LADACK CHASAMBI ALIAMBIWA NINI NA KOCHA KABLA YA MCHEZO/"GOLI NAMPA ZAWADI../NAWAPENDA WANASIMBA"

  Рет қаралды 62,901

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC KZbin Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

Пікірлер: 122
@TheStlentKiller-t4p
@TheStlentKiller-t4p 5 сағат бұрын
Simba tuna upendo mkubwa sana...tunajua kuwatia moyo wachezaj wetu...tunakupenda sana Chasambi❤❤❤❤
@shangwefisima54
@shangwefisima54 6 сағат бұрын
Ila kocha wa Simba kiboko.... Akamwamini tena amempa nafasi Ameonesha🎉🎉🎉🎉🎉
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 сағат бұрын
Yani amenifunza kikubwa hata kwenye maisha tu aise kwamba KILA MTU ANA DESERVE SECOND CHANCE AISE😢😢😢
@priscakwannhamfungimipakam9231
@priscakwannhamfungimipakam9231 5 сағат бұрын
Yaani huyu kocha kiboko
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 сағат бұрын
@@priscakwannhamfungimipakam9231 mnooo,amemtia moyo sana kijana wawatu,hasingempa nafasi tena, angeendelea kuumia zaidi
@bavonichristopha1693
@bavonichristopha1693 5 сағат бұрын
Huna baya chasambi sisi kama mashabiki wa simba tutakusaidia kumfikishia salamu mzungu
@AgnessRumwai
@AgnessRumwai 3 сағат бұрын
❤❤❤❤❤ Chasambiiiiiiiiiiiiiiiii ❤❤❤❤❤ last born wetuuuuuuuuuu eeeehhhhh
@josephfrank4446
@josephfrank4446 5 сағат бұрын
Simba ndo timu yangu na imenibadilishia kila kitu 😢chukua hio ❤
@JaphetMauya-y5v
@JaphetMauya-y5v 5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@d.mstudio4573
@d.mstudio4573 6 сағат бұрын
Sisi haoo💯💯💯
@ASHURAYAMBI
@ASHURAYAMBI 5 сағат бұрын
Shikamoo mwalimu Fadlu
@Husna-x1d
@Husna-x1d 6 сағат бұрын
Tobi walahi umejua kunifurahisha nimecheka sana na kapu lako mwambie chasambi tunampenda sana
@josephvenus3259
@josephvenus3259 4 сағат бұрын
Nimefurai sana 👏👏👏 Asante sana Mungu Kwa ushindi wa Leo. 🦁🦁 Ubaya Ubwela
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 6 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 pambana na mungu atakusaidia pia❤❤❤❤
@mohdkombotajir6184
@mohdkombotajir6184 5 сағат бұрын
Jamani Simba wamepania yani mechi imeshaisha lakini Bado womap inapigwa mazoezi kama mchezo nd unataka uanze🎉🎉😂❤
@yunusmbandu7068
@yunusmbandu7068 5 сағат бұрын
This is simba bwana❤
@ManaseJubilate-kk2gz
@ManaseJubilate-kk2gz 24 минут бұрын
Kwa kweli tumemsamehe kiroho safi kabisa coz hata Mimi niliona km Kuna nia ovu ndani yake🙌👏
@agnesswai7174
@agnesswai7174 3 сағат бұрын
Bora tu umeirudisha furaha ya Simba Chasambi👍Mungu kakujibia maombi na ukafanya Ubaya Ubwela 👌🔥
@almachiussylvester829
@almachiussylvester829 Сағат бұрын
Kocha wetu hana shida na wachezaji wake ndio maana kumuamini na kampa nafasi na yeye kuifanyia kazi hongera sana tinakupenda sana
@KADEEBARIKIELI
@KADEEBARIKIELI 2 сағат бұрын
❤ u SIMBA
@BarakaMachite
@BarakaMachite 5 сағат бұрын
Pw kaka kukosea kipo tu kibaya ni kukata tamaaa baadaa ya kukosea ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ShafiiAmisi-h3w
@ShafiiAmisi-h3w 4 сағат бұрын
Wale tulio pokea zawadi ya goli la mzungu tujuane😂😂😂
@JonssonJohansen-lh7jt
@JonssonJohansen-lh7jt 6 сағат бұрын
kweli umewaziba midomo ladacki juma chasambi nakukubali sana kak pambana simba ifike mbali msimu huu kwa mchango wako ahsante
@faridayusufu2045
@faridayusufu2045 5 сағат бұрын
Mungu azid kukupa akil na afya uzid kuwa kiooo cha taifa star
@FRANSKALITUSI4937
@FRANSKALITUSI4937 5 сағат бұрын
Very nice simba nguvu moja
@Salimramsey-x8u
@Salimramsey-x8u 2 сағат бұрын
Pmj sanaa
@JudithUkiwa
@JudithUkiwa 5 сағат бұрын
Hapo kwa mzungu umeongea kwa msisitizo mpaka nimependa👏👏👏
@zainabuBotto
@zainabuBotto 3 сағат бұрын
Mimi naitaji kadiya wanachama was Simba kipenzi shasimba
@GeorgeNzige
@GeorgeNzige 6 сағат бұрын
Toto bayaa🔥💪
@PaulLivigha-yt1qt
@PaulLivigha-yt1qt 5 сағат бұрын
Kocha wa Simba ni zaidi ya mzazi
@AjaraSaidi
@AjaraSaidi 6 сағат бұрын
LADAK TUNAKUPENDA SANA simba nguvu moja
@Nicky_ali_371
@Nicky_ali_371 6 сағат бұрын
Goli kapewa mzungu mi roho yngu swaaafi kbsa yani
@emanuelmchelemi2428
@emanuelmchelemi2428 4 сағат бұрын
Haya tutaona sasa walikuwa wanamsema vibaya chasambi mko wapi sasa
@Zuwena-r4i
@Zuwena-r4i 5 сағат бұрын
Inshaa Allah. Napenda unamjua mungu
@NyajoroFamily
@NyajoroFamily 5 сағат бұрын
One love simbaa
@HemedMbundi
@HemedMbundi 5 сағат бұрын
Leo umefanya kitu na kukosea kupo tu kaka ongeza bidii tu bado tupo pamoja
@CesiliaIgnass-f2p
@CesiliaIgnass-f2p 5 сағат бұрын
Kocha wetu yupo vizuri ad kumuamini tena na kumrudisha uwanjani
@BabynaahHermes-v6h
@BabynaahHermes-v6h 4 сағат бұрын
Chasambi ila wewe ni noma sana
@PjJesse-z3b
@PjJesse-z3b 6 сағат бұрын
Chasambi❤❤
@EliapendavyoPeter
@EliapendavyoPeter 5 сағат бұрын
Ubaya ubwela ❤
@nassorally5092
@nassorally5092 6 сағат бұрын
That's why naipenda SIMBA,hii ni Family Bora Sana
@Raboru
@Raboru 6 сағат бұрын
Hi Theresa it's
@benjo_brighter
@benjo_brighter 5 сағат бұрын
Binafsi sina kinyongo nae 🙌❤️🙌
@ChokyInternational
@ChokyInternational 6 сағат бұрын
🦁🔥🔥🔥🔥
@WendeMposola
@WendeMposola 3 сағат бұрын
Mtoto wa maajabu ndo raha ya kua Simba
@SaudaRashidi-u6u
@SaudaRashidi-u6u 4 сағат бұрын
Nawakubali sana mashabiki wasimba mna roho nzuri mno nawachezaji wetu mungu ndio awezae kumpa amtakae
@MWAJEYOMMY-c6r
@MWAJEYOMMY-c6r 5 сағат бұрын
Safi sana Simba oyeee
@Raboru
@Raboru 6 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@eliakimedward7863
@eliakimedward7863 6 сағат бұрын
🎉🎉
@JescacasianChaho
@JescacasianChaho 6 сағат бұрын
Kipenzi chetu jmn nipeni like hapa jmn 🥺
@objstv6976
@objstv6976 4 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@kassimdadi5406
@kassimdadi5406 4 сағат бұрын
❤❤
@AbdullatifALI-y5s
@AbdullatifALI-y5s 5 сағат бұрын
Daaah umezid kuw mtam baad ya lile tokeo gar lmewak sas wataisom namber ubay ubwel
@Mumlion2624
@Mumlion2624 5 сағат бұрын
@ignasamando9593
@ignasamando9593 54 минут бұрын
Gari amempatia mzungu Yaani Manara huyu.Kwa dogo ameua😂😂😂😂
@LusiTaratibu
@LusiTaratibu 4 сағат бұрын
kocha safiiii
@Muna-en4yq
@Muna-en4yq 2 сағат бұрын
Mnaiga kuchanga😅😅😅
@EdySuleiman
@EdySuleiman 4 сағат бұрын
Ndio mkaambiwa mna cha kujifunza kwa yanga jeee hilo la kumchangia chasambi mmejifunza wap
@VailethLukas
@VailethLukas 4 сағат бұрын
Kumpogeza huyo chasambi nisawa na kupurizia pafyum mwsdnye mavi kashawafung imeenda
@GodfreyKunambi
@GodfreyKunambi 4 сағат бұрын
Copy and post from young Africans
@MwajumaAlly-o7r
@MwajumaAlly-o7r 6 сағат бұрын
Anitumie namba yake nimrushie zawadi yake🎉
@mariamodazura149
@mariamodazura149 4 сағат бұрын
Yanga wa napasua kufunguka shule
@EzraCpeace
@EzraCpeace 6 сағат бұрын
Umewafunga mdomo mazeruzeru
@jofreymhagule7505
@jofreymhagule7505 4 сағат бұрын
Bravo dogo tunamatumaini nawe
@Alfakanasa
@Alfakanasa 6 сағат бұрын
Huna baya mwana Simba nguvu moja
@EzraCpeace
@EzraCpeace 6 сағат бұрын
SAWA kaka tumekusamehe
@jumakassimu3633
@jumakassimu3633 4 сағат бұрын
Mzungu Tena sio Haji manara huyo kweli
@SifranLove
@SifranLove 4 сағат бұрын
Sisi tunamjua mzungu 😂😂 manara ndio nani kwani😂😂
@geofreymlegimusimu
@geofreymlegimusimu 4 сағат бұрын
aki vuruga mechi nyingine TUTAMSHUGULIKIA
@UmmyKareem
@UmmyKareem 5 сағат бұрын
Mung akubaliki chasambi
@N0RBETHMPOLOSI
@N0RBETHMPOLOSI 6 сағат бұрын
Wonder kid...MOROGORO FINEST
@AssaneSelemane-n5b
@AssaneSelemane-n5b 5 сағат бұрын
Asiyemjua mzungu aniachie like hapo nimpe jibu chap chap.😂😂😂😂
@WilliamMbua-w6r
@WilliamMbua-w6r 5 сағат бұрын
Simjui kabisa
@MalcolmAbdallah
@MalcolmAbdallah 5 сағат бұрын
Manara😂😂😂
@Tunumussa-c5l
@Tunumussa-c5l 5 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅😅​@@MalcolmAbdallah
@Nuru9568
@Nuru9568 5 сағат бұрын
Haji manara😂
@ShabaniHuseni-x7v
@ShabaniHuseni-x7v 5 сағат бұрын
anielekeze duka lake nakafanye shopngi❤
@Tunumussa-c5l
@Tunumussa-c5l 5 сағат бұрын
Kuanzia saiv nakupenda siwez ishi bila wewe
@reneemwenda7306
@reneemwenda7306 5 сағат бұрын
We love u chasambi
@Ally-l1c
@Ally-l1c 4 сағат бұрын
Pongezi tu Kwa mashabiki walicho kufanya
@AbisnaRashidi
@AbisnaRashidi 5 сағат бұрын
Manara na Ali kamwe wanaliwa na injinia mbwa wale mamae zao
@VailethLukas
@VailethLukas 4 сағат бұрын
Eee mnapurizia mavi pafyum
@faridayusufu2045
@faridayusufu2045 5 сағат бұрын
Nimemkubal sana namuomba ampe nafas kijir pia jaman asipotee ampe nafas jaman
@neemamshote9577
@neemamshote9577 5 сағат бұрын
Mzungu ni haji nn😂😂😂
@mwanad4595
@mwanad4595 5 сағат бұрын
Umeongea maneno ya kufurahisha pia ya kiutu uzima na ya kusisimua kuomyesha jinsi moyo wake ulivyo umia kwa kejeri
@HamzaHamzahamza-q3p
@HamzaHamzahamza-q3p 5 сағат бұрын
kaza dogo kazi mzur,
@josiacharles2778
@josiacharles2778 5 сағат бұрын
Mhm dogo anachuma ela kama anachuma maembe mabichi ya kijanii😂😂😂
@MarcoZacharia-e4i
@MarcoZacharia-e4i 5 сағат бұрын
MUNGU AKUBALIK
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m 6 сағат бұрын
Na m.mungu atazid kkuongoza inshaallah broo❤
@delickkigula656
@delickkigula656 5 сағат бұрын
Very nice kipaji kikubwa sana
@MeryMsuya
@MeryMsuya 2 сағат бұрын
Wewe unawivu umemzuiya mweziyo asichukue maokoto yote
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 6 сағат бұрын
Mzungu ni Nani....mzungu yule ninayemjuwa Mimi Au mzungu wa kweli?
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 5 сағат бұрын
Eeeeeeeee😁😁😁😁😁😁😁😁leo Chasamba sioYanga tena mumebonga ivi mumemuona wamana leo kamudoma umegafunguwa😂😂😂😂😂ukoseye wewe simbirisi wagutoreye shombo leo eti umetuonesha hakuna chakudutisha tuko sambamba
@omarymwaluko8653
@omarymwaluko8653 5 сағат бұрын
Simba nguvu moja
@GodethNgulizi
@GodethNgulizi 5 сағат бұрын
Chasambi nipe namba yako ujue Nina zawadi yako
@fetychina3969
@fetychina3969 5 сағат бұрын
Mlete mzungu 😂😂😂
@JulianaMedard-d9y
@JulianaMedard-d9y 6 сағат бұрын
𝑲𝒊𝒕𝒐𝒕𝒐 𝒄𝒉𝒂 𝒎𝒂𝒂𝒋𝒂𝒃𝒖😂😂😂
@BecaSamson
@BecaSamson 6 сағат бұрын
Chasambi huna bayaaa kak 🎉🎉
@FridaSilya
@FridaSilya 5 сағат бұрын
Mzungu😂
@johnmwita9370
@johnmwita9370 5 сағат бұрын
Tumekusamer
@OBEDSIMON-r9l
@OBEDSIMON-r9l 6 сағат бұрын
Fis wawili😂😂😂
@MwitaPetro-e9z
@MwitaPetro-e9z 5 сағат бұрын
@ubaya ubwela
@RivoMlinga
@RivoMlinga 4 сағат бұрын
Wap mmbwa tyu ww usingeharibu leo tungekua wap kati yetu na utoooo??
@RehemamohamediMalongo
@RehemamohamediMalongo 6 сағат бұрын
Binadamu bana
@MathiasBalele-u3k
@MathiasBalele-u3k 6 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@IbrahimHanafi-q3y
@IbrahimHanafi-q3y 6 сағат бұрын
The megition wonder kid
@SOHAILGULAM-q7d
@SOHAILGULAM-q7d 6 сағат бұрын
😂
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 5 сағат бұрын
​@@SOHAILGULAM-q7d😂😂mbona wacheka kaka
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 6 сағат бұрын
Dogo akili bado haiko
@shangwefisima54
@shangwefisima54 6 сағат бұрын
Mdhunguuuu😂😂😂😂😂
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY 4 сағат бұрын
😂😂😂....haloooo!! mwaka huu mthungu analo
@MagrethCostantine
@MagrethCostantine 5 сағат бұрын
Chasambi hongera sana, mungu akutie nguvu kijana wangu umetuheshimisha simba, tushakusamehe saaaana.
@kisakasalim6596
@kisakasalim6596 6 сағат бұрын
Haha zawadi Kwa mdhungu
Thank you 😅
00:15
Nadir Show
Рет қаралды 46 МЛН
New Colour Match Puzzle Challenge With Squid Game 2 - Incredibox Sprunki
00:30
I didn’t expect that #kindness #help #respect #heroic #leohoangviet
00:19
Thank you 😅
00:15
Nadir Show
Рет қаралды 46 МЛН