No video

JEAN CHARLES VS STEPHANE AZIZ KI NANI BORA ZAIDI / JIBU HILI HAPA KULINGANA NA UBORA WAO.

  Рет қаралды 15,088

SIMBA PRO

SIMBA PRO

Күн бұрын

Simba imemsajili moja kati ya wachezaji bora sana wanaopatikana nchini Ivory Coast
Mchezaji huyo ni Jean Charles Ahoua ambae alichaguliwa kua mchezaji bora wa mwaka 2024 nchini Ivory Coast kama ambavyo Aziz Ki alitwaa tuzo hiyo mwaka 2022 kabla ya kujiunga na yanga
Kupitia tathmini iliyofanywa na wataalamu wetu tumegundua nani bora kati ya miamba hawa wawili
Kama unahitaji kuungwa kwenye Group Tuchek kwa namba 0626629644 ili tuweze kukupa utaratibu wa jinsi ya kuungwa kwenye Group

Пікірлер: 29
@stevenpetro2362
@stevenpetro2362 Ай бұрын
Jamaa angu dulla wewe unajua sana mpira unatowa record za mchezaji bila kusoma kichwa chako kinafanya kazi vizuri unazungumza vingi sana bila kusoma sehemu kichwa ya boll hii🫡🫡
@hassantupa
@hassantupa Ай бұрын
Asante sana kiongozi wangu dullah kwa ufafanuzi mzuri sana kabisa.👍👍👍
@hassantupa
@hassantupa Ай бұрын
Tumwage makopa mengi kwa mchambuzi wetu dullah❤❤
@SimbaProSupporters
@SimbaProSupporters Ай бұрын
@@hassantupa Asante kaka Hassan Tupa
@KHALIDMULILO
@KHALIDMULILO Ай бұрын
Sure hapa kweli tumelamba dume Kama ndizo records zake hizo uhakika sijui nini kitakacho tokea msimu ujao. Big up sana kiongozi uko vizuri sana Asiye kupenda huyo mchawi❤.
@thelesiagabriel7379
@thelesiagabriel7379 Ай бұрын
Jenshazi zaidi
@DavidKibaha
@DavidKibaha Ай бұрын
Sijawai kua na vibe la ku changia mawazo ila leo lala dura unyama sana🔥🔥🔥🔥
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Uko vizuri bro ila takwim hizo tuone uwanjani sio maneno na kama mzuri wanasimba watafrahi sana japo jini ni la kawaida sana
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Lazima uangalie na Tim yenyewe aliocheza
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Ай бұрын
Kija mtanashati Dulla Unatukosha unatushawishi na tunakuelewa
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Umejitahidi upatu ngoja tuone
@gatsonmatiko8000
@gatsonmatiko8000 Ай бұрын
Simba nguvu moja
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Ай бұрын
Mchmbuzi nimpendae nyuma ya Mbwaduke
@kristofuraha
@kristofuraha Ай бұрын
Huwa hujawi kuni boa! Nakupenda bure tu!
@Prosperkaluta
@Prosperkaluta Ай бұрын
Huyu jamaa, bahati yake mbaya amevalia jezi ya Simba, sasa nahisi kila mchezaji aliyesajiliwa simba kwake atamshinda kila mchezaji wa Yanga. 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 Ай бұрын
Lakin si anatoa takwimu?.kama ni uongo ingi ili uthibitishe
@Prosperkaluta
@Prosperkaluta Ай бұрын
Yaani huyu jamaa ni mjinga kweli kweli daaaaaaaaaaaaah, takwimu za kipumbavu sana hizo.
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 Ай бұрын
Sio za kipumbavu, sema wewe ni mshbiki wa yanga ndio maana unalipuka
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 Ай бұрын
❤❤❤❤ good explanation, its very comprehensive for sure!
@PeterJacob-ji7fo
@PeterJacob-ji7fo Ай бұрын
Aah, kaka unajua kuchambua soka vibaya mno
@FatumakunemkaKunemka
@FatumakunemkaKunemka Ай бұрын
We mwanangu ufai kwa takwimu nibalaaaaaaa hakuna cha Hans Wala Ambangile
@videozaaj1069
@videozaaj1069 Ай бұрын
Naskia asha baraka anaanzisha redio yake..mzee utakuwa mchambuzi
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 Ай бұрын
Ushabiki ndio unaokuuma😂
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Ай бұрын
Tutajua msimu ikisha anzaa
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp Ай бұрын
Niunge
@Prosperkaluta
@Prosperkaluta Ай бұрын
Hiyo siyo Comparison bali ni advocacy ( utetezi ) kwa mchezaji waliyomsajili Jean Ahoua ambaye hajafikia hata robo ya kumkompea na Stephane Aziz Ki. Huyu jamaa ni shabiki tu.
@chancelorharubu2731
@chancelorharubu2731 Ай бұрын
Lete takwim zako
@kristofuraha
@kristofuraha Ай бұрын
Ila wewe jamaa ningependa kama ungekua unafanaya hizi fafanuzi kwenye luninga kubwa kama WASAFI TV
@SimbaProSupporters
@SimbaProSupporters Ай бұрын
@@kristofuraha Ipo siku InshaAllah
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 50 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
AHOUA JEAN CHARLES
4:22
Thierry Djodjo
Рет қаралды 159 М.
KWA MBINU HIZI 4: SIMBA YA FADLU ITAKUWA BALAA...
11:16
SoccerData
Рет қаралды 58 М.
NAIBU MPYA ACT WAZALENDO AANZA KAZI NA MSIMAMO MKALI
16:26
Marhaba Online TV
Рет қаралды 94
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 50 МЛН