq
@LameckRobart-dc6oq 2 ай бұрын
Aongezwe chama mkataba
@user-yy9tz6ir8u
@user-yy9tz6ir8u 2 ай бұрын
Chama abaki cham mchezaji mzuri mm maon yang cham abak
@PetermakanikaMadaha
@PetermakanikaMadaha 2 ай бұрын
❤chama bado❤
@user-nh7uw9wy6p
@user-nh7uw9wy6p 2 ай бұрын
wasimuache abaki simba
@BashirsmgabeSaid
@BashirsmgabeSaid 2 ай бұрын
Naitwa jimmy natokea iringa chama abakie Simba kwanza so mda wa kuondoka chama
@rajabuliganga7601
@rajabuliganga7601 2 ай бұрын
Simba nguvu 1
@SamwelBahati
@SamwelBahati 2 ай бұрын
mimi naidwa samweli bahati
@annatemba857
@annatemba857 2 ай бұрын
Chama habaki Mimi ana❤❤❤
@kasigwaabel3036
@kasigwaabel3036 2 ай бұрын
Chama yupo vizuri vp kibu d 5:28
@KwatiMwenda
@KwatiMwenda 2 ай бұрын
KWATIMWENDA
@RobbinivanNgowi
@RobbinivanNgowi 2 ай бұрын
Fred atumtakii
@JacksonImani-yu5mw
@JacksonImani-yu5mw 2 ай бұрын
Mimi naitwa Jackson nipo Kagera,maoni yangu chama,kanoure na ngoma wabaki lakn safu ya ulinzi na ushambuliaji iboreshwe
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 26 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 23 МЛН
É POR ANGOLA! ANGOLANOS NA EUROPA
4:28
Leudesjr
Рет қаралды 620
MADA ; MCHANGO WA TENDO LA NDOA KWENYE NDOA
#MarriageRealLifeTalk | Rinazon Ministry
Рет қаралды 4